#EXCLUSIVE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 ноя 2024

Комментарии • 88

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  7 месяцев назад +1

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 7 месяцев назад +2

    Mashaaalah Doctor sule kukemea Harmonize kusema Allah n kama mwanake, yarabb, akusitiri,

  • @emmanuelnzaligo6262
    @emmanuelnzaligo6262 7 месяцев назад

    Dr upo sahihi sana.

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 7 месяцев назад +6

    Dokta sure unajuwa Sana kujibu Sana maswali na mwenyezimungu amekujalia akili nyingi Sana na unajielewa Sana mashalah..nakupendaga Sana doctor sure Kwajili ya Allah..mungu akujalie Kila la heri...ila harmonise ni fala kabisa na nikafir Sana

    • @maryamal4074
      @maryamal4074 7 месяцев назад +1

      Kabisa

    • @semhineshauri3410
      @semhineshauri3410 6 месяцев назад

      Doctor sule namjua alikua anakuja huku zanzibar anafirana na mzee mmjoja Anaitwa mzee kiboju

    • @twinssauditwinssaudi7248
      @twinssauditwinssaudi7248 6 месяцев назад

      Weeeeh dokta hapo pakuelewana na mke mwwnzio kun.a shida mana natamani kuelewana namwenzangu ila daaa hataki hata kuniona

  • @hanifa9153
    @hanifa9153 6 месяцев назад

    Mashaallah sheikh wetu Alhamdulillah umefikisha ujumbe Allah akulipe kheri kwa hili wallah tumeaghadhibika😢😢😢

  • @HadijaMkaka-nl4rc
    @HadijaMkaka-nl4rc 6 месяцев назад

    Mashallah❤❤❤❤

  • @abubakaryMohamedy-jq4mt
    @abubakaryMohamedy-jq4mt 7 месяцев назад

    Maashaallah👏

  • @youngtomuller-vh2pu
    @youngtomuller-vh2pu 7 месяцев назад +1

    Suleh voce está certo!

  • @saidchombo5952
    @saidchombo5952 7 месяцев назад

    MashaAllah

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 7 месяцев назад +1

    Mashallah dr sure yaaan majib yako kiboko sana na ujib kutokana na swali asante sana

  • @LabiloWabikongo
    @LabiloWabikongo 7 месяцев назад

    masha allah❤

  • @HadijaMkaka-nl4rc
    @HadijaMkaka-nl4rc 6 месяцев назад

    Swadakta sheh❤❤❤ mashallah

  • @talhiyaibrahim1074
    @talhiyaibrahim1074 7 месяцев назад +4

    Hata mimi hii kiduku nimeona shekhe muogope allah umenyoa

  • @salimasalim405
    @salimasalim405 7 месяцев назад

    Mungu akuzidishie hekima elima akupe swiha na afya njema

  • @rahmamkingiye1403
    @rahmamkingiye1403 7 месяцев назад

    Allah akuhifadh kiongozi wetu kwa kukemea

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 6 месяцев назад

    Sure anajua kujieleza sana

  • @allyhajjimohamed8184
    @allyhajjimohamed8184 7 месяцев назад

    Doctor sule uko vizuri

  • @theworldproof1221
    @theworldproof1221 7 месяцев назад +1

    Mm kiukweli Dr sule unanivutia sana huja juatu siku mmoja na mini tutakutana kwenye Dr hiz hiz ten za kisayansi nazijua na Quran na ijua mm una nivutia sana

  • @khadi-z4o
    @khadi-z4o 7 месяцев назад +1

    UPO SAWA KABISAA SHEKHE SULE.. JAMAA KAWA NA KIBRI KIKUBWA KWELI KAKUFURU KACHUPA KABISAA.... HEEEEH LAAANATULLAH

  • @rashidsaid3538
    @rashidsaid3538 7 месяцев назад +2

    Mtu wamaana kabisa Dr sule

  • @Aisha-qx7kz
    @Aisha-qx7kz 7 месяцев назад

    Karibu kenya pia sisi twakuhitaji kwa tiba zako broo sule

  • @sultansultans9462
    @sultansultans9462 7 месяцев назад +1

    Dr. Sule anahikma ana ukweli mtupu mashaallah, Harmonize hajui dini kasoma juu juu. Bangi zinamchanganya ..akili yake anataka sifa kwa Mama samiha Rais wa jamhuri wa TZ. naona kapiga chini.

  • @AhmadKiondo
    @AhmadKiondo 6 месяцев назад

    Nitakutafua sheghe Sule

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 7 месяцев назад

    Doctor sule mashallah itabidi nikutafte unipe darsa

  • @SaudaKimaro
    @SaudaKimaro 6 месяцев назад

    Amo muombe Mungu msamaha ulimi umekuteleza tu

  • @Ostica..Omie..junior
    @Ostica..Omie..junior 7 месяцев назад +1

    Harmonize ni chizi..arafu mshamba sana..yeye anamuona posh ndio malikia wake..pia bangi zishamwaribu ata diamond aliongea..yeye anaona kuwa mwanamke ndio mungu...amekufuru sanaaaa

  • @maryam28-p4j
    @maryam28-p4j 6 месяцев назад

    Astakafirula hayo mambo ya huyo kijana hamekosa tu sana navikira zake

  • @zayanazayana5518
    @zayanazayana5518 6 месяцев назад

    Too much know

  • @FatmaHamad-g6s
    @FatmaHamad-g6s 7 месяцев назад +1

    Kiukweli waislamu wengi wanafanya vitu vya kutoka ktk dini wengine kwa makusudi kbs wengine kwa kukosa elimu ya dini

  • @semhineshauri3410
    @semhineshauri3410 6 месяцев назад

    Doctor sule namjua alikua anakuja huku zanzibar anafirana na mzee mmjoja Anaitwa mzee kiboju

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips 7 месяцев назад

    Mashallah Dr wetu umeongea sana Pwent

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 7 месяцев назад

    Dokta sule nakupenda Sana Kwajili yamungu wng..Yan dokta sure unanifurahisha Sana..inabidi tumshambulie harmonise mpaka aombe msamaha mjinga yule

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 7 месяцев назад +1

    Huwezi kumwita mwenzio kathir kinacho takiwa Ni kumuombea Aliye kosea

  • @Yness-vh4yy
    @Yness-vh4yy 7 месяцев назад

    Huyu shehe anaenda ja upepo wa harmonise

  • @jumandikumana3161
    @jumandikumana3161 7 месяцев назад

    Nikweli kabisa mu ilimishe uyo mutoto Ana adabu

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp 7 месяцев назад +1

    Hmonizi sijui mayonaizi amekosea sana katia vipini kila sehemu lakin watu wamekaa kimya habari hawana lkn alicho sema ajue ameyatimba

  • @sadikimgaza6777
    @sadikimgaza6777 6 месяцев назад

    Naomba namba ya drsule

  • @Aisha-qx7kz
    @Aisha-qx7kz 7 месяцев назад

    Dokta mbona kenya hupangishi ukafanya tiba?

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 7 месяцев назад +1

    wanawake wakielewana ni raha sana mengi yanawapungukia hata mume anapungua makali ya kuwasumbua

  • @SimonBaraka-yv2cx
    @SimonBaraka-yv2cx 7 месяцев назад

    Harmonize ni kafiri kwasababu imeingia kwenye uchawi...Mzee Popo 🦇🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 7 месяцев назад +1

    Ila uwo unyoaji wa kiyaudi haufai. Kabisa kamaww shehe ji mfano acha malamoja. Allah atujaalie.mwishomwema

  • @isamazatv.115
    @isamazatv.115 6 месяцев назад

    Ukoloni bado Africa kabisa , Warabu na Wazungu wamenaliza wa Africa kupitiya wislamu na ukristo very sad kabisa

  • @KhatibuSwalehe-o9i
    @KhatibuSwalehe-o9i 6 месяцев назад

    Hata Doctor unamakosa xn Mbona mnaaongea vitu vipo nnje ya maneno ya harmo

  • @drsumatz7539
    @drsumatz7539 7 месяцев назад +1

    Na mengine yakunyoosha palipopinda mbna mnarudigi nyuma jaman .... Au uislamu unataka tuu kunyoosha mapito yakidini tuu ???
    Mashekh sku izi kweny vitu ambavyo vinaguza makal yakisiasa hata wakikosea hamsemi ila akifanya mtu wambali na apo mnakuwa active ,. Of which sio kitu kibaya

  • @NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM
    @NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM 7 месяцев назад +1

    Ni mshamba huyo Harmo ,lazma aambiwe

  • @AhmadKiondo
    @AhmadKiondo 6 месяцев назад

    Huyusheghe si mganga bali elmualionayo nikubwa anaouwezo wakukuombea nadua ikafika kwa Mungu

  • @g-makangarealitymbunge9290
    @g-makangarealitymbunge9290 7 месяцев назад

    Mtangazaji hajui kutofautisha mashwali anarudia rudia Kama asikii ufafanuzi wa Sule

  • @Hhh-vi3do
    @Hhh-vi3do 6 месяцев назад

    Hivi ww shehe unayejitolea kuongelea maisha ya mtu ww haujawahi fanya dhambi ww nimukamilifu sana ama shida ni nn ? Na hvyo ulivyonyoa ni Sawa jiangalie

  • @MnibuIssa
    @MnibuIssa 7 месяцев назад

    Mwamby hyo kijan asipagawe n wanawake 📌

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 7 месяцев назад

      hahahaaaa kidume kinakula ugali hichoo

  • @Mainda-q5b
    @Mainda-q5b 7 месяцев назад

    Nimejifunza mengi ingawa muda mchache

  • @OlivaMHANDO
    @OlivaMHANDO 6 месяцев назад

    Ww harmo munaitaji kutubu, maana na ww umejita mungu wawa Islamic, umetamuka kwamba harmo asizikwe na kusomewa dua,ko unamanisha ww ndo muumba mbingu na ardhi??. Ama ulimanisha nini kwa kauli izo zitto kama ww ni shikh?. Unasitahili kuwa sheikh kwa maneno yako??. Na ww uwajibike kwa maneno yako kwa Islamic wenzio

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 7 месяцев назад

    Hakuna rol modo anaeweza kupeleka mtu Kwa mwenyezi mungu usthard.....isipo kua matendo na amali Yake alio jitengezea..kupitia ibada na matendo mazuri yalio idhinishwa na mwenyezi mungu mwenyewe....punguza kuongea unaongea xna...

  • @EstherMubarikiwa
    @EstherMubarikiwa 6 месяцев назад

    Kakosa nini hamo wewe baba

  • @abdallahnamuha3357
    @abdallahnamuha3357 7 месяцев назад

    Shekhe acha kiki

    • @khadi-z4o
      @khadi-z4o 7 месяцев назад

      WEWE NI MKRISTO AU MPAGANI??? NA MUNGU WAKO NANI WEWE BWEGE???

    • @johnmalembo6464
      @johnmalembo6464 7 месяцев назад

      Hujui kama hujui .,...heri ungejua kuwa hujui

    • @abdallahnamuha3357
      @abdallahnamuha3357 7 месяцев назад

      @@khadi-z4o sizan kama uisllam unaruhusu kumuita mtu mwingine kafiri.

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 7 месяцев назад

    Sir why you tell people to stop supporting him that is bad leave him alone

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 6 месяцев назад

    KAFIRI hajasema Dr Sule , Ni vitabu ndio vinasema hivyo .....Biblia ukisoma Yuda 1:4 inasema MAKAFIRI Ni wabadilio upekee Wa mungu aliyepeke yake kwa sura ya binadamu . lkn Quran pia inakubali ktk AYA karibu zote. 😅😅😅

  • @merinakassembe118
    @merinakassembe118 7 месяцев назад

    Mashee muache kiki tangu meanza kumsema hamo inekuwa kama ngoma ya sengeri siku 5 mnansema mtoto wa watu muacheni mnamkumbuka yule shee wenu aliyevubja bdoa ya qeen ba dr mwaka alikzwa malaya mno alikutaba namimi akasimamisha gari anipe lift nikaakataa mbona amkuongekwa siku nyingi muacheni. Tutamzika sisi wana konde gang. Nakafiri ni nyinyi nashee lakini ni wanafiji achaneni na hamo

  • @rehemahamadi3382
    @rehemahamadi3382 7 месяцев назад

    Dk sule punguza jazba mwachie Allah mwenyewe amuhukumu pengine ameteleza na atatubu kwa alichofanya

    • @daslamonline4665
      @daslamonline4665 7 месяцев назад

      Kwa hiyo hata asiambiwe huyo kipenzi chako rajabu,,

    • @salimasalim405
      @salimasalim405 7 месяцев назад

      Hyo sio jazba hyo ni dini

  • @theworldproof1221
    @theworldproof1221 7 месяцев назад

    Ila Dr sule nipe siri sahii mm nina miaka 32 nimekuja nikiwa na miaka 13 ila mpk sahii sule huna sura ya kuzeeka na una miaka 60 na zaid

  • @Jini-y3d
    @Jini-y3d 7 месяцев назад

    Mnafki tu uyo shekhi gani anamiliki vilinge vya uganga..

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 7 месяцев назад

    Hawa ni wazeee wa maokoto tu hakuna shehe apo

    • @daslamonline4665
      @daslamonline4665 7 месяцев назад

      Maokoto na mada iliyopo wapi na wapi,,

  • @muhammadkhamis9396
    @muhammadkhamis9396 7 месяцев назад +1

    Shekhe nakukumbusha mtume anakataza kunyoa kiduku mbona ww umenyoa? Muogope mungu

    • @MwanarusiMwasaria
      @MwanarusiMwasaria 7 месяцев назад +4

      Wewe nawe tunaangalia hili zito lakutisha lakutetemesha Kila mtu wewe kumbe waangalia nywele za ustadhi sually unaakili kweli?

    • @umutabazi
      @umutabazi 7 месяцев назад

      Uyu Muhammed nae bwana,si bora akae kimyaaaa tuh kama hana comment 😮

    • @salumalriyamy
      @salumalriyamy 7 месяцев назад

      Ebanae, tupe hadithi tufaidike

    • @saeedmassoud256
      @saeedmassoud256 7 месяцев назад

      Achana nae ni majinga tu majitu mengine ​@@MwanarusiMwasaria

    • @HadidjaAlly
      @HadidjaAlly 7 месяцев назад

      Dalili Iko wapi?