FULL VIDEO: Kila kitu Alichosema HARMONIZE /Afungua Kibegi cha Ajabu🙄

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025

Комментарии • 206

  • @PheniasMpawenayo
    @PheniasMpawenayo 8 месяцев назад +35

    Konde ni mtu wangu na mkubali sana huo mwamba🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮💥💥💥💥💥🦣

  • @martinsebastian2377
    @martinsebastian2377 8 месяцев назад +5

    Nakukubali sana my brother indelea kupambana.

  • @DennohMacharia-mu3hb
    @DennohMacharia-mu3hb 8 месяцев назад +7

    Condey geng for life mahasimu kitawalamba tu ilove condey geng❤❤❤❤

  • @JohanesboymsaniiMsanii
    @JohanesboymsaniiMsanii 8 месяцев назад +20

    Naitwa JohanesBoy kishanda naomba mtusapot nyimbo mpya JohanesBoy kishanda nakupenda video official❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @kadito-music
    @kadito-music 8 месяцев назад +15

    Maua mengi yanakuhussuuu🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺

  • @fistonnibigira167
    @fistonnibigira167 8 месяцев назад +15

    Big up my brother we happy for you🇿🇦🇧🇮

  • @Marry-u8m
    @Marry-u8m 8 месяцев назад +4

    So amazing bro nice job🎉🎉❤❤🇰🇪🇰🇪

  • @frangelzreigns6613
    @frangelzreigns6613 8 месяцев назад

    konde is my hero ataingawa me si mwanamziki nakubali konde sababu ni example setter and the main reason is he is hard working and he is a hard core 💪 in terms of fighting against discouraging and immovative competition and life challenges, wishing you all the best konde we love you you have a bitter story to tell about your success thats why I now know that no pain no gain🔥💯

  • @KakuleSelemani
    @KakuleSelemani 8 месяцев назад +5

    Cool jeshi ❤❤❤ 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @NishimwealexiBerozi
    @NishimwealexiBerozi 8 месяцев назад +1

    Jeshii konde uyo njo msani tuko naye duniyani 💥🇰🇪 kondeww njo wangu tu namba 1💪👊

  • @KatemboSalathiel
    @KatemboSalathiel 7 месяцев назад

    Namipiya nakupenda sana konde nakosa kama upendo wangu kwako nimwingi sababu gani nikikuona najisikiya vizuri sana. Mimi nipo Congo

  • @JAFARYMWASHITETE
    @JAFARYMWASHITETE 8 месяцев назад +44

    Mzee konde nakukubar sana ningekua nahela ningekuja nikuone hua nikikuona napataga laha sana

    • @Peterchila-un2lx
      @Peterchila-un2lx 8 месяцев назад +5

      Mpe mkundu akufire

    • @Lulualshagri
      @Lulualshagri 8 месяцев назад +1

      Hamna kiingilio wahi mapema ila uvae suti ya rangi nyeusi na ndani shati la rangi ya gold usipovaa hivyo huingii au suruali nyeusi na shati la rangi ya gold

    • @tomsijohni
      @tomsijohni 8 месяцев назад +1

      ​@@Peterchila-un2lxWacha matusi

    • @RichardRutembesa-ns1kn
      @RichardRutembesa-ns1kn 8 месяцев назад

      Oyaa show ni Bure..😂😂😂😂njooni ni funguriwa mbwaa.......EFm ndio...ume promote ...siku hizi Mchinga Hana managers wakuandaa show!!!

    • @tomsijohni
      @tomsijohni 8 месяцев назад +1

      @@RichardRutembesa-ns1kn nyinyi watu masikini mulibalikiwa kua na matusi wewe unapoteza muda wako wa kutusi mutu alie kushinda maisha wewe na family yako yote alafu umeanza kutumia smartphone ukubwani shoga sana wewe

  • @SaidiBakari-t7h
    @SaidiBakari-t7h 8 месяцев назад +1

    Nakubali sana kazi brook🎉🎉🎉😂❤❤❤🎉🎉

  • @DesireMahushwa
    @DesireMahushwa 8 месяцев назад +1

    Kk Harm pambana tuu bado tunakupenda mnooo kk bado tunakutengemeya wewe Sisi machabiki zako wanaaa RDC🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩Harm mungu akuzidishiyee maradhufu 🙏🙏🙏🙏

  • @PhilipobonifacSado
    @PhilipobonifacSado 8 месяцев назад +1

    Konde mtumbadi we ninoma mungu kakupa vitu atali

  • @dolphinaadhiambo4659
    @dolphinaadhiambo4659 8 месяцев назад +3

    Harmonize is smart. Those 5 albums will pay him for life

  • @yayananajota5838
    @yayananajota5838 8 месяцев назад +4

    Frm faw est pacific ocean we get u konde🇫🇯keep booming

  • @NinohBakari
    @NinohBakari 8 месяцев назад +14

    Nakukubari sana broo konde boy. Jesh

    • @kijitamfyomi5598
      @kijitamfyomi5598 8 месяцев назад

      Mwambieni Konde atoe kipini puani yeye ni mtoto wa kiume na ni mwiislam

  • @batholomeokivamba6959
    @batholomeokivamba6959 8 месяцев назад

    oya huyu mwamba nikisangaaa💚🙆‍♂️💝💝💝💝💝piga like hapo kama umeelewa

  • @IssaMuhamed-sg6np
    @IssaMuhamed-sg6np 8 месяцев назад +9

    Jeshiiiiii tembo nakubali❤❤❤❤

  • @ArnaudIrakoze-q4b
    @ArnaudIrakoze-q4b 8 месяцев назад +3

    Kond boy yani sijuwi niseme nini maana natamani nishike mkono wako tu ima nikae pembeni yako maana unanipa raha sana natokea BURUNDI naaa tunakupenda sana god bless you for inthing

  • @rushyanadivin8364
    @rushyanadivin8364 8 месяцев назад +11

    Kondeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee boyy kondeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @chiddmullo3241
    @chiddmullo3241 8 месяцев назад +2

    Good Good my brother hakika unastahili mauwa yako brother

  • @amorhajj5020
    @amorhajj5020 8 месяцев назад +5

    Harmo kk yang unaonekana ni mtu mwenye nidham na hio inasab bishw na imani fanya urudi kw Allah sbb yy husamehe kwkila mweny makusudio yakurud kbla hajachukua amana yake me nakupenda sn kk yngu

  • @rabanphotostudionyakanazi_4115
    @rabanphotostudionyakanazi_4115 8 месяцев назад +1

    Nde we unaakili nzuri...nahitqji watu Kama wenye maono Kama yakwako ili tufike mafanikio

  • @MasaboDjuma
    @MasaboDjuma 8 месяцев назад +6

    Boss mtoto ❤❤

  • @EstherMubarikiwa
    @EstherMubarikiwa 8 месяцев назад

    Mungu akubaliki ume tu burudicha❤❤❤

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg 8 месяцев назад +5

    Konde is super endersom boy❤❤❤❤❤

  • @nesymichael4286
    @nesymichael4286 8 месяцев назад

    Namkubali konde pia majzo hana ubaguzi kwa wasaniii❤

  • @IddyNgaleni-zr2no
    @IddyNgaleni-zr2no 8 месяцев назад +1

    Nakubali sana pacha wangu

  • @ElvisNiyonsaba
    @ElvisNiyonsaba 8 месяцев назад

    Nakupendasana konde from burundi

  • @ElishakellyMahuno
    @ElishakellyMahuno 8 месяцев назад +1

    Félicitation ''''hommes d'action ''''konde boy'''' 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 hona

  • @JumaKabaka
    @JumaKabaka 8 месяцев назад

    Fire 🔥 tuna waiting 25-may bro konde ujawai niangusha

  • @MaranoSixteen
    @MaranoSixteen 8 месяцев назад

    Bigup my conde unawuwa Rwanda uko king Kigali unatisha

  • @ThomasshijaMasanja
    @ThomasshijaMasanja 8 месяцев назад +3

    Umetisha sana broo, amakweli huu mziki ni kipaji hushindan na mtu.🎉

    • @JosephNjuki-pu6nw
      @JosephNjuki-pu6nw 8 месяцев назад

      Yoo yoo jeshiiii kubali ba mjo kioo cha jamii og

  • @CHIDIGARAGETZ
    @CHIDIGARAGETZ 8 месяцев назад

    Kumwona harmonize sokitu kidogo babuuu🤟

  • @ElogeKambale-jp6sw
    @ElogeKambale-jp6sw 8 месяцев назад

    Mimi waku sema kond amishaa kosa damu ndani ya mwili wake alafu watu washaa kataa toa damu kwake mimi nipo tayari n'a maananisha kond ndiyo damu yangu n'a roho ya nakupenda Toka CONGO Goma

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 8 месяцев назад +14

    Nampenda konde sijui kwa nini akio gea akitulia ni mtu na nusu

  • @amisindondi4549
    @amisindondi4549 8 месяцев назад +6

    YAOYAO 😅😅
    JESHIIIII

  • @Itsjaimito_18
    @Itsjaimito_18 8 месяцев назад +1

    Nakukubali Sana konde boy❤

  • @HamimuVirgilio
    @HamimuVirgilio 8 месяцев назад

    Duh kaka Ngoma kali kinyama❤❤

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 8 месяцев назад +5

    Konde ni mmoja tu Tanzania

  • @MwichandeMuyugu
    @MwichandeMuyugu 8 месяцев назад

    Respect my broo konde❤❤

  • @LazaroMaige
    @LazaroMaige 8 месяцев назад +6

    Vp hapo studio namim nataman kuwa kama hao ma brother's harm and marrioo

  • @Officialphino12
    @Officialphino12 8 месяцев назад

    Harmonize nakufata Tano kwa Tano fresh sana ze bosss

  • @ahmadsayyeed7910
    @ahmadsayyeed7910 8 месяцев назад +2

    Eti mpaka pale akitokea msanii ambae atanifikia dah kumbe anajiona wa kwanza kua best 😂😂😂😂😂

    • @saidilome-ue2df
      @saidilome-ue2df 8 месяцев назад

      Ndio jama ni namba moja na Tanzania hkn msani katengeneza album 5 na akawa na hits in every album.bangi kashindikana

  • @ButoyButros
    @ButoyButros 8 месяцев назад +1

    Uyu jAmaaa namkubali sana

  • @BOOTTV2
    @BOOTTV2 8 месяцев назад

    RWANDA🇷🇼🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💞💞💞💞💞💞💞💞💞

  • @THEGAME_t
    @THEGAME_t 8 месяцев назад +3

    Konde gang🔥🔥🔥🔥

  • @fatumaninga5522
    @fatumaninga5522 8 месяцев назад +7

    Jamani minakupenda mpaka baaaaaaaaasi

  • @ElJosias-me7fy
    @ElJosias-me7fy 8 месяцев назад

    Love you

  • @JadoBugoma
    @JadoBugoma 8 месяцев назад

    Respect mister harmoniz from kunde gang😮😂😂❤

  • @GoodluckMwalimu
    @GoodluckMwalimu 8 месяцев назад

    Huyu jamaa ni moto sana.... Harmonize

  • @Vincentrakoldo
    @Vincentrakoldo 8 месяцев назад +1

    Appreciate it 👍

  • @AluNuru
    @AluNuru 8 месяцев назад

    Konde umetisha sana

  • @amosesendegeya3909
    @amosesendegeya3909 8 месяцев назад +1

    Let him come again in America 🇺🇸 we miss him please

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk 8 месяцев назад +8

    Kweli nimeamini ukitoka chini ya label lebo wcb au yeyote unakuwa msanii mkubwa GOAT wakina zuchu,mbosso,lavalava bado ni wasaniii wadogo underground

    • @RichardRutembesa-ns1kn
      @RichardRutembesa-ns1kn 8 месяцев назад +1

      Under ground!!!😂😂😂 angalia Platforms wamesimama aje acha u fans wa uchwala!!!!

    • @ButoyButros
      @ButoyButros 8 месяцев назад +1

      Konde boy anakipaji kuzidi Lebo ya wcb mbali sana mbn rich mavoko alikuwepo

    • @FredrickMatiku-xf2uk
      @FredrickMatiku-xf2uk 8 месяцев назад

      @@RichardRutembesa-ns1kn hizo platforms kivuli Cha lebooo zao wakatwe asilimia

  • @cynthiaomondi-zn6sm
    @cynthiaomondi-zn6sm 8 месяцев назад

    Nampenda bure harmonize

  • @ThomasDavid-xo7og
    @ThomasDavid-xo7og 8 месяцев назад

    Unyama bro

  • @MbalasaJRMwakabalile
    @MbalasaJRMwakabalile 8 месяцев назад +1

    Jmnii tutafute helaaa yanii konde akitaka kukaa2 watu wanamuwekea kiti vzr jmniii

  • @Michel-r7q
    @Michel-r7q 8 месяцев назад

    Chinga yes babiloni yauaaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @OlivaMHANDO
    @OlivaMHANDO 8 месяцев назад

    Big up sana bro,may God almighty be with you ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen

  • @solomonsamuel3584
    @solomonsamuel3584 8 месяцев назад +3

    😂😂😂😂ety watakaoleta gramy
    Grammy ya nyoko

  • @TakeoffClassic-boy
    @TakeoffClassic-boy 2 месяца назад

    respect my brother❤

  • @musiccaentertainment100k8
    @musiccaentertainment100k8 8 месяцев назад +2

    Harmonize akona charisma Fulani hvi yaani hata ukiwa hater lazima umpende tu

  • @JamesOiro
    @JamesOiro 8 месяцев назад

    Hongera kond

  • @PhilipoMpangala-vb8hi
    @PhilipoMpangala-vb8hi 8 месяцев назад

    Fundi sn uyo mmakonde ❤❤❤❤

  • @tomsijohni
    @tomsijohni 8 месяцев назад +1

    Big up brother harmonize

  • @Baba-dk3bk
    @Baba-dk3bk 8 месяцев назад +1

    Hilo dude ni atari

  • @EmmanuelNdahya-ud5nj
    @EmmanuelNdahya-ud5nj 8 месяцев назад

    Huyo jamaa noma mzee wa dakika 2 TU ligi ya wakinyo lini tambo nyingi lakin 😅😅

  • @David_24tz
    @David_24tz 8 месяцев назад

    Mziki umekabidhiwa mahala sahihi.✌️

  • @AdrienGrace-kj8hw
    @AdrienGrace-kj8hw 7 месяцев назад

    nakupendaga sana jeshiiii

  • @AllySalum-j9y
    @AllySalum-j9y 8 месяцев назад +5

    Badoooo sanaaa kutufikiaa atawakiunganaaa matusiii kututukanaaaa

    • @jameschumbula7351
      @jameschumbula7351 8 месяцев назад +1

      Aha wap🤔

    • @HamisiMauridi
      @HamisiMauridi 8 месяцев назад

      Bodo sana kwako ila kwetu tunafanya yetu bila wasiwasi kode ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @AllySalum-j9y
      @AllySalum-j9y 8 месяцев назад

      Shidaaa zenuu sioo zetuu Dubai mapunzikooo

  • @noorali-mo4lp
    @noorali-mo4lp 8 месяцев назад

    It's all about business big up konde umekua kimuziki zaidi

  • @GerantEzekiel-p4k
    @GerantEzekiel-p4k 8 месяцев назад +2

    ❤❤❤❤ nahipenda

  • @FerdinandNdayizeye-l9m
    @FerdinandNdayizeye-l9m 7 месяцев назад

    Nipo Rumonge Burundi nawasikiliza kwamidahii🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @sereveolivier5395
    @sereveolivier5395 8 месяцев назад

    love konde jeshi ❤🎉🎉🎉

  • @YahayaZayd
    @YahayaZayd 8 месяцев назад +6

    Safi

  • @ogthecomedian
    @ogthecomedian 8 месяцев назад

    Konde boy tufanye kazi pamoja vile tuliongea

  • @Bashilwa
    @Bashilwa 8 месяцев назад +2

    Eti album ya wimbo mmoja

    • @Bashilwa
      @Bashilwa 8 месяцев назад

      Unafanya isicho kijuwa

  • @LeonardNdege
    @LeonardNdege 8 месяцев назад +6

    Jeeeshiiii

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 8 месяцев назад

    Safi sana

  • @Razack_kalla
    @Razack_kalla 8 месяцев назад

    🔥🔥🔥🔥🙌

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 8 месяцев назад

    mbongo asijue kidhungu cha kuomba maji basi utakoma😂😂😂😂

  • @AliHaji-w1x
    @AliHaji-w1x 8 месяцев назад +1

    Jeshi anaemkimbia mugambo mtoto wa kitanga mwakinyo

  • @Dogokanumba
    @Dogokanumba 8 месяцев назад

    Konde toshaa from Kenya 🇰🇪

  • @RenzoJofre-my9lz
    @RenzoJofre-my9lz 8 месяцев назад

    God job 🎉

  • @olengogahusa
    @olengogahusa 8 месяцев назад +1

    Kazi njema konde wewe ndie mwamba wa bongo, kutoka Drc congo olengo gahusa tuna kupenda sn tu, tunaomba,uje bsi ata congo tukuone live

  • @RestitutaGordian
    @RestitutaGordian 8 месяцев назад

    Joanes kishanda nitumie namba ako me Chuma Gang wa nshamba muleba ila Tumsapot kk yetu konde Gang

  • @fabricengabireyimana6528
    @fabricengabireyimana6528 8 месяцев назад

    Konde is Jesh🇧🇮🇧🇮

  • @MusaShomari-i7j
    @MusaShomari-i7j 8 месяцев назад

    Nakukubali mwamba konde

  • @mohamedmwabeha
    @mohamedmwabeha 8 месяцев назад +1

    Konde💪💪💪💪

  • @ArakazaAbel
    @ArakazaAbel 8 месяцев назад

    005 jeshiii wewe nikichwa kweli wengine bongo ni mbumbu2 kutunga hawawezi ni kelele2

  • @Extension4353
    @Extension4353 8 месяцев назад

    Mbona mnaanza kutembea na mabaunsa???😫😫
    Hao security guard wa relax sio kujiona ivo bwana,,
    Wapo seriously kama vile wanamlinda 😯😯😯😯✅✅

  • @AlexNyembo-zx7uz
    @AlexNyembo-zx7uz 8 месяцев назад

    Konde Ni wangu

  • @MudyChende
    @MudyChende 8 месяцев назад

    Sana mkali konde huna baya

  • @ArseneBam
    @ArseneBam 8 месяцев назад

    je t'aime ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @iranziyvet3503
    @iranziyvet3503 8 месяцев назад

    Konde from Rwanda

  • @NsengiyumvaJeanine
    @NsengiyumvaJeanine 8 месяцев назад

    Ni karangi ka mwaka

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 8 месяцев назад

    Yaan tz kiki nyingi sana