Nimefurah sana kwa kocha ramovic kuondoka, na nashkuru hiyo timu iliyoleta offer ya huyu kocha maana vinginevo ni hasara kwa club yetu ya yanga. Ramovi sio kocha mbaya ila sio kocha kwa ajili ya yanga, Yanga imejngwa kwa backborn ya mchezaji kuwa na confidence na uwezo wa kumiliki mpira, kufanya dribling na maamuzi magumu ya mchezaji. uchezaji wa yanga ni kwamba kwenye kikosi kunakua na mchezaji au wachezaji ambao ndio mamaster mind, na wengine wanafuata kupitia wao. yaani tibu inakua na mchezaji ambae ndie bongo ya timu, moto, morali,maamuzi yanakuapotentiated na hao au huyo mtu. kocha amekuja na mfumo wa kwamba kila mtu afanye sehemu sawa, swala ambalo kwa yanga yenye uti wa mgongo wa personalizing the game vimeshindwa kuivana. ramovic akafundishe akina alger ndio mpira wake.
Acheni kujitoa ufahamu..Ligi yetu mnajua kabisa kwamba matokeo yake huwa ni ✉️..Changamoto ipo pale timu iliyozowea kununua mechi za ndani...inapotoka kimaraifa.. manake kule hakuna ✉️. Nyie wote mnalijua hilo..Na ndio maana kocha alisema kuwa ligi haina ushindani...alikua sahihi kabisa...
SASA HAWA CR BELOUIZDAD WACHINGA KUMCHUKUA NA KULIPA GARAMA ZAKU VUNJA MKATABA ,HAWA WAMEPEWA TU MIKE TU LAKINI KITAALUMA ZEROOOOOO 😂😂😂😂😂KABISAAA MAKOLO WAHED
Nimefurah sana kwa kocha ramovic kuondoka, na nashkuru hiyo timu iliyoleta offer ya huyu kocha maana vinginevo ni hasara kwa club yetu ya yanga.
Ramovi sio kocha mbaya ila sio kocha kwa ajili ya yanga, Yanga imejngwa kwa backborn ya mchezaji kuwa na confidence na uwezo wa kumiliki mpira, kufanya dribling na maamuzi magumu ya mchezaji. uchezaji wa yanga ni kwamba kwenye kikosi kunakua na mchezaji au wachezaji ambao ndio mamaster mind, na wengine wanafuata kupitia wao. yaani tibu inakua na mchezaji ambae ndie bongo ya timu, moto, morali,maamuzi yanakuapotentiated na hao au huyo mtu.
kocha amekuja na mfumo wa kwamba kila mtu afanye sehemu sawa, swala ambalo kwa yanga yenye uti wa mgongo wa personalizing the game vimeshindwa kuivana. ramovic akafundishe akina alger ndio mpira wake.
Pira la kijerumani😂😂😂😂
Ubaya ubwela umeanza kufanya kazi nabado hadi watoe milio🤪🤪🤪🤪🤪🤪
Acheni kujitoa ufahamu..Ligi yetu mnajua kabisa kwamba matokeo yake huwa ni ✉️..Changamoto ipo pale timu iliyozowea kununua mechi za ndani...inapotoka kimaraifa.. manake kule hakuna ✉️. Nyie wote mnalijua hilo..Na ndio maana kocha alisema kuwa ligi haina ushindani...alikua sahihi kabisa...
Alimnunua mamaako we Kuma kweli pumbavu
Acheni unafiki mechi ya yanga vs mc Alger plan ya mwalimu ilikuwa nzuri ilaa wachezaji ndo hawakuonyesha kujituma
Wacha siasa hakuna offer yoyote isipukua kocha kaamua kuondoka kwa sababu ya mambo ya hovyo na ujinga ulokuwepo kwenye matahira fc (🐸)
Kama Hana uzoefu CR BELZIDAD wanamchukua wa nini?
Huyu si mjerumani machine jamani na mlikuwa mna msifia nyieeee
Huyo Hance unaleta ushabiki alfu uelewa wake mdogo
SASA HAWA CR BELOUIZDAD WACHINGA KUMCHUKUA NA KULIPA GARAMA ZAKU VUNJA MKATABA ,HAWA WAMEPEWA TU MIKE TU LAKINI KITAALUMA ZEROOOOOO 😂😂😂😂😂KABISAAA MAKOLO WAHED
Hakuna OFFER yoyote Kocha Hamna Kitu..,Ubaya UBWELA + Kurjuan in Action
Chalz aachane na uchambuzi hajui chocht km cc wengne
Belzidad ni bora kuliko yanga tatizo ni yanga wachezaji wazee
Usajili mbovu
😂😂😂
Hata simba ilibadilisha makocha ikaja ikaona shida sio makocha ni wachezaji. so yanga miswala la mda kusajili wachezaji wapy
Huyo dogo mwambieni ache umbea
Kumbe sasa ndo mmeanza kusema ukweli badala ya zile propaganda mlizokuwa mnaeneza
Uyu jamaa daaa, Aya bwana mchambuzi
Hajui chochote huyo ana tupotezea muda bure.
Kama timu ingine imemwona ana faa huyu ana leta za kuleta