BEKA: HARMONIZE ALIKAA NA MKE WANGU WIKI , JAY MELODY NILIMKATLIA KOLABO, RAYVANNY, MOCCO, WAMEIGA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 май 2024
  • BEKA: HARMONIZE ALIKAA NA MKE WANGU WIKI , JAY MELODY NILIMKATLIA KOLABO, RAYVANNY, MOCCO, WAMEIGA
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 15

  • @babalao3250
    @babalao3250 24 дня назад +6

    Kumbe beka ni handsome

  • @samiusiraj4587
    @samiusiraj4587 25 дней назад +5

    Wasanii wa bongo niwanafiki awapend wenzao wafanikiwe nakupenda sana beka we zidi kupambania muziki wako wachana na ao wanafiki

  • @bosschick2417
    @bosschick2417 22 дня назад +1

    Very good boy 🎉❤ big up 🎉😊 Beka flavour 👏 👌

  • @MsafiriBaruti
    @MsafiriBaruti 25 дней назад +3

    Mzee beka wa Geita nyamatagata

  • @MellowBoytz-tc9er
    @MellowBoytz-tc9er 25 дней назад +2

    Bek unajua sana bro

  • @user-bx6mb5rx9z
    @user-bx6mb5rx9z 23 дня назад

    Mungu akufanyie wepesi mdogo wangu ktk kazi zako

  • @josephusekwelas9743
    @josephusekwelas9743 25 дней назад +5

    Uyu jamaa ahana eshima nimushamba sana kwanini umushikeshike beka

  • @tabagainofficial
    @tabagainofficial 24 дня назад

    Beka mkali zaidi ya wakali🔥

  • @josephusekwelas9743
    @josephusekwelas9743 25 дней назад +7

    Sasa kwanini awa wa tangazaji wana mushikashika beka awana eshima kabisa beka jipe eshima yako wakatipiye awa wajinga

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 24 дня назад +1

    Tapeli,Mjamzito wa kwanza bongo movie nzima ni wema sepetu.😂 yanaaribikagaga kila akiwa mjamzito.

  • @Safari879
    @Safari879 24 дня назад +1

    Pacha wangu

  • @bullychandy6509
    @bullychandy6509 25 дней назад +2

    Huyu jamaa anapenda kugusa gusa watu kwa nini? unamshikaje Mwanaume mwenzio

    • @ijsound5149
      @ijsound5149 24 дня назад

      Mawingu ndugu yake upinde

  • @user-nl5ch9rz9u
    @user-nl5ch9rz9u 25 дней назад +1

    Kijana unajua endelea kupambana

  • @JosephChuwa-fu4uo
    @JosephChuwa-fu4uo 24 дня назад

    Jomba unapamban