SIDONDOKI MPAKA MUNGU ASEME, NINA MAWE NA MZIKI NAUJUA| NI DILI MMAREKEKANI KUFANYA KAZI NA MWAFRIKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 янв 2025

Комментарии • 405

  • @mpambanajitz7026
    @mpambanajitz7026 8 месяцев назад +45

    Diamond unapambana SANA ila katika hii Dunia hata utende wema namna gani hakuna atakaekubali.
    Ila wewe ni kiongozi bora NDANI ya Musiki na MUNGU atakulipa ... wewe ni msanii wa kwanza kuwa na Media hapa nchini ,,
    Hongera SANA MWAMBA 💪💪💪

  • @sportsnewstv5002
    @sportsnewstv5002 8 месяцев назад +118

    mbona huyu dada maswali yake ni anajua mno au mm ndo nimeskia peke yangu. she is good 👏👏

    • @damianmcba9525
      @damianmcba9525 8 месяцев назад +4

      Yupo vizuri ccta ahulizi kimwamko au kishabiki yupo straight

    • @leonardadd
      @leonardadd 8 месяцев назад +3

      Kabisaa she's qualified🎉

    • @afriflix_255
      @afriflix_255 8 месяцев назад +2

      Saraphina Jerry huyo wa rickmedia

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 8 месяцев назад +1

      Ata sauti yake ni nzuri sana

    • @sportsnewstv5002
      @sportsnewstv5002 8 месяцев назад +1

      @@damianmcba9525 👏

  • @lumo9999
    @lumo9999 8 месяцев назад +39

    Huyu dada anajua kuuliza maswali vizur sana ❤❤❤❤

  • @williambenedict6074
    @williambenedict6074 8 месяцев назад +27

    Im Kenyan and i love this. We love y'all Tz music🇰🇪🇹🇿♥️

  • @estherboniphace2430
    @estherboniphace2430 8 месяцев назад +32

    Uyu dada anaeuliza maswali ni very smart

  • @RASHIDMOHAMMEDI
    @RASHIDMOHAMMEDI 8 месяцев назад +42

    Huyu dem akipata media nzuri atafika mbali sanaa ana maswali yalioenda shule yani anajua jinsi gani ya kuuliza maswali smart sana

  • @SalumSeif-p5r
    @SalumSeif-p5r 8 месяцев назад +6

    Yaan uyu dada anajua sana kumuhoji mtu yaani she is very good ni verbal questions

  • @digitalworld5577
    @digitalworld5577 8 месяцев назад +8

    Diamond anajua sana kuongea kwa u-smart. Anajua interviews sana na anajua kuongea kwa kubalance. He’s the best.

  • @Jiranifachionbusiness
    @Jiranifachionbusiness 8 месяцев назад +5

    Safi sana Diamond una roho nzuri sana napia nime djifunza kitu kutoka kwako yaani nipo drc naona ngoma zako zina sumbua sana huku est ya drc congratulations

  • @rwehumbizajonathan8689
    @rwehumbizajonathan8689 8 месяцев назад +4

    Huyu Dada Amenifurahisha Sana. Very Smart, hii interview itampa Mchongo mkubwa. 💥💥💥💥

  • @boazmaobe7245
    @boazmaobe7245 6 месяцев назад +5

    Kijiji unacho Mond,una utu na raho ya kusaidia.nakubali tokea Kenya kwa kazi safi

  • @RamadhaniSuru
    @RamadhaniSuru 8 месяцев назад +30

    Chibu uko vizuri sana umewabeba mpaka wale waliokataliwa

  • @bukaone7507
    @bukaone7507 8 месяцев назад +29

    Uko vizuri Simba

  • @CostantinSimba
    @CostantinSimba 8 месяцев назад +4

    Hyo dada ni Noma sana ukipata media utaimudu vilivyo dada uko vzri sana,pia mdgo wangu Simba uko sawa Kwa maswali,

  • @magomakabanja480
    @magomakabanja480 8 месяцев назад +6

    Kiupande Wangu Nakuamini Unacho Sema Kwenye Music 🎵
    Utashuka Mpaka Mungu Aseme yaani Akushushe Sio Binadam Aseme

  • @MagrethMallya-we8ui
    @MagrethMallya-we8ui 8 месяцев назад +5

    Wallah, una roho nzuri,binadam bana hatunaga shukrani. Naomba nisaidie na mimi aiseee angalau 10m. Tuuuuu.

  • @idinado-wk3lx
    @idinado-wk3lx 8 месяцев назад +8

    Mimi mwenyewe naamini kuwa ivyo tu kuwa mungu ndio muamuzi wa kukusha wewe tu lakini siyo chuki za watu maana unaakili sana ya mziki na pia uwa aukulupuki kwenye kufanya maamuzi ndio maana vitu vingi vinaenda zaidi 🎉🎉🎉🎉🔥🔥🔥🔥💯💯✔️

  • @Loftyattorneys
    @Loftyattorneys 8 месяцев назад +12

    Well said brother akili kubwa

  • @onesmoisack
    @onesmoisack 7 месяцев назад +1

    Safi sana kaka mungu akupe maisha marefu ili tuendelee kukuona pia uendelee kuwainua vijana wenye vipaji cha msingi kaka huwez kumzuia mtu kuongea atakacho amua yeye ataongea hata kama utamfanyia mema asilimia 100 bado atakukejeli tu

  • @BarakaMatali-mv1sv
    @BarakaMatali-mv1sv 8 месяцев назад +6

    😂😂 huyu jamaa anawatisha sana wenzake. . Awapumzishe kidogo watajinyonga

  • @ChimpGuardian
    @ChimpGuardian 8 месяцев назад +8

    The one and only Chibu D, Chibu Denga, Simba Baba Lao, Dangote Baba Lao, We Zombie...! You're the best we have ever had in our Music 🎶 You're the true king 🤴 and the living legend @diamondplutnumz

  • @YohaneTitus
    @YohaneTitus 8 месяцев назад +30

    Jamaa anajua sana huyu had kuongea anajua yani mziiki anujua na biashara anaijua sana tena

  • @RAJABungulukizi
    @RAJABungulukizi 5 месяцев назад +1

    Diamond nakutakia utendaji mwema wa kazi yako mungu akupe siku nyingi

  • @MohamediKalanje
    @MohamediKalanje 8 месяцев назад +31

    Bro diamond fungua chuo cha biashara tuje kaka utuoneshe njia ya kufankiwa zaid❤

    • @mwarabuofficial5241
      @mwarabuofficial5241 8 месяцев назад +3

      Kulala uchi unaweza?

    • @damianmcba9525
      @damianmcba9525 8 месяцев назад +1

      AKIFUNGUA chu cha bihashara yy atakuwa mmiliki tu Mateacher ni watu wenye elimu zao,, km anavyomiliki media lkn yy sio mwandishi wa habari

    • @beesmarttv3792
      @beesmarttv3792 8 месяцев назад +1

      ​@@mwarabuofficial5241😂😂😂

  • @EdmundChota
    @EdmundChota 8 месяцев назад +5

    Any way Kwa mtizamo wangu Mimi Diamond ni kijana mpambanaji saaana,na ana mtizamo wa mbali saana,pia ni kijana asiyekuwa na majungu ya kusengenya wasanii wengine.Big up Mond

  • @Bitika-wo7cg
    @Bitika-wo7cg 8 месяцев назад +37

    Diamond anajua kama unakubaliana na Mimi dondosha Like yako hapo chini

  • @chizashungu8364
    @chizashungu8364 8 месяцев назад +10

    Diamond platnumz you are the Best.

  • @hatangimanaJackson-p3x
    @hatangimanaJackson-p3x Месяц назад

    Diamond Mungu akubariki sana tena akuongezee siku za kuishi dunia hunabifu namtu

  • @frankemmanuel5239
    @frankemmanuel5239 8 месяцев назад +65

    Huyu jamaa kiukweli kabsa hapaswi kuchukiwa

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 8 месяцев назад +5

      hee hata Alotuumba na kutupa pumzi buree na kila kitu na hajawahi kupwendwa na kila mtu anatukanwa

  • @Joscoman
    @Joscoman 4 месяца назад +2

    Diamond, wewe una moyo wa utu ila watu hawanagi shukrani, napenda mziki wako 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @PanchoValentino-wh7wt
    @PanchoValentino-wh7wt 8 месяцев назад +8

    Simba lamasimba Dangote Noma saanA 🎙️📺🎬🎙️

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 8 месяцев назад +5

    Sarafina Jerry you're so smart babe chukua maua yako 🎉🎉🎉🎉

  • @snooshzeen
    @snooshzeen 8 месяцев назад +4

    Diamond kabisa wewe una ongea vizuri nakupenda kwakuongeya yako nipeni ft na harmonize please twache kuwachonganisha sana nawo

  • @patrinasakala9392
    @patrinasakala9392 8 месяцев назад +1

    Diamond you are wise ,I like your response there is too much wisdom

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 8 месяцев назад +42

    Hyu jamaa huwa sio muongeaji sana ila akiongea huwa ana sifa muhaya arud nyuma😂😂😂😂😂😂😂khaaaaaaaaa

  • @NassorMbwana-wm9de
    @NassorMbwana-wm9de 8 месяцев назад +4

    mond anajuwa mwamba kapambana sana mpeni maua yake🌹🌹🌹🌹

  • @ashrafadam4629
    @ashrafadam4629 8 месяцев назад +6

    Brother chibu uko vzr mungu akupe umr mrefu, na mafanikio tele, akuepushe na maradhi yenye tiba na yacyo na tiba, unajua sanaaaaa kaka

  • @HassanJalala-x2l
    @HassanJalala-x2l 8 месяцев назад +10

    Huy Binti Asee Anauliza Maswali Ad Lahaa

  • @BawiliemediEzdori
    @BawiliemediEzdori 3 месяца назад

    Dada Mungu akutangulie kwenye maisha yako nimependa swali za msingi

  • @faridakahunda5811
    @faridakahunda5811 8 месяцев назад +6

    Huyu dada anasauti nzuri kama ya salama Jabir

  • @MartinWilondja-x3t
    @MartinWilondja-x3t 8 месяцев назад +7

    Boss nakukubali sana 🧏🏻‍♂️

  • @SalumSeif-p5r
    @SalumSeif-p5r 8 месяцев назад +2

    Yes, she is good woman who tries to maintain peace and harmony among the people

  • @MudyNyau
    @MudyNyau 8 месяцев назад +25

    SIMBA LA MASIMBA DANGOTE❤❤❤❤

  • @RichardKakinamuhizo
    @RichardKakinamuhizo 3 месяца назад +1

    Mimi hata waseme simba namna gani nitabaki kuwa wakwake mupaka mwisho wasafari yake ❤❤❤❤❤

  • @nelsonmsela7192
    @nelsonmsela7192 8 месяцев назад +34

    Huyo dada anaye muoji simba anajua sana alafu chibu ni moto 🔥🔥🔥

  • @anfrashadvertiser4801
    @anfrashadvertiser4801 8 месяцев назад +3

    Heyyyy Platnum Mishuuziiiiii😂🤣🤣🤣 nakubali lazima ajambe ukimdiemu mtu

  • @rosemarymsafiri3255
    @rosemarymsafiri3255 8 месяцев назад +1

    This guy tukubal tu katusaidia kupelek soko letu la mzk kimataifa.soko la mzik analjua vbaya mnoo..🙌🙌🤗

  • @RAZAKIMMALINDA
    @RAZAKIMMALINDA 8 месяцев назад +7

    Diamond Platinumz fungua chuo Cha biashara ww uwe lecture utufundishe njia za kibiashara 😂🙏🙌

  • @EdmundChota
    @EdmundChota 8 месяцев назад +4

    Diamond ana kipaji Cha ubunifu,na wengine wanamfuata,hivyo lazima Diamond atakuwa juu tuu!!Piga kazi kijana.

  • @VedastoAbdallah
    @VedastoAbdallah 5 месяцев назад +1

    Nimekukubar sana mond kwa maelekezo ya upambananaji

  • @KusiMushi
    @KusiMushi 8 месяцев назад +5

    Alafu dada huyo huyo ametulia sana,
    Hababaiki, katuliaa, maswali magumu, yasiyohitaji majibu mepesi.

  • @otbop5299
    @otbop5299 8 месяцев назад +1

    Diamond is a master of the game, great at learning from greats thats why he’s great

  • @aminamussa5122
    @aminamussa5122 8 месяцев назад +1

    I like the interviewer she's very articulate ❤

  • @chisongastephen7299
    @chisongastephen7299 8 месяцев назад +3

    Simba la Masimba Dangote,ninakukubali sana Brother,kwani hii game unaifahamu kinoma noma.

  • @NunguL.Magembe
    @NunguL.Magembe 8 месяцев назад +11

    Fact sana

  • @mpambanajitz7026
    @mpambanajitz7026 3 месяца назад

    HUYU ni MWAMBA
    Huyu ni Dereva
    Huyu ni mwanamume na NUSU
    SANAA imekaa mahali pake,,mimi naamini kuna siku watajua unajua,ila kwa sasa waache wakuzarau MWAMBA WANGU 💪💪💪

  • @nzitogondwe9976
    @nzitogondwe9976 8 месяцев назад +5

    Safi dogo mondi Mimi naona baado utakua juu namimi nakuombea Niko Zambia

    • @Nalitumpaboy-dm4tk
      @Nalitumpaboy-dm4tk 8 месяцев назад

      Tunaskia mnamshindanasha na msanii wenu yo maps 😂

  • @jumamohamedy731
    @jumamohamedy731 6 месяцев назад +2

    Dada mwandishi yupo vizuri sana

  • @SilasRiah
    @SilasRiah 3 месяца назад

    🎉Nakubali sana Diamond ila mwambie Harmonize aache kuimba Sifo na Majigambo kwake yeye mwenyewe

  • @lukakualadin8551
    @lukakualadin8551 8 месяцев назад +8

    Diamond platinum Ana baya

  • @mwarabuofficial5241
    @mwarabuofficial5241 8 месяцев назад +4

    Wasafi brand kubwa but... Title haijakaa poa next time kuwa makini kwenye kichwa cha habari kutype vizuri.

  • @hassankhamis7380
    @hassankhamis7380 8 месяцев назад +7

    Simba ni simba kamwe hawezi kua swala big up man ww ni mfano bro una akili sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @annayambayamba8614
    @annayambayamba8614 5 месяцев назад +1

    Uyu dada anajiamini 🎉mno❤❤❤❤

  • @GlassdubaiAluminiumprofile
    @GlassdubaiAluminiumprofile 8 месяцев назад +5

    Huyu dada ana sauti inafanana na ya Salama Jabir

  • @brianamwai5658
    @brianamwai5658 8 месяцев назад +2

    This man is very creative more love from kenya 🇰🇪

  • @FurahaKulwa
    @FurahaKulwa 6 месяцев назад +1

    Mwamba huna baya umesema vyema sana hongera Kwa maono mazur

  • @sir-jkgzmusicrecordings9131
    @sir-jkgzmusicrecordings9131 8 месяцев назад +3

    Umeongea vema Sana brother Ila just to update you kwasasa Sheria inaruhusu mtu mmoja kufungua Kampuni.

  • @DaudiDaudi-j4d
    @DaudiDaudi-j4d 8 месяцев назад +17

    Simba baba Lao ❤❤❤❤

  • @Tylee29
    @Tylee29 8 месяцев назад +1

    Hekima nyingi sana kwa maneno yake DP 💪

  • @eliahedward7490
    @eliahedward7490 8 месяцев назад +2

    Personal nakpenda ww n mtu smart sana na specifically xn..sem tu binadamu kila mtu na tabia na mtizamo wak

  • @BagaAlexpro-qi7fv
    @BagaAlexpro-qi7fv 8 месяцев назад +3

    Tukio Jo 🙌💥

  • @enoszaka-tx8qw
    @enoszaka-tx8qw 7 месяцев назад +1

    nime comment kwa sababu ya huyu mtangazaji ana energy ya kutosha kabisa 💪

  • @StephenGerald-wi6xj
    @StephenGerald-wi6xj 8 месяцев назад +3

    Wasafi mchukueni uyo dada anajua

  • @dadifadhili9412
    @dadifadhili9412 7 месяцев назад +2

    Aujui 🦁🦁💪🔥

  • @BraysoniSimoni
    @BraysoniSimoni 8 месяцев назад +4

    Kwamtazamo wangu naisi huyo boss ata kuwa msanii kutoka USA ricross

  • @HagaiRodrich
    @HagaiRodrich 5 месяцев назад +2

    Yan kwa mimi diamondi ni kijana wa kuigwa kwa wasanihi wote wa bongo harimonazi kama unasikia inatakiwa ujifunzi sana kwa diamondi

  • @eddechriss2664
    @eddechriss2664 8 месяцев назад +3

    Huyu DADA anayeuliza maswali ni Mtanzania ama, 🎉🎉🎉🎉 napendekeza pia kwenye football ndio huyuhuyu awe anawahoji wakina Gamond

    • @sportsnewstv5002
      @sportsnewstv5002 8 месяцев назад +1

      amekaa smart sana atafaa sana huenda yale maswal ya ulionaje mchezo yakaisha😅😅

  • @eliuskamwelwe1018
    @eliuskamwelwe1018 8 месяцев назад +2

    Jamaaa nalikubali kinoma

  • @rosetreffert6727
    @rosetreffert6727 6 месяцев назад

    ❤❤❤❤tunakupenda kaka

  • @LAYADI29
    @LAYADI29 5 месяцев назад +1

    ❤❤ Umetisja

  • @FabianiEzekielmailaneMagamboTz
    @FabianiEzekielmailaneMagamboTz 8 месяцев назад +3

    Uko sawa kaka

  • @sadibatangalwa5890
    @sadibatangalwa5890 8 месяцев назад +5

    Iyo ni kweli diamond platnumz

  • @tataLil-i3v
    @tataLil-i3v 8 месяцев назад +2

    Umeisha utamu bro,kwa Mungu hauna hisa

  • @josephmutindamcanguu_masum2257
    @josephmutindamcanguu_masum2257 8 месяцев назад +1

    Wise lady ❤

  • @MOHAMEDISARAFI
    @MOHAMEDISARAFI 8 месяцев назад +1

    Simba la masimba dangote🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💥

  • @002RYE
    @002RYE 8 месяцев назад +5

    SIMBAA❤

  • @everlyne-mu1nk
    @everlyne-mu1nk 4 месяца назад

    Talking facts bro🎉

  • @BarnabasBujashi
    @BarnabasBujashi 6 месяцев назад +1

    Unajuwa sana kumbe so kuimba TU utafika mbali sana

  • @mussalucas8452
    @mussalucas8452 6 месяцев назад +1

    🎉🎉🎉 vizuli sana my best

  • @khadjamustafa
    @khadjamustafa 8 месяцев назад +2

    Kwa hapa Tz hakuna anae mzd mond me naona huyu jamaa kwasasa apambane tu nnje ya nnchi ili taifa letu lzd kujulikana khs kuna konde wao wapambane tu kivyaovyao😊😊

  • @onekisstv8412
    @onekisstv8412 8 месяцев назад +2

    Oya iyo kofia mnaikumbuka au 😂😂😂😂😂

  • @IzaTway
    @IzaTway 8 месяцев назад +2

    Wamarekani saiv wanatamani kufanya kazi na africa yani wafrica saivi tumekuwa dili 😂😂😂😂😂

  • @shadihussein1510
    @shadihussein1510 8 месяцев назад +9

    Baada ya kumaliza mziki jamaa Apewe uwaziri wa sanaaa na michezo

  • @majutojohn5598
    @majutojohn5598 8 месяцев назад

    Kaka unatisha sana waandishi wenye tu wana furah kuku Hoji ❤😅😅😅😅saf sana

  • @AllySalum-j9y
    @AllySalum-j9y 3 месяца назад

    Ongeraaa dadaaa kwaa maswariii mazurii

  • @BarakerZeonlist
    @BarakerZeonlist 8 месяцев назад +1

    huyu mdada very smart

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 6 месяцев назад +1

    Good ✔️

  • @WinifridaMganga
    @WinifridaMganga 6 месяцев назад +2

    Niceeeeee

  • @YushanTz
    @YushanTz 6 месяцев назад

    Nakukubali sana brother

  • @ephraimkabeya9648
    @ephraimkabeya9648 6 месяцев назад +1

    Sauti ya dada ni kaka ya Salama Jabri