LUSINDE AUNGURUMA BUNGENI / MATUSI ANAYOTUKANWA RAIS SAMIA NI KWAAJILI YETU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 апр 2024

Комментарии • 26

  • @Worldunite
    @Worldunite 18 дней назад +2

    Hakuna rais asiyewahi kutukanwa, hata rais hayati JPM baada ya kifo chake bada hadi sasa anatukanwa.
    Isimamiwe sheria ya atakayetukana rais yeyote wa nchi hii akiwemo hayati JPM, akamatwe na kufunguliwa mashitaka kwa mujibu wa sheria bila kujali cheo wala wadhifa wa mtu

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 18 дней назад +3

    Kikokotooo Lusinde uwe mkweli watumishi wanalia hata hawaamini kabisa !!

  • @pastadandan3569
    @pastadandan3569 18 дней назад +2

    Sio kweli shule nyingi kwa sasa wanagoma kupokea hata wanaojitolea

  • @emilianchibinda82
    @emilianchibinda82 15 дней назад +1

    Kanuni za ajira zinatokana na ufaulu wa masomo chuoni
    Kumbe unajua mzunguzaji namna ilivyongumu kutibitisha vyeti vya kujitolea

  • @meryevance6744
    @meryevance6744 18 дней назад +1

    Mbona magufuli alitukanwa

  • @user-qm7wy2ms4r
    @user-qm7wy2ms4r 18 дней назад +2

    Acha kumsifia hizo fedha anazotoa ni za mshahara wake au ni kodi za wananchi?achani uchawa wote fanyeni kazi mliyo tumwa na wananchi

  • @filbertvictor6159
    @filbertvictor6159 18 дней назад +1

    Kkikokotoo jamani tusemeheni Serikali Hali

  • @ombenilolegwa4066
    @ombenilolegwa4066 18 дней назад +2

    Katika vtu vina changamoto ni hao Askari wanaochunga hao ndovu

  • @stellamuyenjwamboyi7559
    @stellamuyenjwamboyi7559 18 дней назад +1

    Maji tunahitaji vijiji vya musoma vijijini Chumwi murangi mabui merafuru hakuna maji Safi na salama

  • @obadiajuma436
    @obadiajuma436 18 дней назад +2

    Punguzeni mishahara yenu wabunge msaidibima ya Afya

  • @matukutajuma156
    @matukutajuma156 18 дней назад +2

    MH LUSINDE TUNAKUELEWA WANANCHI KWA KUTUPIGANIA WANNYINGE

  • @jalaryababilasi1562
    @jalaryababilasi1562 18 дней назад +3

    Chawa mzoefu

  • @ukuvukiland2387
    @ukuvukiland2387 17 дней назад

    Ushauri tuu kuhusu sensa mkitaka kujianika ,kwenye sensa ni jitihada za kujua taifa lina udhaifu gani na raia wangapi,mfano wenu ni china ,mipango ya ndani ibaki ndani kwa wazalendo hata kukiwa na vyama vingi..muhimu tu ni uhuru na maslahi kwa taifa kwa ujumla tuachane na siasa za chuki bila maendeleo ya taifa, tangu uhuru.

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 18 дней назад +1

    Kama mungu niwawote sikilizeni watanzania wanapodai katiba ya taifa lao.Mnapokataa tunaamini nyie hamna mungu kwaajilonya kulinda vyeo vyenu

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 18 дней назад +2

    Siku nyingi sana

  • @obadiajuma436
    @obadiajuma436 18 дней назад +1

    Nikweli posho la NNE nasabini mshahara 18 lazima mfurahi

  • @yasiniSwedi-qg5oc
    @yasiniSwedi-qg5oc 18 дней назад +1

    Huna mvuto sikuhizi unajikweza unaacha kupgania maendeleo jimbonikwako unakaziya kujikweza nakusifia visivyoonekana

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 18 дней назад +1

    Apidomia Wacha abebe zabibu mpaka shati lichanike

  • @robertedward1992
    @robertedward1992 16 дней назад +1

    Wewe hamnakitu kabisa kichwani,sujuikma utarudi mjengoni tena,machawa kwenye najimbo yetu hatuwataki

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 18 дней назад +1

    👇🏿
    #katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi(kujikabidhi kwa shetani) !✍🏿

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 18 дней назад +1

    Pointless kwahiyo unaona anayejituma ni muuza zabibu wa nyumbani kwako tu au kisa ni ccm,,,kati watumishi wa UMMA MAISHA magumu mishahara midogo harafu kikokotooo ndio ovyo kabisa.....NA HILI BUNGE LA AWAMU HII NDIO HALIVUTII KABISA NA WALA HALIMSAIDII RAIS

  • @barakabusima
    @barakabusima 18 дней назад +1

    😂

  • @kichanjaJr7
    @kichanjaJr7 17 дней назад

    Kuna haja ya vyombo vya habari kuandaa midahalo itakayosaidia serikali kubadili uelekeo waliouchukua kuhusu kikokotoo kwa WATUMISHI. Nchi nyingi barani Asia na Ulaya Zina uhitaji mkubwa wa rasilimali watu hivyo niwarai viongozi kulinda afya ya watumishi hasa walimu kwani tunaweza kujilaumu kuwekeza miundomsingi ya elimu huku tukimtelekeza Mtumishi yaani hata nyumba mtu ajenge kwa mikopo tena baada ya kustaafu. Hili halikubaliki sheria, kwanini na taratibu anuwai tunaweka sisi wenyewe hivyo tubadilikeni ikibidi kwa afya ya akili ya Mtumishi hasa walimu kwani ni haki yao. Tupunguzeni SIASA za kuonesha kuwajali walimu kwa matukio halafu hata posho zao za likizo tunawakopa miaka na mikaka sasa. Nikiwa kama MTAFITI na MTAALAMU WA HISABATI nasema tuwasikilizeni walimu na WATUMISHI WENGINE tusiwapuuze. *#Tarmih_Mihijarat_Misjil*

  • @LusajoKabuka
    @LusajoKabuka 17 дней назад

    Halafu wanaosababisha raisi atukanwe niwatendaji wake aliyowaamini kwa kuwateua Ili wasimamie pesa zinapotea za serikali ambazo zilikuwa za kufanya maondeleo zinaibiwa wateule wapo CAG inatoa riport ndoo maana watendaji wake wasimamie pesa za serik wananchi wanashida nyingi sana ndoo maana akionekana tu wa ngazi ya juu misululu kuomba msaada yakutatuliwa matatizo Yao mungu atusaidie