Kwa hakika,nimejifunza mengi sana kutokana na mafundisho na mahubiri ya mtumishi wa Mungu,Mungu na azidi kukutia nguvu na hekima ili tendelee kunufaika na jumbe zako za kutia moyo na matumaini maishani.
Mungu nirejeshee nguvu ya kiroh rehesha biashara yangu ondoa jila vita ya kukataliwa rejesha upendo wangu mimi na mtu wangu wa msaada jw biashara yangu
Bwana Yesu kristo atukuzwe baba,Naomba ikimpendeza Mungu siku moja utufundishe juu ya mapambo,mawigi,kucha bandia na kadhalika,Maana ziko sauti nyingi juu ya hivi vitu vinanichanganya,Asante
Ni maombi yangu kwa Mungu niokoe na roho ya kukata tamaa inayonikatisha tamaa ya kutumika ktk nafasi nilyowekwa kuona kama napoteza naomba Mungu anirudishie imani ya kwanza ili niwe salama
Mungu chungza moyo wangu kwako nipe neema ya kutembea na wewe ondoa kila machungu ndani ya moyo wangu kuwabeba walioniumiza
Kwa hakika,nimejifunza mengi sana kutokana na mafundisho na mahubiri ya mtumishi wa Mungu,Mungu na azidi kukutia nguvu na hekima ili tendelee kunufaika na jumbe zako za kutia moyo na matumaini maishani.
From Kenya love your work ubarikiwe sana
Amen amen ubarikiwe
Hallelujah najiungamisha na madhabahu ya JRC
Mungu nirejeshee nguvu ya kiroh rehesha biashara yangu ondoa jila vita ya kukataliwa rejesha upendo wangu mimi na mtu wangu wa msaada jw biashara yangu
Bwana Yesu kristo atukuzwe baba,Naomba ikimpendeza Mungu siku moja utufundishe juu ya mapambo,mawigi,kucha bandia na kadhalika,Maana ziko sauti nyingi juu ya hivi vitu vinanichanganya,Asante
Amina, vita binafsi (hofu na mashaka wasiwasi) Asante Yesu kupitia Mtumishi wako nimeshinda💪🙏
Mungu futa hati iliyoandijwa juu yangu naombaa nguvu ya wokovu
Am blessed to hear this sermon Asante sana Pastor George
Duuu mungu mwema sanaa ❤❤❤❤❤❤❤❤
Kwa kweli tumepewa nguvu na mamlaka ya kuamurisha kwa jina la yesu kristo kwa haya mafundisho nimeanza kujielewa nashukuru mungu sana
Ni maombi yangu kwa Mungu niokoe na roho ya kukata tamaa inayonikatisha tamaa ya kutumika ktk nafasi nilyowekwa kuona kama napoteza naomba Mungu anirudishie imani ya kwanza ili niwe salama
Baba mchungaji mtumishi wa Mungu akubariki😢❤
God bless you servant of God, cause now have understood this spiritual welfare
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu kwa mafundisho. Kwa kweli maisha yangu yamebadilika sana kwa kujiunganisha na madhabahu hii.
Q11q1qqqqqqq
Asante sana
Amen mtumishi ubarikiwe sana na Leo nimeota mchungaji George mkabwa unaniombea
Ubarikiwe Prophet Pastor George Mukabwa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nakuoenda ee Yesu Nakuhitaji ee Yesu
Mungu Ahsante umenifudisha nmevuna ninaamini nitavuka
Mtumisi wa mungu niombee nikapokee kunena na luga na kujaswa na roho
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏MTUMISHI MUNGU WA MBINGUNI AKUBARIKI SAAAANA
Ameeen Ameeeen Ameeen Ameeen AmeeeenAmeeen Ameeeen Ameeeen
Amen am blessed with this Damon lam Elias from Zambia am sick for long kupitia kwenye hii neno am hild
Mmm kazi Jamani Dunia hii
God bless you pastor George for you teaching
Baba. Ulinihaidu baraka ulinihaidi Mume baba uliumba adamu. Na eva kwanini mimi ni eva. Nisipate adamu baba nakukumbusha baba . Hadi yangu
Baba MUNGU Akubariki sana
❤❤❤❤❤❤❤ barikiwa sana
Baba ubarikiwe sana
God bless you
Mtumishi nikama umetumwa kwangu
Ameen amen nimelifuatilia neno hakika nitalitendea kazi mtumishi ubarikiwe sana sana uinuliwe na mungu azidi kutumia zaidi amen
Thanks LORD🙏
Mtumwa Ubarikiwe Sana
Natamani sana pst ungefungua branch ingine nai.. ile pia ss wakenya tubarikiwe.. ukweli hyu pst ako na kibali sana
MUNGU baba wa mbinguni niko tayari kupokea neno lako.
Nasimama ,nahili MUNGU uliniahindi hutaniwacha milele Amen.
Mungu Niko Tyr kupokea neno lililo na baraka
Litume neno kwangu la baraka napokea neno asubh ya leo
Amen man of God
Kwan hii maombi ni yngu 😢woiye thank you Jesus thank you father
God bless Pastor George
Baba Asante nimelipata nenolakoBwana nibatize na Amani yako
Bwanwa Yesu naomba milango ya mbinguni ifunguke kwangu kwa familia yangu
AMINA
MUNGU nipo tayari kulipokea neno langu la baraka
AMEIN
Yesu wa mazabahu hayo na omba mwangu apone kwanzia leo kwa jina la yesu
Ameen ❤
Nimebarikwa sanaaaa Mungu wambinguni akubariki sana mtumishi wa bwana Yesu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Asante pastor Mungu akupe maisha marefu🙏🙏
Ameen
Ubarikiwe 😂
Mungu akubariki nimejifunza
This is so much powerful 🔥🔥
Ameeeeeeeen paster
Nitapa mume kwa jina la yesu kristo amee
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Amen....Ameeeeen
🎉❤
Amina, nimebarikiwa mchungaji. Nilikuwa nimerudi nyuma sasa roho mtakatifu ameniokoa tena.
Amen amen 🙏🙏🙏
Ameeeee
Ameen Ameen
amen amen
Amen
Bwanwa Yesu naomba milango ya mbinguni ifunguke kwangu kwa familia yangu
AMINAAA
AMEN AMEN 🙏
Amen
Amen🙏🏿
Amen, 🙏
Amen
Amen
Amen🙏
Amen
Amen
Amina
Amen
AMEN
AMENI
Amen