MASANJA MBELE YA MANABII KIBOKO YA WACHAWI ATOA UNABII MZITO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2025

Комментарии • 273

  • @AtuganileGodson
    @AtuganileGodson 6 месяцев назад +28

    Kabisa.Mungu anachezewa kiasinhiki??inatia uchungu sana

  • @williamrite6049
    @williamrite6049 4 месяца назад +2

    Asante YESU KRISTO kwakuwa ulishatuweka wazi juu ya watumishi kama hawa..mkristo kuwa makini hizi ni siku za mwisho..

  • @PaclasLeo
    @PaclasLeo 5 месяцев назад +5

    Mungu nifumbue macho niyajue ya rohoni

  • @MartiniEnock-e2e
    @MartiniEnock-e2e 5 месяцев назад +3

    Mungu akurehemu

  • @aderanderwa7623
    @aderanderwa7623 6 месяцев назад +38

    YESU KRISTO ATUREHEMU HIZI NI NYAKATI ZA MWISHO WATEULE TUWE MACHO MWENYE KUJITAKASA AZIDI KUJITAKASA MWENYE KUDHULUMU AZIDI KUDHULUMU KUDHULUMU HIZI NI NYAKATI ZA MWISHO

    • @PeterMahona-zd3oz
      @PeterMahona-zd3oz 5 месяцев назад +3

      kwelimpendwa nichangamoto. MUNGU anisaidie atusaidie maigizo kama. haya

    • @JosephKingwere
      @JosephKingwere 5 месяцев назад +4

      Mimi nilivyo muona uyo kiboko ya wachawi mhmhmh nimeshangaa sana daaaah hapo kuna namuna jmn 😢 Yesu chrsto atusaidie sana

    • @EngelLameck-nz5nk
      @EngelLameck-nz5nk 5 месяцев назад +1

      Unapotea sana Kaka Angu masanja hebu mwambie Mungu akupe amacho uone kuhusu hao watumish unao wasifia unako enda sio kabisa

    • @focusernest5610
      @focusernest5610 5 месяцев назад

      Watu wako after maokoto macho ya rohoni hayaoni​@@EngelLameck-nz5nk

    • @GodfridMbele-sb1ks
      @GodfridMbele-sb1ks 5 месяцев назад +1

      Hawa ni mawakala wa shetani wote hawa

  • @SifaelaYoram
    @SifaelaYoram 6 месяцев назад +17

    Nasikitika nahisi uchungu usioelekeza,,, Mungu turehemu

    • @selegioelias9076
      @selegioelias9076 6 месяцев назад

      Yaani we achatu nasikia hasra ya Bwana nikuwa saga wote hawa

  • @NaftaryMgoye
    @NaftaryMgoye 5 месяцев назад +4

    Mungu haketi miongoni mwa wenye mizaha...

  • @SifaelaYoram
    @SifaelaYoram 6 месяцев назад +13

    Bible verse,, ,, hivyo husema, Amka wewe usinziaye ufufuke katika wafu na kristo atakuangazia,,,,,,waefeso 5:14,,,,,,, wapendwa tuamke wewe unayeona haya matukio amka hizi ni nyakati za hatari San

  • @josephgnzunda5631
    @josephgnzunda5631 6 месяцев назад +3

    Pole sana masanja

  • @nicksonlyimo1562
    @nicksonlyimo1562 6 месяцев назад +5

    Masanja usidanganyike ,we binafsi Mtafute Mungu ataonekana ,achana na watu ,kama uliitwa kweli nadhani ulikua peke yako na siku ya hukumu utasimama peke yako na YESU Ili akuhukumu na hao huta waona ,Mungu hanaga wengi wape Bali ni jitahidi uingie ,nakushauri mtumikie Mungu kwa utakatifu, haki ,na unyenyekevu utavuka tuu, manabii wa uongo ni wengi Sana na kuwatambua ni vigumu Matayo 24 yote utaona ,Acha kuwasifu watu waache Mungu ndio ataamua hatima Yao kama ni wa kweli au usanii ,( ukitaka kujua maisha ya mitume we soma Biblia tuu utaona walivyoishi na walivyofanya na walivyo enenda kama kweli maisha Yao yanalinganishwa na mitume wa kweli ,) Kristo ni yeye yule Jana Leo na hata Milele hakuna wokovu wa kisasa Wala mwenendo wa kisasa Wala utakatifu wa kisasa ,jihadhari Sana nafsi yako , wengi watapoteza wengi .

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 6 месяцев назад +3

    Hahaha 😂😂😂😂😂
    Masanjaaaaaaaaaa
    Eti Jana ulikuwa wapi?
    Nimecheka Hadi basi

  • @HappyWilaganu
    @HappyWilaganu 4 месяца назад +1

    Mungu atulehem na atufumbuwe macho ya lohon kuyaona haya ya duniani juu ya watumishi wasaivi wapotoshaji mungu tusaidue😢😢

  • @chrispinkyaruzi1110
    @chrispinkyaruzi1110 6 месяцев назад +10

    Masanja, geuka haraka! umepotea mdogo wangu! Huyo siyo nabii ni mchawi kama wachawi wengine, ni vizuri umuombe Yesu akufungue macho! ila nilichogundua watu wanakupenda. Hebu angalia coments za watu.

  • @WiliamVicenteWiliam-q2y
    @WiliamVicenteWiliam-q2y 4 месяца назад

    Massanja nawe pia unaalibika sana daa mungu akasaidie

  • @dorahisinika7576
    @dorahisinika7576 6 месяцев назад +1

    I LOVE JESUS SO MUCH.❤..AMENITOA MBALI SANA🙏

  • @gracesylvester3717
    @gracesylvester3717 2 месяца назад +1

    Prophet ROLINGA kumbuka babako PROPHET TB JOSHUA. ata kwenye mambo kama haya usingemkuta kabisa. He was really serious with what he came for in this world and lived for. Thats why his Grace was increasing day by day. TRUST ME, APO WEWE NI SHEEP AMONG WOLVES Ndio maana nimekua nikijiuliza sana kwann ulikuja vizur lakin haulewek tena. Nilitegemea ungevaa vizur viatu vya babako kwa upande wa Tanzania kumbe i was wrong.
    Muombe MUNGU akupe inheritance ya babako wakiroho kwa mara ya pili alafu akupe na neema ya maintenance. Dont be that Available kwenye mambo yakipuuzi iv,.

  • @AshaSendoki
    @AshaSendoki 6 месяцев назад +9

    Yaan mmeona Kwa Yesu ndo pakufichia ushetani wenu

  • @roseriwa6951
    @roseriwa6951 5 месяцев назад +2

    Mungu wetu sijui kawa mpole....why! Inauma sana

  • @LukasEssau
    @LukasEssau 4 месяца назад

    Yesu anawapenda sana mrudieni atawasamehe dhambi zenu

  • @richardmanirabona9787
    @richardmanirabona9787 5 месяцев назад +1

    Ni hatari sana. Yesu Kristu aliponye kanisa lake Tanzania.

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 6 месяцев назад +17

    Nilidhani Masanja yuko upande Wa Nuru,kumbe na yeye ni walewale yuko upande wa giza😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 Ni ha ta lii sana,

    • @JohnSwain-s1r
      @JohnSwain-s1r 5 месяцев назад

      Kwishaa iyo

    • @denismugisha2
      @denismugisha2 5 месяцев назад +2

      Hivi nyie mnapataga shida sana kuwatambua hawa eh
      Basi mwenzenu hata kwa mavazi tu nawaelewaga

    • @marthadaniel4904
      @marthadaniel4904 5 месяцев назад +1

      Kwenye madhabahu unalet comedy 😢😢Mungu atusaidie atupe macho ya kiroho, nyakat za mwisho kutakuw na manabii wa uongo

    • @BilihaniAdriano
      @BilihaniAdriano 5 месяцев назад +2

      mwanangu mmoja alishanigomea huyu alishachukuliwa kitambo walivyoona anakiu ya mafanikio wakatumia njia hiyo kumchukua 😢😢 leo ndo nimemkoma masanja

    • @joune
      @joune 4 месяца назад

      Kweli ukiwa na kiu ya mafanikio huwezi kwepa mitego ya shetani kukuvuta umtumikie kama nabii wa uongo

  • @JoycemsangiJoyce-go9su
    @JoycemsangiJoyce-go9su 4 месяца назад

    Masa ja umeingia huko tena😂😂😂

  • @thestkim6625
    @thestkim6625 6 месяцев назад +4

    Daaah pesa inatutenganisha na mungu kabisaaa😢😢😢😢

    • @PeterMahona-zd3oz
      @PeterMahona-zd3oz 5 месяцев назад +1

      ndiyohivyo ilawapo. watakao. Simama tu namungu atatushidia

  • @MusaMoleli-t3k
    @MusaMoleli-t3k 5 месяцев назад

    😂😂😂😂😂ohoooooooo mmekutana kumbe

  • @kakakuonamprubenikakakuona1387
    @kakakuonamprubenikakakuona1387 5 месяцев назад

    Jicho lenyewe lilishafunguliwa tu 😂😂😂

  • @eliasselemani1963
    @eliasselemani1963 6 месяцев назад +17

    AFADHALI KUISHI TU HUKU KIJIJINI

    • @eliasselemani1963
      @eliasselemani1963 6 месяцев назад +6

      MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA

    • @chrisdeoglatias8665
      @chrisdeoglatias8665 6 месяцев назад

      @@eliasselemani1963 ha ha haaaaaa! Unamaanisha kjjn ndy kukosalamaaa!!!!??? Hkuna bhana sasahv vyombo vya hbr vmefny dunia iwe mtaa nenda kjjn sasahv mchngj wa hapohapo kjjn wat hawamjui jina ila nabii wa uongo wa Dar wanamjua na vikorokoro vyke wanavyo had chumban kwao

    • @Joyceisaka
      @Joyceisaka 6 месяцев назад +2

      Kabisa kaka angu huku dar ni hatar mweee ni hurumaa

    • @marrynaftali7969
      @marrynaftali7969 5 месяцев назад +1

      Umeona eeeh,Mjini Mambo mengi mno

    • @MonicaBeni
      @MonicaBeni 5 месяцев назад

      Hahahahaha ndugu yangu umifurahisha sana... Afadhali kuishi tu kijijini !!! Umewaza nn kamanda wangu?

  • @johnbidya119
    @johnbidya119 3 месяца назад

    Leo nimekudharau sana masanja kumbe hata wrwe jizii duuuh

  • @ellymunisi8749
    @ellymunisi8749 5 месяцев назад +1

    Wote hawana Mungu ndani yao

  • @KatRobert
    @KatRobert 5 месяцев назад +3

    Hizo nguo zao zinatisha kwanza😅😅😅

    • @JofreyMsigwa
      @JofreyMsigwa 4 месяца назад

      Ni kweli kabisa za Tisha huyu dogo kapotea jaman

  • @peacelaity8104
    @peacelaity8104 4 месяца назад

    Mhh masanja sijaamininso.mmejikisanya wote tuwajue viizur

  • @FabiolaTemba-kz2sq
    @FabiolaTemba-kz2sq 5 месяцев назад

    Masanja mkeo ana kuzalilisha Yaan haja tulia kabsaaa jmn 😂😂😂😂 Sijawai kuona mke wa mtumish wa Mungu mwenye wenge kama uyu jmn 😂😂😂😂

  • @ludovicmjili8480
    @ludovicmjili8480 4 месяца назад

    Aisee

  • @jacklinakinabo6479
    @jacklinakinabo6479 6 месяцев назад

    Can i prophesey 😢😅😅😅 Go deeper Papaaa😂😂😂😂 Haki Mungu wangu weq Tuhurumie

  • @PaskariaSuwi
    @PaskariaSuwi 5 месяцев назад +1

    Naomba unipe mwisho mwema Mungu wangu

  • @january_Tattoo
    @january_Tattoo 5 месяцев назад +2

    Nashukuru mungu 😂 mmenza kujichanganya na kujikusanya ili tuwajuwe😂😂😂 kumbe mpaka wewe ni mfanya biashara sio ujatumwa unajituma

  • @FamtamAli-vl2wx
    @FamtamAli-vl2wx 5 месяцев назад

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😢😢😢😢😭😭😭😭 kweli hii ni Feremason kabisa yani Mungu tusaidie Walahi 😢😢😢😢

  • @teyllalugazia
    @teyllalugazia 4 месяца назад

    Hivi wanadamu wanashida gani khaa😢 wanadamu kwanini mnakuwa wapuuzi kiasi hiki😢😢

  • @dismasmtui965
    @dismasmtui965 3 месяца назад

    Hata simuelewi anachokisema hapo zaidi ya comedy zake

  • @anyosisyedaniel1790
    @anyosisyedaniel1790 6 месяцев назад +2

    Akifufuoa Mtume Paulo, ama laana iwale kwa kibadili injili ya Kristo kwa ajili ya njaa yenu.

  • @BraytonMwakitalima
    @BraytonMwakitalima 4 месяца назад

    Masanja mi mchungaji wa uwo ngo tapeli mmoja ivi

  • @doreenkahunde3186
    @doreenkahunde3186 4 месяца назад +1

    May God have mercy on these people. Repent Repent before its too late

  • @JamesIbrahim-el4zw
    @JamesIbrahim-el4zw 4 месяца назад

    Wahurumie watu wako,wamekua mateka Baba,kama ilivyo mfunulia isaya 5:13-15

  • @JosephTherathini
    @JosephTherathini 5 месяцев назад

    Mungu utusaidie

  • @magdalenapeter6106
    @magdalenapeter6106 6 месяцев назад +2

    Hakika YESU yupo mlangoni tuweni macho
    Wana wa Ibilisi wamejikusanya

  • @MusaMsami-yh9cg
    @MusaMsami-yh9cg 4 месяца назад

    Mbarikiwe watumishi

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn 6 месяцев назад +10

    Dunia imekwisha Kazi mnayo ngoja Mbarikiwa awajibu Mapepo ni mengi kwenye iyo ya Mazaba

    • @EmanuelBlassy-uz4gm
      @EmanuelBlassy-uz4gm 5 месяцев назад

      Kweli Mbarikwa na CAssian Paschal Kiboko Yao

    • @LesianaBizimana
      @LesianaBizimana 4 месяца назад +1

      Surely,mbarikiwa anapingwa vikali but yeye ndo ana injili ya kweli na watu hawajui

  • @VicentJoackim
    @VicentJoackim 3 месяца назад

    Dunia imeisha hii ni nn ss mbona hatar jaman tuwen makin 😂😢

  • @StevenMutale-xt9yj
    @StevenMutale-xt9yj 4 месяца назад

    Somaa vizuri neno la Mungu warumi 10-11-15

  • @JeniphaMabway
    @JeniphaMabway 6 месяцев назад

    😂😂😂😂😂 kwahiyo ukigusa viatu vya Masanja umemgusa Nabii

  • @bensonmgaya5693
    @bensonmgaya5693 6 месяцев назад +2

    Jana ulikuwa wapi afu ukapotezea nimefrahi sana😂😂😂

  • @AmonSimfukwe-t7r
    @AmonSimfukwe-t7r 4 месяца назад

    wateule wa Mungu tusimame tu kwa kristo yesu

  • @kipkemoicheruiyot4315
    @kipkemoicheruiyot4315 5 месяцев назад

    Ghaai huku ni wapi , may the light of the Holy scripture sound absolute truth till the end of the edge😢

  • @fredrickmikera5998
    @fredrickmikera5998 5 месяцев назад

    Mathayo 24:24,siku za mwisho watatokea manabii wa uongo na wakristo wengi wa uongo.someni ufunuo kama hamjajaliwa kuelewa tuulizeni ili tueadaidie tuko ktk dk za mwisho kabisa Yesu yupo karibu kurudi na shetani amewafumba macho watu wasijue ukweli

  • @SANGTINAGODETRUDMAKONYOLA
    @SANGTINAGODETRUDMAKONYOLA 4 месяца назад

    I love you my jesus help the word

  • @MAONYOTVTANZANIA
    @MAONYOTVTANZANIA 6 месяцев назад +4

    Mihuni ya dunia hii , utani wa wahuni wajitambia mapesa ya uchawi wao , katskela anawajua wote

  • @kelvinchaula
    @kelvinchaula 4 месяца назад

    Mungu ni mvumilivu saaaana nyieeee

  • @lusungungimbudzi4265
    @lusungungimbudzi4265 5 месяцев назад

    We Jamaa bwana Commed all the time

  • @klmhardware2993
    @klmhardware2993 5 месяцев назад

    Daaaa kanisa limeva😢😢miwa😢

  • @ednakawau9842
    @ednakawau9842 6 месяцев назад +2

    Kumbe masanja ni wale wale

  • @prchMichael
    @prchMichael 5 месяцев назад

    Wanasema wameitwa kumbe ndo wapuuzi kwanini mnalitumia jina la YESU kupoteza watu na kujitwalia heshima wewe ni nan watu wakupigie magoti acheni upuuzi jaman 😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @sarahkeivaly3351
    @sarahkeivaly3351 6 месяцев назад

    Yaani Masanja umeweka Ukomedi wako hadi knsn,
    Umeambiwa nyumba ya Bwana itakuwa nyumba ya Sala, si nyumba ya kufanyia comed

  • @kmotivation1130
    @kmotivation1130 6 месяцев назад

    wazee wa kazi kazi

  • @raymondwilliam3042
    @raymondwilliam3042 6 месяцев назад +1

    Bodyguard sasa 😂

  • @JoycemsangiJoyce-go9su
    @JoycemsangiJoyce-go9su 4 месяца назад

    Masanja hapo nimekuzarauuuu mh

  • @DavidMbwilo-qk1bz
    @DavidMbwilo-qk1bz 5 месяцев назад

    😂😂😂 pamoja na upako wote lakini bado kuna bodyguard inaonyesha mu waoga kiasi

  • @RestitutaNjau-k8x
    @RestitutaNjau-k8x 6 месяцев назад +3

    Usanii mpaka kwa kutumia Jina la Mungu,mmmmm Mungu tuhurume

    • @chrisdeoglatias8665
      @chrisdeoglatias8665 6 месяцев назад

      Sasahv Mungu c kawa k.m anko tuu tna ht kw anko mdada haend na visuruali ila madhabahuni bnt anasogelea na mavaz ya uchi bila haibu, jamaniii" M/ KE KUVAA SURUALI HT KM N Y SUT NI KUWA UCHI, ni roho ya yezeberi makanisani!

  • @AyubuHeshima
    @AyubuHeshima 6 месяцев назад +9

    Ninaona wahuni watupu tu.

    • @moseshaule586
      @moseshaule586 6 месяцев назад +1

      Uhuni sio dhambi mbona,, kwani uhuni mining?

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 5 месяцев назад

      ​@@moseshaule586 WAHUNI KWA WANACHOKIFANYA, INJILI HAIHUBIRIWI HIVYO HAO NI WAPIGAJI TU NA NDIYO MAANA WANAITWA WAHUNI!!

  • @VenanceMsoka
    @VenanceMsoka 5 месяцев назад

    alafu ni mwingizaji😅😅😅

  • @graceyamado8578
    @graceyamado8578 4 месяца назад

    😢😢😢

  • @judithminja770
    @judithminja770 5 месяцев назад

    Nini hiki YESU😢😢

  • @GabrielgabbleMwambengo
    @GabrielgabbleMwambengo 5 месяцев назад +1

    Hapo hata kipofu mwenyeakili timamu hadanganywi,,iweje sisi tulopewa macho tudanganyike???,,Dear guys mwenyekusali sali sanaaaa pia mwenye kufwata hao mashetani endelea but majibu unayo😢😢😢

  • @JosephTherathini
    @JosephTherathini 5 месяцев назад

    Uuuuuwiiiii😮

  • @FelicianiShine
    @FelicianiShine 5 месяцев назад

    Imebidi nicheke kwa nguvu sa😁😁😁

  • @samuelakanga5586
    @samuelakanga5586 5 месяцев назад

    1 Lakini ufahamu neno hili, ya kuwa siku za mwisho kutakuwako nyakati za hatari.
    16 Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza, na kwa kuwaadibisha katika haki;
    '2 Timotheo 3:1-16'

  • @patrobamalema8631
    @patrobamalema8631 5 месяцев назад

    KIBOKO YA WACHAWI ANAWAADABISHA WACHAWI BARABARAAAA 😄😄😄😄🏃🏃🏃🏃🏃

  • @NaomiMabula-b8e
    @NaomiMabula-b8e 6 месяцев назад +1

    Yan masanja nae,,atapotea anaanza kuweka ujinga nae

  • @verroallex9144
    @verroallex9144 5 месяцев назад +1

    Muda ni mwalimu mzuri sana..
    Mtawatambua kwa matendo.
    Kwa matunda yao mtawatambua.
    Lilikua ni suala la Muda tu kuwatambua hawa. Bwana Yesu atupe maarifa ya Neno lake.

    • @gloryleon4187
      @gloryleon4187 4 месяца назад

      Kwa anayoyafanya kiboko ya ....... Kwa Sasa tumewatambua tayari

  • @nicethgabriel3319
    @nicethgabriel3319 3 месяца назад

    Mwenyewe anacheka tu maana anajua ni mchawi kweli hana ata mungu

  • @JohnMakweba-fj4rt
    @JohnMakweba-fj4rt 5 месяцев назад

    Can i prophesize 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @VeronicaMungure
    @VeronicaMungure 6 месяцев назад

    Amen

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya 6 месяцев назад +2

    Wahuni mmejikusanya kutapeli watu , serikali tuache kuwatafuta vibaka wengine tofauti na hawa waliojitokeza

  • @veronicamnico4773
    @veronicamnico4773 Месяц назад

    Askofu shida ni huyo kiboko wa wachawi😢

  • @eliaichraymond1215
    @eliaichraymond1215 4 месяца назад

    😳😳😳

  • @Klvn_Chriss
    @Klvn_Chriss 6 месяцев назад +6

    Stendi ya kuzimu.

  • @janengaga2928
    @janengaga2928 6 месяцев назад

    Yesu anahubiriwa kwa kila njia

  • @SamooTz-pi5ok
    @SamooTz-pi5ok 6 месяцев назад +1

    Matapeli wamekutana jmn hii dunia tunaenda wap 🙏

  • @Gospo_beats
    @Gospo_beats 6 месяцев назад +5

    Duuuh 🙄
    Nimeduwaaaaa

    • @geitandelwa299
      @geitandelwa299 6 месяцев назад +2

      Umeona ee shida

    • @deborahmchona5584
      @deborahmchona5584 6 месяцев назад +3

      Mungu wangu mpka mi sielewi wanatu changanya kuna niliokua mawaamini pia naanza kupoteza imani kwao sasa Mungu tusaidie tu hiz ni zama za mwisho kwa kweli

    • @chrisdeoglatias8665
      @chrisdeoglatias8665 6 месяцев назад +2

      Achana nao ucje ukafa kabisa tukakukosa.

    • @sophiaommy8343
      @sophiaommy8343 6 месяцев назад

      ​@@deborahmchona5584mbona Kama Kuna Rolinga tenaa aiseee nimejikuta naumia sana

    • @AtuganileGodson
      @AtuganileGodson 6 месяцев назад +4

      Utajua tu.Wamejipanga na wapo vizuri.Mungu hatajwi ila sifa za watu.😂😂😂
      Mungu atusamehe sana

  • @dorahkaruma9299
    @dorahkaruma9299 5 месяцев назад

    Kuna kiboko ya wachawi na huyo sijui IPM siku nikiwa sijafanya dhambi kama iliyosababisha leo kujaziwa kadi la kliniki 😂. Nitakwenda makanisani kwao kuwaombea waokoke na kuwaongoza sala ya toba 😂😂😂

  • @johnbidya119
    @johnbidya119 3 месяца назад

    Hivi kwenye hii show unahisi masanja amelipwa bei gani?

  • @merabKitundu
    @merabKitundu 6 месяцев назад +2

    Kweli mbinguni ni mbali

  • @NoelChambo
    @NoelChambo 5 месяцев назад

    Hapo kakosekana baba yao Geor devie 😂

  • @ellymunisi8749
    @ellymunisi8749 5 месяцев назад

    Leo wameturihixishia timu yao yakishetani ngoja niwashitakie kwa Mungu na wapotelee mbali kwa njia 7 wote waangamie Kama hawatatbu na kumuubiri Yesu wa kweli

  • @hosannakamwela9286
    @hosannakamwela9286 5 месяцев назад

    MUNGU anadharirishwa hivi, jamani. Dunia iko pabaya wamemfanya Mungu kama mjomba

  • @peterrichard9644
    @peterrichard9644 6 месяцев назад +1

    Ngoja ninyamaze maana na imagine kina Paulo huko mbinguni wanatamani washuke

  • @ombendaud5938
    @ombendaud5938 6 месяцев назад +2

    Mmmmhhh hivi ni vipande 30 tuuuuu

  • @MarycianaGeorge
    @MarycianaGeorge 4 месяца назад

    Dah Kwa Hali hii tumekwishaaaa

  • @annambembela6661
    @annambembela6661 5 месяцев назад

    Mungu wangu nin hiki jamani duuh Dunia shuka nisimame

  • @DeoUrio-k6f
    @DeoUrio-k6f 5 месяцев назад

    Watu wapiga magoti na kumfuta viatu masanja hii sio sawa ni kama wanakuabudu ,sio sawa achana na giza toka 😢,manabii wa uongo walitabiliwa wakati wa mwisho wa dunia au kuja kwa Yesu kristo,ndo sasa tunaona, Yesu tusaidie

  • @andrewkissava9184
    @andrewkissava9184 6 месяцев назад +8

    Kwani ma wewe masanja umekuwa mtu wa swaga namna hiyo hee mbona kuzimu mtajaa sana

  • @edouardnsengiyumva1145
    @edouardnsengiyumva1145 5 месяцев назад

    Mungu okowa loho ambazo zimepoteya hizi