Walishaomba mwanangu mechi ili watupige....Anhaaa unafikiriaga tu dezo??? Kuna kitu hujaelewa katafute video ya KAMUA mcheki Jamaa yako alivyo kavu muda wote ndio utamuelewa vizuri 😅
imagine hii ni freestyle yaani Ngwea hakuandika. Wasanii wa zamani walikuwa na vipaji sana japo hawakupata pesa sana. wa siku hizi wanapata pesa akili na uwezo wa kuandika hawana hata kidogo.
Kama
Unacheza 2024 na Ngwea
Gonga like
Ngwea R.I.p👊
Nature huwa mnamchukulia poa sana asee, Nature si chorus sio verse yuko sawa
2024 nipo hapa for ngwair
Nasikia uchungu nnavoambiwa juma nature nimtu wa misele mambo yenyewe chamtoto changedele cheza ucheze kamapele asee akakitu kanatwanga anco dilizimekushinda sasa unawanga leonileo asemae kesho muongo, KR mula mziki mkubwa sidii miasaba njoo kichwakichwa kula zauso vaba🎤
Ngwair kaicontrol beat..anaonesha kama angeweza kutembea nayo ad mwisho bila kukatisha
Wenyewe wakiwa studio wanakwambia jamaa alikua anaendelea majani kaikata
Kumbuka pia kama hajaandika hayo yote unayoyasikia yametoka hapo hapo jamaa alikua na kipaji kikubwa mno
Wapi k.r Murla,uncle dili zimekushinda sasa unawanga
Classic Material, Still banging dis shit 2024 2025 2026
Nimekumbuka mwanangu leo rest in peace 🕊️ Ngwer
Cow weez alifreestyle hii ngoma, asee!! R.I.P bro
Noma sana
ila kweli Mangwair alipita na huu wimbo poa sana. August 2023 tupo pamoja
9/12/2023 still listening to the OGs
Asante sana kwa zawadi ya mziki mzuri ulioniachia R.I.P Gwea
"Iyooh Nani mwingine wakufanya kama hii zaid ya mii tazama Niko P'..."Rest In Peace Albert
Nani amekuja humu baada ya interview ya KR Mulla??
Mimi hapa 😅
Mimi!👍
We jamaa umejuaje?😂
Stiil banging 28/5/2022 Ngwair Day
Aaà
Naumia napoambiwa juma nature mtu wa misele😂😂😂KR kavu sana 😂😂😂
😂
😂2024
Walishaomba mwanangu mechi ili watupige....Anhaaa unafikiriaga tu dezo???
Kuna kitu hujaelewa katafute video ya KAMUA mcheki Jamaa yako alivyo kavu muda wote ndio utamuelewa vizuri 😅
Viva majani
Moja ya verse bora sana. RIP Mwamba
Ngwea alitembea sana humu dah!
Apumzike kwa Amani..
Mamaeeee hili ngomaa
fire🌋
Old is more than gold
imagine hii ni freestyle yaani Ngwea hakuandika. Wasanii wa zamani walikuwa na vipaji sana japo hawakupata pesa sana. wa siku hizi wanapata pesa akili na uwezo wa kuandika hawana hata kidogo.
True
Umeongea point Sana ❤
Siku hizi kuna maboshoo tu hata kwenye soka watu wa zamani walikua shoka wachezaji wa sasa hivi hamna kitu
We will miss you Ngwair
Huyu ngwear kichwa chake mpaka sasa sielewi
Hakuna anayeweza kumfikia na hatotokea kamwe, unaambiwa hapo ali-free style hadi Majani alikata verse zake, ukisikiliza vizuri utagundua alikatishwa kweli
ngoma kali sana RIP Ngawair
「こんなにいいとは思えない」、
Pfunk,Ngwear,Nature🤒🤒
You try to give the video more brightness it will be great if you do
Noma sana
R.I.P albert mangwear hakika ulikuwa nguzo ya hip hop.
Ngwair 😭😭😭
Ngoma hadi leo naisikia 2022
Cow boy RIP
Ngoma pekee alofunikwa Ngwea
Hapana
Kufunikwa au kafunika? Lkn nikwambie hii ngoma ngwea aliua mwanz mwisho
Hakuna kama majani
Juma nature 🔥🔥2024
Comment if you are listening to this 2025
Naskia hii verse marehem alipiga freestyle humo
Hakuna anayeweza kumfikia na hatotokea kamwe, unaambiwa hapo ali-free style hadi Majani alikata verse zake, ukisikiliza vizuri utagundua alikatishwa kweli
Dah Ngwair rip
🇹🇿🇹🇿🇹🇿
The music is alive
W
R.i.p vulture😭😭😭
9/6/2024. 🎧
Rip mkali wa hip-hop
RIP Mangwear
rip
Mamae
2024 july
Rest in peace
2030