Jahafarai - Niko Bize

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 дек 2024

Комментарии • 290

  • @swabry
    @swabry Год назад +107

    2023 usinitafte.....still ni hit....naacha comment mtu aki like Naja skiza huyu wimbo...🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥

  • @frankvianey2438
    @frankvianey2438 10 месяцев назад +33

    It is 2024 and this song is still the best of all times

  • @masawerichard1367
    @masawerichard1367 10 месяцев назад +44

    Hii ni kali kwa sana bado naskiza🇰🇪🇰🇪🇰🇪2024

  • @ibrahimabdallah7639
    @ibrahimabdallah7639 6 месяцев назад +25

    Maisha ni safari safari yenye siri kubwa sanaa jitahidi kufurahia muda ulionao ❤ upendo kwa wale tulio enjoy kipindi icho na mungu awalaze pema peponi walio tangulia much love 🇰🇪

  • @ezehabari947
    @ezehabari947 4 месяца назад +16

    Wale late 80s Huu wimbo ulitoka uko na miaka 15+ weka like hapo

  • @gavanajoe6454
    @gavanajoe6454 3 месяца назад +6

    Anayekubali kwamba hii ni ngoma kali ya muda wote piga like hapa

  • @BonifaceMsumba
    @BonifaceMsumba 8 месяцев назад +11

    2024 bado nasikiliza jamani ilikua burudani mwaka 2004❤

  • @gagoke4914
    @gagoke4914 Год назад +46

    Tupo bize sana ..goma hatari sana..nalikubali..piga like kama uko hapa 2023....rocket 🚀🚀 🔥🔥🔥🔥

    • @richardibrahim5609
      @richardibrahim5609 Год назад +1

      Imebidi hili goma nilitafte japo n kijana wa 2000 .ila biti, rymes,flows,sound ,ujumbe 🔥🔥

    • @MudMuho-zo9do
      @MudMuho-zo9do Год назад

      Tunakuaga bize sana kwakweli

  • @MwalikoDavison
    @MwalikoDavison Год назад +40

    It's 2023 and am still vibing to this tune..

  • @christianvahamwiti3278
    @christianvahamwiti3278 6 месяцев назад +17

    2024 but still a good hit for me.... BIG LOVE from DR CONGO

  • @saidbaro6062
    @saidbaro6062 3 месяца назад +5

    Watu wa kenya mnashow sana love respect.. Tanzanian ✌

  • @stephenyasena418
    @stephenyasena418 Год назад +19

    2023 still listening from Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

  • @KevinAgallo
    @KevinAgallo 3 месяца назад +2

    Bonge la beat! Bado la chuna ndani ya 2024! 🙌🏾🎯💯🔥🇰🇪

  • @freddiemello7848
    @freddiemello7848 3 месяца назад +2

    niko bizeee, ngoma bado ni hit huku 254 Kenya. Big up Jaffarai, 2024

  • @WardaSalehe
    @WardaSalehe 6 дней назад

    Tuko mwisho wa mwaka weka makopa kwa kumshu mungu inshallah atuvushe mwaka 2025❤❤❤

  • @shyneafya2468
    @shyneafya2468 2 года назад +63

    Nani tuko pamoja mpaka mwaka hu kwenye wimbo unaoishi🌺🌺 27/09/2022

  • @iangreezy
    @iangreezy Год назад +14

    Oldskool bongo ilikua noma!! So much memories...much love from Kenya 🇰🇪

  • @savaginkkenya1153
    @savaginkkenya1153 9 месяцев назад +3

    2024 tuko locked ..Real hipop rep Kenya

  • @gerald5456
    @gerald5456 2 года назад +20

    Na bado naipenda 2022 much love from Kenya 🇰🇪

  • @oyarothomas555
    @oyarothomas555 9 месяцев назад +2

    2024 still listening to this classic timeless music❤❤❤ from Kenya.

  • @chrismhonda8051
    @chrismhonda8051 Год назад +27

    Nikisikiliza uu wimbo namkumbuka kaka yangu kipenz, daahh aliupenda sana uu wimbo.... R.I.P broo😔😔😔😭😭😭

  • @khalifamtumwa2949
    @khalifamtumwa2949 Год назад +13

    September, 2023!
    Still rocking 🇹🇿

  • @salminisaleh9249
    @salminisaleh9249 4 месяца назад +5

    Majani Apewe Heshima Yake . Hebu Fikiri Hii Beat Imepigwa Mwaka Gani Na Ina Miaka Mingapi Mpaka Sasa Ukiiskiliza Kama Imepigwa Jana. Na Huchoki Kuiskiliza P Funk Respect Kwake

  • @Blackisbuty5
    @Blackisbuty5 15 лет назад +27

    He is such a good rapper...i like this song...nimemisi sana nyumbani!

  • @liamzuma5440
    @liamzuma5440 2 года назад +18

    MAJANIIIIII King of Hip Hop producer

  • @SalumJohn-h2s
    @SalumJohn-h2s Месяц назад +1

    Jafaei kumamamayoooo, unajua mambo mpak una kera,halaaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂

  • @clinchyroyal
    @clinchyroyal 6 месяцев назад +2

    mi nitakutafuta bro, mad tune
    🎤🎧🎹🪘

  • @ramamabrok2523
    @ramamabrok2523 24 дня назад

    Hii ngoma kaliii kinoma tangu 2003 had leo 2024 inabamba sio poa watoto wadogo hawawez kuelewa 😂😂😂

  • @karoltunduli107
    @karoltunduli107 2 месяца назад +1

    Yaan Niko bizee mpaka nimekumbuka hio song 2024

  • @nabilmohammed2028
    @nabilmohammed2028 2 месяца назад +1

    2024 bado tunaskiza kutoka Mombasa...we are old school and old school is us. Niko bizeeeeeee!

  • @johnmaina9273
    @johnmaina9273 2 месяца назад +3

    Na umri wangu huu,sijawahi sikia ngoma kama hii.tena hii.nimecheka kweli.hadi mtoto wangu hapa ameshangaa natokwa wazimu.eti pua kama ngumi😅😂

  • @MPOYOLAFILMS
    @MPOYOLAFILMS 17 дней назад

    Nakumbuka hii ngoma niko darasa la nne..... Mama ananipa nauli ya kwenda shule ya kurudi ananiambia utamwomba mama yako mdogo.... Kipindi namsubiri mama mdogo hii ngoma inapigwa...

  • @SayiMugana
    @SayiMugana 6 месяцев назад +1

    Mambo yetu ya Throwback Thursday..... 🔥🔥🔥

  • @Miliki.shamba2025
    @Miliki.shamba2025 6 месяцев назад +3

    Daah 2024 bado niko busy 😂😂

  • @mikekweka7656
    @mikekweka7656 18 дней назад +1

    USINITFTE ...We here towards 2025

  • @luogafrank3205
    @luogafrank3205 5 месяцев назад +1

    Hawa jamaaa walikua wanatunga sana nyimbo kali beat zilikua zina dunda sana

  • @ericksaid5327
    @ericksaid5327 8 месяцев назад

    Wakati bongo ulikuwa mwamba naipenda sana Tanzania Allah akujalie ameen

  • @sulleysidey2844
    @sulleysidey2844 7 месяцев назад +1

    ivi vinanda hatari sana halaf anatokea ngese flani eti yeye ndio producer bora mamae

  • @RangsMteule
    @RangsMteule 11 месяцев назад

    This will never grow old,much love from kenya

  • @OscarMuriithiKibocha
    @OscarMuriithiKibocha 6 месяцев назад

    Olskool Bongo ilikuwa nomaree sana. I loved/still love it. Mob Love from Kenya...

  • @RajabHamisi-j4i
    @RajabHamisi-j4i Месяц назад

    Ngoma nlipenda sana from🇰🇪🇰🇪

  • @ericksaid5327
    @ericksaid5327 2 года назад +8

    Our time when music was really and wonderful message big nation East Africa

  • @geraldirina216
    @geraldirina216 6 месяцев назад

    Ni 2024 bdo pia msela uko bizy...mi nakutafuta unko 🍁🔥🌬️

  • @SalumJohn-h2s
    @SalumJohn-h2s Месяц назад

    Duh😂😂😂,nilikuwag na dem wangu anaitwa Marry Buzuluga loooh

  • @lputaa
    @lputaa 6 месяцев назад +1

    Bongo ya zaman jo ❤️🖤...where did this Tanzanians go💔🤕

  • @shaddyjay264
    @shaddyjay264 2 года назад +2

    Fire Niko bizeee hii ngoma nilipenda sana

  • @mariamomary7124
    @mariamomary7124 2 года назад +8

    7/10/2022 km nawe ipo tukutane kwa like twende sw😘

  • @yvesshema9485
    @yvesshema9485 6 месяцев назад

    28 years old now still listening to this Jam Old is Gold

  • @switnush5885
    @switnush5885 2 месяца назад

    This was my skiza tone😅😅 that got Everyone complaining nkaitoa. Especially my Mum🤭but ingekuepo tu. ❤it

  • @claverymelkiony4616
    @claverymelkiony4616 Год назад +2

    Ngoma zilikua zamani ujumbe..mzuri.merody..nzuri👊

  • @ericksaid5327
    @ericksaid5327 Год назад +1

    Our time when music wako wapi hawa jamaa nawamiss kweli

  • @lesliesolomon3624
    @lesliesolomon3624 9 месяцев назад +2

    Niko Bizeee🎉

  • @hamadramadhan8422
    @hamadramadhan8422 5 месяцев назад

    Nyimbo uyu mwamba kalibia zote zinaishi lakin mondi kamfanyia kitu mbaya sana mwana kuchukua haki ya mwimbo wake mmoja wapo siyo fresh mondi sikutegemea simba la masimba kumbe nilifala sana

  • @papanyati6849
    @papanyati6849 8 месяцев назад

    Wale wa new mellanium hapa hawatambui #14th 2024 still a hit

  • @DodoDan-x8z
    @DodoDan-x8z 2 месяца назад

    Naiskiliza ndani ya holili boda kwa veko sokoni, Zina tikisa bhalaa

  • @androidmastertv8098
    @androidmastertv8098 Год назад +3

    Tanzanian inspire east Africa music

  • @florakimemeta4677
    @florakimemeta4677 2 года назад

    Daaaaah!!!!miziki ni ya zaman tuu....wanamuziki wa Sasa kaeni kwa kutulia nyie maana hakuna kitu mnachoimba cha maana....

  • @Iwatchplustv
    @Iwatchplustv 10 месяцев назад +4

    2024 now still rocking

  • @yusuphmakangemakange4474
    @yusuphmakangemakange4474 Год назад

    Duh sio poa hii ngoma inanikumbusha mbli Yusuf Rashida makange home alisi tanga maramba ila kwasasa nipo dar nipo binz atr

  • @johnmogaka9822
    @johnmogaka9822 Год назад

    zilizobamba 2004/2005 I still have a long list of these tbt in my drive even if I hit 70s Iove these vibes

  • @hosearioner3637
    @hosearioner3637 23 дня назад

    Boom bap beat the best forever..hip to the hop till i die..jefferai 👊

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 2 года назад +1

    Hawa walitikisa sana enzi hizo....ila daz baba alikuwa msanii alipokuwa mdogo...siku hz ni teja tu daah life bana

  • @kasangajuma1934
    @kasangajuma1934 7 месяцев назад

    Hili song bhna nilikuwa nalipenda sana kwenye mpambano wa wasanii kipindi kwenye redio free Africa 2003

  • @abubakaryduma5374
    @abubakaryduma5374 Год назад +4

    Nipo hapa 2023, bado nasikiliza hii ngoma.

  • @warerebeachhotel1355
    @warerebeachhotel1355 Год назад +4

    10/3/2023
    This sond still on fire

  • @GeheGeghe-ji1qr
    @GeheGeghe-ji1qr Месяц назад

    Hii kali sana 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @abdallakai7594
    @abdallakai7594 2 года назад +1

    Yes kimya kimya..kula mjni✌️✌️

  • @enosmuritu3644
    @enosmuritu3644 6 месяцев назад

    Bobby Manoa amenileta hapa... ✅️

  • @paulobentomiguel6510
    @paulobentomiguel6510 4 месяца назад +3

    Tuko pamoja 2024

  • @mohamedikambona7537
    @mohamedikambona7537 Год назад +1

    It is now 11/02/2023 I enjoy the old school when am in morogoro town

  • @AllyMtawa-n3h
    @AllyMtawa-n3h 9 месяцев назад +1

    Hii ni wimbo ya maisha yangu

  • @mohamedabdi-yz9gy
    @mohamedabdi-yz9gy Месяц назад

    Hatari sana, bado Niko bize

  • @mariamomar1572
    @mariamomar1572 2 года назад

    Fellow B hapa usiku wa saa nane naiskiza kuona venye kuwa busy yaweza badili maisha...

  • @kolnelkipapi6910
    @kolnelkipapi6910 Год назад +2

    Nan we are together up todate 24/5/23 agonge like hapa

  • @kilamiko8299
    @kilamiko8299 2 года назад +4

    Musics of our times...

  • @mudmohamed6911
    @mudmohamed6911 4 года назад +1

    Niko bize msinitafte ndugu zangu tangu 2011 mpaka 2020 nikiwa dar nimetoka bukoba muleba Niko bize jamani

  • @adamlyanda9450
    @adamlyanda9450 Год назад

    Nipo busy hatari sana those years..Still watching it 2023

  • @athumanimkalimoto6951
    @athumanimkalimoto6951 5 месяцев назад

    Hatari siku zote 2024

  • @HashimuIdrisa-o3n
    @HashimuIdrisa-o3n Год назад

    Niko bize 2023❤❤❤❤❤this song

  • @chachananiggazwyne3455
    @chachananiggazwyne3455 3 месяца назад +1

    2024 niko busy 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬

  • @ShambaniathumaniSamkunde
    @ShambaniathumaniSamkunde Год назад +1

    hivi ndivyo vipaji havina wapinzani ngoma zao zinaishi

  • @musamowino3674
    @musamowino3674 Год назад

    Nishatumia hata mashairi kumuandikia mpenzi wangu barua..ambaye ndio make wangu sahii...

  • @sirajiswalle971
    @sirajiswalle971 2 года назад +9

    Those days when timberland 👞 was dream of every guy 👦...

  • @menragecamutytuaibo354
    @menragecamutytuaibo354 2 года назад +2

    Directamente de Moçambique.
    Grande Som...

  • @REVOLUTIONARYLYRICS
    @REVOLUTIONARYLYRICS 11 месяцев назад

    2024 The instrumentals tells it all. Tuko bize💯

  • @KaguoLuka
    @KaguoLuka 6 месяцев назад +1

    Huyu majani apewe tuzo yake special mdundo ni nouuuuuuma huu

  • @taifaonlineinternationalsc3276
    @taifaonlineinternationalsc3276 Год назад +1

    Kama unautazama wimbo huu mwaka huu 2023 plz coment NIKO BUSYYYYYYYYYYYYYY

  • @GeoffreyMaina-y3o
    @GeoffreyMaina-y3o Год назад

    Man still ngoma ina heat kinyama tena mimi ni jazino jeff

  • @MeshackDivioshi
    @MeshackDivioshi Год назад

    We got a lot of talent in my fucking country! This song never gets old. Still goes crazy.

  • @mulundi
    @mulundi 7 месяцев назад

    Leo nitare19/5/2024 kama nawwe unaiskiya leo hiii nyipe like Tijuana aiseee❤❤❤❤

  • @JuxvatonOmmari
    @JuxvatonOmmari 3 месяца назад

    dahh kitambo Sana 2024

  • @lawrencemacharia1830
    @lawrencemacharia1830 6 месяцев назад

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ngoma kali

  • @nazstudios9048
    @nazstudios9048 3 месяца назад

    South Africa #Ug I was 15

  • @SilajiHamani
    @SilajiHamani 4 месяца назад

    Jamaa.namkubarisana.mwanagu.uyomchizi.mzazi.nikobize

  • @patrickwanje6433
    @patrickwanje6433 2 года назад

    Nko bizee I say Jafarai alienda wpy🇰🇪🇰🇪

  • @gervaisbotanyi7439
    @gervaisbotanyi7439 Год назад

    This song makes sense in 2023 than it was in 2005-006-007 dam man

  • @frankkajoba8372
    @frankkajoba8372 2 месяца назад

    muziki ulikuwa zamani siku hizi uchafu mtupu😢

  • @tuzonyava8306
    @tuzonyava8306 10 месяцев назад +1

    2024 kama wimbo wajana yani duu

  • @nassatv1994
    @nassatv1994 Год назад +1

    August 2023 still same vibe❤❤❤❤

  • @samchris1914
    @samchris1914 10 месяцев назад

    Oyya hz ndio ngomaaa