LISSU: UBAGUZI UKO KATIKA KATIBA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 апр 2024
  • Viongozi wa chadema Freeman Mbowe Na Tundu Lissu sasa wanadai muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar una Dosari. Viongozi hao wanadai, Katika muungano huo, katiba ya muungano wa Tanzania inapendelea taifa la Zanzibari na kulibagua na kulitenga Iliyokuwa Taifa Tanyanyika. Viongozi hao wametaka usawa wa uwakilishi katika mataifa hayo mawili na kupendekeza Tanganyika irejeshewe hadhi yake ya hapo awali. Wawili hao walikuwa wakizungumza katika siku ya mwisho ya maandamano ya chama hicho nchini Tanzania.

Комментарии • 2

  • @user-gr9wc7bc2m
    @user-gr9wc7bc2m 17 дней назад

    Kwanini wa tz wanandamana wengi hivi!! Wala si chadema watupu hawa

  • @user-gr9wc7bc2m
    @user-gr9wc7bc2m 17 дней назад

    Mwingine anasema moshi hakuna watu walioandamana