Wengi mmeulizia chimbo la chupi za kike ambazo unaweza kuanza na mtaji wa laki moja. Kiufupi ukiwa na mtaji wa laki moja ukafanya biashara ya chupi inakutoa kabisa sababu ina mzunguko maeneo mengi. Number ya chimbo ni 0763356395 au 0743356395 hawa watakuuzia kwa bei nzuri ya jumla na hata kama uko mkoani utatumiwa kwa uaminifu. Nawajua na kuwaamini hivyo utakua salama na pesa zako
Asante kiongozi nipo nawaza kuanzisha biashara ya nguo za ndani kwa maana ya kufungua fremu kwa ujumla wake ni utaratibu upi natakiwa kuufata Ili niweze kufungua fremu nisije nikajikuta kwenye changamoto za hapa na palee na mtaji nikajikuta unaishia uko naomba ushauri wako kiongozi 🙏
@@rusaboy6593 Waliooomba kujifunza hii Biashara. .... UCHAMBUZI BIASHARA YA NGUO ZA NDANI. . Hii ni biashara nzuri kwako sababu kadhaa, kwanza inagusa watu wengi zaidi kuliko biashara za nguo aina nyingine kama vile Jeans,Tshirt,magauni au suit zenye watu wake na hobbies zao lakini sio kwa nguo za ndani ambazo hao wote hapo ndani wamevaa kati ya boxer,braa, chupi,vest n.k . . Zaidi ya 90% ya watu wote duniani wanavaa nguo za ndani kuanzia mtoto mchanga na maisha yake yote. . Pia nguo za ndani HAZINA Msimu kwamba usubiri sikukuu au wanafunzi wakifungua,muda wote zinanunulika, hivyo utauza muda wote. . Hii ni biashara ambayo inahitaji kiasi kidogo cha mtaji na kianzio hicho kinakupa faida zaidi na zaidi. . Hii ni biashara Ambayo ukiwa na mtaji wa kuanzia laki mbili tu unaweza kupata mzigo mkubwa. . Nguo za china ndio bidhaa nzuri zaidi kwa mfanyabiashara kupatia pesa kuliko zinazotoka sehemu nyingine yoyote duniani hasa kwa Tanzania. . Ila kama una wateja wako unaweza uza za popote ila kama unaanza nashauri anzia za China. . Sababu kubwa ni kwamba zinauzwa bei rahisi . Kwa mfano biashara ya chupi ili ukue kimtaji kwa haraka zaidi basi uza za china na sio za sehemu ingine . China ndio utapata chupi zile zinauzwa 1000,1500,2000/- kwa pic 1 . Na hizi bei ndio ambazo watu wengi zaidi ya 80% au 90% wanaweza kuzimudu. . Kwa hio kwa % hizo umeishaona namna soko ambavyo ni pana. Kama utaamua kuchanganya na bidhaa nje ya china basi weka kidogo na nguvu kubwa iwe china ,fanya hivo ili kuchukua wateja wengi zaidi . . Fanya hii biashara upige pesa. . Kama una Uwezo agiza Moja kwa moja China alafu uzia wafanyabiashara na Wajasiriamali kwa jumla. (kama hujui kuagiza china hakikisha hukosi darasa la mwezi wa tano nitafundisha na kukupa Agent& suppliers wa china) . Kama mtaji bado mdogo nenda kariakoo mtaa wa mchikichi na gogo, Mchikichi na sikukuu huko kuna machimbo bei rahisi. Mmoja wapo ni huyu 0743356395 au 0763356395 walikua kariakoo mtaa wa mchikichi na sikukuu kwa sasa stoo zao ziko makumbusho plaza. Huyu atakupa chupi za 1000 ambazo utauza 2000 na kuendelea au za 1500 ambazo utauza Tsh 2500 mpaka 500 sema Anauza jumla kuanzia pc 100 kwaio mtaji wa laki unatosha . Hii biashara si lazima uwe na frem, unaweza kuzungusha majumbani, kuuza online, kuwa na kibanda kidogo, Kuuza chuoni nk, Duka au kuuza gulioni.
mtumba ni biashara ambayo nimefanya ila mtumba unaweza anza na mtaji wa 20000 tu ukawa unapoint nguo nzuri unapeleka chuo na mtu mmoja mmoja unazunguka minadani unanunua nguo mpaka mia 500 lakini hiyo nguo unauza mpaka 5000/10000 Kuna mmoja huyo kila mnada anauza nguo 200/300 watu wanajaa hiyo utauziwa mpaka 10000 ronya zipo na nzuri zipo ni kuwahi tu kama kesho jumamosi Biafra yupo...
@@ismailmohamed-sc1hg pitia account yangu ya Instagram nimeichambua vizuri Biashara ya mtumba, fauda, wapi pa kupata mzigo na masoko. Bonyeza hii link kuingia kwenye page Www.instagram.com/kelvinkibenje
Wengi mmeulizia chimbo la chupi za kike ambazo unaweza kuanza na mtaji wa laki moja. Kiufupi ukiwa na mtaji wa laki moja ukafanya biashara ya chupi inakutoa kabisa sababu ina mzunguko maeneo mengi. Number ya chimbo ni 0763356395 au 0743356395 hawa watakuuzia kwa bei nzuri ya jumla na hata kama uko mkoani utatumiwa kwa uaminifu. Nawajua na kuwaamini hivyo utakua salama na pesa zako
Me nategemea kuanza mwez wa tisa mwishon pls msaada kaka chimbo la nguo
Kaka msaada Namba yako
Kaka Kelvin naomba chimbo la hereni
Fact
kaka naweza pataje chimbo la heren chup zakike boksa zakiume na mashati yakiume
Asante Sana nilikuwa nawaza biashara ya kufanya, mawazo yangu nilikuwa nifungue duka la vipodozi daah Asante
jahh! bless you tunazidi kupata maarifa
Asante kiongozi nipo nawaza kuanzisha biashara ya nguo za ndani kwa maana ya kufungua fremu kwa ujumla wake ni utaratibu upi natakiwa kuufata Ili niweze kufungua fremu nisije nikajikuta kwenye changamoto za hapa na palee na mtaji nikajikuta unaishia uko naomba ushauri wako kiongozi 🙏
Somo nzuri sana kaka Mungu akubariki
Asante sana Rafiki yangu
Sio kwamba umetupa somo2 baali umeweza kutushauri pia asamte sana broo na Mungu akubariki,,
@@JoniaIssaya Amina. Asante sana
Daaaaah umetisha mwanamahesabu
nashukuru sana kaka. God bless you
Ahsante bro!
Asante sana mwalimu niko kenya ninaweza pataje nguo za mitumba nzuri
Ubarikiwe kaka mi nataka chimbo la chupi na heleni cheni
🙏🙏🙏mungu akupe maisha marefu
Powerfull message
Thanks much
Hyo ya vyombo nimeielewa mkuu, naanzia wapi?
Kaka nmekukubali sana mm niliwahi fanya biashara yamitumba inalipa sana niliacha ila unenikumbusha ntairudia
Asante kwa ushauri wako mzuri mungu skubariki
Nakubali kiongozi na mimi nilikuwa nafikiria nifungue biashara ya nguo za mtumba ila nilikuwa naomba unipe ushauri zaidi
Asante kwa ushaur
Be blessed 🙌
Thanks much
Be blessed
Kak God bless you niko na vifaa vya simu hapa
asante kaka kwa ushaur mzur
Asante pia
Asante kwa somo la siku, Vipi mwanaume ana fanya pia biashara ya urembo cosmetics ?
Inawezekana na wengi wanafanya
Biashara ya nguo za ndani hainaga asala,
habali nahitaji mawasiliano yako unisaidie mawazo kuhusu biashala ya nguo za ndani
@@rusaboy6593 Waliooomba kujifunza hii Biashara.
....
UCHAMBUZI BIASHARA YA NGUO ZA NDANI.
.
Hii ni biashara nzuri kwako sababu kadhaa,
kwanza inagusa watu wengi zaidi kuliko biashara za nguo aina nyingine kama vile Jeans,Tshirt,magauni au suit zenye watu wake na hobbies zao lakini sio kwa nguo za ndani ambazo hao wote hapo ndani wamevaa kati ya boxer,braa, chupi,vest n.k .
.
Zaidi ya 90% ya watu wote duniani wanavaa nguo za ndani kuanzia mtoto mchanga na maisha yake yote.
.
Pia nguo za ndani HAZINA Msimu kwamba usubiri sikukuu au wanafunzi wakifungua,muda wote zinanunulika, hivyo utauza muda wote.
.
Hii ni biashara ambayo inahitaji kiasi kidogo cha mtaji na kianzio hicho kinakupa faida zaidi na zaidi.
.
Hii ni biashara Ambayo ukiwa na mtaji wa kuanzia laki mbili tu unaweza kupata mzigo mkubwa.
.
Nguo za china ndio bidhaa nzuri zaidi kwa mfanyabiashara kupatia pesa kuliko zinazotoka sehemu nyingine yoyote duniani hasa kwa Tanzania.
.
Ila kama una wateja wako unaweza uza za popote ila kama unaanza nashauri anzia za China.
.
Sababu kubwa ni kwamba zinauzwa bei rahisi . Kwa mfano biashara ya chupi ili ukue kimtaji kwa haraka zaidi basi uza za china na sio za sehemu ingine . China ndio utapata chupi zile zinauzwa 1000,1500,2000/- kwa pic 1 . Na hizi bei ndio ambazo watu wengi zaidi ya 80% au 90% wanaweza kuzimudu.
.
Kwa hio kwa % hizo umeishaona namna soko ambavyo ni pana. Kama utaamua kuchanganya na bidhaa nje ya china basi weka kidogo na nguvu kubwa iwe china ,fanya hivo ili kuchukua wateja wengi zaidi .
.
Fanya hii biashara upige pesa.
.
Kama una Uwezo agiza Moja kwa moja China alafu uzia wafanyabiashara na Wajasiriamali kwa jumla. (kama hujui kuagiza china hakikisha hukosi darasa la mwezi wa tano nitafundisha na kukupa Agent& suppliers wa china)
.
Kama mtaji bado mdogo nenda kariakoo mtaa wa mchikichi na gogo, Mchikichi na sikukuu huko kuna machimbo bei rahisi. Mmoja wapo ni huyu 0743356395 au 0763356395 walikua kariakoo mtaa wa mchikichi na sikukuu kwa sasa stoo zao ziko makumbusho plaza. Huyu atakupa chupi za 1000 ambazo utauza 2000 na kuendelea au za 1500 ambazo utauza Tsh 2500 mpaka 500 sema Anauza jumla kuanzia pc 100 kwaio mtaji wa laki unatosha
.
Hii biashara si lazima uwe na frem, unaweza kuzungusha majumbani, kuuza online, kuwa na kibanda kidogo, Kuuza chuoni nk, Duka au kuuza gulioni.
Ahsante kwa somo zur endelelea kuchimbua lingine
@@SharifuSalimu Asante sana
👂👂be blessed
Thanks much
Biashara ya urembo ni ndoto yangu kubwa ila sijui nianze kwa mtaji wa sh ngapi??
Thanks brother
Asante kwa ushauri wako
Asante kwamafundisho
Asante sana kaka
Tafadhali naomba chimbo la nguo za watoto za mtumba grade A
Mimi naitw Leah nipo simiyu nina mtaji wa laki nne lakn nipo kijijini nawaza kufanya biashara
Asantee asantee
Asante sana
Asante pia
Bro nilkuw nahitaji kujua naanzaje biashara ya accessories ya simu. Na vifaa vyake kwa ujumla
Hata Mimi nahitaji chimbo
Namimi pia nahitaj chimbo la vifaa vya sim
Asante sanaa
Kaka naomba namba ili unielekeze
Xamahan naomba no yako
Thanks
Thanks too
Yani natamani kufanya biashara ilasijui nianzie wap Leo nimeingua uku ndo nikakutana na wewe. Kaka angu
Asante sana. Karibu sana
Ata mm nataka kujua zaidi kuhusu biashara ya nguo za mtumba.hasahasa za watoto grade A
Mi natamani hiyo biashara ya nguo za ndani na urembo
Asante
Asante pia
Sijawahi hata moja
NAwezaje kuwa na studio kama yakwako
Makadirio ya mtaj wa biashara ya nguo zandan au urembo!??
50,000
Biashara ya vyombo nimeielewa zaidi, naomba chimbo kaka na mtaji naweza kuanza na sh.ngapi
🙏
Asante sana
❤❤❤
🎉🎉
🔥🔥🔥
👏👏👏
natamani niifanye kazini kwangu
Nifuate insta nikupatie
Ya nguo za ndani na mtumba, nitakucheki unipe connection ya nguo nzuri nijiongezee kipato
Nitafte mm tuongee dia naziuzaa
@@DoriceRemson-by5rrhey uko pande gani
@@FurahaVenosanko dar dear nashinda kariakoo msimbazi
No please rafik
@DoriceRemson-by5narr naomba namba Yako
Nagitaji msada kaka mm nataka nifanye biashara Zanzibar ila bado sjajuw biashar gani itatoka kwa harakaa
Naweza kupata msaada zaidi kuhusu biashara
Mimi naomba unielekeze kuhusu biashara ya urembo
Mwalim naitaj kufahamu biashara ya yebo
Namb yako plz
Paul makonda sauti na muonekano
Aisee
Mudogoake Huyo
kweli kabisa
mtumba ni biashara ambayo nimefanya ila mtumba unaweza anza na mtaji wa 20000 tu ukawa unapoint nguo nzuri unapeleka chuo na mtu mmoja mmoja unazunguka minadani unanunua nguo mpaka mia 500 lakini hiyo nguo unauza mpaka 5000/10000 Kuna mmoja huyo kila mnada anauza nguo 200/300 watu wanajaa hiyo utauziwa mpaka 10000 ronya zipo na nzuri zipo ni kuwahi tu kama kesho jumamosi Biafra yupo...
Kabisaaa
Sawa
Nimependa
Nitumie no Yako bro
Nitumie namba yako ndugu tufanye viashara
Ni kwel biashara hiyo watu wanaichukulia poa ila inalipa nguo za ndani
True best
Nina laki mbili nahtaji hizo nguo za ndani mchanganyiko
Biashala ya nguo za ndani lnataka mtaji wa shingapi
Msaada chimbo la nguo za watoto mtumba grade A
Naweza pata no yako
Nimekuelewa kaka
Biashar ya kuuza airphone nitaifany kak inshallah
Nataman sana kua mfanyabiashara lakn mambo yangu bado hayajakaa sawa
Jipange tu uanze
@@kelvinkibenje sawa kaka lakn nawaza sana make
Kaza ww, unawaza nini sasa😂@@AredFered
Broo nataka kufungua duka la vifaa vya simu vo mtaji wake
milion 200
Biashara ya nguo za ndani
Ni nzuri sana
Natamani kati ya nguo za ndani au vifaa vya simu ila bado sijaelewa pakuanzia
Unataka kuuzia eneo gani?
Nipo bunda mara nataka nianze biashara yakuuza nguo za mitumba lakini sijui nianzie wap na faida yake nitaipataje maan ndo nataka kuanza
@@ismailmohamed-sc1hg pitia account yangu ya Instagram nimeichambua vizuri Biashara ya mtumba, fauda, wapi pa kupata mzigo na masoko. Bonyeza hii link kuingia kwenye page Www.instagram.com/kelvinkibenje
Xamahanii kaka mm natakaa nifanye biashara mtajii lakii mbilii na nusu je nifanye biasharaa gganii maana mpakaa sahv sielewii
Kwenye hizo tano hakuna uliyoipenda
Nami pia
..We up Fam 🫡
Thanks much
Chimbo la nguo za ndani msaada
pia naomba connection ya vifaa vya simu
Ingia Instagram page yangu
Mtu umempa ushauli anataka na connection
Natamani kuuza mitumba nina laki mbili ila sijuwi pakuanzia
Pa kuanzia ni kwenda kuchukua mzigo kama tayari umesoma soko na unajua nini utauza
Kuzunguuka nao mtaani ni vizuri au hadi nipange frame?
Nitafte tuongee vizur kipenz
Nitafte tuongee vzur ntakurahisishia
@@DoriceRemson-by5rr❤
Biashara ya nguo za mtumba nafaida kwanzia 50000
Ndiooo
Kaka mm nina 40000 nawaza nifanye kazi ya nguo za ndani ,niko msoma sasa sijui wanauza wapi jumla kwa aliye msoma omba msahada
Zipo Dar Kariakoo, Ukihitaji Tunakutumia kwa gari
Na mimi nahitaji niko kariakoo@@shamuni1983
Kaka Nina m 1 na sijui biashara Gani nifanye msaada
Nikopeshe mimi hyo ela boss
Njoo inbox
Mm nakuwa mpk na m3lkn Cha kufanya sikuoni jaman hata sielewi yaan
Blessed
Thanks much
Vyombo nmewah kuifanya shida ipo kweny machimbo sahv yamekua too hard kuyapata
Nenda kwenye kiwanda cha cello au jambo. Pia kama una uzoefu saasa anza kuagiza China
Kwa mwenye uhitaji wa nguo za mtumba tuwasiliane bei rahisi tutazungumza tusogezane
Uko wap kwaniii
Unapatikana wapi
Unapatikan wap
Niko Dar dear
Karibuni saaana
Connection basi kaka
Ya nini?
kaka naomba connection ya chupi!
Cheki insta yangu
Samahan kaka vo biashala. Yamanukato. Imekaje. Nahii
Ni moja ya Biashara mzuri. Hapo nimeitaja kwenye urembo
Hiyo ya nguo za ndani sasa sielew naanzia wap
Anza kwa kuchukua mzigo na kutafuta wateja. Mtandaoni, msofisini, kwenye magulio
Biashare yanguo zandani hii naona nanimewah kuuza shida sikufanikiwa flem ila inafaida
@@JenipherNzali unaweza kuanza Bila ya kuwa na frem
Asante sana
Thanks
Asante
🙏🙏🤝
Blessed
Asante