Na DR Cheni ni MC mzuri sana kuendesha shughuli especially Harusi imechelewa kuanza. Yan huwa yuko vizuri sanaa, na kama mkiwahi kuingia mtacheza sana mpka mfurahii.. kwakifupi anajuaa mnoo. Kila harusi nlioenda alf Cheni akawa MC huwa inakua nzuri sanaaaa
Kama ni kweli kanumba alikuwa ana mfadhili ndio maana kazi zake zilipaa sana, mbona movie ya uncle jj haina bajeti kubwa lakn ilikubalika mtaani, kubali usikubali kanumba alikuwa ana kipaji chake tu hamna cha mfadhili wala cha mfadhila, rest in peace the most handsome actor😢😢😢😢
Nice interview but Chen kuhusu tamthilia ya tausi hawakuwa watu wanne walikuwa zaid ya wanne.......kulikuwa na Mr sugu mama Linda na Linda mwenyewe Baraka n.k
Kuhusu kanumba amejibu vizuri sana
Doctor cheni ndio katoa majibu ya muda mrefu ambayo watu wengi wameshindwa kuelezea uhalisisia wake Big up Mc Chein
Kuhusu kupotea kwa bongo movie
Kabisa leo ndio nimegundua lakini kando na bahati Mareh Kanumba alikuwa ni kichwa
Binafsi nilipenda Sana movie za Kanumba
Fantastic interview big up sister Salama
Muito obrigado Chen
Na DR Cheni ni MC mzuri sana kuendesha shughuli especially Harusi imechelewa kuanza. Yan huwa yuko vizuri sanaa, na kama mkiwahi kuingia mtacheza sana mpka mfurahii.. kwakifupi anajuaa mnoo. Kila harusi nlioenda alf Cheni akawa MC huwa inakua nzuri sanaaaa
Salama mlete eng, HERSI
Awesome cheni👌🏽👌🏽👌🏽
Dr Cheni MC bora zaidi jutokea tanzania na muigizaji mkubwa sana
Salama tuletee mzee mpili
Mbinu ya kukusanya mkwanja ndiyo nmeipenda ndiyo maana nilipishana nae Equety ana bag ya mkwanja,
Sio Sanaa tu na kumek Kuna saidia
Nmeigundua hiyo
Kama ni kweli kanumba alikuwa ana mfadhili ndio maana kazi zake zilipaa sana, mbona movie ya uncle jj haina bajeti kubwa lakn ilikubalika mtaani, kubali usikubali kanumba alikuwa ana kipaji chake tu hamna cha mfadhili wala cha mfadhila, rest in peace the most handsome actor😢😢😢😢
Sasa nani amekataa hakuwa na kipaji Kuna mfadhili anaweka hela sehemu ambapo hamna kipaji jibu no
Great actor of all the time
Kaole moja
Big up salama, nice interview Doc. Salama naomba utuletee kibonge tozi au Kabir Kuvichaka zee la kujibrand asee
Leo nimekuwa wa kwanza hapa leo
Dr Chen🔥🔥🔥
Cheni yupo vzuri na ana exposure ya maisha
cheni haringi jamani nshakutana nae mara kibao
Please Salama mlete JB bonge la bwana
❤
I just noticed yule mdada wa chakula hajakuja!
Dr anapenda chai
@@Joy-bc2ph ohh okay
Iyo cheni yake ni garama ngapi ? 😅
Mbona safarii hii hamna chakula?
Nice interview but Chen kuhusu tamthilia ya tausi hawakuwa watu wanne walikuwa zaid ya wanne.......kulikuwa na Mr sugu mama Linda na Linda mwenyewe Baraka n.k
💐
👌🏽🙌
Kumbe Ya kitambo uwiii duh tangu harusi Ya Nady
Binafsi naona ulifanya kazi nzuri kwa harusi ya Nandi