Kiukweli Dr Cheni ni mtu poa na so humble,Yani Hana mambo mengi,me nimesha interact nao mara Moja mbili ni bonge la mtu poa, Watanzania msimuogope,ni maarufu lkn mwana sana,big up Dr cheni
Docta cheni hazeeki,,nilianza kumjua akiigiza mchezo wa tausi mie nilikuwa mdogo hadi sasa nina miaka 40je hadi sasa atakuwa na miaka mingapi yaan hazeeki
Acheni ulimbukeni, kutokuzeeka siyo sifa kwani kila stage ya maisha ina sifa zake,mzee wa miaka 60 kujipaka dye ni upungufu wa akili na low self esteem!Accept your age and other things fall into place !
Kiukweli Dr Cheni ni mtu poa na so humble,Yani Hana mambo mengi,me nimesha interact nao mara Moja mbili ni bonge la mtu poa, Watanzania msimuogope,ni maarufu lkn mwana sana,big up Dr cheni
Mashaallah Dr. Cheni toka msimbazi mseto sharif shamb ni kaka mwema sana na nidham na adabu ya juu mashaallah
Allah akuhifadhi
Hongera kaka kazi nzuri hunaga mambo mengi kweli ukijiheshimu unaheshimiwa.
Hongera doctar acheni ni zamani hakuna kuzeeka jamaniii 😂😂❤❤
Uko vzr sana kaka Mungu akuinue zaid
Upo vzr sn huringi km.mafulan.ndio maana hakupata hy nafasi
uko vizuri sana cheni pamoja
Nakukubali Dr Cheni tulikutana ilkua siku ya walemavu big up my brother 💪
Safiiii 👍❤❤ namkumbali mwamba sumbili yangu utakuja 🙏🙏🙏
Hongera sana Doctor cheni
Dr cheni yuko vzuri
Mc best kbsaaa ktk kazi yke❤❤❤
Mc wa Taifa.dr Cheni Mungu akutunze ushereheshe sherehe zte kubwa.
Hongera sana mkwe wangu Dr. Cheny
HONGERA SANA DOCTOR CHENI
Dr chen HAZEEEKI JAMANI
YY,ALIKIBA,WAHENGA WANATUNZA MIILI YAO
Yuko vizuri sana
Ayo akoseagi watangazaji Vido hupo vzr sana na una maswali ya msingi sn congr
Asante sana 🫶🏽👊🏾
MC Dr cheni ni MC na nusu msikivu na anajua sana kupagilia mambo yake mtu powa sana
Safi sana, uko vizuri kijana 🤝
Mc cheni🎉
Jamani sikuelewi kwanini nampenda sana Vidox
Natamani sana uwe mc kwenye Harusi yangu, kwenye maokoto sasa 😢😢
Jipange
Duh sherehe kubwa hivyo siyo mchezo
Hongera sana Doctar cheni. Kwanza kwenye cherehe umetulia na huko smart. Kwa muda unaenda vizuri sana. Ubarikiwe na Bwana
Ma mc wachanga waje kujifunza hapa😂ila gara b pia mc wangu pendwa.hawa wawildr chen na gar what gara B😂❤❤
Mc wangu pendwa huyu tangu enzi hizo alisherehesha harusi ya mdogo wangu
Kila la kheri dr cheni katika kazi ya mikono yako
Kweli Dr Chen yupo poa sana,jamaa hana zarahu kabisa,nimekutana naye pale mkuki nikampa hi yupo poa sana Kwa kweli
Huyu brother anadumu kwa sababu anajitambua saana!
Dr Chen he is getting old now
Docta cheni hazeeki,,nilianza kumjua akiigiza mchezo wa tausi mie nilikuwa mdogo hadi sasa nina miaka 40je hadi sasa atakuwa na miaka mingapi yaan hazeeki
Weeeèe mbona mi sikumbuki kama cheni alikuwepo kwenye mchezo wa tausi alikuwa sehemu gani embu nikumbushe kidogo
Acheni ulimbukeni, kutokuzeeka siyo sifa kwani kila stage ya maisha ina sifa zake,mzee wa miaka 60 kujipaka dye ni upungufu wa akili na low self esteem!Accept your age and other things fall into place !
Kwakweli kuhusu muda Mimi nakubali kuna harusi pale mirado uliifanya 2014 ilikuwa nzuri sana ulienda ndan ya muda
Yaani walichukua dj safi cheni Hana mambo mengi
Vido vyote nimesikia ila ratiba yako ya kufunga ndoa baada ya miaka mitatu au minee imenichekesha aisee 😂😂😂
Huyu mwamba majina yake halisi huwa anaitwa nani? Nampenda sn alivyo tu😊
Muhsin Awadhi
Yea
mahsein awadh
Yn uyu. Ukiwa na kichen oaty senfiof ata birtjiday ukimtaka samia unamoata na anakuja
Eee we mwenzetu mtu wawap mbona sijui unandika kwa lugha gani kiswahili au kingereza