Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Jamaa yuko humble anajua kujieleza haongei ongei tu kujikweza yan anajielewa zaidi
Madonga 😂😂😂 i like this guy
Salama kuna huyu kijana anaitwa Diana Chando. Tunaomba mtupe uwanja wakumjua anawakilisha taifa kwenye ngazi za juu sana kwa marais mbalimbali. Watu kama sisi tunatamani kujua safari yake. Muiteni uwanjani
Mfaume mfaume humble person
Hamna kitu,mbwembwe nyingi
jamaa atafika mbali sala sbb anaadabu sana
🏁👊👊
❤❤❤❤❤
kunamaisha mengine baada ya boxing
Mfaume humuwezi mwakinyo
Mwakinyo wa kawaida Sana mzee hujiulzi kwanini anawakimbia wabongo
Mwakinyo kwa uwezo wa kupigana hamwezi mfaume kabsa sema amebahatka kuwa na jina kubwa ndo mana hataki kabsa kucheza na mfaume
Pafu la kuku