MWAKINYO AFICHUA MPANGO WA KUUAWA/ "NILIWEKEWA SUMU"/ AMTAJA BABU TALE/ "HANA HELA YULE"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 дек 2024

Комментарии • 123

  • @HajiMasmenti
    @HajiMasmenti 5 месяцев назад +1

    Mwakinyo umeongea kwa hekima sana ni kweli vita haiitaji mtu muoga.pambana mungu ndo kilakitu.

  • @tomlukonge293
    @tomlukonge293 Год назад +5

    Yes nimeichukua iyo ‘’*uwezi pigwa mawe kama auna kitu*’’

  • @aleyidukury8333
    @aleyidukury8333 Год назад

    Shida yako mdogo wangu unapenda kujibu kila unacho sikia punguza dharau kijana acha tukujibie ss ww fanya kazi yako usijifanye unajua kukasirika Sana unasemwa vibaya mungu utakuwa ww

  • @billysavage9746
    @billysavage9746 Год назад +3

    March respect 🫡 brother nakubali sana una confidence na majibu yako it means ubaatishi unayo yajibu one ☝️ love ❤️ Tanga Boy 👦

  • @farajifundi1160
    @farajifundi1160 Год назад +3

    Pole sana mwakinyo mwenyez Mungu atakulinda

  • @salminisaleh9249
    @salminisaleh9249 Год назад +1

    Ndugu Yangu Salute Sana .Andelea Kupambania Ndoto Yako. Tupo Nyuma Yako Dua Nyingi Kaka Tanga Boy
    Tanga Kwanzaa

  • @dominicrobert266
    @dominicrobert266 Год назад +4

    Mimi ni mkosoaji sana wa champez ktk mambo mengine,lkn exclusive ya Leo kanifurahisha sana.

  • @chegemazuku2623
    @chegemazuku2623 Год назад +1

    Brother Hassani Mwakinyo nimekuelewa sana juu ya History ulioitoa,,maana ata uku mtaani kwenye harakati zetu za maisha hayo mambo tunayapitia sana Tena sana!

  • @joanesasalavaleriano9980
    @joanesasalavaleriano9980 Год назад +3

    Pole sana Kaká n changamoto

  • @mkulimatanzania
    @mkulimatanzania Год назад +9

    Nadhani ifike atua wasanii wapate training ya interview. Bro Mwakinyo unajua kiingereza angalia Antony Joshua anavyotoa interview. Stay hungry, stay humble and keep focusing. Usiwe una mashauzi kama umefika still upo maskini sana pambania kuleta utofauti kama uyo Diamond kwenye ngumi. Naamini ulikua una nafasi kubwa sana kuleta mageuzi kwenye mchezo wa ngumi but naona umeona umefika. Misifa mingi sana. Ayo ni yangu

    • @bakarithegeoinformatician7406
      @bakarithegeoinformatician7406 Год назад

      Huyu ni Mwankinyo na sio antony

    • @bainolatino3412
      @bainolatino3412 Год назад

      Kweli anaona kama amefika hivi jamaa

    • @salminisaleh9249
      @salminisaleh9249 Год назад +1

      Brother Jitihada Za Mtu Huwezi Kuelewa . Mwacheni Ajivune Amesota Mpaka Hapo Alipo Ni Mafanikio Makubwa Kwake So Tupunguze Makasiriko Mwacheni. Ajivunie Alichokihangaikia

  • @championchumalaizerlazier3537
    @championchumalaizerlazier3537 Год назад +1

    Nichangamoto ya kimaisha brother Ila mungu awe wetu zote one ❤️

  • @RuzoOwzy
    @RuzoOwzy Год назад +3

    Mwakinyo anajifunza kutoka kwa May Weather. Mambo ya mtandao ni kitu May Weather anakipenda. Kina hela ukikifanya vizuri.

  • @iddydaruwesh8650
    @iddydaruwesh8650 Год назад +2

    MWENEHU ALLAH AKULINDE SWAHIBA WANGU. KUNA KITU UMEFAURU HAPA DUNIANI NA KEWHO AKHERA BARAKA ZA BIMKUBWA UMEPATA. KUMBE NDIVYO WALITAKA HAWATAKUPATA KWA IDHINI YAKE ALLAH

  • @zainabmaulid9637
    @zainabmaulid9637 Год назад +2

    Mwakinyo mm nakukubali sana ujue ila umekwama wapy bro mbona unapotea haraka bro Fanya kwel urud ulingoni%

  • @jeremiahluki7896
    @jeremiahluki7896 Год назад +14

    Ndiyo Mambo ya Africa huku ukiwa na kipaji watu wanakuua wakikukosa wanaua kipaji chako pole sana Mwakinyo

    • @زيتونتنزانيا
      @زيتونتنزانيا Год назад +1

      Kweli kabisa

    • @athumanmakunja941
      @athumanmakunja941 Год назад +3

      Wameshauwawa wangapi apa kwetu Tanzania😂 uyu jamaa ni mpuuzi tu kwa hela ipi alionayo mbaka awindwe. Kuna mda ukiwa mpuuzi unajiona kila mtu mbaya tu

    • @nativeGold.10
      @nativeGold.10 Год назад

      Ofcourse yan

    • @highthemetv7857
      @highthemetv7857 Год назад

      ​@@athumanmakunja941 wewe mwenyewe unamjua mwakinyo yeye hakujui ...angekua mtu mdogo usingemjua

    • @shadrickmwanjabalaMwanja-vi8fe
      @shadrickmwanjabalaMwanja-vi8fe Год назад

      @@athumanmakunja941 we mbona hufamiki apo ndo ujue anakitu kakuzidi ko kuandamwa ni kawaida acha upuuzi kaka janjaruka usiwe kama msukule🏃🏃🏃

  • @jizzomonster
    @jizzomonster Год назад +1

    Umeongea point sana mwakinyo

  • @sadunabdallah7303
    @sadunabdallah7303 Год назад +7

    Mshamba sana uyo babu tale wote wivu2

  • @aliomari5961
    @aliomari5961 Год назад

    mwakinyo ulikuwa mkali kitambo ulianza mbwembwe,,sa hii umaarufu unakuacha,,mabondia hata ambao hawakua na jina kama mandonga wamemtanguliza Allah mbele,,juhudi pamoja na azma saa hizi wanakula bata,,,wewe endekeza uswahili na imani za kiganga utaambulia patupu,,chanuka akili akili zako zakujifanya mzungu you will gain nothing,ktka kila jambo failure is the begining of success if you fail try again. wacha utoto its your time to make tanga,,,shine' wacha uswahili,,we are really proud of you,,,but your pride will cost you one day ,,one love bro#+254

  • @islamkarata9655
    @islamkarata9655 Год назад

    hawatuweziii nakubali champez✊

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 Год назад +5

    Nafikiri gari aliyotangaza bab Tale ilikuwa ni Land cruiser VX sio crown km Ile iliyotolewa zawadi ktk pambano la akina Dullah

  • @shadrickmwanjabalaMwanja-vi8fe

    Mwakinyo uko fresh kwenye kujibu maswali

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 Год назад +4

    Mungu mwema yani acha wakuchukie ila mungu ndio ana maamuzi yake

  • @maalimseifk-gumuadui123
    @maalimseifk-gumuadui123 Год назад +2

    Tukiachana na madhaifu ya kibinadamu,Lakini Hassan anajitambua nn anafanya,yupo makini sana na anachokifanya......Mimi namuombea Mungu amfikishe mbali sana kupitia carrier yake......Na yote afanyayo .....!

  • @islamkarata9655
    @islamkarata9655 Год назад

    dulax nyoosha (kidole gumba juu ✊✌️

  • @hancykajanjathelimitmusic427
    @hancykajanjathelimitmusic427 Год назад

    Ujumbe mzuri asan bro

  • @real_pachamilionea
    @real_pachamilionea Год назад

    one love champion MWAKINYO

  • @nabiljumbe
    @nabiljumbe Год назад +1

    Mashaallah

  • @kurumwagodfrey7052
    @kurumwagodfrey7052 Год назад +1

    Mwakinyo juu sana

  • @rahimhemed1219
    @rahimhemed1219 Год назад +1

    Bro cc tunakubarik anytime
    Wao watapata ILA awatapata zaid yko MUNGU amesha signal

  • @hilalmohd8941
    @hilalmohd8941 Год назад

    big up 🎉 Tz champion

  • @JumaHabibu-ki7hu
    @JumaHabibu-ki7hu Год назад +1

    Mwakinyo umenikumbusha mbali sana maandazi ya sukari nishanunua sana Tanga

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 Год назад +1

    Mwakinyo si tupo upande wako liwe jua iwe mvua 🤝

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 Год назад +1

    Jamaaa anajielewa sana

  • @richardarord8344
    @richardarord8344 Год назад +2

    Bhana bhanaaa mwakinyo haya bhana wewe ongea sisi tunakusikiliza tu tunaisibilia hiyo Adabu sisi aya ngoja tusubilie.

  • @sakinaomary7207
    @sakinaomary7207 Год назад

    hiyo ni dar,

  • @naimasbuguza2395
    @naimasbuguza2395 Год назад +1

    Mimi nakuelew mwakinyo, viatu vikiwa vipya vinateleza haswa ukiwa unafanya turning. Na ukiwa warusha jab au right coz Zina involve movement za kiunoo nahivyo kulazimisha movement za miguu nakuweza kupelekea ankle

  • @Chemba67
    @Chemba67 Год назад +2

    Huyu mcheza Taaarabu ana shida sana.........

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 Год назад +1

    Si vizuri kuambatanisha na jina la mtu

  • @mgangasamandua464
    @mgangasamandua464 Год назад

    Xaf broo upo xahihi binadam wabaya can aisee

  • @kingbabzubekingbabzube5992
    @kingbabzubekingbabzube5992 Год назад +1

    One Love home boy

  • @predictioneasyodds2779
    @predictioneasyodds2779 Год назад +2

    Ila mwakinyo ana maadui wengi sana

    • @abdulburaheze9582
      @abdulburaheze9582 Год назад

      kitu kizuri ndugu yangu huwa akikosi maaduwi mwenyewe nayapitia hayo

  • @naimasbuguza2395
    @naimasbuguza2395 Год назад

    Yeah, nikama vile timu kufanya mazoezi kwenye kiwanja ambacho kitafanyika mechi

  • @masoudhamad1592
    @masoudhamad1592 Год назад

    Mimi nakuelewa sana sema tatizo lako ni unaongea sana na kiwadharau wengine ukirekebisha hili utatoboa

  • @antidiusegbert5562
    @antidiusegbert5562 Год назад +5

    Shida ya huyu jamaa is thinking beyond reality

  • @abdallahsaid1968
    @abdallahsaid1968 Год назад

    Kina chakujifunzaapo kupitia maneno ya mwakinyo

  • @HusseinRj
    @HusseinRj Год назад +1

    Jamaa Yuko poa sana

    • @zumbeshauri8114
      @zumbeshauri8114 Год назад

      Kuna wengine wanamuona mshamba ila ndio wivu ulivyo

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 Год назад +3

    ila mwakinyo na sifa unazipenda sana kujiona upo juu sana kuna vijana wangapi wa tz wenye vipaji tofauti na wapo wanaendelea na mambo yao wewe uuliwe ili iweje? na umemchukia sana babu tale

    • @salminisaleh9249
      @salminisaleh9249 Год назад

      Vipaji Wanavyo Sawa Lakini Jitihada Zao Hafifu. Yeye Kajitahidi Kasota Kapambana Katumia Muda Mwingi Nguvu Nyingi. Mungu Akamuona Naye so Muacheni Ajivunie Alichokihangaikia

  • @lloveyoutanzania5315
    @lloveyoutanzania5315 Год назад +1

    Mwakinyo wangu anapigana ngumi pamoja mtandao 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @nimrodsigulu6249
    @nimrodsigulu6249 Год назад +1

    Mwamba anajikuta Sana huyu...😃😃😃

  • @hanafisaidi5516
    @hanafisaidi5516 Год назад

    Namuelewa sana sema ulinichaniaga mkeka wangu wa milio. 14,000,000 sema bado damu yangu komaa kwenye gemu hata sisi changamoto hizo twaziona sana mtaani komaa wewe waipepe lusha bendela yetu vyema sana

  • @AmosSniper
    @AmosSniper Год назад

    Namkubali sana huyu mwamba, ndiye bondia bora Tanzania kw kizazi hiki

  • @fadytashfeen8090
    @fadytashfeen8090 Год назад +2

    Champez one time

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 Год назад

    Hata shetani hapendi Mlevi mcheza kamali anapenda anapenda msikitini na kanisani😂😂😂😂😂

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 Год назад

    Ushauri Wangu Usipende Mazoezi Ya Jimu Sana Kapande Milima Na Piga Miti Mawe Kukuza Uzito Wa Ngumi Jiwe Nasio Kupiga Masipochi Ayana Faida Na Mashine Za Mbio Pia Azina Faida Kwa Pumzi Unakimbia Apo Apo2 Ukanyagi Hata Jiwe Simama Kama Zamani

  • @saluyaadamz
    @saluyaadamz Год назад

    Mi namuaminisana mwakinyo

  • @Marjeby
    @Marjeby Год назад +4

    Huyu mtanga kitu kikubwa kabisa kinacho msumbua ni ukosefu wa elimu haku muelewa mama yake kipindi ana mwambia soma kwanza halafu ndio uendeleze kipaji chako na kibaya zaidi kujifanya kila kitu anacho ongea kama anatumia akili nyingi acha utoto wewe akili utazitoa wapi wakati cheti ulichonacho nyumbani ni cheti cha kuzaliwa tu

    • @RobbyDejan1234
      @RobbyDejan1234 Год назад +1

      Akili sio cheti bro vyeti hata machizi milembe wanavyo.😂😂😂

    • @mgenihanen7837
      @mgenihanen7837 Год назад +1

      Wewe una cheti uko wapi sasa!acha makasiriko tafuta pesa!

    • @chidybwax8080
      @chidybwax8080 Год назад +1

      Elim yann ss namaisha yass hayaitaj hata elim wanachuo kibao tunapiga nao debe mitumba ilala

    • @kingbabzubekingbabzube5992
      @kingbabzubekingbabzube5992 Год назад +1

      Sawa wataka asome somo gn na kz yake ni mvulumuano wa mangumi naskuiz ukisoma sana huo nimtego unaweza letewa offa ya ushoga ukaichukulia poa kwahiyo kikumbwa home boy wetu amtambue Allah

    • @tonynganyange1481
      @tonynganyange1481 Год назад

      Team makasiliko

  • @platinummarcus1341
    @platinummarcus1341 Год назад +1

    Nimependa ukataji wake wa maneno, ni kama Mwana FA. Alafu naona anaongea poa sioni shida hapo ni nini? Ila kakosea aliposema kuwa wengekuwa watu wa DSM

  • @PUTINN365
    @PUTINN365 Год назад

    Wanadam😢😢

  • @uwesurwambo3666
    @uwesurwambo3666 Год назад

    Sema nn mwakinyo jfunze kingreza mdogowangu

  • @abdulirashidi8439
    @abdulirashidi8439 Год назад +1

    Alikul maandazi ya sukarii😂

  • @PUTINN365
    @PUTINN365 Год назад

    Ukiwanacho watakuloga ukiwa Huna hivohvo

  • @barazamwaja3868
    @barazamwaja3868 Год назад

    umekua maneno mengi ngumi kidogo

  • @ramadhanmtoo245
    @ramadhanmtoo245 Год назад

    yani mwakinyo mm ni shabki yako kindaki ndaki yani ila ninalo jambo laniuma sana natamani sku moja nionane na ww niongee na ww jambo moja tuu yani wee acha tuu

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express Год назад

    Hii video niliiona wiki nyingi zilizo pita, au ni muendelezo!?

  • @sumamelody6197
    @sumamelody6197 Год назад

    Kinacho ua kipaji cha huyu chalii ni mdomo wake mwenyewe

    • @Mshuzacharles
      @Mshuzacharles Год назад

      tatizo timu yenu imezoea bakuri ndo maana mpaka wachezaji wamerisi.🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @abdallahabdulaziz3683
    @abdallahabdulaziz3683 Год назад

    Siku akipigwa nitafurahi Sana maana sio bondia Tena Bali kashakuwa mtangazaji na mwongeaji Sasa , siku hizi namkubali Sana Twaha kiduku ndio true boxer tz huyu mbabaishaji na mbahatishaji anaogopa kukosea tangu alipopatia Mara ya kwanza anaogopa kuuharibu Tena kwa hofu ya kukosea.

    • @islamkarata9655
      @islamkarata9655 Год назад

      m#enge Sana w~w~😄

    • @abdallahabdulaziz3683
      @abdallahabdulaziz3683 Год назад

      @@islamkarata9655 si ndio ukweli huo bro mwakinyo hataki kupigana Tena sababu anaogopa kupigwa sio mpiganaji atafute kazi nyingine ya kufanya hiyo haiwezi.

  • @maarufumustwapha7445
    @maarufumustwapha7445 Год назад

    Hassan Hassan Hassan hassan

  • @yujinxhing3766
    @yujinxhing3766 Год назад

    Ila huyu jamaa ni mashauzi

  • @mustaphahashim7532
    @mustaphahashim7532 Год назад

    Bwegee tu huyuu hana jipyaa ni ujinga mtupu

  • @mirroyjunior8348
    @mirroyjunior8348 Год назад

    📸📸📸📸📸📸

  • @lama6310
    @lama6310 Год назад +1

    Wewe Fanya Vyotee Kuma Wewe lakin Sisi Tunamjua Twaha Hawez Kufanya Usenge Huo.Endelea Tu Kuchamba Ila Mambo Ya Sumu Msingizie Mwingne .

    • @Mshuzacharles
      @Mshuzacharles Год назад

      tatizo timu yenu imezoea bakuri ndo maana mpaka wachezaji wamerisi.🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @hamisibaharia-bl9og
    @hamisibaharia-bl9og Год назад

    Ngja ukutane na twaha akuue ata ukikataa ulingni atakuua ata MTAan pumba ww

  • @cleartzboy
    @cleartzboy Год назад +1

    Unaleta nguo wakt wakt watu wanataka ngumi boyaa kwel

  • @mindicarrashid3131
    @mindicarrashid3131 Год назад +2

    Kumbuka ulisema umetoka familia bora ukichimba uwanyani kwenu utatoa vipande vyasubaru. Sasa ilikuwaje ulale chini chumba kivuje

  • @aisharamadhani1948
    @aisharamadhani1948 Год назад +1

    Misifa kibaooo

  • @ManzabaySalim
    @ManzabaySalim Год назад

    Kiki za ajabu tanga wangapi mabondia wa maana na hakuna hio story

  • @jumbekipeme1441
    @jumbekipeme1441 Год назад

    Mwakinyo wewe pambana tu dogo

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 Год назад +1

    Sumu uwekewe ili iweje.. utasaidia polisi

    • @mashramadhani1989
      @mashramadhani1989 Год назад

      Aisaidie polisi kwani kamtuhumu mtu Kwa jina lake? Muacheni aongee tu.

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 Год назад

      @@mashramadhani1989 atamtaja polisi.

    • @mashramadhani1989
      @mashramadhani1989 Год назад

      @@josephlorri431 haiko hivyo hapo unamaanisha polisi wamkamate mwakinyo Kwa kauli yake? Hawezekani na hata watoa shuhuda waliokuwa majambazi wauwaji wachawi wakitushuhudia humu RUclips hawajawahi kukamatw.

    • @athumanmakunja941
      @athumanmakunja941 Год назад +1

      Uyo ndo mtu wa pwani halisi bwana😂😂 kwa pesa zipi watu wamfanyie mawindo ivo jamaa anaumwinyi flani ivi ni wakumpotezea tu

    • @bigtime593
      @bigtime593 Год назад

      Asaidie police ataje huyo mtu na huo mgahawa, huyu jamaa hakuna kitu kichwanj huwezi ongea hivo ni kesi ya ujibu hiyo dogo

  • @ibrahimsamson4193
    @ibrahimsamson4193 Год назад

    Wewe bhana unaongea Sana...mswahil n mswahili tu

  • @Chemba67
    @Chemba67 Год назад

    Tuma video uliyofanya sparing na Terence Crawford? I doubt if you had such worthful chance with him. Cant say its impossible but your profile is too low for such opportunity.

  • @naimasbuguza2395
    @naimasbuguza2395 Год назад

    Yeah, nikama vile timu kufanya mazoezi kwenye kiwanja ambacho kitafanyika mechi