Daaah Bora Matukio Yange Tawala ya Uwanjani Ya Simba day Ya Mwaka jana na Mwaka Huu pia Ingekuwa poa zaidi Mngepata Footage toka Azam za Mashabiki wakiimba Wimbo kabisa Nadhani ingeleta Maanaa Halisi Ya Anthem sasa Hii video Footage zilizo tawala niza Lyrics video Na Studio Kidogo zilizo leta vibe niza simba Day Ya Mwaka Jana kiukweli Hapaa Alchama Amekuwa Mzembe wa Kufikilia Hii official Video niya kawaida Mnooo ingawa palikuwa na uwanja mpana wa kupata Vitu Vingi kwenye hii Video na ikaibua upya hisia za Mashabiki
👏 Nakubaliana na wewe 100% hasa footage za studio hazikuwa na sababu kabisa ( pia hazina vibe ) kwa mtazamo wangu ni bora zisingetumika, pia lyrics transition binafsi jinsi zinavyoingia naona haikai poa sana🤔
Hii itaangaliwa na mashabiki wa Simba Kwa Sana,hata marehemu Joseph kabasele Yampanya aliwahi imba kuhusu Yanga na kuhusu rojamila ila Kuna vitu kama unavyosema hajaweka
Wakwanza naomba like
Maniva we
Am here from tiktok after watching baby SABRA SIMBA kwa account ya MCEJO EVENTS and let me tell you😊the song is🔥🔥 love from🇰🇪🇰🇪
Daaah Bora Matukio Yange Tawala ya Uwanjani Ya Simba day Ya Mwaka jana na Mwaka Huu pia Ingekuwa poa zaidi Mngepata Footage toka Azam za Mashabiki wakiimba Wimbo kabisa Nadhani ingeleta Maanaa Halisi Ya Anthem sasa Hii video Footage zilizo tawala niza Lyrics video Na Studio Kidogo zilizo leta vibe niza simba Day Ya Mwaka Jana kiukweli Hapaa Alchama Amekuwa Mzembe wa Kufikilia Hii official Video niya kawaida Mnooo ingawa palikuwa na uwanja mpana wa kupata Vitu Vingi kwenye hii Video na ikaibua upya hisia za Mashabiki
👏 Nakubaliana na wewe 100% hasa footage za studio hazikuwa na sababu kabisa ( pia hazina vibe ) kwa mtazamo wangu ni bora zisingetumika, pia lyrics transition binafsi jinsi zinavyoingia naona haikai poa sana🤔
Hii itaangaliwa na mashabiki wa Simba Kwa Sana,hata marehemu Joseph kabasele Yampanya aliwahi imba kuhusu Yanga na kuhusu rojamila ila Kuna vitu kama unavyosema hajaweka
Yeah @@simbasctanzania255. #alikiba. #@simbasctanzania255
Sio Leo Toka zamani nampenda King kiba ( mnyama) 🥰🇺🇬🕺
Nakubali sana ngoma zako mfalme wa mziki Tz na Africa nzima yani tuna uwasha moto
Alikiba is the simba in tz❤❤❤❤❤
much love from kenya
Wimbo Wa Milele
Hatari
Kingkiba
Aliyegonga Beat ni mtabe kinoma 🔥 Lifetime Anthem. Many generations will sing it
KingKiba 🇻🇬🇻🇬🇻🇬
Since day one on way mnyamaaaaa
Daaaaah 🎉. Bado yanga bingwa ni nzuri tu akuna na muna APA jamaini harmonize 🎉🎉🎉🎉
From🇨🇩🇨🇩 na mkubali king Ally
Pole king mimi ni shabiki wako toka kidato lakini mbele daima nyuma mwiko
Kaka 2024 unafanya balaa invyohivyoo wakalishe.good thing all the best.
Balaaa balaaa
Simba diamond platinumz mnyama, king never give up
❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥
Excelente a música esta de parabens meu KINGKIBA
❤❤❤
That's i always said that king 👑 kiba is never disappointed
Mziko ni mkali vibaya siku zote king ni moja tu
😢absolutely King kiba
Angalieni leo hao pamba wasije wakasababisha kupewa kadi nyekundu
UBAYA UBWELA❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
🥰🥰🥰 hii nyimbo hata nisikilize mara mia bado unanishawishi kuusikiliza
Embu wana simba 🦁 kuweni serious timu inamashabiki wangap alaf 9hours ago nyimbo ina 10K
Wawoooo nice one brother ❤❤❤❤❤❤🎉
Sio leo toka zamani mnyama hana mpinzani
Umetisha King
King 👑
Amazing 🔥🔥🔥🔥🔥
🎉🎉🎉🎉
king 👑 much love from 🇰🇪❤️🙏💪
Nzuri Sana 🎉❤
Tanzania nzma hakuna msanii wakufikia katka kuimba
Wengne kazi izi msitafu kazi na umri wajina 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Mwijaku anaupiga mwingi
Kina katishaa WANANCHII tujuane gonga like kama we ni MWANAANCHII goma la sports
NYIMBO NZURI, VIDEO MBAYAAAAAAAAAA😂
Ubaya ubwela
King Kiba umesahau tuko na Gor Mahia apa Kenya Pia ni Simba
Unyama ni mwingi KING 👑
❤❤❤❤❤❤❤simba nguvu moja ubaya ubwela
Mapema nimewahi 😊mnipitie pia jamani 😊😩
Kenyans wangapi tuko hapa some like tukisonga ❤
King 👑💖💖
Tanzania number 1
Kama unapend Alikiba nka mimi kamata ku pica yang nipe na mimi
❤❤❤❤dar ❤❤❤kenya❤❤❤❤❤
Alikiba.
Kama umewahi mapema piga like moja hapa
King forever 🔥🔥💯
Mnyamaaaaaaaaaaaaa♥️♥️♥️♥️♥️🔥🔥💥💥
Niko Wa kwanza😊 nipe like zangu jameni❤❤
Nguvu moja 💪♥️
Hit song ya milele
Mimi sio Simba ila napenda nyimbo za kiba ikiwemo hii
mimi ni yanga ila huu wimbo mkali sana...
Mi yanga ila Ngoma kiba katisha
Unajua
Yooo❤ kiba
🎉🎉🎉🎉🎉 Mnyama KING KIBA
🔥🔥🔥
Amukubali Simba kweli 😂😂😂
Yoooh🎉
Umeshawatia gungu wa mikia fs
Nomaa
Kingkibaaaaaa mbn kimya kimya hi video
Huyu jamaa anajua maana ya wimbo wa timu
Hutakiw kutaja kocha wala wachezaj maana ni watu wa kupita
Huu wimbo ni wa milele simba
We ni mnyama
🔥🔥🦁🦁
Simba Anthem
Wa kwanza mimi king
King🔥🔥🔥🔥
Lete its mpya iyo ya zaman😢
From rwanda nipeni like zangu
sio Leo toka zamani
Mi binafc cjapinga nimeipitisha
Mapemba ndo best
Gg ALI KIBAAA❤
Kaka wimbo ulishatoka leo unaludia tena haaa jamani
Achana nae Hana jipya anaboa2 mashabk wake
Mbna utauskiliza hata 2050 mungu akikubariki uhai Mimi niakuombea uishi miaka elfu Moja ila hii nyimbo kuchuja labda ibadilishwe jina❤
Mujaku peke a finika video i like this guy 😂😂😂😂😂
UNYAMA WAKUTOSHA 🎉
Unamjua simba? 🔥🔥🔥
King🔥🔥
Kngi
Una nyota kk😂😂😂😂
Let’s go 🔥
👑👑🔥🔥🔥💯💯
King is King 🔥🔥🔥
GONGA LIKE KAMA UNAAMINI HII NGOMA KALI KULIKO ZOTE ZA SIMBAAAAA❤❤❤❤❤❤🎉
Nakubali
Simba🎉
Watoto wa Dar
Wimbo wa dunia
🔥🔥🔥🔥🔥
hili goma lilitakiwa liwe la yanga kabisa
Love song