Huu wimbo wetu wanamsimbazi wa muda woteeee.....big up brother king kiba umewaza mbali sana kutomtaja mtu yeyote maana watu huja na kupita ila simba ipo milele
Alikiba ni artist mwenye IQ kubwa sana mwimbo Haujataja majina ya wachezaji, viongozi wala mtu yeyote kalijua Hilo maana mtu ataondoka lakini Simba itaendelea kuwepo. SIMBA NGUVU MOJA🦁🦁🦁🏆
Ally Kiba sasa wimbo huu unaenda kuwa no. 1 kwenye trending. Raha ya Simba ndio hiyo, wale waliokuwa wanakubeza kwamba wao wanatrend wanaenda shushwa na hili dude, nakuhakikishia wimbo huu utakaa namba moja kwa zaidi ya wiki.
Alikiba ni muandishi mzuri na huu wimbo utaishi kizazi na kizazi koz uandishi alioutumia siyo wa kutaja majina ya wachezaji au viongozi koz unaweza ukamtaja mtu kwenye wimbo then akahama timu au kustafu soka so ni idea nzuri sana ❤❤
Waoooo hiii kalii na ndio wimbo umevunja record RUclips kwa kuangaliwa na watu wengi kwa mda mfupi jmni naipenda Simba kwanzia SAs nahamia mnyama mnipokeee, naomben likes zangu
Huyu ni mtu na akili zake anajua Tanzania ni nchi ina hishima yake tnx so much hata watoto wetu hawako hatarini kwa mziki wako shukran sna kujikubali kua Mtanzania mwenye kujihishimu muache yule hana jipya fanya kazi nzuri
Jamanii kumekucha huku Kweli king 👑 ni King 👑 tu 💯✅ hata waseme nini huyu jamaa Bado mkali sana 💯👌 acha Mungu awatie nguvu Kwa kazi nzuri 💯 Nice and good music 🎶💯 forever ♾️
Nilikuwa mshabiki wa yule mtoboa pua anaye jiita Simba kumbe uto rasimini sasa mimi ni mshabiki wa king kiba na king music kwa ujumla umenitendea haki kwenye chama langu na pia sio mtu wa sikendo. Allah akujahalieni kheir kwenye maisha yako ya music na maisha yako nje ya music. Hakika ngoma kali na itaishi kwenye vichwa vya wana Simba. Una baya 🦁🦁🦁💪 KING KING KING KIBAAAAA.....!!!!!.
Jamani kila simba ikicheza mashabiki tuimbe kwa nguvu uwanja mzima kuleta hamasa Wimbo mzuri unaimbika,is the song who show what Simba is great club in the world,, if you baliver or not.
Nyimbo bora ya club africa mashariki na kati Nyimbo quality Nyimbo inavibe Nyimbo ina imbika na watu wa rika zote Nyimbo inafaa kwa ringtone mpk alarm Hongera #Alikiba
Daaaaah kidogo nidownload huu wimbo kwa utamu huu nikakumbuka mm Yanga nkaamua yaishe big watani kwa anthem kali Mungu awabariki wote Simba moja, Young Africans 💚 na timu zngne 🙏🙏
Hii nyimbo ni funzo kwa wasanii wengine wanaotunga nyimbo za timu…hakuna kutaja jina la mchezaji wa kiongozi coz havidumu katika timu..but this song will live forever…#ONLY ONE KING🔥🔥🔥
Mimi ni MChungaji,sio shabiki saana wa mpira Ila Huyu mwimbaji Kanifurahisha Kaimba HAJATUKANA WALA KUZALIKISHA WENGINE. Mungu ampe kibali kwenye wimbo wake Amen.
Sijawahi kuwa shabiki wa Ali japo sikuwahi kuwa na shaka na kipaji na uwezo wake ktk uimbaji. Amethibitisha tena kwenye hii na ameitendea haki haswaa brand ya Simba anthem ni kali sana. Simba nguvu moja 💪💪💪
Ngoma limeenda skul...unyama mwingi duuuh...eti sio leo na usijaribu hata kesho, angurumabo SIMBA atasimama nani? Big love from Kenya....u dont know how we love u here....wapi likes za team KIBA🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Watu wanavyosemaga huyu jamaa anajua ni wana ushahidi wa kutosha..King ni aliumbwa kuimba.,kuhusu anthem tafuta wimbo "Joho tena" ndo utajua watu wanazungumzaga nini kuhus King..🙌
Najua king up yanga ila yanga hawa kupi heshima yako me nimekubali kwa ulicho kifanya japo kua nime umia moyo ww kwenda kwa makolo ila nimeipenda kazi yako pamoja san anko king 👑 goma la 💥💥💥💥
Kuna alikiba na Rayvanny. My favorite artists in beautiful land of my country tz 🇹🇿. Nyimbo zenu hazijawahi nikifu Kuzisikiliza. Coz tungo zenu nizaleo , kesho na Hata milele.
Am a Kenyan, this song is so medicinal, repeated it more than 10 times, I think now I need to purchase the jersey. Thank you@Alikiba you made me a true fan of Simba Sc Club
@@albertkatuga2434 kweli kabisa,ilahuu utadumu kwakua haujataja majina ya watu kwakua watu wakati wowote wanahama,ona leo mayele hayupo sasa huo wimbo utakua na maana
@@josephfuni756 uko sahihi ndiyo maana Kiba alisema mtakuja kunishukuru na kunikumbuka hata ikiwa nitaondoka kwa kufariki huu wimbo utabaki milele ni simba anthem
Jamani watanzania wanavyozipigia timu za kwao upato Hadi napata kushishabikia tu bila kujua wachezaji.Mimi shabiki wa simba tayari😂gonga like kama unaikubali simba💪
Hii nyimbo itadumu muda wote, ni nyimbo Bora mtunzi anauelewa mkubwa Sana ndio maana hajamtaja kiongoz Wala mtu yeyote kumpa kiki ni simba na msimbazii, viongoz unaweza kuwataja katka wimbo kesho akatibuana na timu mkapata ukakas hata kuuskiliza wimbo wenyew, hakuna Cha mo Wala kiongoz yeyote, wote watapita lakini simba ya msimbazii itabaki kuwa simba ya msimbazii. Umetisha Sana brother Kwa utunzi maridadi, unyama mwingi.
Kama tunawezaaa kujazaa uwanjaa kwa siku 3 tunashindwa nn kuifanyaa hii ngoma kufikishaa views elf 60 mpakaa jpilii wanachanama na mashabikii wa mnyamaaa tuanzee kuifanyaa kuwa ya ajabuu tokaà leoo mnyaamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaamaaaa hakamatikiiiiiiiiiii ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉❤❤❤❤🚘🚘🚘🚘📢📢📢📢📢📢📢📢📢📢📢
Now ni wimbo wa taifa,❤❤❤tunaomba tukupe na jina la Simba plz tangaza kuanzia leo hili jina Simba la kwako maan kajamaa hakaendan na jina hili,likes kwa king kiba❤❤❤❤❤
Nyimbo namba 1 kwa nyimbo ya tumu ya mupira simba munyama wa Alikiba ni hatari king Kiba na king fally ndo wasani wanga kwenye music wa African hawakosee 🇨🇩
Kwa kweli wimbo huu nimeukubali japokuwa mimi sio shabiki wa simba @alikiba fundi sana
Huu wimbo wetu wanamsimbazi wa muda woteeee.....big up brother king kiba umewaza mbali sana kutomtaja mtu yeyote maana watu huja na kupita ila simba ipo milele
Alikiba ni artist mwenye IQ kubwa sana mwimbo Haujataja majina ya wachezaji, viongozi wala mtu yeyote kalijua Hilo maana mtu ataondoka lakini Simba itaendelea kuwepo. SIMBA NGUVU MOJA🦁🦁🦁🏆
Mbna kamtaja diamond
Umesema ukwel imagine unamtaj mchezaj af mwak ujao anauzw😂😂😂
Umeisikia nyimbo lkn
@@huseinallen6729😂😂😂😂
🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯🤫
Nampenda sana mnyama
Nahamia Simba kwazia Leo,mashabiki WA Simba naomba munipokee,🏃 king kiba respect for you 🇲🇿🇲🇿
karibu
Karib san
Karibu sana 😊❤😊😊😊
krb xn msimbazi
😂😂😂❤❤❤🎉
Ally Kiba sasa wimbo huu unaenda kuwa no. 1 kwenye trending. Raha ya Simba ndio hiyo, wale waliokuwa wanakubeza kwamba wao wanatrend wanaenda shushwa na hili dude, nakuhakikishia wimbo huu utakaa namba moja kwa zaidi ya wiki.
Weye kiboko mejuaje au ni mganga kwamaana ulichosema ndo kilicho saa hii
ruclips.net/video/ZxBcKm7Gp14/видео.html
Yaani nimeurudia kuusikiliza na kuutazama wimbo huu Mara ya ishirini leo...KING KIBA umetuheshimisha mjn aisee💪💪❤️❤️❤️
Yaani we acha tu, mi ndo nimeirudia hata sielewi mara ngapi😃🥰
nakubali KING UNYAM NI MWINGI Ssio leo toka zamani
Alikiba ni muandishi mzuri na huu wimbo utaishi kizazi na kizazi koz uandishi alioutumia siyo wa kutaja majina ya wachezaji au viongozi koz unaweza ukamtaja mtu kwenye wimbo then akahama timu au kustafu soka so ni idea nzuri sana ❤❤
Kabisa🥰
kweli
Brou thinking capacity Yako ni metric tones
Kabisa
Ukweli
Huu wimbo unaenda kumpa Alli Kiba mashabiki wengi wapya, mimi nikiwa mmoja wao. Bonge moja la ngoma. salute salute Kiba
Daah kabisaaah
Nami nikiwepo
Tupo wengi❤❤
Mimi pia aise jamaa kaja amejua kwenda nyakat aise
Vipi kuhusu kupoteza mashabiki wa upande wa pili?
Waoooo hiii kalii na ndio wimbo umevunja record RUclips kwa kuangaliwa na watu wengi kwa mda mfupi jmni naipenda Simba kwanzia SAs nahamia mnyama mnipokeee, naomben likes zangu
Usjal
Welcome 🦁
ruclips.net/video/v7E5KmgxK88/видео.html uga t mix
Pamojaa
Karibuuu🎉🎉🎉
I'm Sudanese..I love Tanzanian people and Simba Club ❤ and this Song...
I'm a fan of Alhilal..Thanks Tanzania 🇹🇿 and people of Tanzania..Asante Sana 😊
Thanks so much Welcome to Tanzania ❤🇹🇿
❤
We appreciate 🔥🔥🔥🔥❤️🇹🇿 welcome too
Hongera sana wajina wangu Ally karibibu sana u nyamani ngoma kali tutakutana kwa mkapa tukiimba pamoja na kucheza
Huyu ni mtu na akili zake anajua Tanzania ni nchi ina hishima yake tnx so much hata watoto wetu hawako hatarini kwa mziki wako shukran sna kujikubali kua Mtanzania mwenye kujihishimu muache yule hana jipya fanya kazi nzuri
Ni mzazi na ana hekma
Umeongea point sana
Bonge la song,Ali kiba Asante sana
Nilikuwa nawaza Ile nyimbo ya Diamond mbona haikupigwa kabisa kumbe imewataja hadi akina Manala mle ndani basi wajifunze kwa kichwa
Yes maua yake apewe
Jamanii kumekucha huku
Kweli king 👑 ni King 👑 tu 💯✅ hata waseme nini huyu jamaa Bado mkali sana 💯👌 acha Mungu awatie nguvu Kwa kazi nzuri 💯
Nice and good music 🎶💯 forever ♾️
Mimi Yanga dam lakin kwa hili goma natoa saluuuuut kwa king kiba.. My favourate 😘
Amin kka
Sure❤
Nilikuwa mshabiki wa yule mtoboa pua anaye jiita Simba kumbe uto rasimini sasa mimi ni mshabiki wa king kiba na king music kwa ujumla umenitendea haki kwenye chama langu na pia sio mtu wa sikendo. Allah akujahalieni kheir kwenye maisha yako ya music na maisha yako nje ya music. Hakika ngoma kali na itaishi kwenye vichwa vya wana Simba. Una baya 🦁🦁🦁💪 KING KING KING KIBAAAAA.....!!!!!.
King Kiba tunakubali sana kazi zako mjini ottawa.
We love you so much brother.
Watoto wa Dar watoto wa Msimbazi dah!! ngoma kali mnoo from kwa Wahaya Bukoba.
Love from Nigeria 🇳🇬
Jamani kila simba ikicheza mashabiki tuimbe kwa nguvu uwanja mzima kuleta hamasa Wimbo mzuri unaimbika,is the song who show what Simba is great club in the world,, if you baliver or not.
Nyimbo bora ya club africa mashariki na kati
Nyimbo quality
Nyimbo inavibe
Nyimbo ina imbika na watu wa rika zote
Nyimbo inafaa kwa ringtone mpk alarm
Hongera #Alikiba
Mimi nabaki natazama sichoki
Hatariii
Aaah wee, unajua simba(mnyama)
Si huyo wa picha(mnyama)...the goosebumps modi alipata after hizo maneno😂😂😂
King Kiba twakumbali🇰🇪🇰🇪🇰🇪
My crushie 🥰 let me tell you Maina.. I usually see this Alikiba napata butterflys in my stomach 😅😅😅❤
❤❤❤😅😅 uko saw bro
Nimependa sanaaaa mwishoni This is Simba sisi ndio mabingwa wa Africa nzima❤... Kwa matumiz ya baadae hii
Hata mimi
Mwijaku sasa😅😅😅😅
Kabisa. Yawezekana huu wimbo ukawa umetabiri hilo. Mungu awe nasi Simba. 2:24
Mimi yanga ila nimekuja hapa kwaajili ya king of Africa kama unanisapoti tujuane. From Tanzania 🇹🇿
Daaaaah kidogo nidownload huu wimbo kwa utamu huu nikakumbuka mm Yanga nkaamua yaishe big watani kwa anthem kali Mungu awabariki wote Simba moja, Young Africans 💚 na timu zngne 🙏🙏
usiogope download tu utaskiliza ata kisiri siri co lzm uskilize hadharan
Pakua kaka utasikiliza kupitia earphones .
Haki ya mungu nikiwa mmoja wao😂😂😂😂😂😂😂daaaah MM NI YANGA DAMU
😅😅😅😅
Unyama ni mwingi
Sou Moçambicano e não percebo Suahily, mas gosto e amo musicas e talento do magnífico Alikiba, se eu fosse musico diria que ele é o meu ídolo. Força
Mnyamaaaa......
Bonge la nyimbo salute kwa king kiba nakubali sana unacho kifanya, #Onelove #Nguvumoja. 🦁🇹🇿🙋
Huu wimbo ndo umefanya ticket siishe mapema 💯,hilo performance lake lupaso utakua unyama sana #KING
Hakika
Kati ya nyimbo moja kali sana ya timu iliwahi kutunga .kazi kwetu mashabiki kuimba kwa pamoja lupaso..❤❤❤
Si tuiregeshe trending hii ngoma wana #simba #ubayaubwela
King KIBA 👑. Huku ni mahali pako wewe umechelewa tu kuja, sio siri brother. Umekamilisha furaha yangu kwa kuwa SIMBA 💪💪💪🦁🏆
Hii nyimbo ni funzo kwa wasanii wengine wanaotunga nyimbo za timu…hakuna kutaja jina la mchezaji wa kiongozi coz havidumu katika timu..but this song will live forever…#ONLY ONE KING🔥🔥🔥
Hakika haichuji maana hakuna jina la kiongozi wala mchezaji...🔥🔥🔥
Fact said
Hakika❤
Best comment in the world 🔥🔥🔥🔥🔥 ishi maisha marefu
Umeona Sasa yule aliyeiba kawataja kina mayele ,amefulia Hadi kina nabi wamo😂😂😂😂😂😂
Moja ya kipaji kikubwa snaa tanzania 🇹🇿 katika kuimba uwandishi na vocal heshima snaa king simba nguvu moja🇺🇸🇹🇨🇦🇪🇸🇸🇺🇸🇸🇸🇦🇪🇸🇸🇹🇨🇸🇸🇻🇦🇸🇸🇦🇪🇨🇭🇹🇴🇪🇸🇬🇧🇸🇸🇻🇪🇻🇦
Hakika
Ume nitupa Nami pia ni jiwe kali 💪 sana Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Nani kajatena leo simba day kusikiliza goma letu❤ubaya ubwela
Karibu sana mfalme KIBA ndani ya Msimbazi!!!!! Ulichelewa sana!!! Chapa kaziiii SIMBA NGUVU MOJA!
Ngoma kali , instrumental kali . Yaani ni bonge la ngoma . Its really deserve to be the anthem of this season . Much love for King kiba
Mimi ni MChungaji,sio shabiki saana wa mpira Ila Huyu mwimbaji Kanifurahisha Kaimba HAJATUKANA WALA KUZALIKISHA WENGINE. Mungu ampe kibali kwenye wimbo wake Amen.
Amina 🙏
Saw mwamposa🙏🏿
Manka kimaro jaman. 😂😂 Karibu Kanisa la UKOMBOZI Arusha
Mchungaji fake, bandia, wa mchongo 😂😂
😂😂😂
Simba hashikikikikiiii🤣🤣🤣 gonga tano 🤜 kama una juwa iyo simba yaki mataifa. Ayaaaa twende mbele. SELEMANI.B from CONGO DRC
Wow huu wimbo umeni toa machozi kiba unajua Sana 💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽
Sijawahi kuwa shabiki wa Ali japo sikuwahi kuwa na shaka na kipaji na uwezo wake ktk uimbaji. Amethibitisha tena kwenye hii na ameitendea haki haswaa brand ya Simba anthem ni kali sana. Simba nguvu moja 💪💪💪
No one on trending unyama ni mwingi sana kama nawe ulisubili kuiona iko number moja on trending gonga like kuonyesha unyama wako 🦁🦁🦁👑👑👑
Ila Mwijaku Bwana
Mwana younga mimi ila mziki wa Mfalme sirahisi kupita bila kuusikiliza mara miya 🎉🎉❤❤❤❤🔥🔥🔥👑👑👑
Woooyooo big up saaana king kiba unasitailii upewee maua yako❤❤❤
Ngoma limeenda skul...unyama mwingi duuuh...eti sio leo na usijaribu hata kesho, angurumabo SIMBA atasimama nani? Big love from Kenya....u dont know how we love u here....wapi likes za team KIBA🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Jicho langu kwa mwijakuuuuu anavyohangaikaaaaa
Tuliorudia NGOMA hii mara mbili tujuane hapa 🔥🔥
Melody 100% ✅
Matusi 0%
N.b unaweza kuimba bila ya kupaisha boss na NGOMA ikawa kali TU
Watu wanavyosemaga huyu jamaa anajua ni wana ushahidi wa kutosha..King ni aliumbwa kuimba.,kuhusu anthem tafuta wimbo "Joho tena" ndo utajua watu wanazungumzaga nini kuhus King..🙌
Fund sana hyu mwamba
Aliuwa sana umo
Nilikuwa nashangaa siku zakaribuni mwijaku na ali kiba zinaiva sana kumbe walikuwa na jambo lao nguvu moja💪
Yani jamaa kaingia aibu mbaya trend tumechukua wenyewe king kiba umepowaaaa umetuheshimisha miaka mianane kama ww ni mnyama gonga like 👍🏼
nomaaa
Najua king up yanga ila yanga hawa kupi heshima yako me nimekubali kwa ulicho kifanya japo kua nime umia moyo ww kwenda kwa makolo ila nimeipenda kazi yako pamoja san anko king 👑 goma la 💥💥💥💥
Uto nenda vidudu Ili myaka10 ijayo ucheze super ligi uto nenda vidudu uto
Kuna alikiba na Rayvanny. My favorite artists in beautiful land of my country tz 🇹🇿. Nyimbo zenu hazijawahi nikifu Kuzisikiliza. Coz tungo zenu nizaleo , kesho na Hata milele.
Sasa king kiba wimbo bora wa mwaka Aise tushindwe sisi tu kila kitu tuko vizuri ❤❤❤❤ kwa Wimbo mtamu
Hakika Unyama mwingi sana, huu wimbo wa taifa wa Simba
Nyimbo bora kwa team no player mention coz players come and go but Simba will forever be there🔥🔥🔥tunatuka tu na nyimbo ya ushindi🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Kingkiba🙌🙌
Ushasema kabsaa players come en go bt team ipale pale
Amaizing song
Jamaa apewe ulinzi huyo
Makolo kula chuma hiyo
Kweli kabisaaa Yani itadumauu forever
The KING!! From Kenya tunakutambua Tena zaidi! Ngoma imeweza! 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
It's how Mwijaku is dancing for me 😂...nimeikubali ngoma🔥
Mwijaku hana maana!! Na yeye kafanya unyama umemuona kumbe!?
Nilikua naona chawa nimemuona pekeangu
Am a Kenyan, this song is so medicinal, repeated it more than 10 times, I think now I need to purchase the jersey. Thank you@Alikiba you made me a true fan of Simba Sc Club
visit Tanzania
Alikiba MNYAMA..ngoma kweli ni unyama..KING you kill it
Tuache utani yanga walitufunika kwa ngoma ya marioo ila kwa hili goma weeeee tumewafunika wao sasa
Unyama ni mwingi
@@albertkatuga2434 kweli kabisa,ilahuu utadumu kwakua haujataja majina ya watu kwakua watu wakati wowote wanahama,ona leo mayele hayupo sasa huo wimbo utakua na maana
@@josephfuni756 uko sahihi ndiyo maana Kiba alisema mtakuja kunishukuru na kunikumbuka hata ikiwa nitaondoka kwa kufariki huu wimbo utabaki milele ni simba anthem
Unyama mwingi
Jamani watanzania wanavyozipigia timu za kwao upato Hadi napata kushishabikia tu bila kujua wachezaji.Mimi shabiki wa simba tayari😂gonga like kama unaikubali simba💪
All the way from Kenya,,, I salute this bang,,, mnyama lina unyama mwingi mno❤❤
Mi sio shabiki wa soka ila huu wimbo ni mzuri safi sana alikiba
Hii ngoma siichoki naamka nayo....nashinda nayo....nakula nayo kisha nalala nayo....bonge moja la hits 🦁💪🙌
Mimi pia 😊😂
ruclips.net/video/ZxBcKm7Gp14/видео.html
@@kamanafikiri9954 noma xn 😂😂😂
Huu ni wimbo wa karne!
Wana simba wanapaswa kutembea kifua mbele kwa wimbo huu❤❤❤❤❤❤❤
Imepenya hiyoooo
Hii nyimbo itaishi milele kwa watu wa simba 🎂🎉❤️🔥
Kwa hii nyimbo Kiba ametuheshimisha Bonge la ngoma
I can't wait uwanja utavyokuwa unaitikia MNYAMA MNYAMA MNYAMA MNYAMA MNYAMA MNYAMA MNYAMA 🎉🎉🎉🎉🎉
Pure Talent, muziki unaodumu. Simba &kibaa ni perfect Combo
Mwijaku anayumba kule nyuma
ruclips.net/video/ZxBcKm7Gp14/видео.html
Pure talent 🥰the IQ of this man is on another level . Come see the MNYAMA ..love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mm mnyama from kenya
Hongera Kingkiba karibu unyamani mwaka huu hatuachi kitu WANASIMBAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA Hatujamaliza Bado Mzungu nguvumoja.
Kesho huu wimbo uwe namba moja hakuna wakutuzuia kengeyoyote
Design ya nyimbo kama za ma World Cup, nice song Ali bin Kiba 👏🏻
Uyu jamaa anajua sana basi tu anatumelody tuzuri sana nimempenda bure aisee
Unyama ni mwingi sanaa hutopolo hawajasema bado yaan mpak waseme ❤❤❤❤😂🎉🎉🎉🎉simbaaa nguvu Moja
Unyama mwingi.timu niipendayo na msanii nimpendae 🔥 🔥 🔥
Hii nyimbo itadumu muda wote, ni nyimbo Bora mtunzi anauelewa mkubwa Sana ndio maana hajamtaja kiongoz Wala mtu yeyote kumpa kiki ni simba na msimbazii, viongoz unaweza kuwataja katka wimbo kesho akatibuana na timu mkapata ukakas hata kuuskiliza wimbo wenyew, hakuna Cha mo Wala kiongoz yeyote, wote watapita lakini simba ya msimbazii itabaki kuwa simba ya msimbazii. Umetisha Sana brother Kwa utunzi maridadi, unyama mwingi.
Ww ni mchambuzi mzuri ❤
Yes🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Best comment .. RESPECT
❤
Mmmh unakitu utafika mbalii
Huu wimbo unafaa kabisa kuwa ndio mahususi kwa klabu ya simba 🔥🔥
Ngoma ya ubaya ubwela jamani ❤❤❤ .Mnyama piga like hapa 2024 July tarh 29. Nimemiss Simba
Mliosema mtakaa trending milele hapo ni wap😊
Mwaka wetu huu,labda Mungu asipende tu,yaaani unyama ni mwingi sana aisee❤❤
All Kenyans should gather here to see the mnyama in KIBA❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Naipenda Simba na Ali kiba katufurahisha
Nan kamuon mwijaku😂😂😂 love simba ❤❤❤
Alikiba king of Bongo all the time i like your songs you are really the best and nice vocal..... Your fun from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mfalme King kiba ,Nós te amamos muito aqui em Moçambique 🇲🇿
Hii ngoma kali sana inatufanya Wana Simba tuinjoy sanaaaaaaasaaaa
Siipendi simba namkubari sana Alikiba alipo tupo uu wimbo ni mkali sana kavunja history zote
You have killed it! Ngoma kubwa sana!!!!
Matusi 0%
Lugha chafu 0%
Melody 100%✅
Sound ✅ mi so shabiki wa timu yoyote ila wimbo huu naungana na simba 🔥
Atari sana
Karibu unyamani
ruclips.net/video/v7E5KmgxK88/видео.html uga t mix
@@DAN-O-MWANA yee baba..
Mimi pia
Piga hela mfalme, viongozi wa yanga walikutenga wapuuzi wale 😢, mwenye nakuja taifa kucheza hii nyimbo
Kama Alikiba ni fan wa Simba pia Mimi ni fan. Nice Anthem
Kama tunawezaaa kujazaa uwanjaa kwa siku 3 tunashindwa nn kuifanyaa hii ngoma kufikishaa views elf 60 mpakaa jpilii wanachanama na mashabikii wa mnyamaaa tuanzee kuifanyaa kuwa ya ajabuu tokaà leoo mnyaamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaamaaaa hakamatikiiiiiiiiiii ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉❤❤❤❤🚘🚘🚘🚘📢📢📢📢📢📢📢📢📢📢📢
Haijawahi kutokea timu Tanzania ikatungiwa Ngoma kali kama hii🙌🙌🙌
Kama unakubariii gonga like💪💪💪
Now ni wimbo wa taifa,❤❤❤tunaomba tukupe na jina la Simba plz tangaza kuanzia leo hili jina Simba la kwako maan kajamaa hakaendan na jina hili,likes kwa king kiba❤❤❤❤❤
Kabisa kabisa yani mawazo yako kama yakwangu huyo ndo simba sasa .
Kumbe mnalitaka 😢
😂😂
Unyama mwngi sana
Duuuh ama kweliiii ukimfurahisha maskini atajiona tajiri King piga pesa zako urud nyumban😅😅
Wana Simba mm ni mwenzenu nipo keeni kwenye like zenu kama mnamkubali mnyama
Im kenyan but our brothers Tanzanians u r the best in music East ,central and southern Africa ❤❤
Southern Africa inajumuisha SA yenyewe au hiyo tunaitoa?
Mimi ni Yanga ila wimbo ni mzuri. Japo sifa Za Simba ni nyingi kuliko uhalisia ila ndivyo Sanaa ilivyo na ndio ushabiki wenyewe.
Big up King Kiba
mfano sifa ganiiiiiiiii
Unatudanganya uto wewe
huu wimbo ni mtamu Santa sana Mungu amubariki Kiba
Nyimbo namba 1 kwa nyimbo ya tumu ya mupira simba munyama wa Alikiba ni hatari king Kiba na king fally ndo wasani wanga kwenye music wa African hawakosee 🇨🇩