Ukitaka kufanya kazi na Mheshimiwa Baba, uwe mwaminifu. Kama huwezi kuwa mwaminifu kataa mwenyewe hiyo kazi kwa sababu yatakukuta makubwa. Ukiwa mwaminifu utakula mema ya nchi.
Nawashauri kila anayeyaka kufanya kazi na hiki kiumbe cha MUNGU awe ana hakika kuwa hajawahi kutumia bangi na hatumii hata sasa lingine uwe hauna pressure na uwe ni mtu usiyependelea ulevi maana unaweza ukaamua maamzi mengine kumbe ni bangi yako ilitibuka ukajikuta umemwaga ugali wako na mboga.
Watanzania tusiwe kama watu ambao hatujaenda shule. Demokrasia na Katiba ni vitu muhimu sana kwa nchi yoyote ile hata kama mtakuwa na kiongozi bora na anayekubalika namna gani. Mimi nawashauri Watanzania tubadilike kwa sababu hauwezi kuwa na kiongozi bora kila wakati. Magufuli leo mnamuona bora lakini ni kwa sababu ya kodi zenu mnazolipa na hamuwezi kuwa nae mda wote. Vijana wa kati ya miaka 18 - 30 mnataka kuniambia mtakuwa na Magufuli kila wakati au kwa kuwa amewaambia yeye ni "JIWE" mnadhanishia hatazeeka. Hakikisheni Katiba ya nchi ni bora na Demokrasia ikubalike msidanyanywe na Wanasiasa au watu wa Dini kuwa eti Demokrasia ni ya Wazungu. Lazima mrekebishe Katiba kipindi hiki mukiwa na kiongozi muelewa. Mimi bado simuoni kuwa Magufuli ni kiongozi bora kwa sababu anafanya mambo makubwa Kitaifa huku watu Wakifilisika, Wakipotea, na kuuwawa. Hivi mnataka kuniaminisha kuwa mtu na familia yake aliyefilisiwa na Magufuli anamshangilia. Mnataka kuniambia Familia ya watu waliofukuzwa kazi na kukosa ajira inamshangilia Magufuli. Mnataka kuniaminisha kuwa Familia iliyotumbuliwa na pengine mtu wao kuuwawa na Serekali ya Magufuli wanampenda. Acheni kuwa "MAZUZU"
daaaa watu wanajuwa kuomba msamahaaa😀😀😀😀 kweli kiongozi huyo anajuwa kuomba msamahaaa kwa dhati, daaaaa kweli watanzania tumsamehee tuu maana ana wtt na mke
Naomba like Kwa jpm
Daah aisee tufanye kazi kwa makini serikali hii
Kama umemsikia mkurugezi kafyata mkia gonga like zenu apa
Afadhari mkuu wa wilaya ameamua yaishe,hongera kwake mkuu wa wilaya hongera sana
Safi Sana uyu kijana ni mcha Mungu safi Sana kijana
Duh mpk huruma aisee
Huruma
Nakufurahia sana Rais wangu natamani cku moja uende rombo mashat viongoz hawatend haki
Asante sana magufuli mungu atakulipa sijui kama atakuja kutokea rais wa aina ya magufuli kama mungu atatupa uhai mlefu
Good tunakukumbuka sam
Jamaa anajua sana kucheza na hisia za JPM😊
Daaah Mheshimiwa Msamehe Jamani Daaah
Daaaaaaaah
This president is very tough. But it is for the benefit of the people.
JPM ukijifungia ikulu hautajua shida za wananchi tumesahau usemi usemao tembea uone JPM oyee
Ukifanya kazi na huyu magu, unatakiwa upimwe hakili kwanza vinginenevyo.....
Duuh!! Inatia uruma lkn,,lkn ujifunze kufanya kaz kiadilifu aisee
Huyu rais ni kiboko sijawahi kuona mm daaah .... Hongera baba
Daaaaaah😢
Doooh 😆😆mzeee baba mtaelewaaaa tu
Raisi wa sayari nyingnine
Ni mwanadamu pia yeye amekosea,hakuna mkamilifu ila nu mungu, people deserve second chances
Aombae radh asamehewe
Chapa kazi
Ukitaka kufanya kazi na Mheshimiwa Baba, uwe mwaminifu. Kama huwezi kuwa mwaminifu kataa mwenyewe hiyo kazi kwa sababu yatakukuta makubwa. Ukiwa mwaminifu utakula mema ya nchi.
Safiii
Saf sana nimependa hyo
Nawashauri kila anayeyaka kufanya kazi na hiki kiumbe cha MUNGU awe ana hakika kuwa hajawahi kutumia bangi na hatumii hata sasa lingine uwe hauna pressure na uwe ni mtu usiyependelea ulevi maana unaweza ukaamua maamzi mengine kumbe ni bangi yako ilitibuka ukajikuta umemwaga ugali wako na mboga.
Kkkkkkkkkkkkkk
Airtel Na RUclips Data Inamaliza Chaji Na MB Zinapotea Video Azipley Vipi
Siasa duuuh 😀
Natamani kulia kwa nnavokupenda
Watanzania tusiwe kama watu ambao hatujaenda shule. Demokrasia na Katiba
ni vitu muhimu sana kwa nchi yoyote ile hata kama mtakuwa na kiongozi
bora na anayekubalika namna gani. Mimi nawashauri Watanzania tubadilike
kwa sababu hauwezi kuwa na kiongozi bora kila wakati. Magufuli leo
mnamuona bora lakini ni kwa sababu ya kodi zenu mnazolipa na hamuwezi
kuwa nae mda wote. Vijana wa kati ya miaka 18 - 30 mnataka kuniambia
mtakuwa na Magufuli kila wakati au kwa kuwa amewaambia yeye ni "JIWE"
mnadhanishia hatazeeka. Hakikisheni Katiba ya nchi ni bora na Demokrasia
ikubalike msidanyanywe na Wanasiasa au watu wa Dini kuwa eti Demokrasia
ni ya Wazungu. Lazima mrekebishe Katiba kipindi hiki mukiwa na kiongozi
muelewa. Mimi bado simuoni kuwa Magufuli ni kiongozi bora kwa sababu
anafanya mambo makubwa Kitaifa huku watu Wakifilisika, Wakipotea, na
kuuwawa. Hivi mnataka kuniaminisha kuwa mtu na familia yake
aliyefilisiwa na Magufuli anamshangilia. Mnataka kuniambia Familia ya
watu waliofukuzwa kazi na kukosa ajira inamshangilia Magufuli. Mnataka
kuniaminisha kuwa Familia iliyotumbuliwa na pengine mtu wao kuuwawa na
Serekali ya Magufuli wanampenda. Acheni kuwa "MAZUZU"
Jamaa kajasho kanatoka duh!
Mmmmh 😱😱
daaaa watu wanajuwa kuomba msamahaaa😀😀😀😀 kweli kiongozi huyo anajuwa kuomba msamahaaa kwa dhati, daaaaa kweli watanzania tumsamehee tuu maana ana wtt na mke
Jpm Kiboko
Ni kama nasikia msulubishe huyoooooo msulubishe huyoooooooo! Ondoka nayeeeeee! Dah!
Tatizo la kuweka makada kwenye nyazifa za utumishi umma. Wanachoangalia ni kuzibiti upinzani tu
Ok
Ukubwa unatakiwa hekima nahuondioukubwa
Hadi huluma
politics of shame!!!!
Yani Video Zinaeka Giza Mala Azifunguki Hi Uduma Vipi
Halafu sio UDUMA ni HUDUMA
Aisee mpk unajuta kwa nn nilipewa hii nafasi
Hizi kisiasa zinaitwa *framed events* ili kuboost popularity ya mgombea wa chama husika
Huna akil endelea kukaa kwa shemeji
@@hamiduissa8089 😂 matatizo yanatatuliwa afu mpuuzi anataka kuingiza factor yake ya kisiasa
Kakojoe ulale
@@henrichzakayo7908 madhara ya shule za kata