KWANZA UNIT "KBC Nice melody freestyle"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии •

  • @Kwanzisha
    @Kwanzisha 14 лет назад +5

    mitindo huru saana tu..utamaduni huu uendelezwe wengi wanaojiita maemsii bado hawawezi kufanya mitindo huru. tusongeshe fani mbele zaidi. Pamoja

    • @B4BoomBaP
      @B4BoomBaP  7 лет назад

      Zavara Mponjika ..As'e

    • @zavugazuberi1670
      @zavugazuberi1670 6 лет назад

      Zavara Mponjika! Naweza vp kupata album zenu kwenye mfumo waCD?

    • @IsmailIsmail-if5wr
      @IsmailIsmail-if5wr 6 лет назад +1

      Kaka huwa narejea mara kwa mara kusikiliza hi freestyle, nahis Kama K-U is back..., Ipo haja ya kutoa kidude kimoja cha kiutu uzima.. Tena kifanyike Bongo, na midundo wanyonge madogo kitu km mahazi ya Hip-hop Jazz flani... Cha kubarizi barizi ndani ya midundo "kiswing unataka kusikia unataka" cha kukonga nyoyo...

    • @joshuamgumba7475
      @joshuamgumba7475 2 года назад

      Game kitambo kbc aijatungwa nyimbo iyo

  • @abdullmartin5858
    @abdullmartin5858 5 лет назад +1

    kbc umetisha brother kama mnyamwezi duuuuuuh noma sana kaka

  • @websterkinte8270
    @websterkinte8270 10 лет назад +2

    Saluti kwa K.b.c utu uzima dawa mitindo huru lakini utadhani wimbo ulioandikwa....Kunta...Kinte.

  • @yohanamachai2021
    @yohanamachai2021 2 года назад

    Salute 2u broo kbc!kwanza unit crew!I like the flowing way!freestyle 💪 🙌

  • @gabrielchokara4393
    @gabrielchokara4393 5 лет назад

    my fav hiphop mc ever in tz.watoto wa leo hawajui mitindo huru.

  • @pascalgodfrey686
    @pascalgodfrey686 7 лет назад +1

    Aiseee, miksa kama jamaica wayaaaaa

  • @Mukiza1216
    @Mukiza1216 7 лет назад +1

    ninoma hatariii aseee balaaaa mbayaaaaaaaa

  • @HoOdHiTz1
    @HoOdHiTz1 5 лет назад

    Noma sana hii...👏

  • @amriharuna4236
    @amriharuna4236 4 года назад +1

    Natafuta ngoma za FANANI,Msaada

  • @fonser
    @fonser 9 лет назад +1

    Boom!
    swafi sana!

  • @t.h.u.g934
    @t.h.u.g934 Год назад

    duuh kumbe bongo hip hop ilikuwa na unyama toka kitambo

  • @FranklinMtei
    @FranklinMtei 3 года назад

    Namtafuta huyu legend for a project

  • @hadijabrown
    @hadijabrown 14 лет назад +1

    KBC ............ KWANZANIAN FOUNDATION!

  • @enezajohn6168
    @enezajohn6168 3 года назад

    Melody🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @yusuphmligiliche8353
    @yusuphmligiliche8353 5 лет назад

    Y to the thang feeling it.........

    • @B4BoomBaP
      @B4BoomBaP  5 лет назад

      Thanks My Brotha.

    • @Ksingo
      @Ksingo 2 года назад

      I see you DR Y

  • @msokile
    @msokile Год назад

    Nice melody!!!!

  • @edwardloppa180
    @edwardloppa180 6 лет назад

    kbc
    mwana
    KItAMBO!!!?

  • @fredrickkakila9392
    @fredrickkakila9392 8 месяцев назад

    ❤❤

  • @barcitybaby
    @barcitybaby 7 лет назад

    UNCLE!

  • @danielhamisi8928
    @danielhamisi8928 7 месяцев назад

    Today

  • @frankmanga3721
    @frankmanga3721 7 лет назад

    tam mbaka tam tena

    • @gabrielchokara4393
      @gabrielchokara4393 5 лет назад

      salute m2 mzima.my fav hiphop artist ever in tz.big up kibacha.

  • @MC_GALLAS
    @MC_GALLAS 11 лет назад

    harakati

  • @EmanuelKibwana-cl9oo
    @EmanuelKibwana-cl9oo Год назад

    L)))poy¥0

  • @masuseleman978
    @masuseleman978 Год назад

    Noma Sana