Huyo Kaligraph hana uwezo wa ku-rap na kuandika kama Watanzania sema sisi tuna tabia ya kudharau watu wetu. Kaligraph hawezi battle na Prof jay, Fid q, Jay Moe, Solo thang, Afande Sele, Chid Benz, Dizasta vina, Jose Mtambo,ROMA, Stamina, Young Killer,Nikki Mbishi, Maalim Nash, Songa, One the incredible, FA, etc ukibisha wasikilize baadhi ya hao nilikutajia. baada ya hapo malizia kabisa na Mangwea na Langa.
Jmoh:Aman kwa kaka voda milione,mwembie mdogo wako aache uteja ale mmea. Langa:Amani kwa kaka voda milionea,mwambie mdogo wako aache ushoga na umbea. Baada ya miaka 5 ikawa hivi. Langa: Amani kwa kaka voda milionea,mwambie Moh nimeacha uteja pia sili mmea. R.I.P LANGA
Jay Mo:Kaka voda milionea mwambie mdogo ako aache poda ale mmea, Langa:Kaka voda milionea mwambie mo aache umbea na ushoga Langa: Kaka voda milionea mwambie mo nimeacha poda na sili mmea.
Jmoh:Aman kwa kaka voda milione,mwembie mdogo wako aache uteja ale mmea. Langa:Amani kwa kaka voda milionea,mwambie mdogo wako aache ushoga na umbea. Baada ya miaka 5 ikawa hivi. Langa: Amani kwa kaka voda milionea,mwambie Moh nimeacha uteja pia sili mmea. R.I.P LANGA
2024 still here one of the best to ever do it. RIP Langa! Gone but not forgotten.....
Nmekuja baada ya kaligraph kumtaja ikiwa ni battle ya KE na TZ hii 2023
Huyo Kaligraph hana uwezo wa ku-rap na kuandika kama Watanzania sema sisi tuna tabia ya kudharau watu wetu. Kaligraph hawezi battle na Prof jay, Fid q, Jay Moe, Solo thang, Afande Sele, Chid Benz, Dizasta vina, Jose Mtambo,ROMA, Stamina, Young Killer,Nikki Mbishi, Maalim Nash, Songa, One the incredible, FA, etc ukibisha wasikilize baadhi ya hao nilikutajia. baada ya hapo malizia kabisa na Mangwea na Langa.
Jmoh:Aman kwa kaka voda milione,mwembie mdogo wako aache uteja ale mmea.
Langa:Amani kwa kaka voda milionea,mwambie mdogo wako aache ushoga na umbea.
Baada ya miaka 5 ikawa hivi.
Langa: Amani kwa kaka voda milionea,mwambie Moh nimeacha uteja pia sili mmea.
R.I.P LANGA
Wooow! This Langa boy was really talented. That flow is nothing but DEADLY!!!
RIP Langa!
2023 still listening the fantastic lyrics from the talented nigga!
Dah, 🤯 rip Langa...hii ni real hip hop wa Tz ..tumepoteza dhahabu ya hip hop
"Nakula kaya nyingi kama vile Nyabhingi." 🔥
Rest In Power_Lyrically and Naturally Gifted in AFRICA
Rest in peace Ranga,Duh!! Shaa uko wap tunategea wewe pia kuwakilisha hip hop
Kaligraph hajui hizi mambo labda achukue ushauri kwa nonini , just cali,,,,, major ,,,,,,cannibal,,,,,,,,,ogopa dj'z
RIP LANGA. Still one of my best Lyricist Mc in TZ.
It's 3:10 ...8)July 2020 ..... ...R.I.P LANGA KILEO ........ NTAKUHARIBU MSALA WANGU FIDIFOSII NABONGE LA MKUKI KIMO CHA MCHIZI MOXIE .......TILL WE MEET AGAIN LANGA
Kiukweli we ni balaaa
Akili na ujuzi kama Bakili Muluzi! RIP Langa Kileo
Rip Braza Langa... Kimwili haupoo Ila Umetuachia sauti yakoo aseee... Endelea kupumzika kwa anani
One of best rapper who existed
The flow...the lyrics....Generational talent he was...lucky we were to witness such greatness.
Rip legend ya definition of REAL HIPHOP
Lylical& natural gifted. LANGA DIMBANI
Ngwea na langa kwl tumepoteza dhahabu Rip
Banae 😭
Real MC..Real Talent..Rest Well Bro U R Legacy will live Forever👊
Its been another hit on our painful wound after Ngwair gone !! R.I.P Langa !!!
Milele bonanza 2024
Real OG to fullest ❤
Langa kileo still yoy live brodah🙌❤📍
24.04.2019 tujuane hapa
LANGA 2024
Am gonna make this remix I salute you Langa hip hop is coming to Tz 🔥🔥
amani kwa kaka voda millionea,mwambie mdogo wako aache ushoga na umbea,sijui walizinguana nini na jay mo huyu jamaa,R.I.P Langa
walizinguana,Mo,,,mwambie aache UNGA ale mmea
Wewe Mzee Ulikua Unabalaa sana
Amani kwa kaka voda millionea,
Mwambie mdogo wako aache ushoga na umbea
Voda milionea ndo alikua nan hb
@@valentinetesha7915mwamba mmoja hivi kingoko..alikua mshikaji wao wote hao kitaa
@@valentinetesha7915jay mo
2022 bado hii ndio ngoma kali of all time kwangu 🇹🇿
kwangu pia hii ni moto wa mioto
A Classic Forever ✨🏆 unyamweziii
nakula kaya nyingi kama vile nayabingi najua mambo mengi naweza kumfundisha dingi.
Naflow kwa kingereza na flow kwa kiswahili hata jiga haniwezi na flow kwa lugha mbili....
tunaomkubali langa twende pamojo2024.....R.i.P
Jay Mo:Kaka voda milionea mwambie mdogo ako aache poda ale mmea,
Langa:Kaka voda milionea mwambie mo aache umbea na ushoga
Langa: Kaka voda milionea mwambie mo nimeacha poda na sili mmea.
2021 still on fire... R.I.P broh
Jamaa anajua
THE BEST OF THE BEST MMKEEEE 1:34
Huyu mwamba alikuwa hatari
2023 🙏🙏🙏🙏R.I.P King
✌️✌️
Tunabaki na kumbukumbu mwamba
Daah salut sana gangster...r.I.p
November 12,2019 ❤
Hata jigga haniwezi
2022 RIP Langa
His flow was something else, rest easy
Daaaah 2021 DECEMBER 1
Pumzika Langa
really hiphop, rest in peace langa
🔥🔥🔥
RIP mate from pri school to college, till we meet mate...
Mistari haikauki kama shaaa hawa😂 2025
RIP Legend
3 January 2025 RIP LANGA
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
11th June 2019
Rest well champion.
2022 still here R.I.P Langa kileo
R.I.P
Still here August 2022
MISS U BRO.
Nani anaskiliza haya maneno
🎉🎉🎉
This is music 2022
Jcb watengwa
kaka Voda Millionaire........
REST Easy King
R.i.p Langa
dude limetulia sana RIP
😢😢😢
I miss u broo
Xana broo rest in peace
2024 rip langa
R.I.P langa
NOMA
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
Rest in easy Bro
R.i.p lkileo
Nashi
Songa
Langa urimuzi snaaa umu
wat killed this African talented man 😒😒😒
Rip broo
Keep Resting
Jmoh:Aman kwa kaka voda milione,mwembie mdogo wako aache uteja ale mmea.
Langa:Amani kwa kaka voda milionea,mwambie mdogo wako aache ushoga na umbea.
Baada ya miaka 5 ikawa hivi.
Langa: Amani kwa kaka voda milionea,mwambie Moh nimeacha uteja pia sili mmea.
R.I.P LANGA
wachache sana wanainyaka hii
Badman
Respect
Songa