Nakumbuka ilikuwa mwaka 1998 pale The Kilimanjaro Hotel pool side uzinduzi wa ulbum ya Kwanza Unit "KWANZANIANS" kama sijakosea jamaa alichana live hii nyimbo!!
Kizazi sana wajina huyu Hasheem dogo ni noma sana na hii style yake wengi sana wame bite hata Hawa watoto wanajiita tamaduni music wengi wamechukua hii style ni noma Hasheem
Teddy wewe ni hater tu, au ni dot.com, hiyo nyimbo ilitoka 98-99 miaka hiyo hihop haiko kali kivile,hata studios hazikuwa nzuri ila jamaa alichana namna hiyo, kwa wale wakongwe tunamuelewa Hashim Dogo aka mwendawazimu,
2024 who is here listening to this masterpiece
Thumb up if you still listen to this in 2017....young generation know none about this
Nakumbuka ilikuwa mwaka 1998 pale The Kilimanjaro Hotel pool side uzinduzi wa ulbum ya Kwanza Unit "KWANZANIANS" kama sijakosea jamaa alichana live hii nyimbo!!
Kama una ngoma zake ntumiee baba
huyu dogo hana mfano bongo hii. respect kwa hashimu (Kikosi Cha Mizinga)
Yaani wengi sana wame bite hii style Mzee Hawa akina Niki mbishi na wengine kibao Hasheem ni namba nyingine Mzee wanoujua wanajua
Everlasting
Hashim was ahead of time. He is definitely Hip Hop Genius.
This fella was ahead of time
Pele wa mziki hapa BONGO, 2020!
Hashim Dogo is the Eternal gift in Bongo Land.
Mwendawazimu aka Bongo Psychological Ma Boy Hashimu Dogo!!
"LEGENDARY DOGO MWENDAWAZIMU" SALUTE
dah kitambo sana hii nyimbo in 1997-8
Listening this in Feb 2020🔥
This is the real hip hop.......there z nobody like him. Revolutions lives on
Ni mara ya kwanza namsikiliza huyu jamaa ni balaa
i love this daaah mpaka am speechless yani
i love hip hop jamani
To this date he remains the illest to do this regardless he lasted only for a minute. This lives on and waiting for someone to top it.
Hashim Dogo Mwendawazimu, hakuna wa kukugusa kwetu bongo
Yes
Kizazi sana wajina huyu Hasheem dogo ni noma sana na hii style yake wengi sana wame bite hata Hawa watoto wanajiita tamaduni music wengi wamechukua hii style ni noma Hasheem
2019 I'm still listen
Still 🙌🏾
Still
2024,,,new school listening to Hashim Dogo,,,Real Hiphop figüre
I feel something huge...
my role models
i salute him....he is really on da ril hip hop shitt....no doubt nobody in tz better than him...ni noumaaa
still listening this up to date
Sawa sawa mtaalam
Lyrical genius
8-12-2021
Old iz gold
salute...
Pioneer
Dope..
GOAT 👑👑👑
fungua macho tazama mbele na trak kama hizi sio kutaka kulewa.
We mkareeeee!vp umepotelea wapi!?mbona unatunyima vitu vitamu!
GOAT 🙌
Daah 🔥🔥
Mwendawazimu anapo floo wengine wanapakwa choo
Teddy wewe ni hater tu, au ni dot.com, hiyo nyimbo ilitoka 98-99 miaka hiyo hihop haiko kali kivile,hata studios hazikuwa nzuri ila jamaa alichana namna hiyo, kwa wale wakongwe tunamuelewa Hashim Dogo aka mwendawazimu,
Sebitama H nimekubali kaka huyu balaaa
Sebitama H mzee baba nisukumie kazi zake km unazo na mmiss uyu kichaaaa
Hii ngoma hakurekodi studio aliiperform jukwaani kwa bahati nzuri Kuna mdau akarekodi
This was live performance man 😁😁
Ananikumbusha Bamboo Kenya
much respect
Dangerous hip hop
Noma sana hii
Lugha fasaha uandishi wa kiuweledi....Kunta...Kinte.
oiioiioii dogo mwendawazimu hataree
Hashim
2018
Nakubali Mzee now where
2019
dogo mwendawazimu
Dogo alikuwa balaa Sana
"Ulicho nacho ndicho ulicho."
Sometimes Dreamer be gone beyond born the Babylon
Chill with Farakhan digging the Holly Qur'an.....
Mwendawazimu Kichaa
classmate Aza boyz
Kumbe jamaa alipiga Aza boys??
@@geofreymanyologa9489 yes, class of 1996 (form I to IV C)
Leo ndio najua dogo Aza boy class 96
Akuna emcee kama hasheem
👑🎤👑
🎉
Fundi kuliko mafundi
jamaa anatisha mbaya, nimeskiliza clip flani anafreestyle ni matatizo..
The godfather
HAKIKA
Jamani mwenye lyrics za hii ngoma anitumiee track naiskizaa ila siambuliii chochote wadau mwenye nazo anitumie hata whatsap kwa namba 0717714078
Hatali hy
Whoa! Thought Kikosi was just that corny ass dude who lifts and try politics. Respect kwa Hashim.