Shaulin Seneta- (Usiku Wa Giza) (Official Audio)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 78

  • @kiondosaimon6149
    @kiondosaimon6149 2 месяца назад +2

    Niko tena hapa leoo Shaolin Daaaah baada ya Dizasta we namba mbili mkuu unajua kinomaaa man 💯💯✔️✔️

  • @Silaji-e3g
    @Silaji-e3g 19 дней назад +1

    Kazi safi

  • @KitangariGenerations
    @KitangariGenerations 3 месяца назад +3

    Haujawahi kuniangusha Mr Shaulin, hapa shaulin pale Dizasta, Chata zangu hizi tokea kitambo sana.

  • @greymuclass8217
    @greymuclass8217 3 месяца назад +3

    Mic check one Q! Huwa sipiti ngoma yako jamaa! Huwa unanifanya niwaze sana!

  • @petersimon2115
    @petersimon2115 3 месяца назад +2

    Mwanazuoni kwenye Rap ni mmoja tu.

  • @ShaqueeBlackrapper
    @ShaqueeBlackrapper 3 месяца назад +2

    SHAULIN MTOTO WA MAMA ISRAEL HATARI SANA 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @peterjilala
    @peterjilala 3 месяца назад +1

    Huna udhaifu WA kiungo chochote - jiwe la msimu

  • @hancejaffafy214
    @hancejaffafy214 3 месяца назад +2

    Kipaji chako kimekupa uwezo mkubwa sana hongera sana.

  • @WILLIAMMASIKA-u6x
    @WILLIAMMASIKA-u6x 3 месяца назад +1

    Safi

  • @robertgagabhi8188
    @robertgagabhi8188 3 месяца назад +2

    Makini Sana Shaulin seneta🎉🎉

  • @munixpicentertainment
    @munixpicentertainment 3 месяца назад +1

    Niliexpect kapata bwana mwenye ferari

  • @user-zt7nw6yc4f
    @user-zt7nw6yc4f 3 месяца назад +1

    hakika kubwa seneta

  • @heistreno
    @heistreno 3 месяца назад +2

    Broo hii haitoshi leta ep hata Ngoma tano mzee 🔥🔥

  • @EmmanuelEdward-uv7lo
    @EmmanuelEdward-uv7lo 3 месяца назад +2

    Kwann wana walimkimbia 😂😂😂 usiishie apo skiliza knowledge kutoka kwa msomi ✊

  • @kingtyga3760
    @kingtyga3760 3 месяца назад +1

    Aaaah kubaba bake wew shaolin weeeeeh

  • @JumaNgala-j7d
    @JumaNgala-j7d 3 месяца назад +2

    Big up kutoka Mombasani

  • @mballaJR25
    @mballaJR25 3 месяца назад +2

    Sanaa kaka 🙏

  • @iFly-t9b
    @iFly-t9b 3 месяца назад +1

    Kali Rasta🔥🔥🔥🔥

  • @WilliamKaseza
    @WilliamKaseza 3 месяца назад +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Shaulin

  • @JoshuaNotty
    @JoshuaNotty 3 месяца назад +1

    Nakubali Sana idea Kali Shalin

  • @kastorymalila1109
    @kastorymalila1109 3 месяца назад +1

    Unjuuuu🔥🔥🔥🔧🔧

  • @mcdonaldshuma1642
    @mcdonaldshuma1642 3 месяца назад +2

    Umeweka nembo mtaani kaka

  • @gideondavid8249
    @gideondavid8249 3 месяца назад +1

    Unyama man 🧐🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @Baraka-h6z
    @Baraka-h6z 2 месяца назад +1

    😢❤❤❤

  • @peterLoshilo
    @peterLoshilo 3 месяца назад +1

    Story kali🔥🔥

  • @Galilayatz
    @Galilayatz 3 месяца назад +1

    Saf saf saf saf saf sanaaaa

  • @mdasaboi
    @mdasaboi 3 месяца назад +3

    ...mi natambua we ni zaidi ya dizasta broh . Tunaoelewaa tunaelewaa

    • @iddymwambene8733
      @iddymwambene8733 3 месяца назад

      Acha ushamba

    • @Hassan_nguli
      @Hassan_nguli 3 месяца назад +1

      aa stop nonsense broo👺
      tusikilize mziki mzur kutoka kwa ma broo, tunainjoi tunajifunza, usilete mambo ya kindezi sjui nan zaid ya nan apo unazingua broo utalazwa kama underscore

    • @mdasaboi
      @mdasaboi 3 месяца назад

      @@Hassan_nguli ...tunaoelewa tunaelewa

    • @mdasaboi
      @mdasaboi 3 месяца назад

      @@iddymwambene8733 ...hujaelewa

    • @kingtyga3760
      @kingtyga3760 3 месяца назад

      Uwakikah that's the point 🔥🔥🔥​@@Hassan_nguli

  • @trayoversion
    @trayoversion 3 месяца назад +2

    MWANAZUONI

  • @mbizepoemkid476
    @mbizepoemkid476 3 месяца назад +1

    Always your on point ma G. Classic shit for the culture.

  • @Almarsprince254
    @Almarsprince254 3 месяца назад +1

    Daaah yaan nuksi mpaka kifo jmn,,😢😢

  • @Un_named255
    @Un_named255 3 месяца назад +1

    Usiku WA giza 🔥

  • @DingoTz222
    @DingoTz222 3 месяца назад +1

    Sikupingi kak

  • @tukomaetutoke
    @tukomaetutoke 3 месяца назад +1

    Nakubal mjuzi🔥🔥✊🏾

  • @ismailyomary6930
    @ismailyomary6930 3 месяца назад +1

    Noooooma seneta

  • @gideondavid8249
    @gideondavid8249 3 месяца назад +1

    Khaliiii

  • @omaryibrahimu7822
    @omaryibrahimu7822 3 месяца назад +1

    👊👊👊

  • @HaKuNaMaTaTa101eNT
    @HaKuNaMaTaTa101eNT 3 месяца назад +1

    ✍️🏿💥💥💣

  • @FrancisGeorge-ez8ov
    @FrancisGeorge-ez8ov 3 месяца назад +1

    Big Up

  • @nicksonchisunga3062
    @nicksonchisunga3062 3 месяца назад +1

    Unyama sana mzee

  • @FredrickMwandosya-zk8go
    @FredrickMwandosya-zk8go 3 месяца назад +2

    OG kinoma

  • @kilimapozimuvinajr.
    @kilimapozimuvinajr. 3 месяца назад +1

    Back, today and tomorrow.

  • @KagussaChundabad
    @KagussaChundabad 3 месяца назад +1

    Noma sana kaka

  • @ANDREAKIBONA
    @ANDREAKIBONA 3 месяца назад +1

    Nakbl , xan bro

  • @munixpicentertainment
    @munixpicentertainment 3 месяца назад +1

    Dah...

  • @kzeflow
    @kzeflow 3 месяца назад +1

    Noma sana kaka🔥

  • @Nickbrown127
    @Nickbrown127 3 месяца назад +1

    ❤❤❤👍🏿

  • @mcalphana
    @mcalphana 3 месяца назад +1

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @officialmashalee4861
    @officialmashalee4861 3 месяца назад +1

    💪💪💪

  • @HosianaKulanga
    @HosianaKulanga 3 месяца назад +2

    Huyo demu nilushiwe namba yake naweka

  • @kingtyga3760
    @kingtyga3760 3 месяца назад +2

    Naitaj ngoma kama hz kaka nazipataj i mean hata kama album NZIPATAJE!?

  • @charlesAlex-oi2cs
    @charlesAlex-oi2cs 3 месяца назад +6

    sema mashairi ata yawe makali vip kama hamna vina katika uandishi bado it doesn't make sense to me coz wahip hop wote wanazingatia vina but huyu mwamba anaandika verse zake kama barua ujumbe ni mzuri but vina vina itajika

    • @officialK-looh
      @officialK-looh 3 месяца назад +4

      Haujui hip-hop wewe....hiyo ni aina ya uandishi wa vina kutoka kulia kuja kushoto kitaalam unaitwa orthodox

    • @munixpicentertainment
      @munixpicentertainment 3 месяца назад +1

      Mbona vina vipo we cio mtu wa hiphop

    • @christianbihemo8211
      @christianbihemo8211 3 месяца назад

      Vina unavyovifahamu we ni vip pengine ulimaanisha kitu kingine mbo vina vimejaa wimbo wote

    • @ramawise
      @ramawise 3 месяца назад

      @charlesAlex inaonesha hujui hata vina ni nini wewe
      Usipende kuandika andika tu uonekane nawewe ume comment
      Hii itakusaidia usionekane ni kiasi gani haujui kitu

    • @Stanza_IAMTUNKYA
      @Stanza_IAMTUNKYA 3 месяца назад

      Jamaa kacoment kitu ambacho kipo kweli katika hii ngoma, shaulin kasound bila vina kweny barz kibao tu, na hii inapelekea kukosa ladha ya hip-hop katika uandishi. Anaandika style ya Orthodox ndio, lakn huu uandishi ameutumia Sana songa, na hakuwahi kupelea kwenye kutua kweny key bila vina. Alikuwa anangusha vina bila all the time., Sasa shaulin mbona anapelea Sasa kwa kiwango kikubwa mno.

  • @godsonmc.6216
    @godsonmc.6216 3 месяца назад +2

    Disasters

  • @bongeone
    @bongeone 3 месяца назад +2

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥