Mex Cortez - KIMEUMANA feat. Dizasta Vina & G Nako (Official Lyric Video)

Поделиться
HTML-код

Комментарии •

  • @mexcortez
    @mexcortez  15 дней назад +382

    Asanteni kwa Wote mnaoendelea kusupport HIPHOP ya Tanzania! #KIMEUMANA🔥‼️

    • @LandrickXl
      @LandrickXl 15 дней назад +3

      Mwaka umeshaumaliza kaka angalia 2026 🎉🎉

    • @Isaka05
      @Isaka05 15 дней назад +2

      Mmeua ile mbaya wazee

    • @Emma-mchoraji
      @Emma-mchoraji 15 дней назад +2

      Kazi nzuri.. congrats 💥👏🏽

    • @victorlutrac3667
      @victorlutrac3667 15 дней назад

      Tutaishii humu biala kutoka

    • @fredrickkakila9392
      @fredrickkakila9392 15 дней назад

      oi oi oi top tier❤❤❤❤prof tungo❤❤❤❤

  • @vancykhan234
    @vancykhan234 15 дней назад +125

    team vina wap tujuane apa

  • @dizastavinafanaccount
    @dizastavinafanaccount 15 дней назад +119

    Niko NONDO ndio maana mistari yangu ina BAR KALI mwamnyeto..genius

  • @platotaurus2301
    @platotaurus2301 15 дней назад +84

    Hii ni "MEXZASTA na VINACORTEZ"

  • @Hassanonesmo
    @Hassanonesmo 10 дней назад +6

    Huyo dizasta tumpe shule awafundishe hawa wasanii wetu wapiga kelele

  • @Madphilosopher13-04
    @Madphilosopher13-04 15 дней назад +68

    Mkuu pandisha nyimbo sportify✋️❗️

  • @DanielJeremia-mj4bj
    @DanielJeremia-mj4bj 12 дней назад +4

    Ngoma kali sana vina anadhidi kuwa moto kwa kila ngoma anayoshirikishwa

  • @jacksonissaya1440
    @jacksonissaya1440 5 дней назад +2

    Best Hip-hop song for me in this year,the chemistry, lyrics and beats.
    God bless you @mexCortez

  • @omarywanjara1410
    @omarywanjara1410 3 дня назад +1

    mex cortez kama messi

  • @Miatv_tz
    @Miatv_tz 7 дней назад +6

    tuliokuja sabababu ya DIZASTA na tukakutana na balaa la mexcortez tuna like hapa... kwa heshima.

    • @WardatNassor-z3d
      @WardatNassor-z3d 5 дней назад

      We Dizasta usibishane na hao wasenge awajui upeo wako wa akili we shule pia

    • @omarywanjara1410
      @omarywanjara1410 3 дня назад

      kweli baba mimi nishabiki wa dizasta lakini uyu kanjubai kauwa mbaya

  • @CoastKenya
    @CoastKenya 14 дней назад +30

    Dizasta jina kubwa si Nairobi tu hata Coast Kenya twakutambua bro.❤❤❤
    #Respect🎉🎉

  • @suncheafrica
    @suncheafrica День назад

    Whaaaaat????? 🔥🔥🔥 Tanzania hip hop is back 🔥🔥

  • @mussangaga8525
    @mussangaga8525 6 дней назад +1

    Yo, the mic's hot, the beat's thumpin' low,
    Gotta give a shout-out, let the whole world know.
    To Mex Cortez, your flow's a fire, so true,
    Igniting the stage, what we're vibin' to.
    And Dizasta Vina, king with the crown,
    Your lyrical prowess, never lookin' down.
    Thanks for the music, the rhythm and rhyme,
    Y'all elevate the game, one verse at a time.
    Word up!

  • @bigc5729
    @bigc5729 14 дней назад +28

    Kaka mex we ni noma san ila vina 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @modaxyceinofficial2861
    @modaxyceinofficial2861 14 дней назад +6

    Dizasta alini dai verse me niko diverse so divert hii yai ina apply tax fam....mex cortez

  • @Bullah_tz
    @Bullah_tz 14 дней назад +17

    Ila Dizasta 🙌🙌🔥🔥🔥.
    kwamba nikichukia hadi mmbwa wa jiji wanabwekea mbali 😂😂🙌🙌🔥

  • @farouqobbo
    @farouqobbo 4 дня назад +1

    Maneno ya ki Maalim Nash flow nazo sugu
    Sababu kinywa ni complex
    Nakubali sanaa Disasta vina
    Shootout from South Africa Tz fan base @obboclever

  • @AnnawrKhan-ug6xb
    @AnnawrKhan-ug6xb 14 дней назад +26

    Hii flow ya mex ni balaa,play word ya dizasta 💥💥

  • @OliverKiswaga
    @OliverKiswaga 12 дней назад +2

    Hivi vichwa vimeshndkana Madin mazito zawad tumepewa wapenda hip hop 🙌🙌🙌

  • @donwizzy1867
    @donwizzy1867 12 дней назад +4

    Dizasta vina 🙌🙌🔥🔥Ameshakufa Haucheki FRESHI
    KUmgusa ni KU-TAMPER na EVIDENCE, Dogo kaa MBALI👏👏

  • @ProfessaRashidy
    @ProfessaRashidy 13 дней назад +4

    huu wimbo kila mmoja ameutendea haki kwa upande wake...KIMEUMANA🔥🔥🔥

  • @williamkanisio6831
    @williamkanisio6831 14 дней назад +24

    #Kimeumana mex umeleta kitu ambacho nilitamani kuona, chemistry yako na D vina ni ya 🔥🔥 sana Ringlebeats forever beat kali

    • @EmmanuelMvinga
      @EmmanuelMvinga 14 дней назад

      😂izi ngumu hawachezi kina enjo nyigu

  • @rogeZ928
    @rogeZ928 14 дней назад +3

    kama ulitega school hapa giza tu.....kwa mara ya kwanza dizasta vina ka level na mexhapo kweli kime umana

  • @fakiimohamed6163
    @fakiimohamed6163 4 дня назад +1

    noma hii

  • @albertjames6845
    @albertjames6845 7 дней назад +1

    Ngoma kali sana hii

  • @MariooBad-q2n
    @MariooBad-q2n 10 дней назад +2

    Oyaaah mbona sielewi nan kamzid mwenzake MAMAEEEEH😂😂 Goma liko Fireee mbayaa #KIMEUMANAAAAA

  • @abdullahmanmiyanjamo1796
    @abdullahmanmiyanjamo1796 14 дней назад +14

    NIKO NONDO NDIO MAANA MISTARI YANGU INA BAR KALI!🔥Aaaah! Maneno yamechezewa sana humu...

    • @dunstunnchimbi7994
      @dunstunnchimbi7994 14 дней назад

      😂😂😂😂 oyaaaaaa ndo nimeelewa baada ya kusoma comment yako. Uliposema tu maneno yamechezewa. Imenibidi nifikirie nje ya nlichokisikia. Ndo nmeona kuna Bakali Nondo

    • @JoshuaBilly-l6h
      @JoshuaBilly-l6h 11 дней назад

      Lazima utulize kichwa mzee😅

  • @AfrikanusAlchard
    @AfrikanusAlchard 13 дней назад +3

    Ni vile sina cha kutoa kama evidence kuwa namkubali vina
    All in all @dizasta is moulding hip hop,I like it💪

  • @stevemwachi254
    @stevemwachi254 14 дней назад +23

    DIZASTA VINA ni mfano wa ugonjwa uliokosa tiba,UMESHINDIKANA BRO.
    'Nachinja lines utadhani naandikia panga'🔥🔥

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 10 дней назад +1

    Hao wote hawamueezi vina.kwa bongo ni namba moja dizasta

  • @WisdomAnaniahMkemwa
    @WisdomAnaniahMkemwa 14 дней назад +5

    Incredibly nasonga kibishi(one de incredible,songa,niki mbishi,)......mpka uwe na d2 ndio utamuelewa huyu mwamba wa vina..

  • @salumukatani03-u8b
    @salumukatani03-u8b 14 дней назад +3

    Wakali wa hiz kazi wamekutana🔥🔥🔥

  • @awadhnassor
    @awadhnassor 14 дней назад +5

    Dizazta we si wa kawaida kaka dah unajua yani sielew mpka nrudie mistari bira umerahisisha kwa kueka hzi pictures na lyrics mana akili zishindwa kumeza madini ! We mgumu sana kaka my best of all time

  • @Beingshine6
    @Beingshine6 14 дней назад +3

    Kuna punchline zimepigwa humu daaah Dizasta ni sayari nyingine goma kali sana Mex & vina

  • @MohamediBuchicho
    @MohamediBuchicho 14 дней назад +12

    Mmekutana wakali sana huu uandishi asee 🔥

  • @twalibkinogah5951
    @twalibkinogah5951 10 дней назад

    G nako music 🙌🏿💯

  • @EinsteinFromEastern-vh6lo
    @EinsteinFromEastern-vh6lo 13 дней назад +2

    Flow zipo incredibly...Yupo ready Anasonga Kibishi,Mtu mzima Mex Unatudai Sana masikio.

  • @PATRICKSAMBO-u4p
    @PATRICKSAMBO-u4p 13 дней назад +3

    Humu ndani kweli kumeumana

  • @madehamalecela1703
    @madehamalecela1703 15 дней назад +12

    Na-make money sihitaji baunsa. Nahitaji wanasheria na accountants to do numbers. Dizasta🔥🔥

  • @karimjuma8671
    @karimjuma8671 14 дней назад +10

    Hii ndio "ubaya ubwela" 🎉

  • @LandrickXl
    @LandrickXl 15 дней назад +4

    3 Ghosts from the same hell 🔥🔥🔥

  • @LutenganoCharles-d7t
    @LutenganoCharles-d7t 14 дней назад +3

    Dakika 5 safi sana real hip hop

  • @IssakaniHaruna
    @IssakaniHaruna 14 дней назад +5

    Huu ni mdundo hatari na mdundo huu leo umefumwa na wahanga wa hip-hop ❤🔥🔥🔥🔥

  • @trimcutt
    @trimcutt 15 дней назад +4

    naombenu JOINT album MBONA HII KITU noma sanaaa

  • @luganoluvanda336
    @luganoluvanda336 14 дней назад +7

    Hii itafika no 1 trending 🔥🔥🔥

  • @HillaryHyera
    @HillaryHyera 11 дней назад +1

    Usikanyage WAYA...KIMEUMANA 🔥🔥🔥

  • @SHAUMEDIA-27
    @SHAUMEDIA-27 14 дней назад +3

    Mexcana na Ninja Kibabu Haya twende hapo #KIMEUMANAAAA

  • @gabrieljunior4056
    @gabrieljunior4056 15 дней назад +11

    Dizasta killed it again thanks mex for this one 🔥🔥🔥

  • @mashashpastory7467
    @mashashpastory7467 День назад

    TZ Hip Hop on the top again🔥🔥🎤🎧📻🎙️

  • @mzalendo_mwenye_mapendo
    @mzalendo_mwenye_mapendo 10 дней назад +1

    Gusa achia twende namba moya❤

  • @EmmanuelMbonea-z1c
    @EmmanuelMbonea-z1c 8 дней назад +1

    Mex amebadili arubadili❤❤❤ dizastar flow so gaseous, kesho solid,liquid ama plasma

  • @mohamedjarso974
    @mohamedjarso974 14 дней назад +2

    Ngoma moja na Dizasta Vina si utaoshwa kama Mex Cortez. Hakuna kulazimisha inaflow naturally

  • @officialeranho
    @officialeranho 14 дней назад +2

    Kimeumannaa snaa sana daaa

  • @semkiwafredy-t9z
    @semkiwafredy-t9z 14 дней назад +3

    Imepenya hadi KENYA🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @salumukatani03-u8b
    @salumukatani03-u8b 14 дней назад +2

    Hapa wote wameua🙌🔥
    #KIMEUMAANA

  • @mbesherejoh4219
    @mbesherejoh4219 14 дней назад +3

    Dizastaaaaaaaa And G 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥

  • @levelmtindo
    @levelmtindo 5 дней назад +1

    Maua kwa Ringo Beatz

  • @swagaton-ke
    @swagaton-ke 15 дней назад +9

    Let's goo my guys 💯💯💯💓🇰🇪

  • @EdwardAliston
    @EdwardAliston 14 дней назад +3

    From#254...hii ni hatari...

  • @bizmaterial
    @bizmaterial 13 дней назад +1

    🔥 🔥 🔥

  • @makantaafrika
    @makantaafrika 13 дней назад +1

    Kiendelee kunuka wanetu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪🏿🎯
    HIP HOP

  • @mussangaga8525
    @mussangaga8525 6 дней назад

    Literally i was waiting for this Joint, Mex and Dizasta and guess what it is what it is Two Goats 🐐 🐐 ni balaa na nusu.

  • @stapinuswilliam
    @stapinuswilliam 14 дней назад +5

    Haya sasa UCHAGUZI umeiisha nchi nzima tuje apa hili nalo Jambo la kitaifa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 HIP-HOP ✌️✌️👊👊👊👊👊👊💪💪💪💪

  • @Thelast-100
    @Thelast-100 14 дней назад +2

    Kimeumana🔥🔥🔥🔥

  • @GabroTz
    @GabroTz 14 дней назад +3

    Noma🔥🔥

  • @abdullahmanmiyanjamo1796
    @abdullahmanmiyanjamo1796 14 дней назад +3

    Bonge ya mbupu #KIMEUMANA🔥

  • @Emma-mchoraji
    @Emma-mchoraji 15 дней назад +7

    Kimeumana. Kweli 💥🙌🏽😁

  • @salumukatani03-u8b
    @salumukatani03-u8b 14 дней назад +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @godfreymtweve4539
    @godfreymtweve4539 14 дней назад +2

    Kazi kubwa Sana hii @ Mex, Producer apewe Maua yake aisee🙏🙏

  • @FredyFrank-tf6jy
    @FredyFrank-tf6jy 14 дней назад +8

    noma saaana nikitaka kusema D kaua narud alichofanya mex humu sema wote mmeua wanangu hatari saaaana

    • @richardmwabe8065
      @richardmwabe8065 4 дня назад

      Wote hatari sana mkuu
      Ukirudia rudia huwezi hata jaribu kumshusha mmoja ili mwingine awe juu🔥

  • @goodneighbour2638
    @goodneighbour2638 11 дней назад +1

    kwa mara ya kwanza ndio nacomment mex na dizasta mmeua sana! It is an honour to witness this incredible Artistic piece!

  • @middy583
    @middy583 13 дней назад +3

    Hiv waugwana uyu dizasta vina ni binadamu mwenzetu kweli 😂🙌🙌

    • @hassanjuma01
      @hassanjuma01 День назад

      Alishasema ye ni mungu wa rap kwenye ngoma yake moja 😅

  • @official_Yssalia
    @official_Yssalia 10 дней назад +1

    Mex! Umetisha mzee....

  • @DenaBlaze
    @DenaBlaze 14 дней назад +5

    KIMEUMANA 🫡

  • @williamnjovu7476
    @williamnjovu7476 14 дней назад +5

    Real definition of HIP-HOP mmeua aisee🔥🔥🔥

  • @shaphyvuai6805
    @shaphyvuai6805 13 дней назад +1

    UANDISHI 💯🎉🎉🎉 FLOWS NOMA NI 🔥 MJUBA KWENYE CHORUS KAUA SANAA BIT IMETULIA YANI NGOMA NI KONTOOOOO❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @saluuhans
    @saluuhans 13 дней назад +1

    Tanzania Hip Hip is on fire Dizasta Vina is a king of Hip Hop wa zama hii.
    Amesibitisha Ngosha na Prof

  • @Jax20022
    @Jax20022 14 дней назад +5

    Daaah hivi vichwa vinapasuka hatari, word play ni nomah!

  • @mfalme_obie
    @mfalme_obie 2 дня назад

    As a Kenyan rapper I approve this

  • @MloweMichael
    @MloweMichael 5 дней назад

    Nomaaa 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @alphoncesamwel6973
    @alphoncesamwel6973 14 дней назад +5

    0:47 - 0:55 and 2:25 2:38 2:46 2:52 🎉🎉 3:50 punch ni zakutoka kwenye handaki wana Google.

  • @JaycbHermann
    @JaycbHermann 15 дней назад +6

    Nikikasilikaa had mbwa wa Jiji wanabwekea mbalii dizasta and Mex you killed it ....... icon of tz hip-hop..❤❤❤❤

  • @djhdscratchmaster4110
    @djhdscratchmaster4110 14 дней назад +30

    Dizasta alivyotumia word play humu ndani😅😅😅 wametajwa watu siyo chini ya 20

  • @izzo_boy
    @izzo_boy 15 дней назад +2

    Ila nyie wote wakali 🍾🍾🍾🌏🏆🏆

  • @hassanjuma01
    @hassanjuma01 День назад

    Mmechaguana wakali wote mkali wa chorus na wakali wa wordplay, rhymes, flows na uwezo wa kutumia lugha zaidi ya moja. Wote ni my favourites, actually I've been waiting for this kinda shit for God knows how long. In short MMEUA 🙌🏾👏🏾

  • @briandelight6776
    @briandelight6776 15 дней назад +3

    eeeeee words play ni mingi mnoooo ufundi mwingi umu ndan

  • @danieldickson7577
    @danieldickson7577 14 дней назад +20

    Kmmk 💥humu ndani balaaa Respect wote but Vina is insane again

  • @mralexofficialtz8608
    @mralexofficialtz8608 8 дней назад +1

    Waliokuja kwa DZASTA gonga like hapaaaaaa❤❤❤😊

  • @Kiddayox
    @Kiddayox 14 дней назад +4

    Kwa jina la hip na hop mi nipo nawe amen😅😅

  • @Officialmadesa
    @Officialmadesa 12 дней назад +1

    Level hii ni ya mabasi na mafuso..
    Utawekwa kati upigwe mikasi na mafumbo..
    Punch kutoka kwenye handaki wana google..💥
    Karatasi zinapigwa sarakasi ka' judo...👐👐👐
    DIZASTA VINA💯

  • @GudilaAkaro
    @GudilaAkaro 14 дней назад +2

    Wanatushushia ma coke heads, the God's must be crazy .......Yoooh bars lines nzm ni first scene kwenye movie ya God's must be craze chupa ya Coca-Cola ilivyodondoka juu ni 🔥 aisee

  • @robizzo44
    @robizzo44 13 дней назад +1

    Kutoka Kenya🇰🇪 hii ni ngori zaid ya noma🔥🔥

  • @damasengelbert
    @damasengelbert 14 дней назад +1

    Wote mko beyond 🔥 🔥

  • @Geofreywalter
    @Geofreywalter 15 дней назад +3

    Two moguls ,wanayama wa bars na bars wakiwa pamoja na mnyama wa viitikio gwaraaaaaa🔥🔥🔥

  • @careem254
    @careem254 12 дней назад +1

    💥💥💥💥

  • @DennisHaidary
    @DennisHaidary 10 дней назад

    Oyooo

  • @meflorlionel7497
    @meflorlionel7497 13 дней назад +1

    Mex na vina ndo marapa ninaowakubali ila hamkupaswa kumuweka g nako kwenye hii ngoma kaaribu ngoma

  • @winfredykahwili1513
    @winfredykahwili1513 7 дней назад

    Oggg🤛🤛💥💥

  • @dreamz16349
    @dreamz16349 14 дней назад +1

    Mex🔥🔥🔥🔥🔥🔥Vina🔥🔥🔥

  • @SantorKibasa-lz7sn
    @SantorKibasa-lz7sn 14 дней назад +1

    Dizastaaaaa wa moto sanaaaaaaa akiguza haachi uchafu