Ufukweni: "Basata fungieni zote" Nikki Mbishi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 дек 2024

Комментарии • 47

  • @EmmanuelLekasango-rt1qx
    @EmmanuelLekasango-rt1qx 5 месяцев назад +2

    2024 I Steel watching....!!! ❤❤❤nikki mbishi ni genius

  • @luko5488
    @luko5488 6 лет назад +6

    Big up bro naelewa sana interview zako

  • @jeremiahmabula4837
    @jeremiahmabula4837 6 лет назад +7

    Ila Nikki mbishi bwana.. Jamaa Genius sana

  • @michaelmosses7025
    @michaelmosses7025 6 лет назад +12

    Ungemuongeza bia Nikki mbishi..Ungemjua mbishi ni nan.!!

  • @fittyblack2549
    @fittyblack2549 6 лет назад +6

    This guy is real n that's HIPHOP

  • @abdallahmchange1370
    @abdallahmchange1370 6 лет назад +5

    Nikki nakukubali

  • @ahmedseifsuleiman4031
    @ahmedseifsuleiman4031 6 лет назад +3

    The best interview wallah wachane live

  • @sehemunzuri
    @sehemunzuri 6 лет назад +4

    kweli tusiwadanganye madogo janja hawa ..tuwaambie kwamba kuna legends walipita.. mfano mzuri Dogo mmoja anaitwa Lil Xan wa marekani aliemkosea heshima Tupac ..watu wakamjia juu sana ..na hyo perspective ndiyo ikaanza kuwaingia watoto wa ckuhizi kwamba yeeah.. angalau kuna people past us. LEGENDS.

  • @ramadhanimagwiza5646
    @ramadhanimagwiza5646 6 лет назад +2

    Tishaaa SNA broh....napendaga sana kuckiza interview zako

  • @mwafrikabarz4507
    @mwafrikabarz4507 6 лет назад +6

    Duh! Nickas Machuche #mzimuwanyererebutiama, dizain flan Anko #magu Akupe guard ya ubongo, Of coz una madini mengia sana kwa kichwa

  • @lutungonyani1084
    @lutungonyani1084 3 года назад

    Nakubali Unju

  • @mahrizainobaranchas7589
    @mahrizainobaranchas7589 6 лет назад +5

    et Hasheem ni kama Yesu tu 🙌🙌🙌

  • @priskillaaquilla9559
    @priskillaaquilla9559 6 лет назад +1

    nice mzee baba kazaaa #6k

  • @lodrickvungwa7783
    @lodrickvungwa7783 6 лет назад

    Am so interested with nikkizahaan ngoja nipate pesa broo nikusapot na iyo albam mwamba

  • @ramosyhy96
    @ramosyhy96 6 лет назад +3

    Nikki ni mbishi naturally kama huezi ku challenge hoja yake basi huezi badilisha wazo lake juu ya kile anachokijua

  • @hosianamahenge9221
    @hosianamahenge9221 6 лет назад +5

    We ndo Geneous sio Yule wa pili

  • @bensonfrank643
    @bensonfrank643 6 лет назад +3

    THE BEAST

  • @edsonnchimbi3595
    @edsonnchimbi3595 6 лет назад +2

    Nakubali

  • @mbenamdudu7856
    @mbenamdudu7856 6 лет назад +6

    mbishi so mbaya akuna kulitaya

  • @mvungigaming
    @mvungigaming 6 лет назад +2

    This guy smart Brain

  • @jamesessau7461
    @jamesessau7461 5 лет назад +2

    Kweli unacho kiongea unju wengi hupotoshwa kwa kuambiwa 2 Bali hawafatili nimekuelewa asie elewa aelewe2

  • @kinglance6365
    @kinglance6365 5 лет назад

    Bonge la show

  • @Pathro_Cavosia
    @Pathro_Cavosia 6 лет назад +1

    Fullu fullu mwana

  • @moziidavchonchi3338
    @moziidavchonchi3338 6 лет назад +7

    IPO SIKU WATANZANIA WATAMUELEWA NIKKI MBISHI KIKUBWA NI ''UHAI' japokuwa ukizama baharini unakufa''

  • @mwafrikabarz4507
    @mwafrikabarz4507 6 лет назад +2

    😂😂😂😂nawapenda fungieni zote

  • @royemceewamichano5342
    @royemceewamichano5342 5 лет назад +1

    Nikki me nakuelewa xana jembe langu

  • @velaalberto7766
    @velaalberto7766 6 лет назад +1

    🤣🤣🤣unjuu🔥🔥

  • @sekundemaster460
    @sekundemaster460 6 лет назад +1

    Nikki nakuelewa unju

  • @abdulrajabu1117
    @abdulrajabu1117 6 лет назад +2

    Nikk IPO poa bro

  • @cosmasdonasian3598
    @cosmasdonasian3598 6 лет назад +2

    baba Malcom zohan play boy mwema

  • @momoshi2697
    @momoshi2697 6 лет назад +7

    C mmempa pombe wnyewe? Acha awachane. He hee heeeee!

  • @dkensmopainvevo3683
    @dkensmopainvevo3683 6 лет назад

    Migos offset
    Nikki wee ni tisho Mzee😂😂😂😂

  • @deomwingira9739
    @deomwingira9739 6 лет назад +5

    Ukwel mtupu

  • @kasalaflash3689
    @kasalaflash3689 6 лет назад +1

    Nikki ni sooo wachane napenda watu km nyinyi ukweli kwanza hapo no lies

  • @johnshangwe1515
    @johnshangwe1515 5 лет назад

    UNJU

  • @ezeqbinunuq5215
    @ezeqbinunuq5215 6 лет назад +2

    Ku**m*ke huo ndo uoriginal namwelewa xana Nikki wachane of cz ni ukwel mtupu

  • @cosmasdonasian3598
    @cosmasdonasian3598 6 лет назад +2

    unjuuuuuu

  • @swaashgang5943
    @swaashgang5943 6 лет назад +1

    hahah nikki mbishi hatari...hakuna cha kuficha

  • @sekundemaster460
    @sekundemaster460 6 лет назад +1

    gusa picha yangu hapo #ufukweni Bob uangalie freestyle zangu ndugu naweza nikapat interview kwako

    • @Ufukweni
      @Ufukweni  6 лет назад +1

      Poa poa mzee, tucheki instagram dm @ufukweni tubadilishane namba.

    • @sekundemaster460
      @sekundemaster460 6 лет назад

      safi

  • @thomasnyakitagara5100
    @thomasnyakitagara5100 6 лет назад +1

    Naomba interview brother, Mm pia nafanya Muziki wa hip hop..0688455787 Naitwa Tommy Tyga

  • @kinarazemaster7321
    @kinarazemaster7321 6 лет назад +1

    Batro sauti yako ipo chini, hausikiki very loudy kama msanii

    • @Ufukweni
      @Ufukweni  6 лет назад

      Asante kwa maoni yako Kinara, tutalifanyia kazi mzee.

  • @kinarazemaster7321
    @kinarazemaster7321 6 лет назад +2

    Batro sauti yako ipo chini, hausikiki very loudy kama msanii