Bro chid nakuelewa sana,, huwa nafatilia interviews zko nying huwa unaongea vitu fact....Hata interview ya Mirad naikumbuk vzur2... Ulicho ongea ni sahihi.....much respect to you bro mungu akusimamie na kukutia nguvu
Bro Chid ninachokielewa unazidi kukua ktk kuitambua hali yako naumegundua kuwa ukiwa Negative kwa kila kitu unatumia energy kubwa sana ktk life yako,ila watu tunatabia yaasili yaubinafsi hatutaki kujua kuwa ww kma ww unahitaji kujisaidia kwanza bila mipango nahali unayoipitia kwende mbele huwezi kuifanya mipango yetu sisi kama mashabiki kimziki iende mbele pia."Dunia nisehemu sahihi zaidi kama watu wataanza kufikiria juu ya hali wanazopitia watu wengine nakua msaada kwao kwakubadili changamoto wanazopitia"MUNGU msaidie Bro Chid Amani kwako
Yaan.. Huwa sichoki kuangalia interview ya huyu broo.... jmn wenye hii channel km mnasoma comment.. Mwambie huyu kaka nampenda mpk basi yaani yuko strong hatare!
Ufukweni.... Msijali mie mkinifikishia salam zangu tu kwake inatosha... Nashukuru kwa promise ya offer yetu ....na ningependa....Siku nimuone uso kwa uso.... Binafsi huwa sipendi aulizwe about madawa...km mwenyewe alivokuwa hapendi... Ningependa tu watu wasipende kumbeza kutokana na mabaya.... Hebu apewe haki yaki anapozungumza point... But waja huwa hawalioni hilo yaan imekuwa shida chidy akiongea tu anaoneka hayuko sawa... Jmn mie nakereka kwakweli.... In short ni kwamba chupa yupo sawa... Tofauti na siku za nyuma na ukweli wakuacha hizo habari za madawa anaujua yeye ! Na mie namuombea dua kwa Allah azidi kumlinda nakumpa njia ilosahihi kwake chidy my broo m. Mungu akujalie kila lilojema mbele yako inshallah... I love you my broo!
KING KONG it was the funniest interview ever bro hahahahah ....hata panadol ni madawa bt uko physical fittness .# SUPPORT FOR THE ONLY KING KONG IN THE GAME.
This guy has no choice but to be drug free. He can also make a good actor in a movie.He's a genius. Seems Tanzanians artistes are propelled by radio airplay,that shld be an outdated mode. Alternative media outlets like this ones are more liberal, superb and doesn't limit or enslave real talent.
But mimi nimeshikilia pale ambapo kulikua kunasikika music background,it was much better kuzima ile music background kwasababu mazingira ya baharini yanajulikana na fujo fujo zake,kwaiyo cjasema kulekodia sehemu ingine..Only that my friend
We mtangazaji kua na akiri yakufukiri na pia uwe unafanya kitu ambacho kiko professional kama utakua umesomea kweli,unafanya interview na mtu uko baharini then katika background kuna mziki na ukae ukijua unaelewa mazingira yaliyopo katika bahari,ile hari ya mawingu mawingu,what do you expect wasikilizaji kusikia???????Elimika acha kuboa watu,be professional ndugu,yangu ni hayo next tym whatch out
Tunashukuru sana kwa maoni yako Bw. Erick, niwazi umetufatilia na kutizama mazungumzo yetu (ambayo wewe umeyaita mahojiano). Lakini tungependa kuweka jambo moja wazi kuwa mahojiano yanaweza kufanywa mahali popote. Lakini ni vema tukakujuza kwa faida yako na watazamaji wetu wengine kuwa jina la kipindi ni UFUKWENI hivyo huwa hatufanyi mahojiano isipokuwa ni mazungumzo ya hapa na pale (ni kawaida wawili au watatu wanapokutana maeneo hayo kupiga soga) hivyo kuhusu mahali tunapofanyia kipindi hatuwezi kubadili kwakuwa ndio dhana nzima ya kipindi chetu. Kama kuna changamoto nyingine kama za sauti na picha au uwasilishaji wa hoja basi tutajitahidi kadri ya uwezo wetu kuzifanyia kazi hizo changamoto. Asante sana kwa ushauri wako, ubarikiwe🙏🏾 na usisite kutujuza na kuangalia mwenendo wetu kama mdau ambae unatutakia yaliyomema na unaitakia fani hii ya utangazaji na ubunifu wa vipindi kufika mbali.
CHIDI UNASAUTI YA KUTOA NYIMBO KILASIKU UNASAUTI NZURI SANA BIG UP BRO
kama unakubali chid anaongea fact gonga la kama zote
Lawrance Severine mi wa ilala lkn sigong like
Yaan kama umemuelewa chid benz acha majungu na ubishi gonga like yako hapa 😃😃😃
Dah namfeel Sana huyu mchizi
Huyu broo nampenda sana... Yaan chid wewe ni konki konki konki master 💪
Chid ni king Kong!
Kzazi sana hom boy chidi benzi bongo hakuna kama ww sema tu wanabebwa
Bro chid nakuelewa sana,, huwa nafatilia interviews zko nying huwa unaongea vitu fact....Hata interview ya Mirad naikumbuk vzur2... Ulicho ongea ni sahihi.....much respect to you bro mungu akusimamie na kukutia nguvu
chidi com back boy ...tumezikosa sana frow hizo mlikua waili wenye frow za hatari..r.i.p.ngwear ...umebaki wewe tu..rudi.mzima..man..❤
Chidi Nakukubali Umeongea facts kuna watu wanatengenezwa kuharibia watu majina kwenye mitandao
Tisha sana chid Benz... Nakukubali.. Km zote.
Aisha Mohammed gd
Bro Chid ninachokielewa unazidi kukua ktk kuitambua hali yako naumegundua kuwa ukiwa Negative kwa kila kitu unatumia energy kubwa sana ktk life yako,ila watu tunatabia yaasili yaubinafsi hatutaki kujua kuwa ww kma ww unahitaji kujisaidia kwanza bila mipango nahali unayoipitia kwende mbele huwezi kuifanya mipango yetu sisi kama mashabiki kimziki iende mbele pia."Dunia nisehemu sahihi zaidi kama watu wataanza kufikiria juu ya hali wanazopitia watu wengine nakua msaada kwao kwakubadili changamoto wanazopitia"MUNGU msaidie Bro Chid Amani kwako
bro chid umeongea madin sanaa kwel we chuma
chid Benz bado yuko vizur sana.
chidi namkubali sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Chid unajua sana mwamba... Ukweli mtupu
Gonga like huyu Jamaa nae ni konki konki konki master
Twakukubali kamanda tupe kazi
Unajua sana mkufunz wa la familia
Yaan.. Huwa sichoki kuangalia interview ya huyu broo.... jmn wenye hii channel km mnasoma comment.. Mwambie huyu kaka nampenda mpk basi yaani yuko strong hatare!
Usijali Aisha, salamu zako zimefika, ipo siku tutakupa mwaliko wa ufukweni uje kupunga upepo nae.
Ufukweni.... Msijali mie mkinifikishia salam zangu tu kwake inatosha... Nashukuru kwa promise ya offer yetu ....na ningependa....Siku nimuone uso kwa uso.... Binafsi huwa sipendi aulizwe about madawa...km mwenyewe alivokuwa hapendi... Ningependa tu watu wasipende kumbeza kutokana na mabaya.... Hebu apewe haki yaki anapozungumza point... But waja huwa hawalioni hilo yaan imekuwa shida chidy akiongea tu anaoneka hayuko sawa... Jmn mie nakereka kwakweli.... In short ni kwamba chupa yupo sawa... Tofauti na siku za nyuma na ukweli wakuacha hizo habari za madawa anaujua yeye ! Na mie namuombea dua kwa Allah azidi kumlinda nakumpa njia ilosahihi kwake chidy my broo m. Mungu akujalie kila lilojema mbele yako inshallah... I love you my broo!
Nikupe no zake😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@@denisclay8549 😆😅
@@denisclay8549 nipe kaa unazo
Best session ever I love it
Thank you so much brother...we appreciate your love and support.
Chiiidi"of course niweke pembeni kwa sababu mi natamba sehemu zote"
KING KONG it was the funniest interview ever bro hahahahah ....hata panadol ni madawa bt uko physical fittness .# SUPPORT FOR THE ONLY KING KONG IN THE GAME.
Bigup chidi
Chidi unauelewa mkubwa sana kaka
sasa hamumuelewi VP jamaa yupo sawa mbona
tunaitaji shoo za chid
et karibu bwana chidi kula bench lile pale
Ni kweli chid upo sahh
Fally na boston cheki apa
Soda yangu au yako😁😂😁😂
aisee mungu akuongoz azid kukupa nguvu we n Nouma San🙌🙌🙌
Juice parachichi Huna ishu wewe kavue samaki
% chid nakubali bro
trust me makwilo is back, naiona awareness, confidence, energy, Rage na kila kitu, namuona chidy ninaemfahamu
Chidi ni mtu mzima baba, hata ale madawa aje ila anapoanza kufoka yeye huongea facts. His words are alwaiz inspiring
Chidi chuma....hata iweje hawezi isha..i salute u ma nigga
Kipindi kizuri sana chief....
rudi kwenye game bro mungu yupo kama ipo ipo tuu
MASHABIKI KUNUNULIWA NAKUBALI SANA HATA WANASIASA KENYA HUNUNUA MASHABIKI CHIDI UMEGONGA NDIPO
Hahaha hii soda yangu yako hahaha
hahahahahah chid bana,bravo
chid anakumbukumbu nzuri sana kwaiyo mtangazaji kuwa Makini muulize vitu vyamsingi lasivyo mtatolewa nishy tu dyle
Nawacheki sana huku mombasa hadi kwenye siasa ivo ivo
Umetisha sana jembe
Hope kali Jibaba
Ety nimerud nimetoka wapi big up chidi beezzzzzzzzz
Spot diagnosis?????
presentr msengee sanaaa.. muache msanii aongee ucmkatishe
Matusi hayajengu hoja kaka. Ni vema kuwa na hoja madhubuti ili mpokeaji aipokee kwa heshima.
Mmmh interview ii nmeipenda saana
Shukrani sana 🙏🏾 Subscribe kwenye chaneli yetu ili vitu kama hivi visikupite.
Chid benzi nomaa
Nice work,big shout out to Chid Benz. Real talk ,fuck the system
Thanks brother! 👊🏾
Kizazi chid
weka glass mbali unataka nikumiminie hahaha ila chid sometimes yes sometime no
Weusi wanabebwa chidi nimekusoma kizazi sana
Shikamoo chidi nakuelewa sana
ilalaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
nawacheki nipo Zambia show mzuri
Asante sana mzee, wape Salama pande hizo.
Huyo ndo benzino
😀😀😀😀😀
Wale tunao
Chind , one day Mola atakufungulia zidi kumuomba , hakuna atazuia kama Mola amekwandikia.....
Chumaaa Noumaaa
Ter toa ter
Gonga like zako hapa Mimi huwa sipatagi like zenu kabisa
KIZAZI SANA 📍
👊🏾 pamoja sana mzee
mbona unakata saut sasa
😀😀😀😀😀😀😀chidiy utakuwa umetukana hapo waripo kata
Mnatumia mic aina gani mbona upepo mwingi
This guy has no choice but to be drug free. He can also make a good actor in a movie.He's a genius. Seems Tanzanians artistes are propelled by radio airplay,that shld be an outdated mode. Alternative media outlets like this ones are more liberal, superb and doesn't limit or enslave real talent.
KASEMA UKWELI NA hUYO Benziono ni kweli mtupu
Haujui kuendesha kipindi Mzee sasa jaribu kuwa mtulivu katika interview na usiropokeropoke na usimkatishekatishe msaniii
Sawa Almas Shukrani kwa maoni yako, tutayafanyia kazi na kujirekebisha. 🙏🏾🙏🏾
sanaaaaaaaa
Chid umekwisha lkn unajikubaliiii saana,acha madawa tunakupenda
Nlirudiii nliendaa wapi unaanza kucheka nijibuuu
😀😀😀😀😀
+Tatu T 🙊🙊🙊🙊
😅😅😅😅😆😆😆😂😂😉😯😯😯😂😂😆😅
Ktk walio elewa nipo cna sapot thus y cm cpig
Hahahahaha child benzino
huyu presenter Ana tabia ya ku interfear msanii anapozungumza hio tabia mbaya sjui kwann mpaka kipindi kinaisha chidi hajakuchapa makofi
Asante kwa maoni yako ya kujenga, tunashukuru sana na tutayafanyia kazi🙏🏾
ila sijamfatilia sana,sema chid anaongea sana afu kwenye mtiririko sasa usipo mkatisha anaongea vyake tu ambavyo vinamashiko pia.😂😂😂😂😂
#King Kong #CHUMA👑🔥💪
chumaaaaaa
king wa HIP HOP
Chid bhna ngumi mkoni ukimwendea haraka anakwendea haraka 😂😂😂
Mic upepo mwingi..Taften namna inaboa
KING KONG KING KONG KING KONG
dah
UKIMALIZA KUCHEKA NIJIBU
WAP MB DOG
hii soda yang yako
Tanzania 🇹🇿 chidi na nikki mbishi wametosha kuiwakilisha 💪
Chumaaaa
Konq chid
Saafi benz
Jamani huyu ni yule chid Benz au ni chid baiskeli?
King rapper
Mbona ww ulichezea kwa pina usemi.
ufukweni mpaka nimemuelewa chid ila ufukweni na juice mmmh hamjaninogesha maana chid naona mpaka ameisahau kunywa 😇 tujifuze sehem na sehem.
🤣🤣🤣😂😂😂😂😂 wataka nikumininie
Poa poa umesomeka dadaa. Big up kwako kwa ushauri mzuri wenye kujenga. Tutajitahidi kuufanyia kazi.
Mi mpaka kesho huyu jamaa namuelewa sana..jamaa anaakili nyingi sana
Huyu reporter anamaliza juice kabla interview ianze lol,,,,,
😂😂😂😂😂
Nirazima amalize sababu aongei Sana kama chidy
Huyo anekuhoji yuko shalo hakuez chuma cha ilala
But mimi nimeshikilia pale ambapo kulikua kunasikika music background,it was much better kuzima ile music background kwasababu mazingira ya baharini yanajulikana na fujo fujo zake,kwaiyo cjasema kulekodia sehemu ingine..Only that my friend
Sawa asante sana kwa ushauri wako, tutaufanyia kazi. 🙏🏾
Yed
Erick Bayona kwenda zako ushamba tuu sound inachangamsha kipindi acheni majungu
Kakonda dah
Ebu mchape kofi huyo anakuita wewe mteja🔥👊🏿🤺🤺🚀😊💥
Chiz nakupendaga sana kka acha hizo v2
We mtangazaji kua na akiri yakufukiri na pia uwe unafanya kitu ambacho kiko professional kama utakua umesomea kweli,unafanya interview na mtu uko baharini then katika background kuna mziki na ukae ukijua unaelewa mazingira yaliyopo katika bahari,ile hari ya mawingu mawingu,what do you expect wasikilizaji kusikia???????Elimika acha kuboa watu,be professional ndugu,yangu ni hayo next tym whatch out
Tunashukuru sana kwa maoni yako Bw. Erick, niwazi umetufatilia na kutizama mazungumzo yetu (ambayo wewe umeyaita mahojiano). Lakini tungependa kuweka jambo moja wazi kuwa mahojiano yanaweza kufanywa mahali popote. Lakini ni vema tukakujuza kwa faida yako na watazamaji wetu wengine kuwa jina la kipindi ni UFUKWENI hivyo huwa hatufanyi mahojiano isipokuwa ni mazungumzo ya hapa na pale (ni kawaida wawili au watatu wanapokutana maeneo hayo kupiga soga) hivyo kuhusu mahali tunapofanyia kipindi hatuwezi kubadili kwakuwa ndio dhana nzima ya kipindi chetu. Kama kuna changamoto nyingine kama za sauti na picha au uwasilishaji wa hoja basi tutajitahidi kadri ya uwezo wetu kuzifanyia kazi hizo changamoto. Asante sana kwa ushauri wako, ubarikiwe🙏🏾 na usisite kutujuza na kuangalia mwenendo wetu kama mdau ambae unatutakia yaliyomema na unaitakia fani hii ya utangazaji na ubunifu wa vipindi kufika mbali.
Ata yeye sijuii anatumia nini by the way
Minataka kujua chid Benz anapatikana wapi minataka kukutana nae jamani
Mzee Chid ametaja namba yake mwisho utizama interview utaisikia. Mcheki humo.
tatizo unaongea sana
Uko poa chid