Ufukweni
Ufukweni
  • Видео 17
  • Просмотров 75 103
Ufukweni: “Sijawahi kuamini katika kubaniwa” Belle 9
Belle 9 amefika ufukweni na kupiga story kadhaa. Moja kati ya jambo ambalo yeye binafsi aliamini ni kubaniwa katika muziki. Yapo mengi ambayo tumepiga nae story lakini hili la kubaniwa tumelitilia mkazo kwasababu imekuwa kilio cha wasanii walio wengi kuwa media fulani zinawabania. Ni kweli bado hili swala lipo la kubaniwa, na je kubaniwa ni nini?
Просмотров: 248

Видео

Ufukweni: Msamiart
Просмотров 1306 лет назад
Kijiweni tumepiga story za kutosha na Msamiart, baadhi ya mambo aliyofunguka ni pamoja na kwanini alisema Chilla Mchawi.
Ufukweni: Bangladesh
Просмотров 916 лет назад
Tulipata wasaha mchache wa kujadili sanaa ya muziki na mtayarishaji Bangladesh.
Ufukweni: Boshoo Ninja
Просмотров 3,1 тыс.6 лет назад
Juma hili tulipunga upepo na Bosho the Son (Boshoo ninja) na kujadili mambo mawili matatu kuhusu changamoto anazokutana nazo akiwa kama msanii mchanga anayechipukia katika tasnia ya muziki wa Hip Hop
Ufukweni: One the Incredible
Просмотров 6 тыс.6 лет назад
Ufukweni: One the Incredible
Ufukweni: "Hakuna mtu wa kunilinganisha nae" Chid Benz
Просмотров 38 тыс.6 лет назад
Chid Benz amesema hakuna mtu wa kulinganishwa nae, lakini pia ameonesha kutofurahishwa na kitendo cha wasanii wenzie kutumia matatizo yake kama njia ya kujiongeza umaarufu (kiki). Katika mahojiano haya pia amezungumzia jinsi ya media vinavyojaribu kuwafanyia fitina baadhi ya wasanii ili kuwashusha na kuwapandisha ambao wanamaslahi nao mapana.
Ufukweni: "F*ck the Media" Nikki Mbishi
Просмотров 12 тыс.6 лет назад
Msanii wa Hip Hop Nikki Mbishi aweka bayana baadhi ya changamoto wanazokutana nazo katika muziki na msimamo wake juu ya changamoto hizo.
Ufukweni: "Basata fungieni zote" Nikki Mbishi
Просмотров 12 тыс.6 лет назад
Msanii wa Hip Hop Nikki Mbishi aweka bayana baadhi ya changamoto wanazokutana nazo katika muziki na msimamo wake juu ya changamoto hizo.
Ufukweni: "Tozo za Basata zinaumiza wasanii" Nikki wa Pili
Просмотров 3126 лет назад
Ufukweni ni kipindi cha Tv ambacho kinaonyeshwa na kituo cha tv ambacho ni Clouds Plus. Kipindi hiki huonyeshwa saa 2.30 usiku kila siku ya Alhamis. Tufuate katika mitandao ya kijamii kuanzia Twiiter @Ufukweni Instagram @Ufukweni na Facebook @Ufukweni
Ufukweni: "Msanii tengeneza mazingira ya kushinda katika biashara yako" Nikki wa Pili.
Просмотров 3226 лет назад
Ufukweni ni kipindi cha Tv ambacho kinaonyeshwa na kituo cha tv ambacho ni Clouds Plus. Kipindi hiki huonyeshwa saa 2.30 usiku kila siku ya Alhamis. Tufuate katika mitandao ya kijamii kuanzia Twiiter @Ufukweni Instagram @Ufukweni na Facebook @Ufukweni
Ufukweni: Nikki wa Pili "Ni sawa kuwa marioo"
Просмотров 8106 лет назад
Ufukweni ni kipindi cha Tv ambacho kinaonyeshwa na kituo cha tv ambacho ni Clouds Plus. Kipindi hiki huonyeshwa saa 2.30 usiku kila siku ya Alhamis. Tufuate katika mitandao ya kijamii kuanzia Twiiter @Ufukweni Instagram @Ufukweni na Facebook @Ufukweni
Ufukweni: Dupy "Madee yuko sahihi kusema sasa hakuna best song"
Просмотров 1216 лет назад
Batro aliwahi kuzungumza na Madee 2017 ambapo katika mazungumzo yao Madee alisema kwa sasa hakuna Best Song bali Hits song. Na katika kijiwe cha Ufukweni Dupy anatoa ufafanuzi juu ya kauli hiyo ya Madee.
Ufukweni: Dupy Aeleza sababu za kuendelea kufanya kazi na Izzo Bizness
Просмотров 336 лет назад
Dupy amekuwa ni mtayarishaji wa muziki ambaye anafanya kazi nyingi na msanii Izzo Bizness. Ambapo kupitia kipindi cha Ufukweni hakuacha kuelezea ni sababu zipi hasa zinamfanya awe anafanya kazi nyingi na Izzo.
Ufukweni: Dupy Aeleza namna alivyokutana na Juma Nature
Просмотров 3016 лет назад
Dupy ni mtayarishaji wa muziki wa kizazi kipya, na kupitia kipindi hiki cha Ufukweni ambapo alieleza kwa upana jinsi ambavyo aliweza kukutana na mkongwe Juma Nature.
Ufukweni: Wakazi "Professor Jay ni Fundi"
Просмотров 2476 лет назад
Msanii wa Hip Hop Wakazi akielezea uwezo wa Professor Jay katika Msanii mkongwe ambaye kwa sasa ni Mbunge wa Jimbo la Mikumi Morogoro.
Ufukweni: Wakazi "Live Band inawasumbua watu wengi"
Просмотров 5106 лет назад
Ufukweni: Wakazi "Live Band inawasumbua watu wengi"
Ufukweni: Wakazi 'Nilishawahi kumtungiaga Lady Jaydee"
Просмотров 9336 лет назад
Ufukweni: Wakazi 'Nilishawahi kumtungiaga Lady Jaydee"

Комментарии