Hashim dogo aka ( Dogo Mwendawazimu) Moja kati ya mcs wa kibongo adimu sana kuwahi kutokea kwenye ground ya mziki wa hip hop hapa kwetu tz, Walio wengi hawakupata kukufaham hususani age ya kizazi cha sasa, ( Jina lako linaendelea kuskika kutoka kwa mc wa sasa waliopo kwenye industry ya Hip hop waliokua wakikufuatilia na kuonyesha heshima yako uliyokua ukistahili ) Vijana wa kizazi hiki wamekua wakitaka kujua Hashim dogo ni nani (skilizeni Wimbo tunasonga kikosi wakiwa na Karapina) mtamskiliza japo kidogo ) au Wimborne shadow of the darkness, kitu ambacho sjakipenda kwako hashim dogo , ni freestyle zako zilizomtandaoni (matusi) naomba ukumbuke kizazi na kizazi kitaendelea kufatilia na kujifunza , maoni yangu ungeziondoa na kuweka zile zenye Maudhui ya ki tz but much respect for U.

Dogo Mwendawazimu King of freestyle
Uyo ndo mwendawazimu kitimtim vogo dogo
Naisikiliza hadi Leo 2020
niko hapa piaa
2022 na bado namskiliza Hashim Dogo. 🐐
The most definite definition of freestyling
Nigga sound good man in those hard core beats
Aisee tuwekee na ngoma za saigoni kama kibongo bongo
noma sana dogo hashimu
Good stuff. Nimependa
Wajina Mtu Mbayaaaaaa
Hashim Dogo ni 🔥 🔥 🔥
Jamaa ni noma
Balaa
nakubali
✊🏿✊🏿
salute bro
Tumemisi michano yako kaka.
Noma na Soo over
Chuga ya 2pac