Assalamualaikum maana yake ni "amani juu yako" je Kuna ambaye hahitaji amani kutoka M\mungu, Sasa inakuwaje mtu wa Imani nyengine anapokutolea salamu umuitikie "Walaikum" maana yake "na juu yako" na juu yako nini Sasa, kwenye hili bwana Saigon nahisi umekosea Sana
Saigoni nipe dalili ya kumjibu asiekua mwislamu waalaiku .nipe hadithi au aya hapo ndipo nitakuelewa nisaidie maana mtume aliishu hadi na wasiokua waislamu na akawaonyesha upendo
Huyu kapotoka hajajua kumuelekeza asiekua muislamu namna ya kumjibu salaam MTU asilimu asisilimu anajibiwa vilevile waalayku salaam ukiona mwislamu anakujibu waalayku manaake juu yako ukiangalia haina maana kwahiyo saigon kapotoka kundi aliloingia sio katika makundi ya kisslamu upo apo bwana thomas
@@saidykawela3048 kaingia kundi gani? Usizungumze usicho na elim nacho bro. Waaleykum maana yake ni "na juu yako pia" na sio 'juu yako' halaf hayo ni mafunzo yanayopatikana darasani sio kijiweni, ukitaka kuyajua hayo kasome
@@saidykawela3048 hayo ni mafunzo kaka yanayopatikana darasani, sio kila kitu utakikuta km kilivyo ktk aya au hadithi, kuna vingine tunajifunza kutokana na maisha aliyoishi mtume (saw)
Imeandikwa wapi hayo maelezo. Sagon Asalaam Aleykum imetoholewa kutoka Shalom Aleykem. Imesemwa kabla ya uislam na Muhammad kuwepo. Sasa wameitikiwa hivyo. Wakristo wa kiarabu wanasalimiana hivyo wala sio salam ya kiislam. Ni salaam ya kiyahudi iliyo toholewa na Muhammad.
Mimi ni muislamu wa kuzaliwa na Sio mradi muislamu tu wakuzaliwa nafatilia Sana mambo ya dini yangu pia Ila kwenye Hili Bwana Saigon amekosea Sana mtu wa Imani yoyote unapaswa kumpa salamu na kuitikia salamu kwa ukamilifu wake
Alhamdulillah ALLAH amfanyie wepesi katika Mambo yako
Asante Kwa Kutufuatilia
mashaallah Saigon Allah akupe kauli njema
Asante Kwa Kutufuatilia
Mashallah Allah akuongoze
asante kwa kutufuatilia
MashaAllah .....hakika Allah anamuongoza amtakae
Asante Kwa Kutufuatilia
Oooohyyyi kalinye kalinye oooohyyiii
Asante Kwa Kutufuailia
mtangazaji hawezi kutoboa kwa style hii mtangazaji hana swagga kabisa
Asante Kwa Kutufuatilia
Hayo ndiyo maisha..ukiwa na hofu ya Mungu ndio unakamilisha utu (mtu)
Asante Kwa Kutufuatilia
Daaah kweli Tumejisaau.
Asante Kwa Kutufuatilia
Danny kaboma nakukubali sana karibu Mtwara
Asante Kwa Kutufuatilia
Allah atujalie bihusinl khatma inshallah
asante kwa kutufuatilia
MashaAllah
Asante Kwa Kutufuatilia
mashaallah allah amuongoze ktk amal njema
Asante Kwa Kutufuatilia
Ma sha Allah
Asante Kwa Kutufuatilia
safi bro
asante kwa kutufuatilia
Asante kwa kutufuatilia
Salute sana Mzee wa Fikra pana i appreciate you
Asante Kwa Kutufuatilia
drops znakelele...(ben)
Asante Kwa Kutufuatilia
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️.
Asante Kwa Kutufuatilia
Duhh hawa wasanii wa zaman m nawapenda xana
Asante Kwa Kutufuatilia
mashaallah
Asante Kwa Kutufuatilia
Mashallaah
Asante Kwa Kutufuatilia
Nimecheka sana ulivyosema oooi
Asante Kwa Kutufuatilia
Mfano mzur kwako Saigon
What
Asante Kwa Kutufuatilia
Mtangazaji anaongea kama Soggy Doggy Hunter
Asante Kwa Kutufuatilia
Assalamualaikum maana yake ni "amani juu yako" je Kuna ambaye hahitaji amani kutoka M\mungu, Sasa inakuwaje mtu wa Imani nyengine anapokutolea salamu umuitikie "Walaikum" maana yake "na juu yako" na juu yako nini Sasa, kwenye hili bwana Saigon nahisi umekosea Sana
Asante Kwa Kutufuatilia
Yupo sahihi nae ili Amani ya ALLAH iwe kwake inabidi nae anyenyekee
SALUTE SAIGON
Asante Kwa Kutufuatilia
Saigoni nipe dalili ya kumjibu asiekua mwislamu waalaiku .nipe hadithi au aya hapo ndipo nitakuelewa nisaidie maana mtume aliishu hadi na wasiokua waislamu na akawaonyesha upendo
soma kitabu cha abuu zakkariyya almaarufu imam annawawi((allah amrehem)) KITABU KINAITWA RAYYADH SWALIHIYN. MLANGO WA MAAMKIZ KTK UISLAM.NA SAIGON UMEMSIKIA VIBAYA KASEMA WAALEYKUM
Masikio huna weeh vipi?
Asante Kwa Kutufuatilia
Kwan hapo kaonesha chuki?
Hili jamaa Kumbe lina mambo ya kidini, Kwan kuitikia ndo Tatizo
Huyu kapotoka hajajua kumuelekeza asiekua muislamu namna ya kumjibu salaam MTU asilimu asisilimu anajibiwa vilevile waalayku salaam ukiona mwislamu anakujibu waalayku manaake juu yako ukiangalia haina maana kwahiyo saigon kapotoka kundi aliloingia sio katika makundi ya kisslamu upo apo bwana thomas
@@cawabemedia24 nipe aya au hadithi inayosema ndio mfumo wa kiislamu ,hivi unajua maana ya waalayku??
Kama nigga ubongo haupo kwake
@@saidykawela3048 kaingia kundi gani? Usizungumze usicho na elim nacho bro. Waaleykum maana yake ni "na juu yako pia" na sio 'juu yako' halaf hayo ni mafunzo yanayopatikana darasani sio kijiweni, ukitaka kuyajua hayo kasome
@@saidykawela3048 hayo ni mafunzo kaka yanayopatikana darasani, sio kila kitu utakikuta km kilivyo ktk aya au hadithi, kuna vingine tunajifunza kutokana na maisha aliyoishi mtume (saw)
Imeandikwa wapi hayo maelezo. Sagon Asalaam Aleykum imetoholewa kutoka Shalom Aleykem. Imesemwa kabla ya uislam na Muhammad kuwepo. Sasa wameitikiwa hivyo. Wakristo wa kiarabu wanasalimiana hivyo wala sio salam ya kiislam. Ni salaam ya kiyahudi iliyo toholewa na Muhammad.
Sio kweli. Salam aleykum ni maneno ya kiarabu yenye maana Amani ya Mungu iwe juu yenu
Asante Kwa Kutufuatilia
Ingieni darasani msome elimu yenu bado amjui kitu
Mimi ni muislamu wa kuzaliwa na Sio mradi muislamu tu wakuzaliwa nafatilia Sana mambo ya dini yangu pia Ila kwenye Hili Bwana Saigon amekosea Sana mtu wa Imani yoyote unapaswa kumpa salamu na kuitikia salamu kwa ukamilifu wake
MashaAllah
Asante Kwa Kutufuatilia
Mashallah
asante kwa kutufuatilia
Mashallah
Asante Kwa Kutufuatilia
Mashaallah
Asante Kwa Kutufuatilia