Lead vocals by : Ahmed Dola aka Balozi . Back vocals: Ahmed Dola Beats: Miika Mwamba Syncronization: Miika Mwamba Arranger: Miika Mwamba Sound Engineer : Miika Mwamba Producer: Miika Mwamba Executive Producer: Ahmed Dola, Studio : FM , KINONDONI , DAR ES SALAAM , TANZANIA
Ulishaskiliza Ile Ngoma ya still ya Dr dree ft snop doggy ??? Ile bit na hii zina kik ma snea zinatanana kabisa,Sasa sijui nani alikopy Kwa mwenzie..k@@obbymweucy4424
Hatari sna ' muziki ni kitu cha pekee ... Balozi vp ! yaani umegairi kbs kufanya muziki !! WATU wako tunakumbuka SNA kazi zko hizi ' Dini na Dunia kila mmoja atabeba mzigo wke kwnye Gunia , hzi mashairi tulikuwa tunaandika kwnye daftari za shule kipindi kile ' form One.... '' Any way dat why ukaitwa WAKATI..''
JINA: MIIKKA ALEKSANTERI KARI aka MIIKKA MWAMBA KUZALIWA: 1971 KAZI: MTAYARISHAJI MUZIKI ASILI: FINLAND ELIMU : SHAHADA YA UZAMILI KWENYE UHANDISI WA SAUTI NA MWANGA ( SOUND ENGINEERING NDIYE ALIYETAYARISHA HII NYIMBO
2024 still banging this song❤.. Mika Mwamba aliisuka hii ngoma balaa balaa
Popote ulipo mwenyezi mungu akubariki Na akulinde Na akujalie afya njema Na Kama umeacha kuimba uko juu Bado
Lead vocals by : Ahmed Dola aka Balozi .
Back vocals: Ahmed Dola
Beats: Miika Mwamba
Syncronization: Miika Mwamba
Arranger: Miika Mwamba
Sound Engineer : Miika Mwamba
Producer: Miika Mwamba
Executive Producer: Ahmed Dola,
Studio : FM , KINONDONI , DAR ES SALAAM , TANZANIA
Mika Mwamba alikuwa Ni Mbad Kwenye Kutengeneza beats ambazo zimefanya ngoma hizo Kuishi mpaka leo
Daah Mika mwamba alikua mbele ya muda aisee this beat is sick man😅😅
Ulishaskiliza Ile Ngoma ya still ya Dr dree ft snop doggy ??? Ile bit na hii zina kik ma snea zinatanana kabisa,Sasa sijui nani alikopy Kwa mwenzie..k@@obbymweucy4424
You would think Dr.Dre made this beat, way ahead of time
My question is who copied, miika mwamba au Dr. Dre, still imetoka 2001 hii ya balozi sijui imetoka lini.
@@uzaziplus3334 ya balozi imetoka 2003
True
Mikka mwamba alimuiga dr dre @@uzaziplus3334
2023 June, still banging. Mika Mwamba aliitendea maajabu hi ngoma na imekuwa ni immortal track
Aisee utadhani kaimba hii ngoma Jana tu....bado ina hit kinoma
Duh! Kungekua na social media kipindi hichi, Tz tungekua mbali kimziki
Wangapi wamekuja baadae kuona kipindi cha refresh wasafi
Nikisikiza hii song namkumbuka my bro alikua akiimba street na marafiki zake wakiwa wanasoma bonden sec ars duu kitambo sana
True hip hop,sauti vocal Lina mamlaka da! Hatar sanaaaa 🔥...Dolla soul
Wee balozi ebu achia ngoma kali Kama hii mbona kimya sana
Hizi ndio ngoma kali maamae
OG meeen
Beat lake ni ngumu kuamin Kama ni mbongo katengeneza, miika mwamba respect
very true
Mika Mwamba Si Mbongo Mzee Wangu Huyo Ni Mzungu
Hii bit ni kopi na kupesti kwa dr drei
Mikka Mwamba hakua mbongo kaka ni mzungu pure kutoka Finland huko
Hii ni ngoma na nusu aiseee📌
March 2022 gonga like apa
Nakumbuka mbali sana
Mika Mwamba anasema hi ilienda one take tuu
noma
Ngoma itaendelea kudumu mpk mwisho wa dunia, haichosho naisikiliza Mara nyingi
2024 still 🔥🔥🔥
Ngoma Hatari sana Daah, Come Back Balozi
Hatari sna ' muziki ni kitu cha pekee ... Balozi vp ! yaani umegairi kbs kufanya muziki !! WATU wako tunakumbuka SNA kazi zko hizi ' Dini na Dunia kila mmoja atabeba mzigo wke kwnye Gunia , hzi mashairi tulikuwa tunaandika kwnye daftari za shule kipindi kile ' form One.... '' Any way dat why ukaitwa WAKATI..''
ngoma Kali Sana
Hakuna siku alifuta shasho studio Kama aliporekodi goma hili zigo balaa fire huu sio wimbo hili bomu
One take yooo....sauti yenye mamlaka
Hakuna tena kama hii mamaee.......14/03/2022
OG
🎉🎉🎉🎉 hip hop hiyo siyo ya sasa wanakata mauno tu
Balozi kwanini umetoa ngoma kali alafu umepotea?
2024 kwenye chati ,,kitambo sana 2002 daaah ilikuwa hatari sana
BALOZI...........Shout out to you bro.!!
All the way 2023 nimegundua hili pilau
Mzungu Mikka Mwamba alisuka beat aisee achana na hawa kina s2kizzy 😂😂😂
Maproducer wa siku hizi beats zao very shallow na wanasaidiwa sana na makompyuta lakini wapi!
Back the day yuko wap balozi
balozi ukowap hip hop hakuna tena
Producer:Mikka Mwamba, one take
Hatar sana huyu jamaa
Mzee ngoma hii kazi ilifanyika bwana tuwache mchezo
🔥🔥🔥🔥
Kinachonifurahisha humu vocal imejaa sana kwny mic
Daaah hizi nyimbo ni hazina aiseee enzi hizo ndio kulikuwa na waimbaji.
Mika Mwamba was a beast
Nyimbo ya kikubwa sana salute sana bro balozi
barozi noma sana itabamba miaka naenda ludi🔥🔥
beat, vocal, lines🫡
Hawa ma Mc's #1. 2024-03-09 bado nawakubali sana!
Bonge la beet,
The best of all time
Uyu jamaa alikuwa hatari
🎉 chechereee jamani bongo raha sana
2024 still banging
do la soul alifanya poa humo
2021 September....still listening 🎧 to this song.
Balozi❤
Noma sana broo
JINA: MIIKKA ALEKSANTERI KARI aka MIIKKA MWAMBA
KUZALIWA: 1971
KAZI: MTAYARISHAJI MUZIKI
ASILI: FINLAND
ELIMU : SHAHADA YA UZAMILI KWENYE UHANDISI WA SAUTI NA MWANGA ( SOUND ENGINEERING
NDIYE ALIYETAYARISHA HII NYIMBO
Hadi mm bado naisikiliza hadi sasa 2021/9
2023 Feb
Deplowmatz 🔥🔥🔥💪💪👊
Uyu jamaa nikimsikiaga aoipewa kolabo ata na eminem eminem anaweza kalushwa .balozi nouma
Daaaash mmmmamaa333
Baloziii nipo ubalozini
Baloziii😊😊
Kaka unajua kuimba acha mchezo
Ukisikiliza goma hili utamaliza mb zako maana halichoshi
UKO WAPI BALOZI
2021🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mikka mwamba 🎉
Balozi 🔥
hii beat walitenda haki
2024 mika mwamba
Timeless -
Rudi kwenye Utamaduni
2020 natia chata hapa
Still banging
Bro respond kubwasana Joe nipo Dar es salaam korogwe fresh
Mikamwamba
2023
January 2023
2023..❤
❤❤❤
2022
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
January 2022
ay
العربي الوحيد😂❤
2021
Never again
Ngoma ya wakati wote hachuji
IF THIS GONNA DIE YALL KILL ME