Daah.! Mi naumia kuona muziki mzuri tumeuacha nyuma. Yani beat, mashahiri na mpangilio wa sauti vyote fresh. Mika Mwamba amefanya makubwa kwenye muziki wetu wa Bongo utafikiri sio mzungu yule jamaa. Najua kuna watu wengi hamjui kuwa Mika Mwamba ni Mzungu na ni raia wa Finland. Kama unajua gonga like yako
Sio wepekeako unaeumia, mepia. Alafu sasa hawawasanii wamewatelekeza gizani. Wengne hawajiwezi kimaisha ukiwaona baadhi yao wamechoka wamechakaa. Jaman me nilkua natoa ushauri kwenye baraza ra muzic basata pamoja na wazili wamichezo. Iwaangalie hawa wazanik wakongwe. Maana wanamchango mkubwa sana kwenye hiii nchi. Nawaomba sanasana muwajali wasannii wetu kwakuwa ni kioo vhajamiii
Hii nyimbo daaaah Hardmad....namkumbuka sana marehem baba yangu....R I P....nilikuwa nikiskiliza hii song kutoka mikocheni B hadi mwenge kwa mguu nenda rudi...LIFE ilikuwa tight sanaa...huwa nikiskia machozi hunilenga lenga......basi tena.!!!
leo tar 25/8/2024 nmekuja kuusikiliza mziki huu kutokana na mwanadada Fatma mnonji kuwa kwenye kipindi cha #back intertain kwenye station inayo itwa BONGO FM zamani TBC FM.before sikujua unaitwaje but nakumbuka miaka ya nyuma nikiwa primary darasa la tatu mzee anawasha redio free africa saa kumi na mbili asbh kwenye radio ya mbao mziki huu unapigwa dah sasa ni mwalimu naupiga kwenye smart phone nimeconnect kwenye Bluetooth na bado tamala ipo ila mziki wa zamani nyie hadi tumachozi kwa mbali ukikumbuka maisha ya nyuma😢
Popote pale walipo hawa jamaa heshima kwao ktk bongo flavor itadumu dahali, huu wimbo hata nikiwa na hasira, stress n. k huwa nikiusikiliza tu napata relief, my #1 song kwny count down za miaka yote
Legendary music..😢 Inanikumbusha udogoni nipo na mzee tumetoka shamba tupo na baiskel ya phonex.kanipakiza kwenye bomba radio yetu kwenye staring kigiza kinaingia anachochea kupandisha nyumbani inapiwa ngoma hii ooh old is gold..
Daaaah huu wimbo tangia zamani naupenda mpaka sasa bado ninao kwenye sim yangu wakati unatoka nwaka 2004 mm ninamiaka nane ndani ya Zanzibar mpaka sasa 2018 Nina miaka 22 bado ninao naupenda sana na mda wote nausikiliza ndani ya sim yangu daaaah aiseeeeee
Huu wimbo ulinitesa sana...niliupenda sana ila nilikua sijui kaimba nani.. Then juzjuz hapa ndo najua mika mwamba ni mzungu baada ya kufanya mahojiano na millard ayo...kweli maisha yamebadilika.
HII NYIMBO INA historia kubwa sana katika maisha yangu siwezi sahau 2004 mpaka leo naipenda, big up hard mad na mika mwamba, mchango wenu ni mkubwa kwenye gemu ya muziki wa bongo .
Hii ngoma ilikuwa inapigwa sana radio free kipindi Iko tuko kjjn ..mtangazaji aliitwa Fredrick Bundala😂😂usiku tunaota moto na redio yetu risingi "life"
@@jamesmgimba7403 Music ni feeling kubwa na tafsiri itokanayo ndani ya ubongo kabla au baada ya muimbaji kumpa melody mtaarishaji..vikiumana huwa hatari
Nikisikiliza hii ngoma nakumbuka nikiwa Darasa la saba Shule ya msingi makuburi 2004 tulikuwa tunaenda dhihara bagamoyo kwenye gari tuliyopanda hii ngoma ilikuwa inarudiwa mpaka raha
Mikaa mwambaa he deserves a legend medal of the best producer of all the time his beats still lives up to right now 2020 and still am having feelings and the vibes with these songs that has been produced by him #MIKAMWAMBATHELEGEND
Ambroce Malya umenikumbusha mbali sana, umbwe primary nilisoma miaka ya 91-92 std 4-5. Huu wimbo umetoka nikiwa udsm, nakumbuka sana mabibo hostel .. good old days!
Mika mwamba rudi +Tanzania bhana tumemis ladha ya bongo fleva za zamani mika mwamba vionyo vya mika mwamba nyimbo za sasa hiv havipo havisikiki walikutoa tz kwa majungu tu kk waliona unawafunika ila kaz zako bado zipo na hazichuji heshima kwako mika mwamba ngoma za cku hiz mwez tu zishachuja
Hahaha.... Kiukwli leo namamlizia 2019 kwa wimbo huu kwafraha zote kwani kwa wakati huo 2004 ulinitoa chozi😅ilah leo shavu 😘😘😘saluti mkali popote ulipo kuimba unajua.
Nakmbuka 2004 naenda zangu kampala Scandinavia primary enz izoo nilikaa siti moja na blaza mmoja jina Edwin alikua na zile walkman za cd akanipa headphones nkaiskia hii ngoma kwa mara ya kwanzaa haijawai kukauka akilin kwangu leo ni 2021 heshima kwa kila alieshirik kwenye hii ngoma
I do remember those days when I was in O_level dah......hii chuma ilikua sio poa!!!❤❤❤❤ Aisee...Hardmad ulipigaje hapa?????????????🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Maua Yako bro!!! Ngoma haiishi uzuri.....Bado twakumbuka ujana wetu2004lll
2024 kuna yeyote anaenjoy mzuri gonga like
I remind you to come back and listen this beautiful song 🎉🎉🎉
Zamani jamani mpaka namiss nyie hapo tupo disco unarukaruka tu
September 2024
November 5 2024
Tupo bado those were the best moments
Daah.! Mi naumia kuona muziki mzuri tumeuacha nyuma. Yani beat, mashahiri na mpangilio wa sauti vyote fresh. Mika Mwamba amefanya makubwa kwenye muziki wetu wa Bongo utafikiri sio mzungu yule jamaa. Najua kuna watu wengi hamjui kuwa Mika Mwamba ni Mzungu na ni raia wa Finland. Kama unajua gonga like yako
mi sijui ila nimegonga like ya nguvu 2019
Daaa inaumiza daaaa hivi unajua hawa akina domo sijui huwaga wanapima wanavyosema wanaimba au wanajipoyezea muda huu ndo muziki
Shaban Hafidhu Nimekuja kujua kwamba jamaa ni mzungu baaadae sanaa
Kweli
Mi pia ndio nimejua leo
22/01/2024 daaha nakumbuka maisha flaaan ya amani sana daaah mika mwamba ❤❤❤ Respect sana
So far days nikiwa 2003 nikiwa 9 old now am 30 mbagala kiburugwa 2024
Music and Life are moving simultaneously
Hii ngoma kitambo Sana na ilikaa pw Sana 2024 ipe like
@@vascomartin1103 Still alive let's enjoy
Sio wepekeako unaeumia, mepia. Alafu sasa hawawasanii wamewatelekeza gizani. Wengne hawajiwezi kimaisha ukiwaona baadhi yao wamechoka wamechakaa. Jaman me nilkua natoa ushauri kwenye baraza ra muzic basata pamoja na wazili wamichezo. Iwaangalie hawa wazanik wakongwe. Maana wanamchango mkubwa sana kwenye hiii nchi. Nawaomba sanasana muwajali wasannii wetu kwakuwa ni kioo vhajamiii
@@chachamturi259 Hii nchi kila kitu siasa,wachumia tumbo ni wengi kuliko wenye ubinaadam unaostahili.
kipindi nipo primary school 2006 nakumbuka mbarii sanaa now 2024
Muziki na maisha yamesonga 😂😂😂 endelea ku enjoy
Kiss fm hii ngoma ilijua kupigwa Jmn mishale ya jion now 2024 aug Bdo tunaenjoy 🔥🔥🔥
Nipo hapa naipenda mpake Leo
@@allymohamed4425 We keep good music alive and enjoy mzee Baba
@@bettyaltho2714 Amen
Kula ngoma na uendelee ku enjoy
1 am leaving a comment so that after a month, or a year, or a decade when someone likes it, i get a reminder to listen to this beautiful song again..
@@evarist8477 After 11 months ago listen 👂 it again.
Hii ngoma nikiisikia namkumbuka marehemu Dada yangu na marehemu mama yangu rip vipenzi vyangu
Mungu aendelee kuwaweka mahala salama..Amen
Mika mwamba alikuwa mbele ya wakati, very good
Wachache mnooo mnaitambua haya
Nakumbuka nilikua kigoma kasulu kabanga mwaka 2009 mpaka leo 1/6/2024❤❤❤❤😅😅😅🎉🎉
@@Saidy-omaryxmshambo It's December now 2024, Mungu atusimamie tufungue 2025 ngoma ipo wazi endelea ku Enjoy
Hardmad ukwap rafaki tunga tena basi kama ivi tumemis nyimbo nzuri kama izi
Wakati ni ukuta, tuombeane kheri vitu vizuri haviishi vipo. ❤❤❤
Jaman acha mziki uitwe mziki
@@KikeleloJohn Salute
Mziki wa miziki 👏👏👏
Hii nyimbo daaaah Hardmad....namkumbuka sana marehem baba yangu....R I P....nilikuwa nikiskiliza hii song kutoka mikocheni B hadi mwenge kwa mguu nenda rudi...LIFE ilikuwa tight sanaa...huwa nikiskia machozi hunilenga lenga......basi tena.!!!
Pole sana Mzee, Mungu ni mwema
I hope unafanya poa sasa , Mungu asimame na wewe
Daah pole sana mungu asimame na ww
Pole sn😢
Pole sana
That's what music brought to us,pure memories but sorry
i wish to turn back hands of time! anaesikiliza leo gonga like
Mikka Mwamba
2004 to 2024 chuma bado ya motoooo🔥🔥🔥🔥🔥♥️♥️💪💪
@@yustomwaisomania2587 balaa tunaingia 2025 Chuma inazidi kuiva 😂😂😂👏👏👏 enjoy sana
This song reminds me a certain radio representor by the name kid buoy from Radio free Africa from Tz.from Zambia.
We keep good music alive and enjoy sana
Duh! Yani nimeutafuta huu wimbo miaka mingi bila mafanyikio , niliamua ku give upp, ila leo kama surprise umejitokeza. Old is gold 🙏
Husijali dada yangu wazee wa kutunza kumbukumbu tupo mtembelee tu account hii na ku subscribe...enjoy. Kweli vya kale ni dhahabu
Ila umezifuta nyingi sana why?
Sina jisi
The same
@@BiornProductions🎉
leo tar 25/8/2024 nmekuja kuusikiliza mziki huu kutokana na mwanadada Fatma mnonji kuwa kwenye kipindi cha #back intertain kwenye station inayo itwa BONGO FM zamani TBC FM.before sikujua unaitwaje but nakumbuka miaka ya nyuma nikiwa primary darasa la tatu mzee anawasha redio free africa saa kumi na mbili asbh kwenye radio ya mbao mziki huu unapigwa dah sasa ni mwalimu naupiga kwenye smart phone nimeconnect kwenye Bluetooth na bado tamala ipo ila mziki wa zamani nyie hadi tumachozi kwa mbali ukikumbuka maisha ya nyuma😢
@@victorkiiru1237 Enjoy hadi sasa kwenye kuuaga mwaka 2024 na kuukaribisha 2025
Mungu ni mwaminifu muda wote Victor.
Hii instrumental inanipa msisimuko fulani hivi wa ajabu na wakipekee ❤❤❤❤
@@jamesmatiko8676 Mikono ya dhahabu
Mika international
Moja ya wimbo ambao nikiusikiliza unanikumbusha enzi za utoto wangu.
Just welcome and enjoy
Popote pale walipo hawa jamaa heshima kwao ktk bongo flavor itadumu dahali, huu wimbo hata nikiwa na hasira, stress n. k huwa nikiusikiliza tu napata relief, my #1 song kwny count down za miaka yote
@@simongambaloya1727 God bless you all the time Cheers 🥂
Welcome form one 2003
Life goes on
Zamani tulikua na wasanii wakali mno sijui wamepotelea wapi! Daaa god bless Tanzania and bongo flava to the world.
@@MeshackDivioshi Time goes on and got no limit
It's all about Generation's.. Enjoy good music.
Wanaondelea kuangalia 2024 shuka na like za kutosha
Always Good Music is alive
Nasikia sauti ya Fatma Mnonji kwa mbali akiitikia kiitikio. Alikuwa school mate wangu huyu Biafra High School, alikuwa ni binti mwenye haiba ya upole.
ntopa ngonyani nice
Mnonji kaimba wimbo gani mwingine?
alishirikishwa pia na 20%kati ya nyimbo zake
Alikuwa na sauti nzuri sana ila watu hatukutambua kipaji chake
Ni mdogo wake na hard mad pia ameimba chorus kwenye nyimbo ya Ziggy de enomic
Keeping the good music 🎶 alive
Always and forever ❤❤❤
Legendary music..😢
Inanikumbusha udogoni nipo na mzee tumetoka shamba tupo na baiskel ya phonex.kanipakiza kwenye bomba radio yetu kwenye staring kigiza kinaingia anachochea kupandisha nyumbani inapiwa ngoma hii ooh old is gold..
@@giftgadiel9191 Mungu aendelee kukubariki,na upatapo comment hii kula ngoma hii tena kufunga 2024 na kufungua 2025 bless 🙏
Hii ngoma acha kabisa
Tunafanya mziki mzuri uishi.... pamoja sana mzazi
Mika mwamba pokea maua yako kwa hili beat💐
Mika mwamba alikuwa mbele ya muda
@@paulmboje2677 Hakika anastahili
2024 to 2025 ngoma inazidi kuwa ya Moto.
@@Wakusoma Siyo kidogo ndiyo maana neno Mwamba wanalitumia leo ambapo yeye alipewa kitambo tuu
Natamani kulia hii ni classic since 2002
Mika Mwamba the Best Producer ever 🎉
Wanapiga makopo makopo wanajiita ma goat
@@konzoikweta Jina la MWAMBA halikuwa kwa bahati mbaya mnooo na siku zilikuwa nyuma Sanaa 👏👏
2024 to 2025 still we are enjoying
@@mussaismail1285 😂😂😂😂
Nakumbuka kitambo icho tunaluka na wachumba ztu wajukuu wa nyerere
@@SelemaniLingamka 😂😂😂😂 Nimecheka sanaaa 👏
huyu mshakaji anajua as Mimi nimtoto was kitaa tulipokuwa na washkaji zangu tukiskia nyimbo za hard mad humsalute mbaya ..big up to him mbaya
One love
nyimbo haina uwezo wa kuchuja
dah ngoma za zaman zilikua zinaleta isia hata kama ulikua na mawazo ukisikiliza bsi yataondoka kwa muda
Daaaah huu wimbo tangia zamani naupenda mpaka sasa bado ninao kwenye sim yangu wakati unatoka nwaka 2004 mm ninamiaka nane ndani ya Zanzibar mpaka sasa 2018 Nina miaka 22 bado ninao naupenda sana na mda wote nausikiliza ndani ya sim yangu daaaah aiseeeeee
Ulitoka 2002
U,are a real fun
Tamala
Umetoka 2002
Evenlight Jumanne hongera kaka
2023 October and am still here 🔥🔥🔥 old good days
Huu wimbo ulinitesa sana...niliupenda sana ila nilikua sijui kaimba nani..
Then juzjuz hapa ndo najua mika mwamba ni mzungu baada ya kufanya mahojiano na millard ayo...kweli maisha yamebadilika.
Hard mad ndiyo muimbaji.......
@@siraaronmallya425 Mwamba kama jina lilivyo
Alikuwa mbele ya muda kinyama.
Upo ww hard mad TAMALA na dullayo BILA YULE naenjoy mnooo
@@allyKazimoto-im5hp Enjoy good music 🎼🎼🎼
Maisha ya kitambo yalikuwa matam sana jmn,,nataman kuyarudia
Ni kwa sababu ulikuwa unatafutiwa,wewe kazi yako ilikuwa ni kucheza tu na shule...
The true definition of classic music...whoelse listening in 2019!!
2020
2020
@Sallux ICitegetse 2021 after Christmas 🎄 hapa😅
2022
Kitambo Sana apo Kota za police mbeya line police disco letu bwalo la magereza DJ mganya kitambo sana
Kitambo sanaaaa.
Je we ni moja wapo mtoto wa Kota mbeya
@@paterandrea2146 Isikilize tena ukiwa una funga na kufungua mwaka
2024 to 2025
HII NYIMBO INA historia kubwa sana katika maisha yangu siwezi sahau 2004 mpaka leo naipenda, big up hard mad na mika mwamba, mchango wenu ni mkubwa kwenye gemu ya muziki wa bongo .
All the best
@@allyfatma7359 hujakosea mzazi
Sikuhizi tunaimbiwa nyimbo ambazo huwezi sikiliza au kutazama video mbele ya wazazi wako, eti weka mate niteleze Kama nyoka pangoni dah! Hovyo sana
@@muhesakazumba9426 Generation za hovyo
Heshima kwako bila kumsahau producer mika mwamba Saluti kwenu uliitambulisha ulimwengu kama mukiamua kufanya kitu kizuri kinaoneka
Wimbo unanikumbusha mbali sana asee
2017 daaah this song .napataga hasira sana why why why wasanii kama hawawi respected
Ndugu waweza lia daaaa
This song reminds me of my big cousin sis's wedding ... the bridemaids we used this song as our entrace song❤ Nostalgia feelings😊
Waoooo congratulation for them and enjoy your moments... welcome
What a song. Hard man. Verse ya 3 ndio u can fell the real dance hall. Who is listerning right now at 10 :38 PM on 5th August 2022?
Watoto wa2000 kaeni kimya someni coment 😊
😂😂😂 kweli aisee
Beat tu inaashilia kua kuna ngoma ya wakubwa na wanaojiheshimu inachezwa huku,alooo wasanii rudisheni ladha ya muziki aisee kama zamani.
@@African511 Mungu aibariki sanaa yetu,vijana wameyumba mno now days.
Endelea kula mziki mzuri
Hii ngoma ilikuwa inapigwa sana radio free kipindi Iko tuko kjjn ..mtangazaji aliitwa Fredrick Bundala😂😂usiku tunaota moto na redio yetu risingi "life"
Fredwaaah tumemskiliza sana sana sana RFA daaaah ❤mpaka machozi yanataka kunitoka
Na Kiss FM jumapili daaah 🙌🙌🙌
@@KandangaKandanga Live long and enjoy good music 🎵🎵 pamoja
@@linuspastory5597 relax and enjoy good music mazee
@@linuspastory5597 pamoja sana mzazi
Nimetafuta sana this song 😅 I loooveee it 🇹🇿 I hear some words from Buhaya & 🇺🇬
Nakumbuka san i nyimbo nikiwa line police kota za police mbeya wakati niko shule ya msingi sisimba 2005
Still 2019 😘😘 napenda sauti ya Fatma inanikumbusha mbali
Ogaaah! Huyu Fatma si ndo yule aliimba pia na Jaffarai na Joh Makini?
@@elisamehecharles5432 ni yeye huyo huyo dada yake Hardmad
@@brosataasisi3657 Ogaaah! Ni Dada wa Damu??
@@elisamehecharles5432 Dada yake kabisa akitoka Slim(Hardmad) ndio anakuja Fatma
Hii ngoma daah reminds me back in 2004 when I ws in stnd four 🔥🔥
Same here..😭😭😭😭😭
Mimi nilikuwa darasa la 5..... Habari zenu madogo @kareem sijaona na @issah abunu
@WILLARD MMBANDO Duh basi balaa maana mm nlkuwa chekechea sawa wakubwa🙌🏽
Me too
Jmn nyuma kutamu yakale dhahabu cyo kwa midundo na mpangilio huu.
@@GiftIddy-k2f Sure Old is Gold
Hatarii sjuikama vitu hiv vitarudi jamniii
@@MathweLucasi Time goes on and enjoy your good music alive
Najiuliza Mara 100 uyu Mika mwamba ni mzungu aliwezaje kukopi na music wetu kiasi hiki
@@jamesmgimba7403 Music ni feeling kubwa na tafsiri itokanayo ndani ya ubongo kabla au baada ya muimbaji kumpa melody mtaarishaji..vikiumana huwa hatari
Nakumbuka Niko form one
@@MohamedShemntambo-f3v Endelea kula dundo Mohamed
Daaaah nyimbo hizi sasa huwezi kuzipata 2019 still watching
Wozaa twende wote pa1 2019 gonga like
We keep gud music a live...❤❤❤
All the time, Cheers 🥂
Enzi hizo huyu mwamba , alitisha sana na alipata aitime kuliko diamond plutnmz
😂😂😂😂 tuendeee kuburudika
Nikisikiliza hii ngoma nakumbuka nikiwa Darasa la saba Shule ya msingi makuburi 2004 tulikuwa tunaenda dhihara bagamoyo kwenye gari tuliyopanda hii ngoma ilikuwa inarudiwa mpaka raha
Dah log time sana Nlosoma Hapo but nilikua Mabibo
Muziki mzuri tumeuacha tukakimbilia muziki wakimapokeo aisee, me hadi leo napenda bongo muziki wa zamani
Mika mwamba anajua sana kutengeneza bite
Walah nimezeeka huu wimbo kitambo😢
@@MwanaJunior 😂😂😂 Hujazeeka ni muda tu umeenda
mika alileta mapinduzi makubwa katika swala la production
2019...who’s with me?
@@terrygabby8976 Hope you are doing well.
We say goodbye 2024
Welcome 2025
Come back and enjoy your music when you get this comment ♥️♥️♥️
Sometimes nilijifanya mwalimu sometimes..nkajifanya mwanafunzi sometimes..sina simu...hapo dah wanikumbusha mbalii
mwanangu nindikie lyrics full mwanzo mwisho ,nilipoteza uwezo wa kusikia 2008 alafu ninaupenda sana huu wimbo,,niandikie kaka
@@johnsonJuly pole sana ndugu yangu
hawa ndo wasaniii sio wasenge wa siku hiz kwa bahat mbaya walikua wanaimba hakat pesa hakuna dah !!!! inaumiza sana
Kweli pesa haikuwepo
hauwezi kuchuja huu wimbo kamweeeeee....big up hard mad
Jamaniiiii dah vya zamani vizuri
@@tatualmasi1175 Funga 2024
Fungua 2025 na ngoma hii tena
Mika mwamba alikuwa mkali kinoma hard mad back to you game bro I miss you man back again my brother nimimi Makiadi toka Phoenix Arizona .usa
Mikaa mwambaa he deserves a legend medal of the best producer of all the time his beats still lives up to right now 2020 and still am having feelings and the vibes with these songs that has been produced by him #MIKAMWAMBATHELEGEND
It's very true home boy
@@BiornProductions very very true brother
Mikka Mwamba alirudi kwao Finland. Cheki akihojiwa na milard ayo ruclips.net/video/ztlyM3Gg3qM/видео.html
@@denniskataraihya5698
Sio Mika mwamba Tu kwenye tasnia ya muzik wa bongo flavour but also P FUNK MAJAN. They are all legends
Sio' poa usiku kucha sijalalaa 🎉
Mika mwamba arudishwe TZ beat kali sana hii
Nakumbuka ilikua inaimbwa Sana Radio One nyakati hizo ndo Kwanzaa Nipo class 2, umbwe primary 2004, whaooooooo
Ambroce Malya umenikumbusha mbali sana, umbwe primary nilisoma miaka ya 91-92 std 4-5. Huu wimbo umetoka nikiwa udsm, nakumbuka sana mabibo hostel .. good old days!
wote ma club banger wa shuleni enzi hizo ! hii ngoma ina wahusu,..kwenye ma graduations za mashuleni !
2019 inabamba ktk masikio yangu,imekutouch gonga hapo chin
2023 huyu producer daaah ngoma inaishi sana
@@ericknjowoka4245 Amekuwa mbele ya muda to the life time
2024 to 2025 let's enjoy.. upatapo comment hii
Mika mwamba rudi +Tanzania bhana tumemis ladha ya bongo fleva za zamani mika mwamba vionyo vya mika mwamba nyimbo za sasa hiv havipo havisikiki walikutoa tz kwa majungu tu kk waliona unawafunika ila kaz zako bado zipo na hazichuji heshima kwako mika mwamba ngoma za cku hiz mwez tu zishachuja
Ally Chande PEACE LOVE
Bonge moja la kazi nzuri nakumbuka mbali Sana enzi za kutongoza kwa barua
@@AddoTweve-t4x 😂😂😂 mixar makopa kopa ya kutosha...
2020 and I’m still here, this song 🔥🔥🔥
Enjoy love 👏👏👏
Me me me
Here l am listening away the from UK
Hii nyimbo nakumbuka mbali sana niko mdogo..dahh sweet memories..RIP bibi yangu
Huo ndio mkono wa Msenge Mika mwamba yule mbwa hakuna mtu alikamata pale kwa mabeat yake,iko kwao FINLAND nilionana nayo mwaka 2021
mi nadhani hata majani hakumfikia mika mwamba,,,sikiliza hi ya duly na kikongwe ya piko au kajiandae ya mezb
Mika mwamba alikua mwamba kweli kweli kutengeneza bit kali
Kama vile naiona 2014 yangu ilikua ya kuvutia sana pale Isenye sekondari. Shout out kwa wote tuliokuwa pale. I miss my memory
Naipenda sana hii nyimbo uko wapi Mika Mwamba Hadmad.......................... whose else listen in 2020
Rosemary Benjamin,aloimba wimbo wa farida anaitwa eman
True
Hardman broo uko wap jaman kipind hicho
Hahaha.... Kiukwli leo namamlizia 2019 kwa wimbo huu kwafraha zote kwani kwa wakati huo 2004 ulinitoa chozi😅ilah leo shavu 😘😘😘saluti mkali popote ulipo kuimba unajua.
Wahenga tupo jamani ingawa tulikua wadogo ooh Lord huu wimbo jamani 😥
Nakmbuka 2004 naenda zangu kampala Scandinavia primary enz izoo nilikaa siti moja na blaza mmoja jina Edwin alikua na zile walkman za cd akanipa headphones nkaiskia hii ngoma kwa mara ya kwanzaa haijawai kukauka akilin kwangu leo ni 2021 heshima kwa kila alieshirik kwenye hii ngoma
Pamoja sanaaa mzazi, amani itawale. Shukrani.
I do remember those days when I was in O_level dah......hii chuma ilikua sio poa!!!❤❤❤❤ Aisee...Hardmad ulipigaje hapa?????????????🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Maua Yako bro!!! Ngoma haiishi uzuri.....Bado twakumbuka ujana wetu2004lll
Beautiful beautiful,,this song nimeisikilzaa back in the days nakumbuka nipo Kenya nasafiri with scandanvia express,,, the song has never left my mind
hahaaaaaaaa !! na zile chuma zilivyo kuwa zinaamsha daaaaaaa !!
@@Joseph-lu4yj Hatari mzee hii ngoma siwezi sahau
Dah kitambo Sana nakumbuka mbali enzi izo ndani ya fuji znz.
Ooh, DAAAMN..!!!! Hard Mad n' his sister 'killed it'.! 2021, Novembeeeer.!