Kipaji kama cha Nature ni nadra sana kutokea...bahati mbaya hatuna shukrani na tunasahau mambo makubwa ambayo wameshawahi kuyafanya, moja ya wasanii bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania..ila kila zama na kitabu chake, lakini jina lake limeandikwa kwa wino wa dhahabu katika kitabu cha historia ya Bongo Flava, daima atabaki kuwa icon wa Bongo flava..ahsante Juma Nature,
The voice of sir juma nature is unique and greatest of all time and will never happen in music history in Tanzania. Naichek hii Ngoma leo tarehe 31 July 2023 nikiwa hapa Simba oil Moro town with full of joy .
MTANZANIA ALIYEOLEWA NIGERIA ALIVYOMZIKA MAREHEMU MUMEWE NDANI YA JUMBA LAO LA KIFAHARI HUKO.! ruclips.net/video/9bXTiw6Qklc/видео.html MSICHANA MREMBO WA KITANZANIA ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA TED JOHN ALIYEKUWA AMEOLEWA NCHINI NIGERIA NA TAJIRI MKUBWA AELEZA ALIVYOMZIKA MAREHEMU MUMEWE KWENYE NDANI YA JUMBA LAO LA KIFAHARI LILIPO NCHINI HUMO. UBALOZI WA TANZANI WAMUOKOA NA KIFO KWA KUMTOROSHA USIKU NA KUREJEA TANZANIA NA WANAE WATATU, AMUOMBA RAISI SAMIA, WATANZANIA WOTE NA DIASPORA KUMSAIDIA KUHUSU WANAE AMBAO HAWAJUI KISHWAHILI HATA. CHEMBE. AONGEA NA MKOI TV, VIDEO HII HAPA, SHARE, COMMENT NA SUBSCRIBE MKOI TV ONILI AU KAMA UNA MAONI TUTAFUTE WHATSAPP NO +255713575718. KARIBUNI SANA
Akwelina still remains one among my fav old bongo fleva songs, kitu naamini ni kwamba those days mziki was much more of a passion than business ndo maana its more than 10 years ila hauishi hamu kusikiliza. Asanteni OCG na Juma Nature for this masterpiece.Good to see you @mapitoonlineTV
OCG was also very intelligent academically he did BSc.Electronic science and communication at the university of Dar es salaam,Pursuers of this course were those students with good passes at advanced level examination.
Kipindi hicho nyimbo za mapenzi zina anzia barabarani zina ishia sebuleni .. sikuhizi sasa Ngoma zina anzia kwenye chumba wakiwa wamevaa nguo wanataka kuzivua tuu
Long time ago dah! Kama unaitazama tena 04/01/2024 gonga like hapa tujuane wahenga wenzangu
Kwema 😂😂
Somo nyimbo hizi zafanya nijihisi Mzee kweli😂😂😂😂
Kipindi hicho music ulikuwa hatari sanaaaa... Iyo P funk alikuwa wa moto sana, beats nzito sana
Kipaji kama cha Nature ni nadra sana kutokea...bahati mbaya hatuna shukrani na tunasahau mambo makubwa ambayo wameshawahi kuyafanya, moja ya wasanii bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania..ila kila zama na kitabu chake, lakini jina lake limeandikwa kwa wino wa dhahabu katika kitabu cha historia ya Bongo Flava, daima atabaki kuwa icon wa Bongo flava..ahsante Juma Nature,
Umeongea point sana
Sauti ya dhahabu hata asiponekana sauti yake inajulikana hakika hakuna kama nature 🤜🤛
Huyu sio Nature huyu
@@Brand_P926chorus kaimba nature SEMA kwenye video hayumo
The voice of sir juma nature is unique and greatest of all time and will never happen in music history in Tanzania.
Naichek hii Ngoma leo tarehe 31 July 2023 nikiwa hapa Simba oil Moro town with full of joy .
Hii Ngoma Bana Tam Sana 2019 nipo naicheki Nani anaicheki nae tujuane Gonga like
Umeichek lini kaka mi naichek leo tar 21 Jun 19
me leo trh 8 jul 19 imeniijia kichwan toka asubuh ikabd niichek aisee
8/9/2019
1/11/2019
25/1/2020
Tunayoirudia teenaa kuichekii hii ngoma kali iliyotengenezwaa na Majani tujuanee baasii,, mim naicheki leo mwezi 2/2020 badoo ikoo 🔥🔥🔥vibayaa
Binge langoma
Nibalaaa man
@@bakariadam9705 Binge langoma😂😂
Nairudia leo 2023 ya tarehe 10🤣 my favorite song WALLAH
MTANZANIA ALIYEOLEWA NIGERIA ALIVYOMZIKA MAREHEMU MUMEWE NDANI YA JUMBA LAO LA KIFAHARI HUKO.!
ruclips.net/video/9bXTiw6Qklc/видео.html
MSICHANA MREMBO WA KITANZANIA ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA TED JOHN ALIYEKUWA AMEOLEWA NCHINI NIGERIA NA TAJIRI MKUBWA AELEZA ALIVYOMZIKA MAREHEMU MUMEWE KWENYE NDANI YA JUMBA LAO LA KIFAHARI LILIPO NCHINI HUMO.
UBALOZI WA TANZANI WAMUOKOA NA KIFO KWA KUMTOROSHA USIKU NA KUREJEA TANZANIA NA WANAE WATATU, AMUOMBA RAISI SAMIA, WATANZANIA WOTE NA DIASPORA KUMSAIDIA KUHUSU WANAE AMBAO HAWAJUI KISHWAHILI HATA. CHEMBE.
AONGEA NA MKOI TV, VIDEO HII HAPA, SHARE, COMMENT NA SUBSCRIBE MKOI TV ONILI AU KAMA UNA MAONI TUTAFUTE WHATSAPP NO +255713575718.
KARIBUNI SANA
Hii 6/6/2024 Kama na wewe umeicheki huu mwaka like hapa
Enzi zetu...Big up P Funk (Majani)
Mziki wa Bongo Majani unaudai.
Listening from Neema Garden Lodge...Zanzibar,Tanzania.
Producer Bora kabisa kuwai kutokea Tanzania hii Hakuna Kama yeye
Daah kweli old is gold, goma ulikisiza unataman tuu ulirudie rudie
Sauti ya juma imeibeba hii nyimbo
Kabisa
Hili ngoma litaishi miaka yotee noma Sana twende nalo 2025🔥🔥🔥🔥
This music will remain and there will never be any like it. Miss home 🇹🇿 😩😩
kali sanaaa💯🙌🏽Bonge Moja ya chorus juma nature
Akwelina still remains one among my fav old bongo fleva songs, kitu naamini ni kwamba those days mziki was much more of a passion than business ndo maana its more than 10 years ila hauishi hamu kusikiliza. Asanteni OCG na Juma Nature for this masterpiece.Good to see you @mapitoonlineTV
Juma nature legend❤
Nyimbo hzi haziboi kabisa 2023 nasikiliza ❤
Daah!! Wagenga wenzangu mpoo 🙌🏾🙌🏾
Ilikuwa noma sana 2004 kutoka kwenye kanda za tape up to online daaaaaa like kwa wingi wazee wenzangu
Nani tuko nae mwaka huyu2021
Kitambo saaana dah ✊✊ salute nature
Wimbo wangu bora kabisa wa muda wote, wimbo had shooting imekaa kiafrica sana big up man
Love it from kenya, ilii goma lilitisha bana thump up to majani
Juma nature was in form , pfunk was in form, old is gold , best voice from kiroboto j nature. We real love ,it is time when music is an art .
Beat ya P funk (majani) 🔥🔥
P funk ni mnyama kuwahi kutoke kwa game ya Bongoflavour, much respect to him
OCG was also very intelligent academically he did BSc.Electronic science and communication at the university of Dar es salaam,Pursuers of this course were those students with good passes at advanced level examination.
Yuko wapi saivi??
@@issamnyungu6207 atuambie kabss
Nipo ndugu yangu Issa
Hizi ndio nyimbo sio ss bit tupu ,etc mama amina nyimbo mzima bas
@@tarimowakweliww ni ocg
Ma legend tu ndo tunaelewa kinacho tendeka enzi hizi🦾🦾🦾
tujuane tunao iludia kuangalia ngoma hiii Kali yene vibe lakutosha Mimi bado naisikiliza mwaka huu 221
One of the Best classic tune bongofleva of all time.. yet I believe u had different sound to happen in Bongo to Date..
Rudii kwenye game yaan mm ningelikua na hela ningewarudisha hawaa ndio walikua wasaniii
Tupo mazee sema Mungu yu mwema sana haozeshi kipaji
@@ocgmazee4042 Duuuh tears on my eyes lids I remember farback when I used to ask my mom giving me money to pay in video show
Juma nature alikuwa muuwaji wa Chorus pindi hii dah!
Video inaquality nzuri km sio ya kitambooooo
Nawakumbuka leo November 2020 tunao wakumbuka gonga tano za nguvu
Ngoma safi sana iyo
Njoo tulimalize tatizo
Hatari sana enzi zetu
Still now hit song
Nakumbuka mbari sanaaaa daah..
Yani iko kipindi hili utoke razima kolabo umpe sir nature..beat razima agonge p funky...hapo razima uwende town..yani clouds razima waipige hiyo ngoma
These old good days ❤, majamaa walikuwa wanajua mnoo, jus a vibe huh!! Aquelina
Daah acha 2.. nyimbo zilikuwa zamani jamani❤
Ngoma Kali sana
Demu wangu ameniacha nmekuja huku 2021 mko wapi njoo na like yko hpa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nature ametisha
Roma ameitaja hii ngoma katika hujambo mwanangu akanikumbusha maunyama ya Majani
Wimbo uliharibiwa na verse takataka. URUDIWE HUU. THE BEAT WAS ON POINT. ILA VERSE ZOTE SAUTI MBOVU. CHorus nature alienda fresh.
Tunga yako tukusikie basi. HATER.
Kwa Mara kama ya 20 naiangalia tena hii ngoma Kali Sana Leo 14-October-2023
MOJA YA NGOMA KALI SANA AMBAZO SITARAJII ZIPOTEE KABISA KATIKA HISTORIA YA BONGOFLEVA
©️Knowl'z-NENO MC/ (EA)
Nakumbuka mbali sana ❤ old song
Hyu p funk ni scott storch wa hpa bongo, yan bonge la biti katengeneza.
Daah aquelina duuuh cjui 2003 hii sijui 2004 daah kitambo sana I was very young good memories haziwezi kufutika
Nani kaimba huu wimbo
Anaitwa Ocg nyimbo inaitwa aquelina
Am still kumbuka hii ngoma13years ago one love kenyans nd tanzania
Still enjoying the music
Kama unakubali hii ngoma mpaka hii 2020 ganga like yako hapa
Big up sana Jombaa
@@ocgmazee4042
Pamoja sana
@@ocgmazee4042 ,✌️✌️
Muziki ulipokuwa muziki hasa. Salute kwa legends wa huu muziki 💪🏿🙌🏿
Nashukuru ndugu yangu
@@tarimowakweli one love mwamba. Kipindi umetoa hii ngoma ndio nilikuwa nimeliza primary nimeingia secondary, tulikuwa tukiiimba sana
Old is gold. inanikumbusha mbali nkiwa dogo
Who still here in 2024
Mwezi wa 4 2023 sasa goma bado noma. Mixing noma
Nov 2024 nilipita hapa, Chorus🔥
Ngoma Kali sana hii
Hii❤ngoma naipenda kinomanoma
Beat ilikua 🔥🔥 2023 still ngoma kali
Ngoma ambayo naweza kuisikiliza hata nzima na sichoki. Pfunk Nature na OCG hatari Sana babaake
nyimbo yangu pendwa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💯👊
Hii nyimbo haishi hadhi miaka 100 anae bisha nan%
KWELI KABISA.HAKUNA WA KUPINGA
Mida hiyo 2005 duuh, Agwelina 😮
still am enjoy when am sing this song👇👇👇❤❤❤
Duuhhhh milele wakina mondi hawawez fika hapa
Aluuu heshima sana Soja
God sana 2021
Ni 2024 bado ngoma nikare sana
Ocg N mwanetu Sana Sema taarifa ya kuwa Ni msaniii tumechelewa sana kuipata 😂😂
Duuuh pole kwa kuchelewa mjomba
juma nature alikuwa noma sana
2023 ..
10/08/2024
2023❤
Chorus killer Juma nature
Kipindi hicho nyimbo za mapenzi zina anzia barabarani zina ishia sebuleni .. sikuhizi sasa Ngoma zina anzia kwenye chumba wakiwa wamevaa nguo wanataka kuzivua tuu
Kwer
Duuuh short cut flani
Hi ngoma kali kichizi an majan ni fund
Nakumbuka sana si tukiwa tosa wapi mwanangu
Uyu majan ajengewe sanamu maana amefanya kaZ kubwa kwenye mZik wa bongo
Safi sana ipo quality sana
Poa mwana
Heshima kwenu watu wangu wa nguvu. Nawaheshimu sana na kuwausudu kama mashabiki wangu,"ONE LOVE 2 U ALL "
Ngoma za kikubwa
@2023
Kaka yangu Issa Abdul Kama nakuona ilivyokuwa unaimba hii nyimbo kipindi hiko mi mdogo zaidi 😃😃😃
July 16 2024
Majani alikua mtu hatari sana.
Sielewi Kwa nini Sir nature hakuwa Kwa video
Alikatazwa na maboss wake wa Mjengoni, wakizani bila yeye Video ingekuwa mbovu, kumbe ilikuwa kuvuja kwa pakacha nafuu kwa mchukuzi vilevile.
@@ocgmazee4042 Duh! Hawakufanya poa walai kama aliamua kushiki Kwa wimbo video pia angeshiriki roho Safi tu
@@muye426jb6 Mazee fitna mwisho wake kwenye dari,ukipandaa juu zaidi kuna Mungu mtoa ridhiki.🙏🏿
Hatar sana bonge la jimboo😅
P Majani mdundo safi nasikiliza December 2023
Who's here 25/3/2021 gonga likeeeee
Mimi
Ngoma kalii
Block 89 imenileta hapa
Big brother 👍💪
2021's gonga like twende sawa
Kitambo sana kabisa Kama bado una sikia iyi ngoma basi gonga link hapo
Kitu Kali sana
2022 naangalia tena acha mziki mzuri huishi
Gonga like kama uko na mm
Old is gold
27/9/2024
Nipo nachek hii ngoma
📍Iwambi_mbeya Tz
9th April 2924 still one of my favs👌🏾
Inagongo yaan kitambo sana
2024 like hapa
Tuliopo 2023. Mwezi March like
1st Oct, 2023 still rocking 🎉
Juma please come back we miss your music and ur talent
classic respect for really miaka 100
Bifu za kweli enzi hizo nature kasusia video kisa kutoelewana na OcG but siku hizi kiki tu bonge moja la Ngoma
Hahaha
😅😅😅2023 Noma sana 🔥🔥
2022 we are here with Bongo Record sound.