Katika yote YESU anakaribia kurudi, huu ni wakati wa sisi wanadamu kutubu na kuacha kushabikia hizi vitu, maana Biblia imesema mkiona mambo kama haya changamkeni kwa maana wakati wa kurudi YESU KRISTO aliye njia na kweli umekaribia na unyakuo uko njiani, tuamke na kutubu
Saudi Arabia sio chinja chinja nyinyi global ni viraka wa marekani sisi wafrika tuna kasumba hao iran walitupa mafuta bure Tanzania katika miaka ya thaminini na wewe Ibrahim
Unajua Ukweli utakuja kujulikana. Kama zilikuwa tatu iweje moja tu ipate ajali. Ni aibu kutangaza aibu ya Iran iliyojinadi ina nguvu ya kijeshi. Kusema iltunguliwa ni mpaka vizazi vipite kama ilivyo kwa Farao wa kale. Au Goliathi. Alikuwa muuji muoga alivizia wasio na hatia. Aliwachinja wairan waliofungwa mikono na macho! The Butcher of Tehran dead!
Yesu Kristo ndiye njia kweli na uzima. Ukimkataa umekwisha kuhukumiwa. Pole kwa familia na wananchi wa Iran
Hueleweki!!
@@jumamohammed2748 Mimi namwelewa Sana anamaanisha hivi yesu amelifundisha kanisa kuwapenda watu na sio kuuwa Kwa kisingizio eti dini
Swala ni kufa hata uwe wa yesu utakufa tuuu
hujielewi
Afe tu❤❤
Safi kabsa alinyonga watu muache aende
Marekani noma
Huyu Ali fanya kusetewa
Mungu ndiyo kila kitu🙏🙏🙏
Ihurumiwe Dunia nzima Kwa huruma ya Mungu
Poleni sana ndugu zetu wa Iran
Huyo kama IdAmin Dada
Mungu katoa aliyenyongaA
Mungu ampe pumzik jema
Pole sanakwakuondokewa na wajina
Innalilah waina lilah rajiun
Kuna mungu mbingine mwenye anatetea wenye hawana uwenzo
innalillahi wainnailaihi rajiuun
Aliua wengi sana
Hapo mtasema Israel imetungua kumbe ni mungu
Jibu ndio hilo. Amka unywe kahawa.
Poleni ndugu zetu wa iran
Innah Lilah waina ilah rajiun
Inalillah
Haita ondoka nafsi ila kwamaandiko ya Allah ,Mola akusameheni makosayenu ,Dunia nimapito wala haijalishi wewe nani
Innalillah wainna illaihi Raajiun 😢😢
Apoteleee mbali Kwa kuua watu sana
Inna lilahi wa inna ilaihi rajiuun
Innalilahi wa innalilaih rajiuun
Ase
Katika yote YESU anakaribia kurudi, huu ni wakati wa sisi wanadamu kutubu na kuacha kushabikia hizi vitu, maana Biblia imesema mkiona mambo kama haya changamkeni kwa maana wakati wa kurudi YESU KRISTO aliye njia na kweli umekaribia na unyakuo uko njiani, tuamke na kutubu
Mpinga kristo mkubwa uyo mungu hazoelek acha afe
Allah ampe kauli thabit yaarab msamehe makosa yake
Polen San Wana iran
SOME TIME MUNGU ANATENDA KWA KULIPIZA KWA ROHO ALIZOTOA
Kwasababu kifo sio dhambi. Basi ahadi ilifika. Na wewe utakufa pia. Mwenyezi Mungu sw atampa kheri
@@hilalalhabsi2047 YAH HAKUNA ATAKAE BAKI WOTE SAFARI INATUHUSU PIA
Angalieni Marekani rais akisafiri na helicopter na ni ulinzi wa kutosha hiyo helicopter hata upepo unaisukuma
Mlinzi ni mungu tu
Marekani anamuwekeaje vikwazo wakati wao ndio wauwaji wakubwa
Ukilani israeli naww unalaniwa alijaribu kugusa wayaudi naye kaguswa ogopa atari
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa Israel Gani sasa
Ao mayahud iko siku yao watakavo fatwa wote
Ni dicteta muache ache katili mkubwa uyo
Binadam ni kiumbe kizito na allah kuna watu amewanyima akili kabisa niseme tu innalilah wainnailah rajiona
Dikteta 🤭🤭🤭 kauaaaa sana
Saudi Arabia sio chinja chinja nyinyi global ni viraka wa marekani sisi wafrika tuna kasumba hao iran walitupa mafuta bure Tanzania katika miaka ya thaminini na wewe Ibrahim
Pumzika mwamba
Unajua Ukweli utakuja kujulikana. Kama zilikuwa tatu iweje moja tu ipate ajali. Ni aibu kutangaza aibu ya Iran iliyojinadi ina nguvu ya kijeshi. Kusema iltunguliwa ni mpaka vizazi vipite kama ilivyo kwa Farao wa kale. Au Goliathi. Alikuwa muuji muoga alivizia wasio na hatia. Aliwachinja wairan waliofungwa mikono na macho! The Butcher of Tehran dead!
Wewe amechinjwa baba yako au shobo tu za ushoga wenu
Hapo wasingiziaji mliozoea kuwasingizia islaeli haya haya jimbo liko wazi wasingizieni tena
Upo wapi wewe wamelitungua amka unywe kahawa.
Kafiri mpinga kristo kachinjwa Bado kafiri mwenzio putn nae kifo Cha aibu kinamsubilia
Hata wew pia kinakusubir kwann ucjiandae nacho unapigia mahesabu wenziwako
Astghafirululah.watu.wanajuwaWaoWamwishoKufaMahesabukwawenzaotu@@mussakarata6650
Tuna mjuwa huyo mpinga Christo, shetani mkubwa. Kachokoza taifa teule ya Mungu Israel na amekipata
Wee mjinga hujui la kusema nyamaza unaropokwa tu
Na siku ukifa wewe wengine watafurahi kama unavyofurahia sasa hivi mjinga mkubwa we!
Cristo ndio nini?
@@IsmailJuma-zb5niukafiriMkubwa..ndyomaanayake
@@SalmanMughal-lq5lt swadakta
Muuwaji kafa
Hata acye muuaji pia hufa kwasababu ni lazm wote tufee