Mr Nice nimependa sana jinsi ulivyoongea kwa kuweka kinga na tahadhari. Umedhihirisha utu uzima ni hekima na heshima kwa wote. Barikiwa na Mungu akutangulie wakati wote!
my dear swala mla hekima sio umri. Ni asili za watu tuu, kuna watu wanazaliwa na hekima hadi unaogopa.Mtoto wa under ten anaongea mambo ambayo hata wewe mzazi unaogopa. Kama mtu alikuwa mshenzi ujanani akazinduka utu uzimani bado tayari ameshapotea
Kwene kuimba mambo ya mapenz pia ni vitu ambavyo viko jwene maisha,na ktika watu walokuw wanaimba nyimbo za hovyo na wakahit sana ni wewe kuku kapanda baiskeli so acha watu waimbe kwa fillings zao
KUTOKA KENYA NMEPENDA LEGEND ATA WACHA NKUMBALI MIE NYANI ZEE JUU IZO GOMA TULICHEZA SANA SASA WACHA NTULIE JAMAA
Mbona Mzee wew😂 ukijana gan
Nice hapo umenena wasanii hatuna kwa sasa ni wapuuzi tu wamejaa
Nakubar uwezo wa Mr nice toka zaman mpk kesho salut kwako
Maneno ya busara sana hongera mr nice
Jamani nampenda huyu kaka
Mr nice a true living legend …
Mimi hajuwi huyu Rafiki tu sasa Namabia Mimi iko song ,KUKU IKO NA BICYCLE 😅Namna gani? Song mbaya sana.
😆😅🤣😂 kuku iko na bicycle ringo nasa yaani ngori sana
Brother nice akili nyingi sana salute kwako mkuu
Mr Nice nimependa sana jinsi ulivyoongea kwa kuweka kinga na tahadhari. Umedhihirisha utu uzima ni hekima na heshima kwa wote. Barikiwa na Mungu akutangulie wakati wote!
my dear swala mla hekima sio umri. Ni asili za watu tuu, kuna watu wanazaliwa na hekima hadi unaogopa.Mtoto wa under ten anaongea mambo ambayo hata wewe mzazi unaogopa. Kama mtu alikuwa mshenzi ujanani akazinduka utu uzimani bado tayari ameshapotea
Dudu baya na Mr. Nice ni marafiki tu
Jamaa uko vizuri sanasana
Nice Pasco mzee wa malawi apa👍
Mziki wa nice babu kubwa hakuna wakumshusha nikiwa pale Malawi nilipendelea Sana kusikia nyumbo zake wakati huo alikua nice na chamilion
Safi Sana Mr nice
Nyie waandishi wa habari wanafki na wachonganishi
Asante 🙏🙏 Mr nice Leo ume nichekesha sana
Brooooo unajitambua sana god bless u
Dudu baya atapakwa mka massage 😂😂
ILO JUMBA LIKO WAPI...YAN NYIE MTASUBIRI
Mr Nice hakuna kama wewe
kashaa anza kupiga kofia za mr sure
Respect you sana
Dudu baya anapenda kuchonganisha watu. Namchukia sana huyu fala
Ni mzee tayari ..ujana tuwaachie vijana aka
Mr Nice na Dudu Baya Mamba Konk3 ni km Modi Na Alikiba bifu zau ila kimaisha wanaishi wakifika kwenye usani mahadui🎉 eti awajuwani.
Ukweli.. matusi yao ninsanaa tu, chini kwa china wanaongea ni kama tu wanasiasa
Una akili sana
Kweli kaka
Cha kwanza jipabali pili jisaidie nwenye na watu watakusaidie sio maneno sana na kulialia
Broo una hekima sana
Eti kijana 😂
Kwene kuimba mambo ya mapenz pia ni vitu ambavyo viko jwene maisha,na ktika watu walokuw wanaimba nyimbo za hovyo na wakahit sana ni wewe kuku kapanda baiskeli so acha watu waimbe kwa fillings zao
Mr Nice ni mchaga lkn anaogea kama msambaa flani ivi
Mtakufa mmechoka xn vijana
Nikitumwa mchaga mjinga nitamleta Mr nice
😂😂😂😂
Waandishi niwachonganishi yani mnapata pesa kwa shida sana umbea mtupu
Very fact man
Connection Online Tv huyo mtangazaji wenu ni wa ovyo kuna siku mtajikuta TCRA mnafutiwa vibari maana mjui mnacho kifanya
Maisha ya Dunia Yana rongo rongo nyingi sana😂
Looking good follow back done God bless you 🇰🇪 🙏 ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Akuna msani alisumbua kama mr nice hpa mbogo kimashabiki akuna
Upo sahihi na hayupo ambaye kavunja record yake. Mm tangu nipo primary huko bado na recall nyimbo zake yan
Ok kuku kapanda baiskeli😂😂
Kuku atapandaje baiskeli?
Ukweli mtupu
Unaakili mpaka unakera
Mchaga wa rombo...anawaza kumiliki magorofa 20.
Wewe unawaza nini kulawitiwa siyo
@@JosephuSwai kwa nini unawaza machafu hivo... asemacho mtu ndiyo kiujazacho moyo wake..
😷😂😷
a
Hatari
Safi
Mwandishi mnafiki
Mbona ukabishana na young dee kisa ametumia beat yako ! Ati unataka haki yako..,🤔 ulinishangangaza sana 🙄
We shangaa tu mjini tunatafuta pesa.. we shangaa maneno
Nimeshagundua wewe ni empty head, Mbona hajagombana na Mario. Kama unataka kutumia kitu cha mwingne lazima utafute utaratibu.
Huyu boya hajui tumetumwa pesa siyo kuuza sura
Kwahyo ukiwa hekima ukipigwa Kofi unatulia tu au sio?