AKIRI KUWA MCHAWI NANA KULA NYAMA ZA WATU SEHEMU YA 2

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 ноя 2024

Комментарии • 212

  • @fatmakhanii1676
    @fatmakhanii1676 3 года назад +13

    Mtihani Tustiri waja wako ya Rabbi na wa chawi Hawa na Allah awalaani popote walipo Ammin 🤲🤲 ila miziki inakera

  • @Mohammedyasia
    @Mohammedyasia 6 дней назад

    جزاك الله خير
    Nimejifunza kitu hapa kumbe mchawi hawez kuku dhuru ukiwa na udhu na una dumu na qur'an na duwa mbal mbal mbal adhkar asubuhi na jioni ahsanteni San kutuletea hili

  • @barikaali1861
    @barikaali1861 3 года назад +7

    Weh dunia inamingi adi naogopa eee Mungu tulinde ssi wajawako tusotegemea chochote ispokua wwe Allah 😭😭😭

  • @MariyaMohamed-po1so
    @MariyaMohamed-po1so 3 года назад +1

    Subuuuhanaaallah! Wallahy Ni Bora kupata Salamaa ya Dunia na akhera! Allahuuakbaar! Upepo Ilikuwa Unakata MANENO zengine anayongea!

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 3 года назад +4

    Innalillah wainnailaih rajiun subhanallah si amali yakufanya Allah atustir waja wako usituingize katika amali hii kumbe iliendelea niliisubir sana sehem yapili😭😭😭

  • @zaheernakhwa903
    @zaheernakhwa903 3 года назад +11

    Punguzeni sauti hiyoo story nzur sana allah atujalie mwisho mwema aminy

  • @lkshmykomar5472
    @lkshmykomar5472 3 года назад +3

    Subuhanalla M /Mungu atuhfadh na atustr na atulinde Kwa rehema zake

  • @maryamtemba1760
    @maryamtemba1760 3 года назад +7

    Subhanallah hebu muulize akishakula hizo nyama hua anahisi nn akiwa kwenye hali ya kawaida

    • @dula8819
      @dula8819 3 года назад

      Mbona unaulizia Sana Hilo swal au naww unajihisi

  • @btylove1870
    @btylove1870 3 года назад +6

    Haya mambo uhadisiwe tu yasikukuti! Subhanallah!! Pole sana

    • @dab8859
      @dab8859 3 года назад

      Hii ndoto mm imenitkea lkn imebdlk kdgo.....mna yafnna sana😢

    • @dab8859
      @dab8859 3 года назад

      Kna ustadh nlimuelezea akanjbu wanga wtka kunitia kwnye kundi nisaidieni😭😭😭

  • @almisfahcs8255
    @almisfahcs8255 3 года назад +4

    Sauti ya Background ipo juu, kuliko mzungumzaji, lakini story nzuri sana na mwenyezimungu amuongoze huyu dada na ampe kila wepesi inshallah.

  • @leylahloo5863
    @leylahloo5863 3 года назад +13

    Jameni Story imebamba ila Toeni hizo sauti ndugu zanguni shukraan sanaaa

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 3 года назад +3

    Asalaam aleikum warahmatullahi wabarakatu sauti ya nasheed nikubwa hatusikii maneno mengine anayo ya zungumza tuna omba kwa wanao husika msiwe mnaweka anasheed kama ita wezekana shukran wa jazaka Allah kheir

  • @khatibabdi
    @khatibabdi 3 года назад +5

    Mungu akusamehe, akulinde na akujalie kila la kheri.

  • @anitacizaa413
    @anitacizaa413 3 года назад +3

    Subuhanallah Allah akbar
    Allah atuhifadhi
    Atuwekembari ya wenye shari.

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 3 года назад +4

    Subhanaallah tusitili yaarabi NA haya mambo ya duniani jamani pole🙏🙏🙏🙏🙏💔

  • @hassanharuna1519
    @hassanharuna1519 3 года назад +1

    Bubhana Allah kulala naudhu na kusoma dua ni muhim sana

  • @neemaabeid6861
    @neemaabeid6861 3 года назад

    SubhanaAllah jamani binadamu twapitia mengi muhimu tukimaliza tendo la ndoa tujitahidi kuoga usingizi usitudanganye

  • @muragizinourah1042
    @muragizinourah1042 3 года назад +2

    Allahu akbaru,subuhanallah,ya rabby nakuomba utufungue kwenye vifungo vya wacawi,kwako ndipo tutarejea.tufungue na familia zetu,amiin ya rabby

  • @mwanarusiropia8363
    @mwanarusiropia8363 3 года назад +4

    Subhanallah mungu atulinde inshaallah.

  • @nooraallahuakibarumwenyeez3079
    @nooraallahuakibarumwenyeez3079 3 года назад +1

    Allah atujaaliye alkhusinil khatwima nzury maana nimsiba inna rilahi wainna irayhi raajiuni Allah akusamehe bifatwima umefanya jambo Allah halilidhii ila na ww ulilazimishwa hukutak bc Allah akulipe kila lakheri na Allah atujaaliye miyongoni mwa minal mutwaibin mina kakatwahirin min ibadika swalihina

  • @halimakihame1744
    @halimakihame1744 3 года назад +3

    Subhana llahh wa tamama unacherewesha muendelezo

  • @SaliminSwalehe
    @SaliminSwalehe 5 месяцев назад

    Jamani pole sana mama angu mungu akulinde na akusamehe

  • @omararoza7766
    @omararoza7766 3 года назад +36

    Background music ina sauti nyingi sana,next time toa if possible

  • @awadhrajab9527
    @awadhrajab9527 3 года назад +2

    Watu Tunaona Kama Jambo Dogo Lakini Nijambo Hatar Sana Ni Hatar Mungu Kazuia Kuua Mtu Kuua Mtu Lakini Cha Ajabu Binadamu Anamla Binadamu Mwenzie Jamani He Mwenyezi Mungu Usiluusu Mitihani Inikute Ya Visawishi Vya Shetani Kumla Binadamu Mwenzio Yani Wewe Ufai Kabisa Hata Kufanya Ibada Mioyoni Mwetu Tumuifazi Mungu Alie Juu Yetu

  • @abdilahally4611
    @abdilahally4611 3 года назад +1

    Inshaallah allah awatie nguvu na Iman ktk hayo Ila saut ya huyo mama inakatikakatika,

  • @khalifa_wayy1979
    @khalifa_wayy1979 3 года назад +5

    Sasa uwo wanga unaraha gani, katika maelezo yote naona dhiki tupu, Allah tuepeshe na mabalaa kama hayo yarabi

  • @jinikisirani7928
    @jinikisirani7928 3 года назад +3

    Jmn toeni hizo sauti zinatuboa wasikilizaji....

  • @walidhamed3574
    @walidhamed3574 3 года назад

    Sijapenda hizi nyimbo toeni Muna haribu

  • @haarunsaidabdillahi4082
    @haarunsaidabdillahi4082 3 года назад +9

    TAFADHALI MSIWEKE NYIMBO ZINATUKERA!

  • @africano98.
    @africano98. 3 года назад +3

    Sauti kidog mujitahiji isikike vzr izo saut za back ziko juu zaid ya msimuliaji

  • @khizralghawy9489
    @khizralghawy9489 3 года назад +5

    Hatuskiiii mda mwengineeee

  • @ahmedomar804
    @ahmedomar804 3 года назад +6

    As'alaikum ningeomba msitie hizi nasheed hatusikii vzuri

  • @thamratsaid8526
    @thamratsaid8526 3 года назад +3

    Subhanallah mtihani kwakweli

  • @hassinaalharthi5984
    @hassinaalharthi5984 3 года назад +3

    Jamani mnaharibu hizo sauti Za kasida hatusikii maneno yake huyo bibi mchawi. Msiwe mnazitia hizo sauti.

  • @ablaalnaamani7670
    @ablaalnaamani7670 2 года назад

    Hatusikii ajili ya music

  • @legend9805
    @legend9805 Год назад

    Zinjibar tv ondoweni hiyo background sauti. Shukran

  • @salamakhamis8092
    @salamakhamis8092 3 года назад +4

    Mnafeli miziki inakera

  • @jasminjuma6390
    @jasminjuma6390 3 года назад +3

    Subhanallah mtihani mkubwa

  • @aishasaid6749
    @aishasaid6749 3 года назад +1

    Dakika kidogo pole sana dada

  • @priska4310
    @priska4310 2 года назад

    Hizi story za uongo za kuboresha biashara ya uyo shekh maridhia... Tumuogope Allah

  • @adelinibrahim9283
    @adelinibrahim9283 3 года назад

    Rekebisha sauti.sauti no 20% kwa 100

  • @khamisihamadiuddi9648
    @khamisihamadiuddi9648 3 года назад

    iyo miziki inaharibu hatuelewi ,ushauri ondoeni

  • @safiasaif9741
    @safiasaif9741 3 года назад +1

    Subhanallah Allah atuhifadhi na majanga haya

  • @irhadiddi94
    @irhadiddi94 2 года назад +2

    mimi nilikuwa nae mfanyakazi mtoto wa tanga mama alimshtukia mapema ila nikafanya ukaidi sikutaka kumuondowa ila alipomtia marazi nikamwambia aniambie ukweli alikiri kuwa yy mchawi na mwanangu yy ndio alomtia marazi akanieleza kila kitu sikuamini mtoto mdogo tu miaka 14 nilikuwa nikilala nae chumbani usiku nilikuwa nashtuka moyo unanienda mbio halafu kama kuna mtu alikuwa akiniambia nikamkabe sio yule mfanyakazi wangu alolala ila nikimuangalia naona ni yeye kumbe kalala ila siku alonambia kuwa vile nikishtuka huwa yy hajupo ila uko aliko anakuwa ananiona siku hiyo hiyo nilimrudisha kwao na mtoto wangu nikamtibu kwaiyo haya mambo yapo kweli

  • @fatumarashid5126
    @fatumarashid5126 3 года назад +3

    Sauti ya mziki kubwa sana had inaboa inapoteza raza ya kusikiliza stori husika

  • @laylatabdallah2796
    @laylatabdallah2796 3 года назад

    Uo mziki hatuckii vzr

  • @asiakinia9344
    @asiakinia9344 3 года назад +2

    Subhanallah Allah tulinde na mitihani

  • @MohammedMohammed-jo4uj
    @MohammedMohammed-jo4uj 3 года назад

    Sauti siyo nzuri mziki upo juu sn kuliko sauti

  • @johnmbusiro9935
    @johnmbusiro9935 3 года назад +1

    Mziki mkubwa sana

  • @minahaminahaochu255
    @minahaminahaochu255 3 года назад

    Shekhe punguzeni milio atuskii vizuri

  • @ruwaidaal-ismaily9099
    @ruwaidaal-ismaily9099 3 года назад +6

    الله أكبر

  • @ayishaayisha8053
    @ayishaayisha8053 3 года назад +1

    Pole sana

  • @sabahiali6021
    @sabahiali6021 3 года назад +1

    Hamko vzr bd bora davista mata

  • @azizazzzz8043
    @azizazzzz8043 3 года назад

    Allah Akbar waaah mpaka sina Amani tena

  • @Awatee
    @Awatee 3 года назад +10

    Subhanallah ya ALLAH tulinde na mamb hay msiba mkubwa

  • @maryammachanoomarymachano951
    @maryammachanoomarymachano951 3 года назад +5

    Subhanallah allah atulinde wajawake

    • @rehemasalim4590
      @rehemasalim4590 3 года назад +2

      Amiin

    • @zakiamohammed9574
      @zakiamohammed9574 3 года назад +1

      Hee mtihani lkn bro uctuweke Sana tunatamani ifike mwisho tujue nn kitatokea hatari mana hata huamini sub hanallah

    • @Awatee
      @Awatee 3 года назад +1

      Amiin

    • @khadijaangore4408
      @khadijaangore4408 3 года назад

      Ameen yaraab alamiin

  • @zainabmohammed1305
    @zainabmohammed1305 3 года назад +3

    Subhana llah

  • @ggohf7004
    @ggohf7004 3 года назад +4

    SubhannaAllah

  • @mussamaneno7815
    @mussamaneno7815 3 года назад +1

    قال الله تعالى ولكن الشيطين كفروا يعلمون الناس ٱلسحر
    Anasema Allah Mtukufu Hakika wamekufuru mashaytwaan kuwafindisha watu uchawi

  • @rehemaseif1785
    @rehemaseif1785 3 года назад +1

    Subhanallah. Hakika ndugu zangu tudum na dua ili M.mungu atulinde na kila aina ya shari. Pole sana ukht.

  • @hamisamaundi5661
    @hamisamaundi5661 3 года назад +1

    SubhanaALLAH,SubhanaALLAH

    • @abuubakarsoud4588
      @abuubakarsoud4588 3 года назад

      Subhana allah .allah atuhifaz ila uo mzik mkubwa sanaa

  • @suheilasuheila809
    @suheilasuheila809 3 года назад +1

    Subhanallah

  • @lilianwaflotina1288
    @lilianwaflotina1288 3 года назад

    Asikiki vizuri pia uo mziki toeni

  • @didamsellem2679
    @didamsellem2679 3 года назад +1

    Subhanallah .sehemu 3 lini?

  • @ayishaayisha8053
    @ayishaayisha8053 3 года назад

    Sasa hawa ndio wanaleta ukimwi nje kama anaukimwi .au corona jamani huu tena uchofu.mungu atunusuri waote na uchawi.

  • @mohammedkhamis6893
    @mohammedkhamis6893 3 года назад

    Saut iko chini na hio ya nasheed inazidisha

  • @rehemasalim4590
    @rehemasalim4590 3 года назад +3

    Subhanallah lahaula

  • @johnkuma6867
    @johnkuma6867 3 года назад

    Toa hizo nyimbo tafadhali. Tunasikiza story huku Kenya lakini kelele mwingi wa wimbo

  • @bxrkeshorts738
    @bxrkeshorts738 3 года назад +2

    YAAANI IMENIFANYA NI PAUSE KWANZA NITUME MSG HUO MZIKI UNAKERA SANA TENA SANA MUTOE HILO LIMZIKI

  • @zahrasalim5533
    @zahrasalim5533 3 года назад +1

    Je itaendele ama it's sad story subhana Allah

  • @aishahamad3904
    @aishahamad3904 3 года назад +1

    Subhanallah!

  • @thequ33en65
    @thequ33en65 3 года назад

    Sauti zinafanya husikii vzr

  • @anwarzaharana7604
    @anwarzaharana7604 3 года назад

    Kiswa chaku sikitisha ila hizo nyimbo toweni manake hatusikii vizuri

  • @estasage498
    @estasage498 3 года назад

    Why to put this on RUclips when the background music is loud? Seriously... I can’t finish this

  • @hameedmaxamoud6198
    @hameedmaxamoud6198 3 года назад +12

    A.aleykum! Ingekua vyema background instruments isiwemo mana inaondosha mazingatio na usikivu

    • @hassinaalharthi5984
      @hassinaalharthi5984 3 года назад +2

      Kweli kabisa maneno yako hatusikii sauti ya huyo bi Fatma

    • @TheKameme
      @TheKameme 3 года назад

      Background sounds have spoilt the presentation - alot of interferences

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 3 года назад

    Mngepunguza iyo sauti ya radio tuckie

  • @khadijashoo1665
    @khadijashoo1665 3 года назад

    Kuna mahali simulizi hi I haisikiki vizuri

  • @saeedsaeed7381
    @saeedsaeed7381 3 года назад +3

    Creepy and scared 😟🏃🏃🏃🏃

  • @mwanaishazain7985
    @mwanaishazain7985 3 года назад

    Sasa hizo kelele eeeehee nyuma unakera sana hebu utoeni

  • @alluabdallah6893
    @alluabdallah6893 3 года назад

    Innallilllah wainnaillah rajeun
    Allah Akbar

  • @aishaally2730
    @aishaally2730 3 года назад +3

    Pls punguzeni nasheed hatusikii

  • @hamadmeki723
    @hamadmeki723 3 года назад +2

    Allah atosha

  • @haarunsaidabdillahi4082
    @haarunsaidabdillahi4082 3 года назад +2

    Msituwrkee nyimbo tafadhali..bl

  • @absarakhatib4764
    @absarakhatib4764 3 года назад +1

    Assalaam aleykum tunaomba mtuwekee sehemu ya tatu

  • @يوسف-ح1ل9ن
    @يوسف-ح1ل9ن 3 года назад

    Ila shekh wengine maskio yakizee hii kaswida isiwe sauti kubwa

  • @ruwaidaal-ismaily9099
    @ruwaidaal-ismaily9099 3 года назад +3

    سبحان الله

  • @ramadhanbaraka6474
    @ramadhanbaraka6474 Год назад

    sauti iko na shida

  • @alimzee
    @alimzee 3 года назад +1

    Sauti shida

  • @balkissMuhammad-sk1ic
    @balkissMuhammad-sk1ic 4 месяца назад

    Bismillah

  • @hafidhali6817
    @hafidhali6817 3 года назад +1

    Music unabowa , lengo ni huo music au kumsikiliza huyo dada.

  • @HassanHassan-sn5cj
    @HassanHassan-sn5cj 3 года назад +2

    Assalaam alaykum warahmatullaah wabarakaatuh Jamani we mdada una umri gani upo wapi na una mume au huna !!?
    Je upo tayari kupata nusra!!?

    • @zenaal-baalawy3262
      @zenaal-baalawy3262 3 года назад

      Hassan Hassan@MashaAllah😆nimeipenda hiyo. Jazaak Allah kheir.

    • @HassanHassan-sn5cj
      @HassanHassan-sn5cj 3 года назад

      @@zenaal-baalawy3262 na wewe pia.!

    • @HassanHassan-sn5cj
      @HassanHassan-sn5cj 3 года назад +1

      @@zenaal-baalawy3262 Maashaallaah nashkuru lakini hajanijibu mi nilitaka nimfanyie Nusra sasa hanijibu na nafasi bado ipo wazi!!!

    • @zenaal-baalawy3262
      @zenaal-baalawy3262 3 года назад

      @@HassanHassan-sn5cj MashaAllah hongera

    • @abdulazizmwipi9295
      @abdulazizmwipi9295 3 года назад

      @@zenaal-baalawy3262 NI kher pia

  • @mudimudi8462
    @mudimudi8462 3 года назад

    Nasheed hatuckii jamani punguzeni

  • @habibalmamari4600
    @habibalmamari4600 3 года назад

    Sauti imeharibu mkasa wooote...

  • @walidhamed3574
    @walidhamed3574 3 года назад

    Toa nyimbo

  • @sabrinasab2910
    @sabrinasab2910 3 года назад

    Iyo sauti aaaa inakera kwa kweli aaaaa

  • @mudriksalum4752
    @mudriksalum4752 3 года назад

    Naona hatusikii kitu sijui anae record ana record vipi

  • @KhadijaMasoud-m6u
    @KhadijaMasoud-m6u Год назад

    Hiyo kasida mlio wakati anaongea msinge iweka hatumsikii vizuri anavyo ongea kwa sauti ya hiyo kasida

  • @martinswai8031
    @martinswai8031 3 года назад

    Mi nasikia makelele tu hata msimuliaji simsikii vizuri

  • @khadijacali8142
    @khadijacali8142 3 года назад +2

    Simadogoo

  • @majidbakar8766
    @majidbakar8766 2 года назад

    History imekuwa mbaya mwa visaut ambavyoo havinaa maana