UTAPELI WA WAQFU KARIAKOO WAMUUMBUA SHEIKH MOHAMED IDDY | NDUGU WAMLILIA RAIS SAMIA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 апр 2024
  • UTAPELI WA WAQFU KARIAKOO WAMUUMBUA SHEIKH MOHAMED IDDY | NDUGU WAMLILIA RAIS SAMIA
    / @wasafi_media
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 272

  • @salumkondomwinyimkuu4241
    @salumkondomwinyimkuu4241 2 месяца назад +14

    Dada yangu simama katika haki Mwenyezi Mungu atakusimamia Inshaa Allah

  • @shukurually8769
    @shukurually8769 2 месяца назад +11

    Shekhe idd umeingia kwenye mtego wa dhuruma dada mungu akuongoze na akulinde simamia hapohapo

  • @yahyagonga
    @yahyagonga 2 месяца назад +12

    Allah akulipe kwa kusimamia wakfu WA Baba yako

  • @xxxl-jf2ji
    @xxxl-jf2ji 2 месяца назад +7

    Manshallah Manshallah Manshallah dada lkn kuwa makini sanaaa nahao ndugu zako wanaweza kukuwaa kwa sababu ya hiyo nyumba Pole Sanaa mungu akuongoze kwenye jambo la kheri na akupe maisha marefu yenye amani na hili liishe kbs.mama samia msaidie huyu binti

  • @MohammedJaizan-yf5yt
    @MohammedJaizan-yf5yt 2 месяца назад +22

    Mashallah sister in Islam Allah azidi kukupa nguvu pamoja na ndugu zako wengine mnao simama pamoja kwenye haki ya marehemu baba yenu.
    In shaa Allah mnatashinda

    • @lilianpuka218
      @lilianpuka218 2 месяца назад +1

      Dada mungu akubariki uendele kupambana mungu yupo na ww kwame haku achi barikiwa dada❤❤❤🤲🙏

    • @user-fc4vl8zi4r
      @user-fc4vl8zi4r 2 месяца назад

      Ameen

  • @Official83640
    @Official83640 2 месяца назад +13

    Huyu dd ana pepo yake kesho yaani wanawake ndy wanakuaga mbele kudai haki kukataa kudhulumiwa lkn leo hii wanaume tena mashekhe ndy wanaongoza dhulma tena kudhulumu maiti Subhannallah kesho kuna moto utatuchoma wote. Yule Shekhe Mohammed anapenda kimbelembele bora ulivyomchana na hachelewi kuomba radhi hadharani

  • @kinogekimbeho3781
    @kinogekimbeho3781 2 месяца назад +2

    Allah akujalie heri dadangu.Watu wanapenda pesa wanasahau Dunia ni mapito

  • @user-fc4vl8zi4r
    @user-fc4vl8zi4r 2 месяца назад +17

    Mashaallah mashaallah mashaallah allah akuongoze sister nimekupenda kwa ajili ya Allah simamia haki Allah atakufanyia wepesi kwa vile hio ni nyumba ya Allah

  • @faridmnyamike556
    @faridmnyamike556 2 месяца назад +12

    Inna Lillahi Wainna Ilayhi Rajiun, Allah atunusuru na dhulma, sisi ni wapita njia tu hapa duniañi.

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 2 месяца назад +6

    Sheikh muhammeda eid mwuogope mungu

  • @TimbiloSaid-qc5bs
    @TimbiloSaid-qc5bs 2 месяца назад +5

    Dada Allah akulinde zaid

  • @husseinmaula4965
    @husseinmaula4965 2 месяца назад +6

    Allha akuhifadh maana ni ngumu kwa mwanamke kupambana na mashekhe wenye kuangalia dunia tu.

  • @annamussa185
    @annamussa185 2 месяца назад +6

    Kuna watoto wa kike wana Akili sana❤Mungu akuweke Dada

  • @jumawaziri8501
    @jumawaziri8501 2 месяца назад +7

    Mashallah MAMA mungu AKUOINDE

  • @user-cn6ik1hy8k
    @user-cn6ik1hy8k 2 месяца назад +4

    Dada sara Allah akuhifadhi.. na akupe umri mrefu hakika wewe ni super woman❤❤

  • @maryamabdallah3140
    @maryamabdallah3140 2 месяца назад +2

    Allah akulinde dada, simamia waqfu wa mzee wako na wabaya wote Allah atashughulika nao

  • @hasaabdi7199
    @hasaabdi7199 2 месяца назад +3

    Watoto wa kike wa huruma sana Allah akulinde

  • @mohamedjakaya5355
    @mohamedjakaya5355 2 месяца назад +7

    Inasikitisha sana hadi shekh anaingia kwenye mtego wa kutaka kutapeli waqfu! Innalillah. Wewe shekh nakumbuka waziri mh. Slaa alilishughulikia kikamilifu hilo swala na kulitolea ufafanuzi kuwa mali yoyote ya waqfu inapokuwa na ulazima wa kuuzwa au kubadilishwa matumizi kuna taasisi ya kisheria inayohusika

  • @yousuphnzira3209
    @yousuphnzira3209 2 месяца назад +2

    Nakupongeza Dadaangu sana Allah akupe nguvu.
    Ila Hili lishekh Liropokaji mdomo kama Shimo la choo ni linafiki sana.

  • @hasaabdi7199
    @hasaabdi7199 2 месяца назад +3

    Haki haiwezi kupotea Dada yangu hao Kaka zako Allah awaongoze

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 2 месяца назад +5

    Hongera sana dada kwa msimamo wako mpaka mweshimiwa waziri akaokowa zuruma ilioandaliwa na ndugu wenetamaa

  • @saidybhoky-lb7hg
    @saidybhoky-lb7hg 2 месяца назад +4

    allah akujalie pepo ya juu my dada

  • @zenahussein2242
    @zenahussein2242 Месяц назад

    Allah akupe hitaji lako.

  • @user-xo5lq7mw3n
    @user-xo5lq7mw3n 2 месяца назад +5

    My sister i like you so much ❤❤❤

    • @user-xo5lq7mw3n
      @user-xo5lq7mw3n 2 месяца назад

      Thanks 🙏 I Like you more than you ❤️❤️😍😍

  • @KWEGESILAHA
    @KWEGESILAHA 2 месяца назад +5

    Waziri mungu ambariki

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 2 месяца назад +6

    Ninavyojua mimi, maisha yako dada yangu yako hatarini, watu wengi mali zinawatoa imani,,,,

    • @yussufahmed3138
      @yussufahmed3138 2 месяца назад +2

      Kweli kabisa

    • @zaytunhijja6771
      @zaytunhijja6771 2 месяца назад +1

      Mungu atamlinda inshallah

    • @lailafakhihaji
      @lailafakhihaji 2 месяца назад +2

      Allaah anatutosha naye ni mbora wa kutegemewa utashinda kwa uwezo wake

    • @hilalmohd8941
      @hilalmohd8941 2 месяца назад

      yani dah😢😢😢😢 mungu awasimanie
      hao

  • @hilalmohd8941
    @hilalmohd8941 2 месяца назад

    😢😢mungu akusimamie dada❤🎉
    🎉🎉 watu wenye imani bado wapo wengi sana Tanzania ❤❤❤ litapita

  • @user-xo5lq7mw3n
    @user-xo5lq7mw3n 2 месяца назад +3

    Mamy tumepata Waziri aloletwa na Allah,Mungu ampe umri wa Ziada,Allah ampe wepesi waziri Silah aende Hajj ❤❤❤❤❤❤❤

    • @user-rw2mm1jk6o
      @user-rw2mm1jk6o 2 месяца назад

      Kwani waziri slaa ni mwislam?

    • @elizabethkikoti7265
      @elizabethkikoti7265 4 дня назад

      @@user-rw2mm1jk6omkristo ila ni mtu mwenye imani hata me ni mkristo lakini sijapenda hawa watu kuuza wakfu wakati ni sehemu ya ibada

  • @salumkondomwinyimkuu4241
    @salumkondomwinyimkuu4241 2 месяца назад +4

    Ndugu zangu waislam tumuombee sana duwaa huyu dada ili Mwenyezi Mungu amlinde na hasadi za binaadam na majini maana anapambania haki.

  • @abdulazizhabib4581
    @abdulazizhabib4581 2 месяца назад

    Allah akupe afya njema dada,mash allah

  • @victoriambonde8061
    @victoriambonde8061 2 месяца назад +2

    mashalah Salah Mungu akulinde

  • @hassanhamidubarwany
    @hassanhamidubarwany 2 месяца назад +1

    Sheikh Mohammed Eidy kachemka acha kusherehesha mambo kwa utashi wako, ukkiendekeza njaa itakupoteza. Muogope Allah.

  • @jumawaziri8501
    @jumawaziri8501 2 месяца назад +2

    mohammed idd ALLAH anamuona

  • @BJMKANGALA1
    @BJMKANGALA1 Месяц назад

    Dada Mungu akusimamie. Binaadam tuheshimu maagizo ya mwenye mali. Dhuluma si mtaji wa kupata pepo!

  • @ireneque9813
    @ireneque9813 2 месяца назад +2

    Fight Dada....fight....❤

  • @bagalucha
    @bagalucha 2 месяца назад +2

    Wallah hawa makaka ni majambazi,pamoja na huy anayejiita Mohammed Idd,ambaye anafaa kukamatwa na kuwekwa mahabusi kwa kushirikiana na hawa makaka hawa majambazi,huyu Mohammed Idd anaiaibisha bakwata,

  • @AbubakaryJB
    @AbubakaryJB 2 месяца назад

    Mwenyezi Mungu akuongozeni, Kuna jambo halipo sawa ndaaaani kabisa. Familia imepoteza kiongozi kila mtu ni msemaji .Familia haitawaliki

  • @SuleimanKhdija
    @SuleimanKhdija 2 месяца назад +2

    Allah asimamie Muadilifu wa wa adilifu inshallah

  • @abdulrahimsaid7864
    @abdulrahimsaid7864 2 месяца назад +10

    Dada shikilia Bomba apoapo

  • @wilfredlukowo9476
    @wilfredlukowo9476 2 месяца назад +9

    Waislamu njaa wapo mnatia aibu hongera dada kwa msimamo

    • @Rahima-kv6mn
      @Rahima-kv6mn 2 месяца назад

      Alafu sio waislam iyo ni hurka ya mtu kila dini ayo mambo yapo na tunaona kila kukicha sadaka zinachukuliwa kwa wanyonge Sasa ukitia neno waislam Mimi niliwahi kukudhurumu nini wewe tengua kauli yako 😏😏😏

    • @MohamedSarahani-gk6jx
      @MohamedSarahani-gk6jx 2 месяца назад

      Mungu atakulindaa atakupaa nguvu zaid

  • @muhidinally3753
    @muhidinally3753 2 месяца назад +6

    Huyu Mohamed Idd Allah ameamua kumdhalilisha sasa. Maana amezidi kukosa maarifa.

  • @meyou-zz8mj
    @meyou-zz8mj 2 месяца назад +6

    Jamani masheikh kama hao wanaaodhalilisha dini na kupindisha Kwa njaa zao Bakwata plz..Acheni njaa mnatia aibu Bakwata hawana tofauti na chadema hawafanyi kitu bila msaada

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 2 месяца назад +2

    Shekh Mohamed IDD huyu huyu wa msikiti wanyamani au Kuna mwingine😢😢😢

  • @user-be7cx3oj3o
    @user-be7cx3oj3o Месяц назад

    Mm ni mkenya nasema mungu akupe akuzidishie msimamo huo huo

  • @mahamoudrajab3018
    @mahamoudrajab3018 2 месяца назад

    Sawa sawa dada Allah hupo pamoja na ww

  • @deniskaguo4698
    @deniskaguo4698 2 месяца назад +2

    Njaaa mbaya Mungu atunusuru

    • @MauaLucas-st6be
      @MauaLucas-st6be Месяц назад

      Broo unaijuq hii nyumbq huyo hana njqq kama ww

    • @elizabethkikoti7265
      @elizabethkikoti7265 4 дня назад

      @@MauaLucas-st6ben njaa tu angekua hana njaa kwanini auze sehemu ya wakfu huyo shekhe tamaa za nini kama yuko vizuri dada pambania haki ya baba ako hiyo ni sehemu ya ibada kwanin auze

  • @BLUBEENICE
    @BLUBEENICE 2 месяца назад +1

    SUBHANA ALLAH.
    Ikiwa BAKWATA munashindwa kusimamia wakfu na Amana munazopewa na waislamu ni bora mali zetu tukawaekeshe Catholics kwani hatujapata kusikia mali zao zinachezewa.

    • @hamzarifai665
      @hamzarifai665 Месяц назад

      Smh, Catholic tena?Astaghfirullah, hakuna Taasisi nyingine ya kiislam yenye credibility mpaka ufanye hivyo ikiwa wewe ni Muislamu?

  • @victoriambonde8061
    @victoriambonde8061 2 месяца назад +5

    shee kachoka njaa imetawala home waumin wamegoma kutoa sadaka akaona bola aalibu kanuzu kofia tupa kule kaingia mtaan dili limebuma mungu kamuumbua bichwa kubwaaaa kama mtungi chezea njaa weee

  • @w4058
    @w4058 Месяц назад

    Sawa sawa user-hb simalizi inatosha kukuunga mkono

  • @ismailchibonda5005
    @ismailchibonda5005 2 месяца назад

    👏👏👏👏👏👏👏

  • @saidkambi6792
    @saidkambi6792 2 месяца назад

    Masheikh wengine mtihani sana

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 2 месяца назад +1

    Awali ya yote dada kuwa na msimamo huo huo naamini baba hajakosea kukupa nafasi hiyo,Sheikh ally ukitaka maisha Yako yawe mabaya hapa duniani na AKHERA basi pingana na mzazi wako KATIKA Hilo jambo lkn ukitaka maisha Yako yawe mazuri basi ungana na baba Yako,Shekh Mohamed IDD huyu huyu wa msikiti mnyamani au Kuna mwingine😢😢😢yeye sindio anakataza mabaya

  • @hasaabdi7199
    @hasaabdi7199 2 месяца назад +1

    Hao kaka zako wamefanya kitu kibaya sana kuuza waqfu

  • @saidpazi531
    @saidpazi531 2 месяца назад +3

    Mm nilikuwa nalijua Hilo uwezi kutoka hukumu kuita upande Mmoja harafu unatoa hukumu

  • @user-fs7bs6gy4z
    @user-fs7bs6gy4z 2 месяца назад +4

    Hao ni masheikh wanaosimamia waslahi yakidunia na sio haki kw manufua ya umma na wanaweza kupinda ndimi zao kuhalalisha dhulma kw ajl yakutete mapenzi binafsi tu....huo sio uadilifu uadilifu hukaa ktk misingi ya haki daima

    • @lailafakhihaji
      @lailafakhihaji 2 месяца назад

      Haswa masheikh wa bakwata wameivaa sana Duniya

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 2 месяца назад +5

    shekh muhamedi Iddi msaka tonge tu

  • @user-wt9uf6gc7n
    @user-wt9uf6gc7n 2 месяца назад

    Hayo ndo mambo yenu nyinyi Proud to be…….. Akili zenu visoda

    • @mustaphahassan589
      @mustaphahassan589 2 месяца назад

      Unaropoka

    • @khizralghawy9489
      @khizralghawy9489 2 месяца назад

      Hii ni kesi ya Familia sio ya dini

    • @hijahamadi5793
      @hijahamadi5793 2 месяца назад +1

      Hiyo siyo kesi ya kutangaza mwezi, Sheikh kaingia cha kike mwambie akamtetee mufti apewe mamlaka ya kutangaza mwezi sio kwenda kutolea fatuwa mali za watu

  • @hamisijuma3276
    @hamisijuma3276 Месяц назад +2

    Hakika baba yenu alikutambua mapema sn, ndy maana alikupa majukumu makubwa, bila kujali jinsia

  • @mwinukafundibombanjombe
    @mwinukafundibombanjombe 2 месяца назад

    HUWEZI KUWA NA MSIMAMO KAMA UNANJAA.. Nilijua tu hapo kuna Rushwa🎉

  • @Mauya23
    @Mauya23 2 месяца назад +3

    Abuuu Eid Mohamed Eid haya kwa mamlaka uliyotumia, jibu hoja hiyo mana ni mtihani kwako sasa, haswa uliposema umefanya research yako kabla ya kusema, na pale uliposema umewakutanisha warithi wote kumbe kuna waliotengwa,weka sawa Sheikh wangu wa Bakwata.

    • @soniadino7178
      @soniadino7178 2 месяца назад

      Shekhe huyu anafeli sana uliwahi Kupeleka kesi kabisa haki yetu akaja kaongea akatuambia hawa njaa tuu yani akitoka mawaidha mbele yangu nitakuja kupiga jiwe la uso

    • @Mauya23
      @Mauya23 2 месяца назад

      @@soniadino7178 Duh...mdogo mdogo tafadhali...

    • @saidkambi6792
      @saidkambi6792 2 месяца назад

      Ukiona sheikh ana nyoa ndevu anaacha mustach jua kuna mtihani hapo

  • @sammyalwahebi5937
    @sammyalwahebi5937 2 месяца назад +1

    Dada Sara tunavyojuwa aisi sheikh Mohammed Eid ni shekhe wa kuzunzumzia mwezi . Nimesikiliza maongezi ya sheikh Eid hajazungumzia lolote kuhusu wasia wa marehemu mzee wenu. Kwa hiyo mwambie atulie na aheshimu maamuzi ya waziri wetu mpenzi slaa

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh 2 месяца назад

    Huyu sheikh ameshapewa kitita pesa inanguvu sana Wallah

  • @fatmakombo9793
    @fatmakombo9793 2 месяца назад +1

    Jamani tusiiangalie tu dunia kama aliyetafuta kaondoka na kaweka wakfu chake binadamu wenye roho mbaya na pesa zao wana roho mbaya

  • @NancyMatuli-fb5jp
    @NancyMatuli-fb5jp Месяц назад

    Mama samia tunakuomba msaidie huyu dada apate kusaidia mambo ya Mungu

  • @user-qi1nn4sh4e
    @user-qi1nn4sh4e 2 месяца назад +1

    Sisi mashekhe wachumia tumbo hizo ndiozetu, tunafuata harufu yamaslahi yakidunia, akhera tunaisahau linapokuja jambo la ngawira. Innah lillahi wainnah ilayhi rajiuun😢

  • @saidybhoky-lb7hg
    @saidybhoky-lb7hg 2 месяца назад +1

    sheikh uyo ni msaliti sana hata kwenye dini

  • @hassanmwallimu5767
    @hassanmwallimu5767 2 месяца назад +3

    Huyo hana usheikh wowote

  • @user-ki7hd3lg2q
    @user-ki7hd3lg2q 2 месяца назад

    Dada hongera pambana hakuna kuamini hata kama ni shekh

  • @hamadsaburi3569
    @hamadsaburi3569 2 месяца назад +3

    Sadaktty habibty umesema ukweli

  • @saidkambi6792
    @saidkambi6792 2 месяца назад +1

    Masheikh wengine MTIHANI SANA

  • @USSIIDDI-qn7od
    @USSIIDDI-qn7od 2 месяца назад

    Bakwata ni janga KATIKA ulimwengu wa Waislamu Tanzania

  • @user-iw5hu3mc7l
    @user-iw5hu3mc7l 2 месяца назад

    Tataizo mzee wenu alioaoa sana tatizo muko baba mmoja

    • @MohammedSaid-zk7yg
      @MohammedSaid-zk7yg 2 месяца назад +1

      Wewe chizi nini Kwani kuoa ni tatizo

    • @yahyanzwiba
      @yahyanzwiba 2 месяца назад

      huyu ni kafiri ndio maana anachuki ya wake wengi.

    • @shaban6644
      @shaban6644 2 месяца назад

      Wewe kinakukera Nin Kwa Mzee Wao kuoa Wake Wengii...???,

    • @user-zr2pn5uv8b
      @user-zr2pn5uv8b 2 месяца назад

      Tatizo lipo wap kama kuoa sidiniyake imemruhusu

    • @Zainabnoor0087-ze
      @Zainabnoor0087-ze 2 месяца назад

      Yeye kaoa hajazini

  • @kinogekimbeho3781
    @kinogekimbeho3781 2 месяца назад

    sheikh eid amedhililisha

  • @user-hb8vi9fx6g
    @user-hb8vi9fx6g 2 месяца назад +2

    TUJIFUNZE KUWEKA ADABU KWA VIONGOZI WETU KWANI NAO NI BINI ADAMU HUKOSEA PIA, HIVYO TUWANASIHI SIO KUWASHAMBULIA, NAKUSHAURI KUMBE WAMJUA VIZURI SHEIKH MOHAMED UNGE MFATA UMUELEKEZE AREKEBISHE MAZUNGUMZO YAKE.
    LAKINI PIA KUTOA WAQFU SEHEMU NDOGO KWENYE KITU KISICHO GAWIKA NI MATATIZO KWA SABABU KILA MTU NA MATUMIZI YAKE,HIVYO NI VYEMA MFANYE MAREKEBISHO HARAKA ; MANA NYINYI MNAPENDA MADRASA IENDELEE MKIONDOKA WAWEZA KUJA MENGINE WAKAHARIBU WAQFU.

    • @ukwelimchungu183
      @ukwelimchungu183 2 месяца назад

      Dah yeye kajidhalilisha baada ya waziri kuleta sulhu ya madrasa kaja na hoja ya kuhamisha wakfu
      Maana ya mzee kuwacha waqfu hapo maana yake hiyo nyumba isiuzwe na alilijua Hilo
      Sababu ya kuhamisha waqfu ni kuhalalisha nyumba iuzwe
      Huyu dada Yuko sahihi na vielelezo anavyo
      Tusiwatetee Hawa mashekh kuhalalisha Haram kuwa halali

    • @ibrahimrajabu8722
      @ibrahimrajabu8722 Месяц назад

      Unatetea upuuzi kwani walevi si wanaitwa walevi?? Mnataka kuwapamba kwa majina gani watu hawa???

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 2 месяца назад

    Me bado sijaelewa .km mtu akifika c alisiwe na waqf c baki kwa sehem yake aliotoa .wale wenginge wapewe chao na waqf ibaki bac maisha yaende au dada anatakaje

  • @IMBRANDTZ
    @IMBRANDTZ 2 месяца назад +1

    Huyu sheikh Mohammed iddy siku zote nawaambia watu ni mjanja mjanja sana

  • @sheikhaswalehsalim3392
    @sheikhaswalehsalim3392 2 месяца назад

    Kesi ime wakalia vibaya, lazima walipe pesa za watu ,hilo tatizo, mwenyezi akuhifadhi

  • @emmasonanjawe9042
    @emmasonanjawe9042 2 месяца назад

    Mh.Rais awaite hawa watu aongee nao mwisho wa siku watamuua huyu dada ameipigania sana haki yake na yanduguze ni chimbuko lao plz watu wakaribu na Mh.rais msaidieni huyu dada siku moja Mungu atawauliza maana huyu dada kalalamika sana kwenye vyombo vya habari wengi tumemuona tumesikia na inahuzunisha sana ebu msaidieni huyu dada hao wengine wana njaa sana watamuua

  • @user-dz5jc6pp8e
    @user-dz5jc6pp8e 2 месяца назад +1

    UMECHAPIA SHOGA

  • @elizabethkikoti7265
    @elizabethkikoti7265 4 дня назад

    Me ni mkristo dada niko tayari kuungana na wewe tuandamane na waislam hmna kutoa wakfu

  • @abdallahmmary8591
    @abdallahmmary8591 2 месяца назад +1

    Hawa mashekh ni wasanii idi na wengine inatosha Kwa Usanii usanii usani na aibu dar es salaam jamaa vingoz badhi mnanuka kwa dhulma bakwata mnaudidimiza Usislamu mmebakia kudhulumu Addunia Madhaatu l, akhera je vipi mnafanya dhulma

  • @daudkindy8062
    @daudkindy8062 2 месяца назад +1

    Dada uko vizur pigania mpaka mwisho

  • @user-zg4yz7je8d
    @user-zg4yz7je8d 2 месяца назад

    Shida ya ndoa za wake wengi, si mpango wa Mungu tatizo uyo muhamadi wenu

    • @user-wh4wd4qp1p
      @user-wh4wd4qp1p 2 месяца назад +3

      Yakubu ktk vitabu vyenu alioa wake wawili je pia hilo si mpango wa mungu?

    • @nabahanishela7447
      @nabahanishela7447 2 месяца назад

      Nawewe nguruwe mmoja unaongea nn punda wewe nenda kachambe mavi ayo mkunduni kwanza Ppunda wewe

    • @twaibumikidadi7377
      @twaibumikidadi7377 2 месяца назад +3

      ww umefeli
      sasa huoni kama ww huna akili, maana unafanya tofauti na YESU
      Yesu hajaoa ww unaoa
      Yesu hajaingia kanisani ww unaingia
      Yesu halisunudi ww unakatika viuno kabisani
      Sasa huoni kama unauchiz fulan hiv!
      Au n mpango wa shetani upande wako ??

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 2 месяца назад

      Paulo nabii wenu alikuwa mpofu, jongoo hapandi mtungi. Sasa lazima mpige kelele

    • @MinskBelarus-il2tl
      @MinskBelarus-il2tl 2 месяца назад

      Baba yako alikua na MCHEPUKO na wewe unapita humohumo. Na hao utakaowapata NJE YA NDOA usiwafiche.....

  • @saidybhoky-lb7hg
    @saidybhoky-lb7hg 2 месяца назад +1

    uyu sheikh mwamedi iddy ananjaa sana wakufu iuzwe iwe bar shida nn

  • @user-ru6ct4rh3t
    @user-ru6ct4rh3t Месяц назад

    Kweli kabisa! Huyo shehe huyo hafai kabisa!

  • @victoriambonde8061
    @victoriambonde8061 2 месяца назад

    kwaiyo Shee unampinga laisi Samia maana wazili amepewa maagizo statue migogolo Kafka kaliakoo katatua tatzo kwamba waQfu uludiswe na maisha yake yote kama alivo usia mwenyewe maleem sasa wewe unampinga laisi na wazili silaa unazid kuipaka matope bakwata maana wengine watahis umetumwa na bakwata maana wewe Shee wa bakwata kwaiyo muombe kazi lahisi wetu kumuhingilia kwenye kazi zake

  • @user-mg6hn6os6y
    @user-mg6hn6os6y 2 месяца назад

    Kwani sheikh Muhammad Odd huu wakfu unamuhusu nini wakati watoto wa marehemu wapo?

  • @user-jq2lk5tm3t
    @user-jq2lk5tm3t 2 месяца назад

    nimekuelewa dada upo sahihi

  • @zamyabubakar854
    @zamyabubakar854 2 месяца назад +3

    Yule sio shekhe ni mpigaj

  • @SalamaJuma-db9ig
    @SalamaJuma-db9ig 2 месяца назад +1

    Mashekh wa bakwata bwana mtihan

  • @hassanmwallimu5767
    @hassanmwallimu5767 2 месяца назад +1

    Dadangu kazaneni msikubali kabisa utapeli wa huyo sheikh

  • @user-mk1qz1mn7w
    @user-mk1qz1mn7w 2 месяца назад

    Hili shekh linatamaa

  • @chemstry409
    @chemstry409 2 месяца назад +5

    Yamika aliambiwa na Waziri hiyo nyumba sio yake sasa kwanini anaweka walinzi????

  • @USSIIDDI-qn7od
    @USSIIDDI-qn7od 2 месяца назад

    Ukiwa mpiga kelele tu! Bakwata unakuwa shekhe

  • @user-hq5mo3dx7l
    @user-hq5mo3dx7l 2 месяца назад

    Dada unatumika

  • @issaabdallah7660
    @issaabdallah7660 2 месяца назад +1

    Tangu jana nimemuona she mohammed idd nikajua hapo ni magumashi

  • @zwinaalhabsi664
    @zwinaalhabsi664 2 месяца назад +4

    Utakuta huyo shekhe na yeye kapewa vipesa

  • @user-zs7eq8up5s
    @user-zs7eq8up5s 2 месяца назад

    Hilo muhammad iddi shekhena ubwabwa tu pumbavu tu

  • @abdallahlupatu1093
    @abdallahlupatu1093 2 месяца назад +1

    Muhamed Iddi sio sheikh ni TAPELI

  • @banihashim5347
    @banihashim5347 2 месяца назад +2

    Mohamed idi kashapotea katika ulimwengu. Anatafuta kurudi kwa nguvu😅