Harris Kapiga na Henry Mwinuka hawa hapa kwenye kipindi chao 'Chimbo', Hii ni episode ya utambulisho

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 10

  • @kakawamashariki8978
    @kakawamashariki8978 Месяц назад +1

    CHIMBO; Utaifa,Nywila,Mm. Pongezi nyingii hasa kwako Mch. Haris. leo kiswanglish umekiweka kando ukilinganisha na kule Temino pamoja na lil Mwasha,moja kat ya sababu iliyoniweka kando ijapokuwa inaweza onekana si kitu. Tuko pamoja tena, kazi njema.

    • @Nchiyaahadi
      @Nchiyaahadi Месяц назад +1

      Haaaaaaa! Ngoja nijitahidi zaidii basi ndugu! Pole sana kwa kukukwaza

  • @beatricefrankngalubutu1448
    @beatricefrankngalubutu1448 Месяц назад

    Powerful 🙌🙌🙌jamn kisiishie njianii kama vipindi vinginee❤❤❤❤

    • @Nchiyaahadi
      @Nchiyaahadi Месяц назад +2

      Tuombeee sana tuwe na mwendelezo zaidi

  • @abdulbandidu119
    @abdulbandidu119 Месяц назад

    Sns naiona mbali sana

  • @comics3437
    @comics3437 Месяц назад

    Aiseee hii content msiiache... Inaweza ika peak taratibu lakini kwa baadae itakua hot sana maana huyu jamaa ana material adimu sana

  • @JosephKingwere
    @JosephKingwere Месяц назад +1

    Wakwanza leo