Mboso anakipaji kikubwa sana cha kuimba LIVE! Siyo kama wale wapiga mayowe na makelele kwa stage! Huyu anamfunika mpk boss wk kwa KUIMBA LIVE💃❤❤❤❤❤ BIG UP MBOSO💯♨️♨️
The king 👑 Mbosso Khan 👑👑is back,, fire fire 🔥🔥 this is what we need in our industry, congratulations 🎉🎉🎉 brooo we are so proud of you 👏👏👏🌲🌲🌲🌲🌲🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ukinambia pafomans kubwa ya live mwaka huu hii no 1 umefanya vizuri sana nlkuwepo lakini bado leo nmeshina naangalia hii shoo kama mala tatu toka ahsasubuhi🌍🔥🔥
Nidhamu,Kujituma na kujua nn unahitaji kunakufikisha mbali kimafanikio.... Wenzie kwa kusikiliza maneno ya watu na uongo ,leo, unaweza kupita mwaka usisikie lolote zaidi ya skendo
Tena huyu hataki hata mambo ya wcb utazani hayuko huko unaona yuko kimya yeye na lavalava inaonesha hawa hawana pesa zakutoka mambo ya mondi na harmonize huyu kakaa kimya na lavalava na harmonize wala hajawahusisha yule bwege wake rayvanny kujipendekeza sana kwa mondi ndo ana mdomo
Show nzur sana But mlitakiwa kuwa contro watu namna ya kutunza fedha kwa Mboso zimerushwa sana chini na sheria amekataza nwdays sijui what will happen lkn but you have to be careful na hiz sheria
Natokea Kigoma Hapa Kwetu Kitaa Wanabishana kuwa hii songs unachezaje kuwa ni MOVIE WENGINE WANASEMA VIDEO YA UNACHEZAJE NI ZAIDI YA NYIMBO NI ZAIDI YA MOVIE HOGELA SANA BIG SIMBA
HUYU NDIO MSANII KONKI ANAYETAKIWA HASAA👌 SAFI SANA ANAIWEZEA SANA LIVE BAND KWASABABU TANGU MDOGO NDIO ALIANZA NA STYLE HIYO PALE YAMOTO BAND SO VITU KAMA HIZO HAZIMTOI JASHO KAAABISA YEYE KWAKE NI MTELEMKO TYUUU SAFI MNOOOOOO
Mama dangote mbona kavaa black haina mvuto utadhani kavaa kaniki.alivyo panda jukwaani nimeshtuka he nani huyo kumbe mama dangote.ungevaa blak yenye mg'ao kama airen uwoya ungevutia kuliko hilo koton halina mvuto.pia airen uwoya kapendeza lakini uchi jamani mhh.mbosso hongera yako.
Sijui Kwa nini maagizo yanayotolewa na serikali watu hawataki kuyafata, serikali ilishakataza stairi ya kutunzwa jukwaani Kwa kutupa hela chini lakini Bado watu hawataki kuelewa
Mboso anakipaji kikubwa sana cha kuimba LIVE! Siyo kama wale wapiga mayowe na makelele kwa stage! Huyu anamfunika mpk boss wk kwa KUIMBA LIVE💃❤❤❤❤❤ BIG UP MBOSO💯♨️♨️
Kwa kwelii
Who repeat this show like three or more, plz give mbosso respect 🙌🙌🙌🙌
👏👏👏👏👏👏👏👏👏 dats we call live performance ✊
This is what we call LIVE PERFORMANCE.
Sound was on point 💯 , vocal was perfect.
Congratulation Mbosso.
Best performance ever from Mbosso! 👌🔥🌍🔥
Mlifanya jambo sahihi sana kumleta Mbosso kwenye Hilo shindano.. Hapayuki anaimba Kama ilivotabia ya miss
Msanii wangu 2021 mbosso khan
Mbosso your musician 🔥🙌🏽
The king 👑 Mbosso Khan 👑👑is back,, fire fire 🔥🔥 this is what we need in our industry, congratulations 🎉🎉🎉 brooo we are so proud of you 👏👏👏🌲🌲🌲🌲🌲🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ukinambia pafomans kubwa ya live mwaka huu hii no 1 umefanya vizuri sana nlkuwepo lakini bado leo nmeshina naangalia hii shoo kama mala tatu toka ahsasubuhi🌍🔥🔥
Msanii bora kazi nzur san big up san mbosso 🇹🇿🇹🇿🇹🇿❣️
Bravo Mbosso comme toujours 💯💯💯🔥💃⭐👁️👁️🇫🇷🇹🇿
That is mbosso khan Iam in love with your songs
That was a great performance from mbosso
Duuuuuh kijana siku utavamiwa jukwaaan kwa burudan unazotoa aisee umapagawishaaaàaa 🙏🙏🙏💪💪💪💪💪
Nadhani mboso umepata mpiga solo sahihi katika nyimbo zako..amemaintain mziki kwa asilimia 100
Good performance MBOSSO🔥🔥🔥
Mbosso unahatali sana unaijui sana live nice 👊👊👊👊👊👊👊👊
Fundi findi yani mwalimu wa sauti na mashairi mbosso khan 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Nidhamu,Kujituma na kujua nn unahitaji kunakufikisha mbali kimafanikio....
Wenzie kwa kusikiliza maneno ya watu na uongo ,leo, unaweza kupita mwaka usisikie lolote zaidi ya skendo
true
Tena huyu hataki hata mambo ya wcb utazani hayuko huko unaona yuko kimya yeye na lavalava inaonesha hawa hawana pesa zakutoka mambo ya mondi na harmonize huyu kakaa kimya na lavalava na harmonize wala hajawahusisha yule bwege wake rayvanny kujipendekeza sana kwa mondi ndo ana mdomo
Hivi master j Ana tatizo gani Na huyu Kijana how in earth unataja top 10 ya wasanii bongo umtoe mbosso
Best live perfomer of all time
Hata diamond hapa atulie
Unakipaji kikubwa mbosso
Keep it up mbosso Khan, mhind wa kusin
Show nzur sana
But mlitakiwa kuwa contro watu namna ya kutunza fedha kwa Mboso zimerushwa sana chini na sheria amekataza nwdays sijui what will happen lkn but you have to be careful na hiz sheria
Mbosso kama mbossoooooo👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Mbosso kwa live performances anajua sana 🔥🔥🤘
🙌🙌🙌ila unafaidi Saana Jooomba.. 🔥🔥🔥🔥
Mbosso tunakusubiriiiii huku zanzibar please ❤🤍 tunakupendaaa
Toka zanzibar unamsubiri kwanini wacha nuksi pumbav
Mungu akubalikie sana maman dangote nakupenda pia maman wababa my myuzici tanzania 🇹🇿 diamonde ❤️❤️
I love youuuuuu mbosso jmn from znz....watumalizaaa wengiii hukuuuu....jmn
Msanii wangu wa kila Day mbosso khan
Mbosso unajuwa🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Khan you r so cool, I lov your songs. Go higher khan.
Natokea Kigoma Hapa Kwetu Kitaa Wanabishana kuwa hii songs unachezaje kuwa ni MOVIE WENGINE WANASEMA VIDEO YA UNACHEZAJE NI ZAIDI YA NYIMBO NI ZAIDI YA MOVIE HOGELA SANA BIG SIMBA
Mbosso
Apo kinachovutia zaidi ni diamond anapomuona kijana wake mboso khan anidungunyuka kwenye stage uku yeye akiwa anampimia akilini mwake
Usafin huyu kjana n zaid ya mtu🔥🔥
l love you mbosso
Tu sai amico sei un cantatore numero uno qua nella nostra paese
Its the Dancer for me shout out to her
Kali ni kali haha ✨️✨️✨️representing out 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Safi sana diamond platnumz kufanya tuwapende watoto wako🔥🔥🔥👍
Sijawahi ona show Kali km hii tz💥mbosso Khan kamaliza dadek🤗
This guy is very good 👍
Mbosso❤️🐐
Yani mbosso maashalah unaweza live Yani inasikikaa siyo mikelele Yani unaweza mboss
HUYU NDIO MSANII KONKI ANAYETAKIWA HASAA👌 SAFI SANA ANAIWEZEA SANA LIVE BAND KWASABABU TANGU MDOGO NDIO ALIANZA NA STYLE HIYO PALE YAMOTO BAND SO VITU KAMA HIZO HAZIMTOI JASHO KAAABISA YEYE KWAKE NI MTELEMKO TYUUU SAFI MNOOOOOO
Mbosso go higher than you are every day
😍😍😘big up brother .....mashaallah
Napenda mwili wa mama D, mama yuko fresh.
Bless kwako mbossonyo
Mboso khan
Mbosso moto
ana balaaaaaaaa sema live ndo kaliiii sana mboso ni fire
halija haijakaa sawa mboso 🔥 🔥
Lights hawajazitendea haki....nyimbo za mapenzi kitu bright kama nn
Anyway performance taam saana
Mam dangote kapendez😍
Came kigali my brother
Hii hit song ya nadekezwa itakuwa hit milele
Mbosso jamani 🤍❤🙏😘
Shoooo kali sana mbosso😍😍😍😍😍
Mbosso mtu mbadi
Mbosso ❤
Appreciate you mbosso
Mbosso umeua kuazia kwenye mavazi
Katisha sana
Mama dangote leo umevuja rikod ndiomana mzee baba wasima oman 🇴🇲 akafaju yako leo mama rikod
Nakubali sana dogo
Nyinyi watoto wakislamu mnacheza kamamna kili vizuri hajuzu kabisa muogopeni mnyezi mungu hamuwezi pata baraka pesa zenu
Wafanyaje huku shekhe au shekha
Live band ukiijulia mzk mzr sana hauboi🔥🔥🔥🔥🔥😍
Mbosso Khan 😍😘💪🔥
Aweeeh nakubaL mbosso😄😄
huyu naye na taraabu nyingi sana
Machawa wana kazi duh aiseeee
Mama dangote mbona kavaa black haina mvuto utadhani kavaa kaniki.alivyo panda jukwaani nimeshtuka he nani huyo kumbe mama dangote.ungevaa blak yenye mg'ao kama airen uwoya ungevutia kuliko hilo koton halina mvuto.pia airen uwoya kapendeza lakini uchi jamani mhh.mbosso hongera yako.
Respect kwa band
Pro nakukubari
Mbosso khan hatari Sana
Haijakaa sawa
I likeeeee the song❤️
Talented 🙌🙌🙌🙌
Respect my gang
Hongera xn...kazi nzuriiii ♥️🔥🔥🔥🔥🔥
Mshededeee 🔥🔥🔥🔥🙌❤️❤️💕💕
Dash hatimaye leo nimeona show ya ukweli 🌟✨🌟 from king khan himself 🙌🙌
Appreciate you much kirung
Mboso congratulations 👏👏👏
Mbosso king khang🎅🎅
Sijui Kwa nini maagizo yanayotolewa na serikali watu hawataki kuyafata, serikali ilishakataza stairi ya kutunzwa jukwaani Kwa kutupa hela chini lakini Bado watu hawataki kuelewa
Mbosso fundi wa Ajaaaaabu
Good
Mbosso make me one of your dancers
Huyo issa Azam 😄😄
Nadekezwa 🥺 🤒
Great performance lakini ingekuwa vizuri umeimba bila uyo mchezaji karibu, live band yako bila kurudiya rudiya maneno inakuwaka zaidi ya great!
Mboso siku zote nakukubali
Mbosso very nice show!Irene uwoya shoga yangu ,you never dissapoint🇩🇪🇰🇪💪❤️💯
Shikamooo mbosso 🎶🎶🎻🎺🎷
ruclips.net/video/cK_TB2VBz7g/видео.html plz gusA hii link plz🙏
King nomaaaaaaaaaa🦁🦁🦁🦁
Good music 💥🔥
Sasa kam Qatar mbosso
Vizuri saana
👏👏👏