Live Alafu unaunjoy music ! Sauti ni ya msanii unaemjua jamaa katisha kumbe kunenepa Sio ugonjwa wadau maana nilivyo ona mwili nilihofu ila kumbe tofauti !!!.Kassimu ni yule yule nampa big yes.
Kma musician hapa jamaa kaua vbaya sana kaimba kwanza nyimbo zinazoendan na tukio pili kaimba saw na music pia hajaimba hta kdogo nje ya key alafu pia hatumi nguvu sana yy mwenyew anaenjoy sana good bro
Anajua anachokifanya huyu mziki haupendi hata kidogo ila mziki unampenda yeye, ndio maana haumtoki haumuishi ladha, maana huko nyuma alikuwa na vitimbwi sanaaa mara akiitwa kwenye show haendi mara akipewa hela nisu anagoma kabisa mara ametoja kwenye kundi wakati mwengine anadai amechoka hawezi kuimba, ni pasua kichwa mno, ispokuwa hata sasa akiupenda kweli kwa kweli na akafunga buti hakuna anaekaribia mziki wake maana hatumii nguvu kuimba yupo kawaida tu kinachovutia zaidi mziki wake ni wakistaarabu hata mtoto akiimba unataka arudie tena maana hatumii maneno mabaya, hakuna ukakasi hata kidogo.
here in zambia we love you Kassim keep it up you nailed it As if it was your Night Wasafi needs to learn from you Your songs will Always be on my phone Congratulations for showing them the reality of live performance
Jana Kassim 100%😍na waloimba taraabu pamoja na mbosso😍 Zuchu umetuangusha km mashabiki zako hukuitendea haki Valentine's day kubwa ulilolifanya Zuchu kumkatikia viuno Diamond wkt Diamond hakukubali umeharibu mpk sauti jana 25% chukua ulowalika kuimba ndo show wameibeba wao 100%
Yaan katika wote mliopaform ule usiku wa mahaba ndindindi wewe umeitendea haki live band we umeipa heshima umepaform ki classic balaa salute na bi khadijakopa na mama wa njiwa haowengine mikelele tuu
Yes..... Huyu jamaa ni mkubwa kuliko tunavyomchukulia kwenye ladha ya muziki nadhani Kuna kitu Mbosso anapaswa kujifunza kutoka kwake.....what a great performance tajiri
Tajiri wa Mahaba...Ishi Sana bro...nimekumbuka mbali Sanaa bro... Platinum endelea kuwashika mkono wakongwe...Old is Gold Wallah...🇹🇿 Tuna madini sanaa
Live Alafu unaunjoy music ! Sauti ni ya msanii unaemjua jamaa katisha kumbe kunenepa Sio ugonjwa wadau maana nilivyo ona mwili nilihofu ila kumbe tofauti !!!.Kassimu ni yule yule nampa big yes.
Tanga rahaa sanaaa 🔥🔥🔥 one of the best performance tonight 🤩🤩🤩keep the good music alive 🎉🎉🎉 kassim mganga on top 🔝🔝🔝 manzaaa beeeeeeei juuuuuu💪💪💪
bro unajua mpaka unakera KASSIM mziki wako utaisha maisha yako yote keep it up bro unajua wallah
Kenyans we love you Kassim, great performance
💕💕💕💃💃💃🤗
@@jasinkai6326 😘
Kma musician hapa jamaa kaua vbaya sana kaimba kwanza nyimbo zinazoendan na tukio pili kaimba saw na music pia hajaimba hta kdogo nje ya key alafu pia hatumi nguvu sana yy mwenyew anaenjoy sana good bro
Anajua anachokifanya huyu mziki haupendi hata kidogo ila mziki unampenda yeye, ndio maana haumtoki haumuishi ladha, maana huko nyuma alikuwa na vitimbwi sanaaa mara akiitwa kwenye show haendi mara akipewa hela nisu anagoma kabisa mara ametoja kwenye kundi wakati mwengine anadai amechoka hawezi kuimba, ni pasua kichwa mno, ispokuwa hata sasa akiupenda kweli kwa kweli na akafunga buti hakuna anaekaribia mziki wake maana hatumii nguvu kuimba yupo kawaida tu kinachovutia zaidi mziki wake ni wakistaarabu hata mtoto akiimba unataka arudie tena maana hatumii maneno mabaya, hakuna ukakasi hata kidogo.
Show ya valentine kaibeba uyu kaka mziki mzuri utulivu. Mashaallah mpka una fell yaan
Ndio maaana kaalikwa
here in zambia we love you Kassim keep it up you nailed it As if it was your Night Wasafi needs to learn from you Your songs will Always be on my phone Congratulations for showing them the reality of live performance
Nilienjoy performance ya mama Kopa na kassim...tamu sana
from Burundi Asante Kassim. Wanikumbusha mbali
Jana Kassim 100%😍na waloimba taraabu pamoja na mbosso😍 Zuchu umetuangusha km mashabiki zako hukuitendea haki Valentine's day kubwa ulilolifanya Zuchu kumkatikia viuno Diamond wkt Diamond hakukubali umeharibu mpk sauti jana 25% chukua ulowalika kuimba ndo show wameibeba wao 100%
This man z true musician seriously that vocal awwwh 💕💕💕💕💕
Yaan katika wote mliopaform ule usiku wa mahaba ndindindi wewe umeitendea haki live band we umeipa heshima umepaform ki classic balaa salute na bi khadijakopa na mama wa njiwa haowengine mikelele tuu
Nampenda kassim anajua😘😘😘😘😘😘😍😍😍🎤🎤🎤
kassim ni wasanii ambao live perfomance ni wa kali ...
hujakosea
💯💯💯👍bonge la show kassim big up Sanaa brooo
Huyu jamaa katisha sana🙌sauti iko poa Sana mtu lazima uenjoy
Yes..... Huyu jamaa ni mkubwa kuliko tunavyomchukulia kwenye ladha ya muziki nadhani Kuna kitu Mbosso anapaswa kujifunza kutoka kwake.....what a great performance tajiri
Kassim mganga I love u sanaaaa
Nampnda sana kassim u kill it. Kaka
Kassim am out of words🔥🔥🔥🔥
Daktari wa kuandika zenyewe zisizo zeeka 🔥🔥🔥
Soothing love songs thank you Bwana Kassim uko sawa sana
Umetisha sana heshima kwako tajir wa mahaba
Kaka kassim ❤❤❤🙏🙏🌹🌹
Sijui labda mm,but nimekuja ona Diamond anapenda taarab na mduara!that's so nice.
Huyu mziki anaujuwa ndani ya dam yake sio mtu wakuchezea sauti wala njiya za kuimbiya anajuwa kasim big up
Sauti nzuri kasim Munganga 😭😍😭😭😭😭😭😭♥️♥️♥️♥️
Aisee show kaibeba mkongwe kassim much respect bro👊
Huchuji kwangu nakupenda saana kassim ww star daimaa
Great performance good music talent man gorgeous voice old is gold 🔥📛
The Best performance💥💥💥💥💥
Tangaa kisima cha Malavidavi one of the best performances done by Kassim Mganga 😍😍
I Miss you kasmu 💕💕💕
Dah asee kasim we nifundi xana saut nzur ya mahaba kwely i respect you tanga fans were together bro
Kassim mganga 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
All the way from Brooklyn New York City USA, big performance my brother Kassim
Huyu jamaa anajua sana
I'm Muna TZ MY TANGA RAHA SANA APO APO KASSIM ❤💯
Kasim💕💕💕💕💕💯
One of his best performance 🔥🔥🔥🔥🔥#memorial
Kasssim ni brother from tz tanga city where i come from so when I'm listening he's song always i enjoy to much coz he knows music
I had missed this guy.... Like goosebumps allover my body
Tell mbosso nampenda...
Mbosso kaimba kwa hisia sanaaa
dah kassim nipo mbali ila ningekupa hata milion🤝Good perfomance
Haha
Nitumie kwa namba yangu shabiki yangu
Kassim mganga nakupa 99.5 good performance
Good live performance!100%
Katisha mhindi wa Tanga🙏🙏👏
Tajiri wa Mahaba...Ishi Sana bro...nimekumbuka mbali Sanaa bro... Platinum endelea kuwashika mkono wakongwe...Old is Gold Wallah...🇹🇿 Tuna madini sanaa
Big up sana Tajiri wa mahaba Mr. Kassim Mganga
Kasim love love love so much song zako
Nice performace Tajiri wa mahaba❤
Mizik ya zamani ndo mizur hata ukisikiliza unainjoi
Big up cassimo 🇲🇿🔥👀🙌🏾
Bonge la performance Kassm
Kassim anajua sana lakn unaweza kuona mtu mwenye roho safi diamond kavaa jambo kama lake diamond 💎 ashi miaka mingi
King 👑
Huyu mpiga zumari drums hatari sana
Mbosso iz really talented masha Allah
Kassim umenenepa sana lakn hongera
Hajawai pungua
Yan ww Baba kiboko wallah😘😍😍😍
that was a great performance
Wapinga Ngoma ni hatari walah 🔥🔥
Kasimu nakuona asilimia100 kaka uko vizuri sana
Kassim🙌🙌
Kizazi sana kassim ukatisha sana
Yeah nime mkubali huyu amebalehe sho yakiutu uzima ✊
WCB4LIFE Baby
Jamani khan dah! ❤❤🙏🙏
Kasim bigup brother
Imagine a collaboration ya mbosso/lava lava na kassim
Kassim anaudai muziki pesa nyingi sana
Wajina hahahahaha
Nikweli kbs
Kassim, Mb Doggy, Z Anto ni miongoni mwa wasanii ambao wanaudai pesa muziki
Wallah
Best show even.. Kasimu..
Nimotooo🔥🔥🔥🔥
Safi sana moja ya show kali sana
The most love doctor......Much love from Kenya ❤
Tanga kauwa ✍️✍️🔥🔥🔥💯
Anasautiiii jamani duuuh katulia
kassim mganga hoyeeeee👌
Great performance bro Kasim 👏
Much love from kenya.we love you Kassim
Aiseeee! Noma sana.
Gold never expired
Wenye sauti zaoo ndo kama huyu yaan hata ukisikiliza unasikia radhz ya wimbo, hongera sana Kassim kipaji unacho
The way he sings effortless😍😍....
Lovely
Old is gold.. Awena🥰🥺🤗💞💞💋
Jamn kaua kassim ♥️
Noma sana...🇰🇪
Kassim my guy much love
UNATUNZWA PESA UNASHUKURU ,,,NIMEPENDA
Iiiiiih so dope my bwoy mbosso
Asante tajiri wa mahaba .
Big up kassim
Katelephone aliuwaaa🔥🔥🔥🔥
OHH KUMBE MKALI LIVE PERFORMANCE
Naipenda chanaiyoo❤❤❤❤❤❤
Tanga🔥🔥🔥🔥
Noma niliona mix yako Kwa DJNell thespinboy ni Kali sana
Your always be in memory love you kassim mganga.Allah bless you
Kassim umeuwa kwa kweli🔥🔥🔥🔥🔥
Big YES🔥
Fundi ni fundi tu, naomba collaboration ya Kassim ft Mbosso