EXCLUSIVE: MAMA DANGOTE AFUNGUKA BAADA YA ZUCHU KUTOTOKEA KWENYE BIRTHDAY PARTY YAKE...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 дек 2024

Комментарии • 273

  • @trizahwanjiru4978
    @trizahwanjiru4978 2 года назад +41

    That why nafanya niwezalo kwa mtoto wangu kesho yake aijuae Mungu babake atakuja kushuhudia zaidi ya hili,so proud of single moms who works tirelessly to make sure our kids are happy nd living like those who has dads eiish inapendeza

    • @annethsongwe6063
      @annethsongwe6063 2 года назад

      Mnoooo my unawaza km mimi

    • @nuruahmed4842
      @nuruahmed4842 2 года назад +4

      Na mungu kiukweli huwa anatujaalia sana single mother anaona jinsi tunavyopambana🙏Mungu tulindie watoto wetu ameen🙏🙏

    • @trizahwanjiru4978
      @trizahwanjiru4978 2 года назад

      @@nuruahmed4842 Amen 🙏

  • @lovenessitiku6293
    @lovenessitiku6293 2 года назад +7

    Happy birthday mom huwa nakuangalia sana jins kipindi iko maisha yalipoanzia mpk leo na kijana wako naseeb

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 2 года назад +1

    Mama Nassibu mzuri wa sura jamani,nakupenda sana dada angu.❤❤❤👍👍👍👍❤❤❤❤

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 2 года назад +28

    Darleen katolewa kwenye familia..
    Pole Darleen

  • @everlyneminayo3881
    @everlyneminayo3881 2 года назад +7

    Aki mungu nibariki NAMI napatiye mamayangu pesa kama hii jamani😔

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 2 года назад +8

    No make up today you look good and natural mama twende taratibu sasa jikubali👍

  • @furahaemerance1218
    @furahaemerance1218 2 года назад +6

    Happy birthday mama mzaa chema 54 but still looking fresh❤️❤️🌹

  • @elizabethwoga5140
    @elizabethwoga5140 2 года назад +6

    Wow hongera mama

  • @asaadalbusaidi1870
    @asaadalbusaidi1870 2 года назад +10

    Kila la kheri mama dangote❤

  • @apolinewangendo7363
    @apolinewangendo7363 2 года назад +3

    HAPPY BIRTHDAY macherie tifa

  • @Rahmah-dr9xd
    @Rahmah-dr9xd 2 года назад +7

    Duh kuna watu wanapesa

  • @lettysalala2504
    @lettysalala2504 2 года назад +13

    Nampenda mama anapenda watoto wake wote

  • @abednego3876
    @abednego3876 2 года назад +80

    Unayesoma hapa fanya kazi kwa bidii sku moja umfanyie hili mzazi wako 🙏🙏🙏.

    • @elianeirakoze8562
      @elianeirakoze8562 2 года назад +2

      Amiin

    • @marksulle6120
      @marksulle6120 2 года назад +4

      Natumai ww ushatafta izo pesa na saii upo site ukifanya hivi kwa wazaz wako

    • @diosgalice
      @diosgalice 2 года назад

      @@marksulle6120 😂😂

    • @heritier5119
      @heritier5119 2 года назад

      Eti wengine wanawatoa kafara wazazi wao

    • @ruthwakoli7757
      @ruthwakoli7757 2 года назад

      Ameen 🙏🙏🙏🙏

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili 2 года назад +5

    🔥❤️🔥

  • @khadijachao4546
    @khadijachao4546 2 года назад +6

    Happy birthday mama dangote ,Allah akujalie umriy tawil

  • @boyiddy9323
    @boyiddy9323 2 года назад +2

    Asante saaana mama kuzaa raha jamoooni🥰
    Kufuruu ya pesa hio

  • @Nikita_8017
    @Nikita_8017 2 года назад +5

    The Queen,

  • @lomonatz
    @lomonatz 2 года назад +7

    Proud of u

  • @sifamaombi3727
    @sifamaombi3727 2 года назад +6

    Happy birthday to you mama

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 2 года назад +6

    wapi AUNCLE SHAMTE

  • @tida3727
    @tida3727 5 месяцев назад

    Happy birthday mama Ndangote we appreciate you❤❤❤❤

  • @roselynealima3618
    @roselynealima3618 2 года назад +3

    Tunakupenda mama from kenya

  • @estherndolo6237
    @estherndolo6237 2 года назад +2

    Hope wambea mmeskia vizuri,mama dangote na zuchu ni marafiki wa karibu.

    • @perrygeorges
      @perrygeorges 2 года назад +1

      awa ata wakiambiwa hawawezi sikia🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @estherndolo6237
      @estherndolo6237 2 года назад +1

      @@perrygeorges 😂😂😂wanapenda kupea watu beef haiko na rumours za uwongo, we know them

  • @johnjefacharo9599
    @johnjefacharo9599 2 года назад +1

    Queen Yuko wapi

  • @blessedema9123
    @blessedema9123 2 года назад

    I tap this blessings...in future this is what my kids will be doing to me.

  • @anjelinkasungungwanyi6713
    @anjelinkasungungwanyi6713 2 года назад +1

    Happy birthday to you,mama tangote

  • @leiratykisura6718
    @leiratykisura6718 2 года назад +16

    Uyu mma muongo anajirudsha nyuma miaka aiseee

    • @SLTN4503
      @SLTN4503 2 года назад +4

      sasa miaka yako ao yake..mbona makasiriko kweny miaka ya mwenzenu

    • @juliennenzeyimana3274
      @juliennenzeyimana3274 2 года назад +1

      Uyo mama hakose myaka stini.nibasi tu nasura inakuwa inamufanana

    • @scholamodestus9386
      @scholamodestus9386 2 года назад +1

      Haya leiraty tuambie ww mamaake mzazi mwanao mama dangote anamiaka miaka mingapi

    • @tunsumejohntunsumejohn2210
      @tunsumejohntunsumejohn2210 2 года назад +1

      Sasa miaka 54 michache jaman mlitaka aseme anamiaka 70? Diamond mwenyewe wa89

    • @kellythateacher1570
      @kellythateacher1570 2 года назад

      😂😂😂

  • @nyerere1259
    @nyerere1259 2 года назад +25

    Diamond anatufanya sisi tusieleweke kwa wazazi wetu 🤣🤣

    • @mahmoodalghefeili5370
      @mahmoodalghefeili5370 2 года назад +1

      😁😁😁😁😁😁

    • @fatmaally7252
      @fatmaally7252 2 года назад +1

      🤣🤣🤣🤣 umenigusa

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 2 года назад +2

      Nimecheka 😂😂😂

    • @fatmaally7252
      @fatmaally7252 2 года назад +3

      @@nancyg8664 cheka ila kama amesema ukweli ujue 😄😄😄😄

    • @ashazuber6548
      @ashazuber6548 2 года назад +2

      Wallah ipo siku tu na mm nataman nimtuze mama kwa chochote uwiii

  • @mwanaishazain7985
    @mwanaishazain7985 2 года назад +1

    Mama via hilo kofia kama mkulima wa mkonge. Happy birthday

  • @amissaabubakar2792
    @amissaabubakar2792 2 года назад +3

    Joyeux anniversaire maman dangote

  • @wastarabakry8740
    @wastarabakry8740 2 года назад +23

    Kwanini kilasiku zuchu mbona mnamuandama sana

  • @bimkubwamohd3254
    @bimkubwamohd3254 2 года назад

    nzuri sana

  • @irenekerubo9791
    @irenekerubo9791 2 года назад

    Hii imeweza

  • @cosmecosta2631
    @cosmecosta2631 2 года назад +7

    Hongera sana mama lakini upo tungi kidogo.

  • @carolinemusimbi9232
    @carolinemusimbi9232 2 года назад +5

    54 mama dangote bado young kuzaa mdogo raha happy birthday mama dangote

  • @azomafiabanguboy698
    @azomafiabanguboy698 2 года назад

    Courage. My mother

  • @lablondedivine7710
    @lablondedivine7710 2 года назад

    Jamani Queen Darling kwenye hi familia inakuwaje

  • @kessykibunde7011
    @kessykibunde7011 2 года назад

    Kila la kher mama mwenz mungu nasie kizaz chetu na hii njaa

  • @marthasimon9591
    @marthasimon9591 2 года назад +4

    HAPPY BIRTHDAY MY LOVELY SISTER

  • @mariammbughi2702
    @mariammbughi2702 2 года назад +1

    Kuzaa kuzuri🥰

  • @gracehizza8525
    @gracehizza8525 2 года назад

    Baba. Dangote yupo wapi

  • @hildaeliapenda3938
    @hildaeliapenda3938 2 года назад +3

    Kwini Darleen yuko wapi? Sio vizur bado ni mwanafamilia mkumbuke

  • @lindashagala9767
    @lindashagala9767 2 года назад +2

    Happy birthday queen 👑

  • @felizwanzagi8465
    @felizwanzagi8465 2 года назад +3

    Happy birthday Mama 🎊🎊🎉😍

  • @HansBwoi
    @HansBwoi 2 года назад +5

    Kazoea kufanyiwa😜

  • @rehemaothman2200
    @rehemaothman2200 2 года назад +6

    Ameen

  • @bisimwadieume5064
    @bisimwadieume5064 2 года назад +5

    Wow

  • @MohammedMohammed-uo5sk
    @MohammedMohammed-uo5sk 2 года назад +1

    HB mama Diamond .may you blow a thousands candles.

  • @elysahussein5804
    @elysahussein5804 2 года назад +5

    Mashaallah

  • @phyinajonathan8082
    @phyinajonathan8082 2 года назад +7

    Kwa hela hizi anaanzaje Sasa kuzeeka

  • @cutemamy9602
    @cutemamy9602 2 года назад +3

    Mbona Kwa Mtoto wake wa Kwanzaa🤣😂😂🤣

  • @omarrashidi5990
    @omarrashidi5990 2 года назад +1

    Vp Queen

  • @christinamwala9229
    @christinamwala9229 2 года назад +1

    NAMI naomba siku moja nimjengee mama yangu japo nyumba ya bati

  • @mariamakungwa5391
    @mariamakungwa5391 2 года назад

    Jamani khaaaa

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 года назад +1

    Mama hawezi ruhusu mwanae aoe. Masharti

  • @aminamwanakombo2097
    @aminamwanakombo2097 2 года назад +3

    Family yakitajiri mashaallah

  • @rehemadyamwale7475
    @rehemadyamwale7475 2 года назад +7

    Mama kula Bata but usimsahau aliyekupa pumz kwa kutoa sadaka na kujenga misikiti Ni Mali ya kudumu hata ukifa unalipwa na Allah

    • @rustanilwilson394
      @rustanilwilson394 2 года назад

      Wivu tu unatamani ungekua wew apo kama muda upo wakuzitumia zitumie

  • @auntykulu7013
    @auntykulu7013 2 года назад

    Amin

  • @zaituneadremaneadremane5698
    @zaituneadremaneadremane5698 2 года назад

    mashalha

  • @sadajuma6714
    @sadajuma6714 2 года назад

    Kwani uncle kasafiri?

  • @angelageofrey9756
    @angelageofrey9756 2 года назад +4

    Mwacheni zuchu ❤️

  • @jkzcr7z
    @jkzcr7z 3 месяца назад

    Ana danganya mama diamond sasa mwaka 60

  • @eliudijustinyindi5939
    @eliudijustinyindi5939 2 года назад +4

    Mama anaeinjio maisha 🙏🤣🔥

  • @erickabel6201
    @erickabel6201 2 года назад +3

    🔥🔥🔥🏆

  • @markismzurisana5994
    @markismzurisana5994 2 года назад +6

    Mama dangote yuko bwiiiiii

  • @barakatabdul3212
    @barakatabdul3212 2 года назад +12

    Mpeni na mzee Abdul basi hizo Pesa" Maskini, mzee Abdul maskini mama Untumia majii" yake ya uzima🤣🤣🤣🤣🤣

    • @joleal7941
      @joleal7941 2 года назад

      Nhtr mutoto wetu mze abdul hajulikani

  • @naimamohamed2216
    @naimamohamed2216 2 года назад +8

    mungu akufungulie milango ya kumuabudu na kuipa nyongo dunia

  • @ummuadam2423
    @ummuadam2423 2 года назад +2

    Uncle shamte kwani ashapigwa teke

  • @silviafaraja8636
    @silviafaraja8636 2 года назад +4

    Toeni sadaka Mungu atawaona sio show TU hapo

    • @husseinshabani9522
      @husseinshabani9522 2 года назад +1

      Sadaka sio mpaka mtu Ajitangaze....mwisho wa Mazungumzo yake kasema In sha Allah....inatosha kujuwa Amemtanguliza Mungu mbele....

    • @ethanethan4437
      @ethanethan4437 2 года назад +1

      Tafuta pesa fala wewe njaaa inakusumbua

    • @mariamumuniss1338
      @mariamumuniss1338 2 года назад

      We unatoaga

  • @ashleystarqueen8780
    @ashleystarqueen8780 2 года назад

    Jamani

  • @cutemamy9602
    @cutemamy9602 2 года назад +1

    Rj Leo Karopokaaaa...
    Kumbe Esma Sio Mama Ake Mama Dangotre

  • @aviwaomar439
    @aviwaomar439 2 года назад

    Kuzaaa kwemaaa

  • @Alihamdulil
    @Alihamdulil 2 года назад +2

    Uyooo maman mjinga sana kuliko kujijongeza kwa Allah kazi birthday 🎂 mjinga mze mzima watu hatujuwi kama ni mwislamu Ao kafiri subhanallah iviii haoni kama anakaribia kifo Hata Hidja hatakwenda

    • @bongelabwana7523
      @bongelabwana7523 2 года назад +5

      Tafuta hela kijana ukiendelea hivi mbele ya safari utafirwa aisee, kwanza ukute unakaa kwa bibi bado, unateseka ukiwa kijijini?

    • @husseinshabani9522
      @husseinshabani9522 2 года назад +2

      Acha Wivu.....

    • @omarymhina6268
      @omarymhina6268 2 года назад +1

      Kuwa na akili mungu ndio mna kuomb na kawek umri kun umri ukifk atakam ujanani aujafany ibada basi ukiwa mzee ibada muhimu sasa huy mama si umri kbsa wa mama Malia nyerere

    • @ethanethan4437
      @ethanethan4437 2 года назад

      Njaaaa inakusumbua

    • @jamessimba749
      @jamessimba749 2 года назад

      Kuna ndugu yako kaenda hija, mijitu mingine mipumbavu humu kufuatilia maisha ya watu

  • @mbwanakhamis9634
    @mbwanakhamis9634 2 года назад +2

    Jumaa bdo sna kua kma msii.... Yy bora tu awe chawa wa kawaida...

    • @maryjonh311
      @maryjonh311 2 года назад

      Ni wakati wake jamani achen Makasiriko.Kutubu ni yeye na Mungu wake unataka akiwa anaomba awaite au.Kula Maisha Mama

  • @luccysmith0002
    @luccysmith0002 2 года назад

    Kwani mzee wake waliachana shamtel

  • @buyoyasubira9444
    @buyoyasubira9444 2 года назад

    Mbona hatujamuona mume wa Mama dangote

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 2 года назад +6

    Santana yuko wapi?

    • @bongelabwana7523
      @bongelabwana7523 2 года назад

      Ndugu kuna likizo aisee we unataka afanye kazi kila siku

  • @irenelucas7915
    @irenelucas7915 2 года назад +1

    Ipo cku namimi mama yangu nitamnunulia gari

  • @siyamanda7073
    @siyamanda7073 2 года назад +6

    Huyu chizi malaya ndio kaingiza hii topic

  • @paulinekabui649
    @paulinekabui649 2 года назад

    Kwelu baba alienda wapi

  • @angelageofrey9756
    @angelageofrey9756 2 года назад +3

    Duu si wangepeana kwa account Mara ziibiwe

  • @mwanaishaabubakar5013
    @mwanaishaabubakar5013 Год назад

    Sasa haya makofia kama mfuga ng'ombe vipi?

  • @asharamadhani8668
    @asharamadhani8668 2 года назад +1

    Yaani hapo uncle anaenda kuzibunya kirahisi kabisa, dah! Maisha haya

  • @zachaliamachibola8291
    @zachaliamachibola8291 2 года назад +2

    Naona siku hizi umebadilika Sana saivi umekuwa mtu wa busara Sana na hekima ule usharo umeaza kuisha

    • @tourismtourism9204
      @tourismtourism9204 2 года назад +1

      Anafamilia ndio maana ukiwa umeoa unabadilika na pia umri unasonga

  • @PItty322
    @PItty322 2 года назад +4

    Ila sioni UBAYA pale

  • @tonykkabwe9937
    @tonykkabwe9937 2 года назад

    ❤️

  • @nangabohh3
    @nangabohh3 2 года назад

    na huku mzee abdul anateseka sijui mtu unapata wapi hii nguvu.

  • @fatmasaggaf107
    @fatmasaggaf107 2 года назад +11

    Huyu Mama si mzima anaumwa hata akiongea ana pumzi pumzi

  • @irenekerubo9791
    @irenekerubo9791 2 года назад

    H b d mom

  • @michaelmkungula3754
    @michaelmkungula3754 2 года назад +5

    Mama anavaa mapama duh

  • @tynamadega6759
    @tynamadega6759 2 года назад +6

    uyu mmama kalewa uyu mbna anavoongea haeleweki😂kutoka kutoka

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 года назад

    Kishaumana

  • @mariamumuniss1338
    @mariamumuniss1338 2 года назад +2

    Wa2 ambao hawana ela wanamakasiriko

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 2 года назад +9

    Huyu siku moja tu ambayo atakapo kuwa kitandani mahututi ndio atajuwa dunia tamu au mbaya mana ni muda wa kutubu dhambi zake ndio kwanza anakifanya mwehu

    • @heritier5119
      @heritier5119 2 года назад +1

      Pesa zake wacha ale ujana

    • @hadijaabdallah8614
      @hadijaabdallah8614 2 года назад

      Una uhakika hatubu dhana mbaya.

    • @modrinmaufi9142
      @modrinmaufi9142 2 года назад

      Hahaha 😂 huo ni wivu tu Sasa mambo ya kufa yanausika Nini 😂😂

    • @rosemahenge9071
      @rosemahenge9071 2 года назад

      Ww umejuaje kama hatubu🤣au unataka awe anaitisha press conference ili uone akitubu

    • @isabellamethod1842
      @isabellamethod1842 2 года назад

      Wew umetubu tuanzie hapo wivu tu acha makasiliko tafuta pesa kwahyo asifurahie kisa dhambi mkamilifu Mungu pekee

  • @Hawa-ed2hg
    @Hawa-ed2hg 2 года назад

    🤔🤔sisi tunatabika Oman hayupati pesa

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 2 года назад

      Mpambane mtapata 😂

  • @angelageofrey9756
    @angelageofrey9756 2 года назад +1

    😘

  • @nyamwekomatoke9951
    @nyamwekomatoke9951 2 года назад

    Babake Diamond Yuko wap hapo

  • @salmaayubunyoka5417
    @salmaayubunyoka5417 Год назад

    Haa kilakitukina mwisho mumeyuwapi sasa

  • @lexie6815
    @lexie6815 2 года назад +8

    OK sijawahi elewa hii tabia ya kutoa cash in this day and age surely. Ama it's TZ culture. Kuna bank transfer etc. Who walks with cash 😂

    • @zenadaudzena2849
      @zenadaudzena2849 2 года назад

      Show off Hao

    • @mohdykessy38
      @mohdykessy38 2 года назад +1

      Achane chuki watoto wa kiume ...hii ndio tamaduni zetu Tanzania ..kutuza pesa ...adi msibani lazima ubebe pesa ila kumfariji mfiwa

    • @nida4509
      @nida4509 2 года назад

      @@mohdykessy38 lies

  • @dggxxxxfgff3876
    @dggxxxxfgff3876 2 года назад +15

    Mama hija inakusubir usikalie dunia ni ukumbusho tu