TAZAMA DIAMOND ALIVYOMFANYIA ZUCHU SUPRISE YA BIRTHDAY/WAONESHA MAHABA YAO LIVE/AMPANDISHA PARACHUTI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 янв 2025

Комментарии • 156

  • @elizabethchabluma-zw5qz
    @elizabethchabluma-zw5qz Год назад +36

    Jamani zuu ndio maana watu wanakuone wivu sio kwa raha hizo mamii upendo wenu uwe wenye nguvu siku zote hbd my cute zuu

  • @selinamwambe5311
    @selinamwambe5311 Год назад +25

    🎉🎉🎉 happy birthday Zuuu Wangu na furahi kukuona Uko happy watakunya mwaka huu Diamond alisema.

  • @dorothwedson5959
    @dorothwedson5959 Год назад +7

    Nawapenda sana nyie watu Zuchu na Diamond Mwenyezi Mungu awalinde muwe na maisha marefu na mapenzi yenu yadumu

  • @Joycechacha-g2b
    @Joycechacha-g2b Год назад +57

    Diamond na zuchu nipeni like zangu ❤❤

    • @JohariMohamed-f6b
      @JohariMohamed-f6b Год назад +2

    • @aishaahmed269
      @aishaahmed269 6 месяцев назад

      Zuchu tunakuonea huruma kukutana na pepo lamahaba hilolinakupotezea wakati wako wa thamani but bi mkubwa wako hajamuamulia tuuu huyo diamond

  • @agbordorothy4901
    @agbordorothy4901 Год назад +33

    Wow, that's the king and the queen.Our queen is speechless.Tears of joy. Haters come and celebrate the queen's birthday ,surprised by the King.Love is sweet ooh.what God has joined together let no one put asunder says the Lord .Enjoy your surprise and happy birthday again and again my coucou.🎉❤❤❤

  • @lulumalima1739
    @lulumalima1739 Год назад +4

    Ok nice, very romantic.
    I really hope all this has a good fairy tale ending. I wish you well our song bird everlasting love from a player.
    Am glad upo happy honeyyyy

  • @rainesmulokozi543
    @rainesmulokozi543 Год назад +7

    Wachawi wameumbuka, kula maisha Zuchu wetuuuuu🎉

  • @AphroditeMushi
    @AphroditeMushi Год назад +10

    Muda umefika wa kumuona Queen Zuchu kwenye Young famous Film🎉🙏🤝

  • @neemakalugila7674
    @neemakalugila7674 Год назад +11

    You made my day, with love from Holland 🇳🇱 ❤

  • @swesschao3095
    @swesschao3095 Год назад +8

    Nothing gonna change my love for you iyo song iko dope

  • @christianmbappe8900
    @christianmbappe8900 Год назад +1

    I agree. This is a treat fit only for a sweetheart. No doubt. We celebrate you two!

  • @carolynewamuyu1155
    @carolynewamuyu1155 Год назад +8

    Hapa wacha tuseme tu ukweli after wema zuchu ndiye wapili kupenda diamond mapenzi ya ukweli ❤

  • @rashidfatma2137
    @rashidfatma2137 5 месяцев назад

    Maasha'Allah!Allah akulindeni Na Husda, ajaaliyeni Penzi la Hala!🎉❤❤

  • @teclakagai754
    @teclakagai754 Год назад +14

    Zuchuu is speechless 😅😅😅😅😅😅

  • @HIDAYASAID-ue1df
    @HIDAYASAID-ue1df Год назад +5

    Sipend kuwa mnafk mie kikwel mnapendeza san❤

  • @Lovelyshanyz-gg7pl
    @Lovelyshanyz-gg7pl 5 месяцев назад +1

    Naskia raha zuchu kakicheza happy birthday habibi zuchu

  • @TopTop-vo6pe
    @TopTop-vo6pe 5 месяцев назад

    Mashalla mungu alilinde penzi lenu❤

  • @neemajames5137
    @neemajames5137 Год назад +2

    Dai mstarabu sana ana upendo sana wanaume kama hawa wako wachache sana wenye kujua uthamani wa mwanamke. Kapo nzuri imevunja rekodi.❤❤

  • @salmakiti1517
    @salmakiti1517 Год назад +1

    ❤❤❤Mungu azidi kuwalinda na mzidi kupendana

  • @OliveineSmith
    @OliveineSmith 9 месяцев назад

    This man knows how to treat a lady, the song says it all❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @hasinaabdallahsaid9013
    @hasinaabdallahsaid9013 Год назад +14

    uzur wa mwanamke sio sura wala makalio,kuna vitu wanaume huwa wanavipenda zaid kutoka kwetu akili zetu na unyenyekevu na kamwee hakuna mwanaume anaetulia ila kuna wanaume wenye kuheshimu mwenza wake hengera Naseeb hongera Zuhura

    • @NiceWatson-y7e
      @NiceWatson-y7e Год назад +1

      Kabisa dear umenena

    • @adaboychibu1659
      @adaboychibu1659 Год назад +4

      Ole wenu wale mnaoshangilia na kuikaribia zinaa mana kwa Mungu mtaisabiwa kwenye viumbe walio laaniwa!kama unampenda kweli na una kila kitu ambacho kinakufanya huna sababu ya kuto kuoa,sasa kwanini usioe!mbona sisi tu pangu pakavu tumeoa,kwake shida ipo wap!tuwaombee na tujiombee nafsi zetu kwa Mungu tuwe na mwisho mwema!

    • @jackien1037
      @jackien1037 Год назад

      U said it so good ma dear 👌👌

    • @selinenyonje9116
      @selinenyonje9116 Год назад

      2they are acting young and famous video.:23 2:24 2:26 2:32 2:32

    • @blessmimi
      @blessmimi Год назад +1

      @@selinenyonje9116they wouldn’t have published if it was for the show due to legal contracts . Please use y’all brain

  • @blessmimi
    @blessmimi Год назад +1

    Elon Musk,Jeff Bezzo ,Donald Trump all got with humble normal woman . Zuchu is natural,humble good fit for Simba . I hope Simba continues to cherish and love her

  • @UcutiyabakireRiziki
    @UcutiyabakireRiziki Год назад +3

    Nawapenda sana❤❤❤❤🎉🎉

  • @TopTop-vo6pe
    @TopTop-vo6pe 8 месяцев назад +1

    Haki wanapendana jamani ❤❤❤

  • @eunicenjire7914
    @eunicenjire7914 Год назад +2

    Msije mkaachana nyinyi 🙏.... best love birds ever 😘😘😘

  • @rosekalimsenga2884
    @rosekalimsenga2884 Год назад +1

    Yaani Hawa ni Beyonce na Jzee wetu 🥰🥰

  • @jamesmorice2171
    @jamesmorice2171 3 месяца назад

    Nyie waongo tuu mungu awabarik

  • @mwanaiddi9660
    @mwanaiddi9660 Год назад +2

    Upewe Nini zuchu hongera

  • @HabibaHassan-t2u
    @HabibaHassan-t2u Год назад +1

    MashaAllah natamani na Mimi nipendwe hivi😢😢

  • @elizabethnguma3379
    @elizabethnguma3379 Год назад +3

    Kula Raha mama,ni wakati wako 🎉🎉🎉

  • @khadijahwanjiku
    @khadijahwanjiku Год назад +4

    Diamond poa kabisa hakuna kitu kizuri kama chali kuku treat na pesa Zak zone,huyu ndio mwanaume kudos diamond

  • @SAUDAHNAMULINDWA-dy8te
    @SAUDAHNAMULINDWA-dy8te Год назад +1

    Nothing is gonna change my love for you. That's a statement.

  • @myriamzitoni6409
    @myriamzitoni6409 Год назад +1

    Amour fou et réel. Je vs souhaite le bonheur

  • @mwanahkombo9496
    @mwanahkombo9496 Год назад

    Yaani nawapenda Hadi naumia❤❤❤❤

  • @morjanoman5181
    @morjanoman5181 Год назад

    Nakushauli zuchu. Usinunue rangi jiachie Ivo ivo

  • @rahimarahima8962
    @rahimarahima8962 Год назад +2

    Nnawapenda wambea kazi kwenu

  • @morjanoman5181
    @morjanoman5181 Год назад +2

    Diamond. Na zuchu ndio wamependezeana kuishi pamoja mume na mke.

  • @MariamaSillah-yj4uc
    @MariamaSillah-yj4uc 9 месяцев назад +1

    Zuchu i love you so much but i am a gambian ❤❤❤❤❤❤❤😍👑💍💗

  • @irankunda4121
    @irankunda4121 Год назад +1

    Kaka yangu huyo ndo muke wako munapendezan Mwenye anakupenda kwa dathi siyo wale warikupendea bu star muwowe

    • @Lizawansima
      @Lizawansima 9 месяцев назад

      Muowe uyu bitu ana mabo ya❤❤❤❤❤❤❤❤ umalaya kama wale.we ngine

  • @HadiaMfaki
    @HadiaMfaki 6 месяцев назад

    Mwapendezana mashallah

  • @lulusenzia4807
    @lulusenzia4807 Год назад

    Nimeipenda hiyooooo nyie chongeni tu

  • @wivinemwamini9110
    @wivinemwamini9110 Год назад +2

    Wenyemumecheka zuchu hehenakojowa❤😂

  • @TresorZakwani
    @TresorZakwani 8 месяцев назад

    Jani nikiwaona napagawa nawapenda sana

  • @everlynewabomba6247
    @everlynewabomba6247 Год назад

    wow so amazing

  • @joyhylton7901
    @joyhylton7901 7 месяцев назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Zuchu and Diamond

  • @fatumazakalia-yx4kg
    @fatumazakalia-yx4kg Год назад

    Wa nyuma Kawa wa mbele na wambele Kawa wa nyuma zuchu anavyokazana

  • @Abuuhamda256
    @Abuuhamda256 Год назад +2

    Platnumz

  • @MwanahamisiYua-s3h
    @MwanahamisiYua-s3h Год назад +1

    Enjoy mama

  • @janetymatola6639
    @janetymatola6639 Год назад +2

    Hivi kwanini huchaguahi ngio za kuvaa jamani hii umetisha juu gold gauni ya kijuvjjivu kwanini Xuchu ipo hivyo

  • @DaynesIsrael
    @DaynesIsrael Год назад

    Wataisama
    🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @angeltv9718
    @angeltv9718 4 месяца назад

    Nawapendasananyiewatuzuchunadiamondmwenyezimunguawalindemuwenamaishamarefunamapenziyenuyadumu❤❤

  • @SophiaPrety-fz4wy
    @SophiaPrety-fz4wy Год назад

    Nice ❤️❤️❤️

  • @zawadichalale4047
    @zawadichalale4047 Год назад +3

    Hilo shati la diamond hata nikipewa bure nakataa hata hiyo suruali yaani rangi na jinsi zilivyo loh! Fassion bwana! Achana nazo kabisa hayo si matambala kabisa!

  • @aminamussa5122
    @aminamussa5122 10 месяцев назад

    When she told them to make sure their names are spelled correct though 😂😂 shiiit I would be sorry I pass im not getting in there 😂.

  • @MathaMponela-yn2cm
    @MathaMponela-yn2cm Год назад

    Mvumilivu hula mbivu mwachen zuu was watu hahangaiki hovyo Hana skendo chafu katulia na mmoja tu

  • @elizabethchabluma-zw5qz
    @elizabethchabluma-zw5qz Год назад +7

    Zuchu wakele wenye maumbile yao wanazani uzuri wa mwanamke makalio penda bizuu

  • @pendochimammy5013
    @pendochimammy5013 Год назад +2

    Muoe jamani diamond huyo mtoto

  • @aishaahmed5028
    @aishaahmed5028 Год назад +2

    Happy birthday our queen ❤❤❤

  • @rukiaathumanathuman7875
    @rukiaathumanathuman7875 Год назад

    Enjoy in raha Jeni wenyewe maisha mfupi

  • @tabiaramadhani2348
    @tabiaramadhani2348 Год назад

    KINGINE KINGENE KINA NYOTA KALI

  • @fatumajuma9441
    @fatumajuma9441 7 месяцев назад

    Me ako kamwimbo tyu nothng gonna chang ma lov fr you je na siku ukichange tukufanyaje???

  • @LindaMlewa
    @LindaMlewa Год назад

    so perfect

  • @mesukanku6016
    @mesukanku6016 Год назад

    ZUUUUU C'EST DU CHAMPAGNE

  • @KimZoo-gx7do
    @KimZoo-gx7do Год назад

    Waooooh ila ka ZUCHU kam sweet jaman Kana shine

  • @MaryamHajj-ds8hl
    @MaryamHajj-ds8hl Год назад +1

    Leo raha ❤

  • @UwezoBongwa
    @UwezoBongwa 9 дней назад

    Good enjoy

  • @HIDAYASAID-ue1df
    @HIDAYASAID-ue1df Год назад +1

    😢😢pesa shikamoo

    • @MamaG_store
      @MamaG_store Год назад +1

      😂😂😂😂😂 marahaba

  • @KhadijaMohammed-z8c
    @KhadijaMohammed-z8c Год назад

    Pindi pale muislamu unapo fulahia zinaha kitabu chako kina andikwa uliifulahia mungu atusamehe

  • @gloryvictor7013
    @gloryvictor7013 Год назад +2

    ❤❤❤❤

  • @elizabethnaih5455
    @elizabethnaih5455 Год назад

    Jamanii hadi kamelia

  • @JoshuaNyirenda-f9l
    @JoshuaNyirenda-f9l Год назад

    ❤❤ loves 😂😂

  • @wivinemwamini9110
    @wivinemwamini9110 Год назад +2

    Mutu akipedwa usiseme mubaya mumewake akamupeda zuchu muachemaneno

  • @magiehermess9949
    @magiehermess9949 Год назад

    Wenye wivu mtasubiri sana

  • @mesukanku6016
    @mesukanku6016 Год назад +1

    VIS TA VIE AVEC L'HOMME QUE C'EST TON CHOIX SOIS HEUREUSE

  • @jumabikyeombe3392
    @jumabikyeombe3392 Год назад +1

    🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️

  • @OliveineSmith
    @OliveineSmith 9 месяцев назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @AdelphineUWIMANA-f3z
    @AdelphineUWIMANA-f3z 2 месяца назад

    Kumbe hakana makalio

  • @MamaG_store
    @MamaG_store Год назад +2

    Huyo anayepuliza Hilo tarumbeta Nampa pole! 😂😂

  • @waheeda5138
    @waheeda5138 Год назад +2

    Uyo akiolew ndo museme anapendw lakn hapo hapendw anatiw kweny Moto mtoto mzur wa kiislam anafany laana kama hiz haya kunamwsh

    • @husnaarafat2725
      @husnaarafat2725 Год назад +1

      Kabisa akimwoa ndo tutajua kama anampenda bt sai wanazini

    • @helenmkodo1409
      @helenmkodo1409 Год назад +2

      But Ni wachache hupata hizi moment😂😂😂😂😂😂

    • @nastedave9842
      @nastedave9842 Год назад +1

      Ameoa wangapi mbeleni and he left them all 😀

  • @sureiamboo
    @sureiamboo Год назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @wivinemwamini9110
    @wivinemwamini9110 Год назад +1

    Mondi anajuwabila zuchu hakunadrama❤😂

  • @YusufadanYuu
    @YusufadanYuu Год назад

    Kama kweli akuowe basi tushachoka kuona zinaaa zenu

  • @dorothynzovah8992
    @dorothynzovah8992 4 месяца назад

    Who dresses diamond?? 😳 😳

  • @visittanzania8998
    @visittanzania8998 Год назад +1

    Iv kwann haupendezag we dad

  • @MamaG_store
    @MamaG_store Год назад

    Ivi hayo ma balloon kwann wanayoyaongoza ni wazungu jamani? Sijawahi kuona m bongo analiendesha since way back😂

  • @SaidiMkwavi-v5p
    @SaidiMkwavi-v5p Год назад

    Cape Town iyoo

  • @FlorenceHudley
    @FlorenceHudley Год назад +1

    Wanashoot reality show ya Netflix

  • @morjanoman5181
    @morjanoman5181 Год назад

    Zuchu kwaza anarangi ya kawaida Yani ata bila mkorogo ni mrembo tu

  • @AlexisNdayishimiye-ni6nw
    @AlexisNdayishimiye-ni6nw 6 месяцев назад

    Acha ndoto ,Diamond haesabiwi kwa nguo

  • @magiehermess9949
    @magiehermess9949 Год назад

    Naipenda hii couple, wale wa makalio na mikorogo kaeni kando

  • @SaudaMalande
    @SaudaMalande 7 месяцев назад

    Kwaraha. Zenu. Vipenzi

  • @christianmbappe8900
    @christianmbappe8900 Год назад +1

    Lakini Zuchu, si ujiongezee mwili kidogo uzito?! Otherwise we’re happy for you.

  • @mariasalomemelchiorkaigaru1974
    @mariasalomemelchiorkaigaru1974 Год назад +2

    rahaaaa

  • @mukeshimanarose1334
    @mukeshimanarose1334 Год назад

    ❤❤🎉💃🇧🇮

  • @FatmaFtoom-b4f
    @FatmaFtoom-b4f Год назад

    Anatufedhehesh wazenj

  • @lorettamangalawa394
    @lorettamangalawa394 Год назад

    Who is that local babe...can't even hold a wine glass

  • @hassanadam6971
    @hassanadam6971 Год назад +3

    So it’s real😂

  • @janetymatola6639
    @janetymatola6639 Год назад +1

    Ulikosa nguo ya kuvaa

  • @janetymatola6639
    @janetymatola6639 Год назад +1

    Zuhura hiyo nguo uliyovas sijaipenda imekuonyesha umbile lako lipo vibaya uwe unavailable nguo kuendana na body yako

  • @alhamdullilla5108
    @alhamdullilla5108 Год назад +2

    Watazaaa nyanyiiiii😅😅😅😅 hawa wawili😅😅😅😅