Baarak Allah sister Amina...Allah Akbar, dumisha swala na ibada...Na watoto hata hao wakubwa watakuelewa tu pole pole biidhnillah, tuzidi kuomba dua...Hakuna aliekamilika, na mwisho wa vitendo vyetu ndio vinavyozingatiwa 🎉
Kilakitu kinasababu. Ungekufa kafili sababu ya ndoa. Subuhanallah wanawake wakiislam tuwe makini hilililotokea ni. Funzo kwetu. Allah anakupenda dada rudi kwa uislam mcheAllah muombe msamaa Allah. Jistili dumisha swala5 na lstighifali kwa wingi. Allah atakusamee utapata mumemwema lnshaallah❤❤Amina
Hapo ndo nawapenda wazungu, kwanza kwenye nyumba angebaki mke kwa kua yuko na watoto na ikibidi kuuza wanagawa 50% kila kitu eti apewe laki na nusu kwa mwezi khaa na mali mmezitafuta kiwa pamoja apana usikubali
Ndoa Ina vipindi vitatu,ndoa ni Kama jua,Kuna jua la asubuhi ni zuri mno,jua la mchana ni Kali mno ukiweza kulivumilia utàkutana na jua la jioni ambalo ni zuri pia,hayo ndo maisha ya ndoa yanàhitaji uvumilivu Mungu àtusaidie
Inalillah wainailah rajioun Allah akupe umri mrefu wenye kheir tuweze kutekelezaa ulio tuamrisha 😢😢😢dada rudi kwa Allah kikweli kweli kwanza anza na stara,simamisha swala tano,funga mwezi mtukufu na amka usiku uwombe mahfra umemkosea saana muumba wako tena kwa zahiri basi tubia kweli 😢😢😢😢😢😢😢
Dada mimi nitakuwa kinyume kidogo nilikuwa naomba ungeachana nae tu na hizi Mali mwachie , kuna dada huku kwetu amepambana kama wewe mpaka akafanikiwa na mgao ukapita baada ya muda mwanaume kaja kumpasua pasua na shoka na kumuua hivo kwa ushauri wangu mwanaume akinga'ang'ania Mali mlozozitafuta mwachie ubaki na roho yako Mungu atakusaidia
You guys is not a Joke..I think was about two or one years ago she was interviewed na Mwanamke mmoja hivi nikamwambia Amina really Love u so so muchly about same one replied akaniambia ana mume wake na anampenda sana na mimi nikamwambia sawa nitamsubiri kama wao wanavyomsubiri Zaylisa...I'm so happy yametimia...
Pesa laki na nusu ni nyingi ila tatizo ustaa yaani unaishi nyumba ya gharama sana mfano hyo school bus na code ya nyumba yaani lazima mutashindana tu ika kimaisha ya kimaskini laki na nusu nyingi ila jitahidini upate haki yako in Sha Allah
Acha hizo wewe dini ni dini Kwani ina Kuhusu nini kwa yeye kabadilisha dini acha unafki ? Hata angekuwa ni mwanao na ameshakuwa mtu mzima huwezi kumuamria nini cha kufanya.
Hawa ndo wanawake wavumilivu na hawategemei wanaume ila changamoto za maisha ndo watu wanaamua kuachana miaka 16mingi sio kwamba hawavutani ila wanawake wavumilivu jamaniii khaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhh.
Jasho litakutoka Mkiambiwa Msionyeshe Maendeleo kwenye mitandao Hamtaki hii ndo Faida Nyumba Imeisha Matokeo yake Umekwenda kupanga Ukitaka Rudi Ukalee Watoto😆😆😆
Hata kama mtu anaamua kukuacha hakupendi tena na una watoto wake. Si afanye tu kwa ajili ya watoto akupe nyumba, chakula na mahitaji ya shule kwa watoto (ada) muhimu sana. Yaani akupe mahitaji yote ya msingi mpaka watoto watakapokuwa wakubwa wajitegemee. Au akupe mtaji pia ufanye shughuli za kupata kipato cha kila siku huo ndo ubinadamu. Kama ameshindwa kuwa mume, baba wa watoto basi atleast ajitahidi chuki aweke kando abaki kuwa binadamu mwenye utu afanye wajibu wake watoto wasiteseke hawahusiani na ugomvi wenu.
Ila wanqume jamni jamni baadhi yao changamoto maana ukipata ambeye anapesa mateso ndo hayo ukipata ambae hana pesa hataki kujituma kwa kila kitu wewe mdoupambanae yeye ale yani mtihani Mungu tusaidiye tupate wanaume wenye uchungu na famiriya inauma sana mimi sasa hivi napambana uku omn nimedai taraka nilichoka nikqbeba wanangu na kuanzisha maisha mapya na toka chekechea adi sasa wapo chuo mwingine mdogo fourm one namshukuru Mungu kunipa ujasiri na akiri yautafutaji toka nikiwa mdogo🤲🤲🤲
Aamiin dada🤲🤲🤲mengine siyo ata yakusema nikumshukuru MUNGU Kwa kila khali....nakunileta Marecan kweli nije kupambana na maisha yangu Alhamdulillah...mimi nahamu yawanaume sinaga tena kweli 😂😂😂😂 mwenyezi MUNGU anisamehe.
Kamwe! Sitabadili dini yangu kwa kumfuata mwanaume! Mwanaume huyu huyu ninayemjua mimi? Nikamfuate imani yake! Siyo kweli. Nitabaki na Ukatoliki wangu hadi kufa.
Hivi una watoto wanne mume akuache yenye akapange wewe uangaike na watoto sheria iko wapi sio sawa,ila cha zaidi pambana na kazi, wanaume wengi wana roho mbaya
Duh, 😢😢 ila wanaume hawa nyie mi mwenzenu nimepewa nyumba na gari na mama mkwe wangu yani kaniambia niandikishe jina langu maana mwanae anamjuwa anamitoto ya nje ya ndoa kama yote . sasa mama mkwe kaniambia niwe na changu na mwanangu mapemaa, ila sasa mwanaume anavisa huyo balaa mi ht simjali apuyange adi uzeeni😂😂😂
Ndomana nimekimbilia oman nimetafuta changu kumamamae stak upumbavu na mume nae natamba nae 😊 tukiachana kila mtu na chake na chakwakwe mwanangu atakuwepo.....et nilipokuja oman mama mkwe akajua ntajenga kweny kiwanja cha mwanae. ....sa hiv hawanipenddddddddddd nimejenga kwangu
Oooh hongera dear hapo kwa kutokupendwa sishangai kabisa Maan watu ndio walivyo...ujenge kwao wakuzulumu na umepigikaa na hawajui maumivu ya pesa yakoo aah weee nimependa...na huyo mume hakuachii coz unajiweza una nyumba sasa kipii anakusumbua nacho komaa hivyohivyo halooooo😂
Yan mume nae natamba nae mjengo upo unapumua😂😂wanakuzulumu peupe sjataka masihara km rahis na wao waje mma mkwe atamiona hiv hiv na nikirud nipo live a mwanae akitaka nimfanyie mpango aje na yeye amjengeee mwanae@@VERENICEMICHAELY
Bora ulivo jiongeza * nilikua na jirani yangu walikubaliana na muumewe akatafute maisha oman * mwanamke anafanya kz anamtumia muumewe hela ana jenga * mwanamme kajenga kaandikisha jina lake * mwanamke kurud wamekaa miezi 3 wamegombana wameachana * mwanamme kaowa mke mwengine kamalizia nyumba saiv anaishi na mke mwengine * yule alie tafuta wa mwanzo amerud kijijini* amefuatilia amefeli mn nyumba kiwanya kila kitu ushahid ni wa mwanamme
Ndy mkome kuingia kwenye mahusiano yasio bora hd mama yako alichukia kutoka kwenye dini yako ulimkosea sana mama yako mzazi ndoa km hizo huwa hazina baraka
Baarak Allah sister Amina...Allah Akbar, dumisha swala na ibada...Na watoto hata hao wakubwa watakuelewa tu pole pole biidhnillah, tuzidi kuomba dua...Hakuna aliekamilika, na mwisho wa vitendo vyetu ndio vinavyozingatiwa 🎉
😢😢😢Aisha tafuta pesa sana ili ufanikiwe akitokea mume utaolewa lakin utakuwa na mali zako❤❤Najipenda mm🎉
Nimekupenda bure
@ShufaaSalum-ig4zg Asante baby tupendane kwa ajili Ya Allah🥰😘
Kilakitu kinasababu. Ungekufa kafili sababu ya ndoa. Subuhanallah wanawake wakiislam tuwe makini hilililotokea ni. Funzo kwetu. Allah anakupenda dada rudi kwa uislam mcheAllah muombe msamaa Allah. Jistili dumisha swala5 na lstighifali kwa wingi. Allah atakusamee utapata mumemwema lnshaallah❤❤Amina
Hapo mwisho ndio umeharibu 'mwanaume gani atakaekubali kulea watoto 4
Ubinafsi TU😏😏😏
MashaAllah kumbe ushaludi kwenye uislamu ❤❤❤🎉🎉🎉🎉muombe sana allah akusamehe🎉🎉🎉🎉nimefurahi
Kamwe sitabadili dini yangu kisa mwanaume...ana nini cha mno labda! Mwenyezi Mungu anijaalie kheri ktk imani yangu..
🎉🎉🎉
😭😭😭
Mashallah umeongea vizur sana ss sote wa allah na kwake tutarejea allah huakbar
Subhanallah kumbe ni Ritardi😮😮😮😮Astakhafirulah Astakhafirulah Astakhafirulah Astakhafirulah Astakhafirulah 😢
Pole Sana dada yangu Mwenyenzi Mungu atakutia nguvu utalea wtt watakua tu
Pole mwenyezi mungu akusimamie kwahili naimani utapata aliesahihi inakatisha tamaa kabisaaaa yautafutaji mawazo ukiwanamtu
Ila wanaume 🙌.
Sa' mtu anamzalisha mwanamke watoto wanne halafu anamuacha,nani amchukue sasa?? Matumizi laki na nusu kwa mwezi, inatosha nini??Dah😢😢😢
Akomae apewe mali zake na watoto yeye akaanze upya na maisha na uyo anaye mchanganya,, watapata mali tu. Na uyo ampendae
Hapo ndo nawapenda wazungu, kwanza kwenye nyumba angebaki mke kwa kua yuko na watoto na ikibidi kuuza wanagawa 50% kila kitu eti apewe laki na nusu kwa mwezi khaa na mali mmezitafuta kiwa pamoja apana usikubali
Ndoa Ina vipindi vitatu,ndoa ni Kama jua,Kuna jua la asubuhi ni zuri mno,jua la mchana ni Kali mno ukiweza kulivumilia utàkutana na jua la jioni ambalo ni zuri pia,hayo ndo maisha ya ndoa yanàhitaji uvumilivu Mungu àtusaidie
Tanzania mahakama haina huruma kabisa
Unaakl san
Nimekupenda nashukur kw maneno yako ni funzo maana wanawake tunapitia changamoto sana ktk ndoa daaah mung asaidie🙏
Kher inatokana kwenye tumbo la shari. Mshukuru Allah kakueka mpaka leo akili yako ikarudi na usirudie kurtadi. Allah akulinde na akuhifadhi
Aamiin
Aamiina rabi
Amiyn
Ameen Yarabi 🙏
Kwa kweli Hawa watu wanakuwa na roho mbaya utadhani hata haujawi mfurahisha
Inalillah wainailah rajioun Allah akupe umri mrefu wenye kheir tuweze kutekelezaa ulio tuamrisha 😢😢😢dada rudi kwa Allah kikweli kweli kwanza anza na stara,simamisha swala tano,funga mwezi mtukufu na amka usiku uwombe mahfra umemkosea saana muumba wako tena kwa zahiri basi tubia kweli 😢😢😢😢😢😢😢
Haya malaika mwema kashuka😂😂😂😂
Duh, pole sana kweli hapo kunasomething behind
Ndo madhara ya kubadili dini hayo kumkana mungu wako kwa sababu ya ndoa wengi wanapatwa na mitihani mh
Dada mimi nitakuwa kinyume kidogo nilikuwa naomba ungeachana nae tu na hizi Mali mwachie , kuna dada huku kwetu amepambana kama wewe mpaka akafanikiwa na mgao ukapita baada ya muda mwanaume kaja kumpasua pasua na shoka na kumuua hivo kwa ushauri wangu mwanaume akinga'ang'ania Mali mlozozitafuta mwachie ubaki na roho yako Mungu atakusaidia
Nalo neno yaan labda uhame nchi aise mwingine anaeza kukupiga mlogo mmoja takatifu
Pole daa Amina mungu atakufanyiya wepesi
Kwanza Pole sana Amina haikuwa RIZKI...Kama utakumbuka nilikwambia kuwa nitakusubiri naona sasa yametia...Insha'Allah nitakutafuta........
😢
😂😂😂😂
😂😂😂😂
You guys is not a Joke..I think was about two or one years ago she was interviewed na Mwanamke mmoja hivi nikamwambia Amina really Love u so so muchly about same one replied akaniambia ana mume wake na anampenda sana na mimi nikamwambia sawa nitamsubiri kama wao wanavyomsubiri Zaylisa...I'm so happy yametimia...
Please please guys....Jamani kwa hisani yenu naombeni nitafutieni namba ya Amina....Asanteni sana...
honger ww hata mama mkwe anakujar mshukuru Mungu mama mkwe wako anahofu ya Mungu
we dada huwa nakupenda unaigizaga vizuri sauti yako na vile unavyoongeaga haraka haraka kama cherehani.Pole kwa changamoto za maisha mtumainie Mungu
🤣🤣🤣🤣
Wangekuachia hata nyumba mwee watoto 4!wanaume Hawana huruma😢
Yeye kaomba taraka Mme hakutaka
Huku Burundi kama niya kiserikale ni pasu kwa pasu naakiwa nimfanyakazi wa serikali na mshahara nusu yako unaenda kuichukuwa kila mwezi
Mungu akufanyie wepes inauma
Unaporitadi haimaanishi uliritadi kwa kuolewa au kwa Mungu. Allah akuongoze kwenye haki na akujaalie uwe mwenye kutubia kabla ya mauti, amiin.
Allah bariq🙏
Pesa laki na nusu ni nyingi ila tatizo ustaa yaani unaishi nyumba ya gharama sana mfano hyo school bus na code ya nyumba yaani lazima mutashindana tu ika kimaisha ya kimaskini laki na nusu nyingi ila jitahidini upate haki yako in Sha Allah
Ila wanaume hawa daah,pole sana Wajna wangu.
Allah akuhifadhi wew dada
Pole sana ndio maana mm nimejenga nyumba yngu mwenyewe sitaki kushirikiana na mwanaume
Ht mm nafikiria hivo mn nina changamoto kubwa kwenye ndoa
@@AsiaOmar-mr7bktunaendelea kujifunza ndugu zangu kupitia kwenu
Ukishajenga nyumba ni ya mwanamke na watoto.tutafute mwanasheria mzuri huyo mwanamme hatoamini macho yao
Duh watu wanapenda kumchezea mwenyez mungu
Subhanallah hasara kubwa dada kubadili dini kwa ajili ya mwananme mungu anakupiga bakora hiyo kuritadi
Kabisaaaa
Acha hizo wewe dini ni dini Kwani ina Kuhusu nini kwa yeye kabadilisha dini acha unafki ? Hata angekuwa ni mwanao na ameshakuwa mtu mzima huwezi kumuamria nini cha kufanya.
Hujielew wewe mungu ni moja
Na mnaopigwa viboko huko huko mliko vipi?
@@KhadijaSalum-nf5mf dini kubadli sio shda
Ndiomana nimejenga kbla ,nikiolewa nikizaa akileta shoo kma ako na vitu amptie mtoto tuongeze juju kwa juu😂😂😂
Daaaaaaah huyu shetani wa ndoa..jamn jamn...polee dadaangu...msigawane...naomba jishushe tu muendelee kuishi....plz plz....
Inategemea na mwanaume
Pole sana mdogo angu. Da baazi ya wanaume ni mzigo hawafai anapo acha watt kwako anategemea akaanze tena kuzaa???
Dah..mgevumiliana sababu ya watoto
mapenz yananguvu mtu unabadil mpk dini😂😂😂bdae ndo unastukaa😂😂
Usikubali amina. Kaza buti pambania mali yako
Uwiiiiii hii ni dhambi kabisa da mie tungegawana majengo ya serikali,
nimekuelewa hap mwisho na mwenyez mungu akuongoze
Wasije wakaniwekeya Misaraba kwenye kichwa😂😂😂.
Amina nakupenda sana but Mungu akusaidie mnoo
Pole amina wanaume sio watu daaah
watot ampe yey alafu atumie yeye lak nanusu😢😢😢
Akifanya hivyo ataumiza watoto na njaa wanaume wengi hawjuwi kulea watoto acha apambane na watoto wake
We nae unataka watoto wake wawe machokaraa
Dada umezaa au Bado n binti
😅😅😅 nacheka kwauchungu
Pole dada amina
😂😂😂 ndio maana nawaowa waalafu nawaache wanaume wapumbavu mno 😅😅😅😅sichek nawowote...,,,ukinizingua toka kwangu 😂😂😂😂.minyooshoo tuu.
Kabisa mi pia nawachezea nyoko zao
Mnajidanganya mwanaume huwezi mchezea yy ata awe mzee soko liko pale pale na pia habebi mimba
@@SalumMusa-f5laiseee mnachezewa sana sana na kufa mapema juuuu
Mungu atakusaidia mie nakuamini unaweza 2 kulea watoto wako
Sheria ya Tanzania alooooh poooo
Nimepita pale wanapo record kombolela part2 mtoni kwa azizi ali jirani na rafiki yangu ila sijwahi kumuona, naomba anipigie nasisitiza
Hawa ndo wanawake wavumilivu na hawategemei wanaume ila changamoto za maisha ndo watu wanaamua kuachana miaka 16mingi sio kwamba hawavutani ila wanawake wavumilivu jamaniii khaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhh.
Haa umeritaz umtafute shekhe akufahamishe jinsi ya kurudi tena uislam
Ndio mana sitamani tena ndoa ewe Mungu wangu nipe umri mrefu nilee wanangu 😢🤲🏻
Kwahiyo upo kwenye ndoa ao ushatokaaa
Usiseme Ivo mdogo wangu, waume hawafanani
Mie allaah akinitoa hapa nilipo ndio nimemaliza ndoa ni ngumu sana wanaume wanapenda ubabe
@@FakihBakari-vt5tz weachatuuu
Aamiin ndugu yangu na mimi nimwenzako...ALLAH atuwezeshe tuleye wanetu🤲
Dah kaka sana leoasemeje
Jasho litakutoka Mkiambiwa Msionyeshe Maendeleo kwenye mitandao Hamtaki hii ndo Faida Nyumba Imeisha Matokeo yake Umekwenda kupanga Ukitaka Rudi Ukalee Watoto😆😆😆
Ila mahakama🙌😢
Kumbe ni dada wa dullah makabila 😳
Mwenyezi akufanyie wepesi lafiki yangu wengu tunatia hayo wewe so wakwanza
Hata kama mtu anaamua kukuacha hakupendi tena na una watoto wake. Si afanye tu kwa ajili ya watoto akupe nyumba, chakula na mahitaji ya shule kwa watoto (ada) muhimu sana. Yaani akupe mahitaji yote ya msingi mpaka watoto watakapokuwa wakubwa wajitegemee. Au akupe mtaji pia ufanye shughuli za kupata kipato cha kila siku huo ndo ubinadamu.
Kama ameshindwa kuwa mume, baba wa watoto basi atleast ajitahidi chuki aweke kando abaki kuwa binadamu mwenye utu afanye wajibu wake watoto wasiteseke hawahusiani na ugomvi wenu.
Silimu upya dada angu nakupenda kwaajili ya Allah
Ila wanqume jamni jamni baadhi yao changamoto maana ukipata ambeye anapesa mateso ndo hayo ukipata ambae hana pesa hataki kujituma kwa kila kitu wewe mdoupambanae yeye ale yani mtihani Mungu tusaidiye tupate wanaume wenye uchungu na famiriya inauma sana mimi sasa hivi napambana uku omn nimedai taraka nilichoka nikqbeba wanangu na kuanzisha maisha mapya na toka chekechea adi sasa wapo chuo mwingine mdogo fourm one namshukuru Mungu kunipa ujasiri na akiri yautafutaji toka nikiwa mdogo🤲🤲🤲
Aamiin dada🤲🤲🤲mengine siyo ata yakusema nikumshukuru MUNGU Kwa kila khali....nakunileta Marecan kweli nije kupambana na maisha yangu Alhamdulillah...mimi nahamu yawanaume sinaga tena kweli 😂😂😂😂 mwenyezi MUNGU anisamehe.
@ashuramanya9282 Mungu akupiganiye inshaallah
Ni ubinadamu lakini wengi tunayapitia haya Sema kwa vile hatujulikani ndo maana hayajulikani
Naomba uyu dada apewe iyo nyumba kwa sababu ya watoto mana sio haki hata kidogo
Shelia za tz 😢😢
Yan mm namuelewa huyu dada yan kuna sehem inafika unafika mwisho na ukifika mwisho yan hakuna kugeuka nyuma kwakwel mwisho ni mwisho
Navile huyu dada ana roho safi
Ndoa hz daah unavumilia www mpaka basi mtu haoni umuhim wako kbs ila Allah atusaidie sisi wanawake
Unaebaki na watoto ndo ubaki kwenye nyumba
Dada yangu wanaume wanasumbua sana kichwA
Bado mnanishauli niolewe 😢 siwez
Mashaaallah
ndoa ni utumwa tuu yani unaolewa na mwanaume unakaa miaka 5 au 10 alafu unaachwa ata cha maana upati unaangaika na watoto tuu alafu mwanaume anakuacha
Amina makabila subiri nikuoe mie nilikwambia siku nyingi 😂😂😂
Bora😂😂😂😂
Duhhhhhh tunakosea Sana Yani huyo mwamba hataki uigize
Me ndo maana naogopa ndoa 😂 nalea katoto changu tu uwiiii
Uyu dada yake dula Ana Dini uyu
Mbona haki haijatendeka?
Duuu wanaume hawa ni noma sana
Kumbe ulibadili Dini 😢😢
Huyu hakulelewa kisisilamu mweye alilelewa kisilamu hawezi kuwa kafiri sababu ya mume we mtihani mungu asamehe na ss pia
Sema iyo mahakama niya ajabu ndoa miaka 16kwahiyo mwanamke hamna alicho weka kwenye izo mali😢😢😢😢
Pole sana
Ijumaa ni swala kubwa lakini jitahidi kuswali swala zinazotakiwa Mola ni mwingi wa rehema ndie atakae kusamehe binaadam wataongea tu. Mungu ni mkubwa.
Wewe siulitaka kuondoka kwa mwanaume mwenyewe we mjinga sana wewe.
Wachawi mumezidi yani mpaka kwa hii ndoa mumeingilia navile alikua anaishi vizuri
Kamwe! Sitabadili dini yangu kwa kumfuata mwanaume! Mwanaume huyu huyu ninayemjua mimi? Nikamfuate imani yake! Siyo kweli. Nitabaki na Ukatoliki wangu hadi kufa.
Pole Sana dada siwa😢😢
Au kafanyiwaa kitu asahau familiaa
Wanaume wakitanzania wanatunyanyasa sana na mahakama hakuna za kututetea
Sasa sheria ya tz inasema nn mbona manyanyaso mugawanyo hauko saw
wanaume kiboko😂😂😂😂
MWe nakupenda sana we dada wanaume Hawa
WaTz washenzi sana, kazi kuchezea ndoa kama sio kitu kikubwa hususan wanaSanaa !!! Kuowana na kutalakiana kwenda mbele😂😂😂😂
Mbwa wewe umesikia amekaa ndani ya ndoa kwa miaka mingapi 40 wewe ata ndoa hna nyooo😏
Kuàchana kunauma asikwambie mtu hata mgawane Mali sawa!!kuachana ni kubaya na Mungu hapendi kuachana,Mungu awasaidie.
Mungu yupi aliyehalalisha ndoa ya Kikristo?
@@Shaniatwain06kwahy ndo ya kikristo syo ndoa jmn
Hivi una watoto wanne mume akuache yenye akapange wewe uangaike na watoto sheria iko wapi sio sawa,ila cha zaidi pambana na kazi, wanaume wengi wana roho mbaya
Heeeeeeeee mrudianee watoto wa ine mnaachana achenii ibyo
16yrs emagn
Duh, 😢😢 ila wanaume hawa nyie mi mwenzenu nimepewa nyumba na gari na mama mkwe wangu yani kaniambia niandikishe jina langu maana mwanae anamjuwa anamitoto ya nje ya ndoa kama yote . sasa mama mkwe kaniambia niwe na changu na mwanangu mapemaa, ila sasa mwanaume anavisa huyo balaa mi ht simjali apuyange adi uzeeni😂😂😂
Kuwa makini usije pata ukimwi
@worldtechlab Shii muonenu nae huyu, kwani ukimwa unapatikana kwenye ngono tu, ebu kapate elimu ya ukimwi kwanza ndo utoe ushauri 🤣🤣
😂😂😂😂@@StrongbowArrow2004
Hongela kwa kupata mkwe
@@ndogolofadhila6203 Asante 🙏 kwa kweli nawashukuru familia nzima, lkn mwanaume anaujana mwingi kichaa yule
Wanaume jamani watoto wanne unamsumbuwa mwanamke bado
Ndomana nimekimbilia oman nimetafuta changu kumamamae stak upumbavu na mume nae natamba nae 😊 tukiachana kila mtu na chake na chakwakwe mwanangu atakuwepo.....et nilipokuja oman mama mkwe akajua ntajenga kweny kiwanja cha mwanae. ....sa hiv hawanipenddddddddddd nimejenga kwangu
Oooh hongera dear hapo kwa kutokupendwa sishangai kabisa Maan watu ndio walivyo...ujenge kwao wakuzulumu na umepigikaa na hawajui maumivu ya pesa yakoo aah weee nimependa...na huyo mume hakuachii coz unajiweza una nyumba sasa kipii anakusumbua nacho komaa hivyohivyo halooooo😂
Yan mume nae natamba nae mjengo upo unapumua😂😂wanakuzulumu peupe sjataka masihara km rahis na wao waje mma mkwe atamiona hiv hiv na nikirud nipo live a mwanae akitaka nimfanyie mpango aje na yeye amjengeee mwanae@@VERENICEMICHAELY
Labda mguu wa 3@@VERENICEMICHAELY
Bora ulivo jiongeza * nilikua na jirani yangu walikubaliana na muumewe akatafute maisha oman * mwanamke anafanya kz anamtumia muumewe hela ana jenga * mwanamme kajenga kaandikisha jina lake * mwanamke kurud wamekaa miezi 3 wamegombana wameachana * mwanamme kaowa mke mwengine kamalizia nyumba saiv anaishi na mke mwengine * yule alie tafuta wa mwanzo amerud kijijini* amefuatilia amefeli mn nyumba kiwanya kila kitu ushahid ni wa mwanamme
Ndy mkome kuingia kwenye mahusiano yasio bora hd mama yako alichukia kutoka kwenye dini yako ulimkosea sana mama yako mzazi ndoa km hizo huwa hazina baraka
Wauze wagawane,mawanaume mengine hapana
Jamani pole dada mi wala sitamani hata kidogo kuolewa