Manara hongela sana kbx nimependa sana vire ulivyo muhoji diamond kiukwel hata sisi mafuns inatuumaga sana tena sana.mond si atulie na zuchu wake? Mbona zuchu ni mtoto mzuli na anajiheshimu mambo ya mchepuko kwake hanaga kbx.
Kwenye Hilo Daimond mie timu Yako 💯ilakwa huyo Zari umetuvuruga maana Zuchu kafundwa unapomuona mkimya halafu pesa ukaitanguliza kuliko kuheshimu mtu anayekuheshimu na kuheshimu kazi Yako nimechukia sanaaa. Namkubali Manara kakueleza ukweli ila dunia inakuona Simba.🤲
Manara muambie huyo, Zuchu ni diamond kwake hajalitambua, that woman loves you but una mess up. Respect her and really love her. Zuu usizae mpaka akuoe for real.
Manara yupo sahihi💯💯💯💯uyu mondi si bure anahitaji therapist wa ubongo, elimu haipo hapa kichwani ana nyota tu yakutafta pesa lkn mapenzi zero hana upendo wa ukweli mondi, sio mwanaume wa kuush nae wala kuoana nae, yeye anahis mwanamke kumpa pesa ndomapenz jinga ilii
Diamond hayupo desperate kuoa ndio mpaka leo hajaoa coz hataki hayo majukumu ya ndoa na kugawana mali alafu sio yeye pekee alafu anazo hela zake nyota superstar nyinyi mpambane na elimu yenu na kunyenyekea ndoa
Dar nawakubali sana jaman wanaume zetu wa kiafrica ila kweli haji Umeongea point sisi wanawake tunapenda eshima hata kama unafanya mambo zenu fanyeni nyuma ya Camera Diamond shemeji yetuuuu Kwa Tanasha Dona a k a mama Nuseeb Jnr muombe Zuhura msamaha
KENYA TUMESHUKURU SAANA KWA MAWAIDHA,MAHALI IMEFIKA MONDI ATULIE...STAR MPAKA NAKERA.WAPI LIKE YA WAKENYA KAMA UNAIKUBALI USHAHURI WA MANARA JAMEENI😪😭😭.USIMFANYIE ZUCHU KITU NA AMBACHO WEWE NASIBU ABDUL HUWEZI TAKA KUFANYIWA..INGEKUWA ZUHURA YUAKUFANYIA HIVYO UNGEFEEL AJE JAMAANI NASIBU.😭😭😭.
Hapana zuchu kubusu ishu ya zari mim sidhani coz nimemsikiliza zari anasema zuchu alikuwepo kwenye hii wanavyoshoot labda issues zingine before hizo maana zari naye kaeleza vzur
Ndo nashindwa kama alikuwepo kwa nini akasirike? Hii kiki! Pale alivyokuwa na fontana ilikuwa wazi alilala nae maana ma kiss kama yote zuchu alikuwa na haki ya kukasirika lakini hili sio kweli labda kuna lingine
Tabia ya diamond sio nzuri kwa ujumla mzazi mwenzako sawa lkn si mshaachana iwe na mipak Zuchu anakuheshimu na anajilinda ila ww diamond humueshima zuchu unafanya vitu km huna akili
Manara respect leo umekua fact safi sana huu nd urafiki ukiona anakosea unamuelekeza sio kunyamaza
You can't hold hands with your baby moma in front of your girlfriend that's so disrespectful!.
Exactly
Manara hongela sana kbx nimependa sana vire ulivyo muhoji diamond kiukwel hata sisi mafuns inatuumaga sana tena sana.mond si atulie na zuchu wake? Mbona zuchu ni mtoto mzuli na anajiheshimu mambo ya mchepuko kwake hanaga kbx.
What a wonderful and loyal friend ❤️❤️
SIMBA MUOE BASI ZUCHU WE2❤❤❤❤❤MY FOREVER COUPLE
Daimond kabambwaa😂😂😂😂eti sicheat😂😂😂simbaaaaa
ILA MZEE WA NGENGE NIKIOZESHAWANNGU WANNGU NA KUTAFUTA HODARI MASHALAH ❤❤❤
Manara nimekupenda sanaa,unamwabia ukweli apunguze kiburi,awe mnyenyevu kwa mpenzi wake,na amheshimishe zuchu kwa uuma,period
Mondi mesenge ww ukiona umemwacha zuu ujue ata shabiki wengi watakumind sana zuuu katulia sana anajieshimu sana
What a true friend
Manara kalewa lakn anaonge pont za msingi😂😂
Manara ameongea kweli kabisa ❤❤
Kwenye Hilo Daimond mie timu Yako 💯ilakwa huyo Zari umetuvuruga maana Zuchu kafundwa unapomuona mkimya halafu pesa ukaitanguliza kuliko kuheshimu mtu anayekuheshimu na kuheshimu kazi Yako nimechukia sanaaa. Namkubali Manara kakueleza ukweli ila dunia inakuona Simba.🤲
Manara muambie huyo, Zuchu ni diamond kwake hajalitambua, that woman loves you but una mess up.
Respect her and really love her.
Zuu usizae mpaka akuoe for real.
SaFi saaan manara umeupiga wingi shukrani❤❤
Greetings from Senegal . I love you my Tanzanie people .
Manara yupo sahihi💯💯💯💯uyu mondi si bure anahitaji therapist wa ubongo, elimu haipo hapa kichwani ana nyota tu yakutafta pesa lkn mapenzi zero hana upendo wa ukweli mondi, sio mwanaume wa kuush nae wala kuoana nae, yeye anahis mwanamke kumpa pesa ndomapenz jinga ilii
Diamond hayupo desperate kuoa ndio mpaka leo hajaoa coz hataki hayo majukumu ya ndoa na kugawana mali alafu sio yeye pekee alafu anazo hela zake nyota superstar nyinyi mpambane na elimu yenu na kunyenyekea ndoa
Sasa daimond muoe zuhura utufunge midomo
😂😂😂😂😂😂😂 Manara asante Kwa kumuuliza na kumwambia Yale tungelimuuliza
Haswaaa
Kabisaaaa
Yan leo tumejua ukweli kbs kuusu wao
@@HappyJohn-rj8cokabisa
Kabisa manara ametuulizia maswali yetu
Haji manara anasema kweli wala msidhani anaongea pumba kwasababu amekunywa sana yani chapombe
Thank u much Mr.Hajj Manara,umeongea point nimependa sana,Mwambie nasib akomae na asucheze na hisia za kila mwanamke hiyo n laana.
Wapi mzee Abduliiii,😂😂😂. Simba mwenyewe.kasema yeye maisha yake ya mtandaoni ni Diamond lkn maisha yake halisi nje ya mtandao ni Nasib Abdul
Manara hongera sana umemwambia ukweli hakuna mwanamke haitaji hayo anayoyafanya na Zari sio sahihi kabisa, Zuchu ana moyo wa uvumilivu
Kama walikuwa wote shida iko wapi? Nahisi kuna kitu kingine sio picha na zari
Kama walikua na zuchu Kuna haja gn ya kununua sasa
Kweli kabisa 😂😂
Zuchu hajiamini lakini simlaumu kama yeye alimpindua Alya na uzuri wake yeye ni nani?
Hana akichoongea ukweli yake yamemshinda
Dar nawakubali sana jaman wanaume zetu wa kiafrica ila kweli haji Umeongea point sisi wanawake tunapenda eshima hata kama unafanya mambo zenu fanyeni nyuma ya Camera Diamond shemeji yetuuuu Kwa Tanasha Dona a k a mama Nuseeb Jnr muombe Zuhura msamaha
Wamesikia imetosha. Zuchu wewe ni Diamond ❤❤❤❤🎉🎉🎉
Asante Manara
Uyu mwandishi n mwamba sana n moto🔥🔥🔥🔥🔥
Nawapenda sana zuhu na nasibu.msisikilize maneno ya watu.
Hawa wawili anzisheni kipindi😂😂😂😂😂😂🎉 Manara na Diamond❤
Wazinifuuuu😂😂😂😂😂😂
Wewe mkamilifu?
@@michelinemapendo6652Wewe malaika unafanya nini duniani?
Nasibu kaongea mazuri kuhusu zuchu lakini wala huyaoni haya mazuri huko insta! Amakweli binadamu wanapenda kuendekeza mana ya 😓😓
Zungu asha lewa, mwache diamond tajiri
Safi sana Haji manara
Safi manara umesema ukwer
Hongera manara
Manara leo umejivua mpe ukweli,nimekupenda kaka yangu karibu kwangu na mkeo zeylisa ,
Sawa tutakuja dada Mimi zai nataka nikija nikupikiee
Still watching hii video😂😂Nipmependa sana
😂😂adi mm
Asante Hajji Sunday Manara Al buggati ❤️
Sawa diamond ww ni msanii lkn muwekee heshima zuchu anakupenda sana
Ukweliii sana bro wengne sisi uwa tunaelewa upo kazn natunaelewa una nongwa aunaga shit zisizoeleweka nakukubal sana umeongea point
Ila zuchu unapendwa mama
Nakushukuru Saana, Haji Manara, Nirafiki, Ndugu Wa kweli, Mondi unabahati kupata Kaka Wania insaf!
Ila interview nzuri sana.jibu tunalo,hawajaachana na leo watakuwa wote zanzibar
Manara ❤❤❤❤❤
Nmecheka sana ..eti mwenywe yangu yanishindq😂😂😂
Haji angalia mond atapitana hiyo pisi ya kibondei
Thank you hajj that's true Diamond stop playing zuchu Maskini zuchu I feel hurt
Mmmmh mke wa manara anavyo mchek mondi sasa 🏃🏽♂️🏃🏽♂️
Anamtamani labda
Hongera manara, mwanamke lazima apewe heshima
Kabisa huyu baba Ana mambo mengine tu ila kwa hili mimi namuunga mkono💯
Eu concordo com Daimond, onde ele disse k sempre as pessoas k se ama têm que haver problema
Kumbe haji mlevi laaa
Zailysa huna 😂😂😂 kazi sana manara anabwabwaja sana😂😂😂
Manara kalewaaa hapoo
KENYA TUMESHUKURU SAANA KWA MAWAIDHA,MAHALI IMEFIKA MONDI ATULIE...STAR MPAKA NAKERA.WAPI LIKE YA WAKENYA KAMA UNAIKUBALI USHAHURI WA MANARA JAMEENI😪😭😭.USIMFANYIE ZUCHU KITU NA AMBACHO WEWE NASIBU ABDUL HUWEZI TAKA KUFANYIWA..INGEKUWA ZUHURA YUAKUFANYIA HIVYO UNGEFEEL AJE JAMAANI NASIBU.😭😭😭.
Manara ongera sana Tena sana
Manara 👏🏾👏🏾👏🏾
Haji manara upo vizuri
Quality ❤
29:00 nasibu kamstahi tu manara lakini alikua anataka kumwambia blaza mbona unayumba au ndo vyombo vimepanda😅
Manara Asante kwa kutuonesha hizo glasi za pombe 😮😮
Team moja young president
Mond ❤❤yuko sawa
Daimond tulia kaka na zuchu❤
Sasa imebakia ndoa
Dah kweli sukari hakuna sasahivi Tz
😂😂
Hennessy siyo mchezo
Simba you are Right!!
this has made me to subscribe on this channel crazy aki pombe wewe unafanya walevi wanasema ukweli🤣🤣🤣🤣🤣
Hajimanara unatukoseya sana ujuwe😂😂.atupendi warundiyane bhana. Tunamupenda Zari 😂😂😂😂😂😂
Nyokoooo 😂zuchu ndio ana nafasi moyoni mwa Diamond mwacheni mke wa mganda
Manar anaitaji mond awe na star. Kwa zuchu amekubarika alafu wanapendeza wakiwa wote
Ila haji ninekupenda sana umemwambia ukweli sana wa wazi kabisa
Kwelimhaji
Duh kasema na pale kulikua na mtoto wangu Latifa anajua Nillan sio wake 😂
Masikini ndo mlichobksha
Both point,but Diamond nimependa msimamo wako, na umeongea point
Manara kaupiga mwingi 😁 🔥
Manara bana
Haji umeongelesha ndugu ako vizuri MashaAllah👌Allah akupe baraka ❤Sasa Nasibu Aowe ahalalisha tu😄
Ndoa haina maana
Kweli haji manara kweli unsnifurahisha saaana na yale maneno yenye unamwabia Daimond kweli mwenywzi mungu azidi kukulinda na kukujaliya
Kweli Daimond unasemankweli inabidi vile zuchu kujuwa kama business ni business na mapenzi ni mengine.
Kalewa manara😂😂😂
Lakini my bro Diamond unajitahidi it s not aesy
Haji anajua sana 😂
Hapana zuchu kubusu ishu ya zari mim sidhani coz nimemsikiliza zari anasema zuchu alikuwepo kwenye hii wanavyoshoot labda issues zingine before hizo maana zari naye kaeleza vzur
Kaka manala umeongea ponti sana. Nasibu abadilike. Aache utoto. Sisi mashabiki wako tunamkubali saaaana zuuu. Unaifundisha nini jamii. Acha izo nasibu
Good ❤ diamond kaongea ukwel jaman yy ni msanii na maisha ya msanii ndo ivyo so dada zuuu rudi kwa mumeo 😢
Ndo nashindwa kama alikuwepo kwa nini akasirike? Hii kiki! Pale alivyokuwa na fontana ilikuwa wazi alilala nae maana ma kiss kama yote zuchu alikuwa na haki ya kukasirika lakini hili sio kweli labda kuna lingine
Tabia ya diamond sio nzuri kwa ujumla mzazi mwenzako sawa lkn si mshaachana iwe na mipak
Zuchu anakuheshimu na anajilinda ila ww diamond humueshima zuchu unafanya vitu km huna akili
Wanawake wa kizenji watamu nyie msisikie😂😂😂
Apo Manara aliposema "wee unajua Zari mzuri?" Jicho la zuu😂😂😂😂Hadi kageuka
Nakubali
😂😂😂😂manara kamkalia koo jamani
Hadi nashangaa
Utadhani ni babake Nasibu
😂😂😂
Hivi hajji na mond nani wakumfundisha mwenzie 😂😂😂😂
Kesi million 8, na mpaka Sasa wapo wote wanapendana bwana 😅. Wew na x wako mlifikisha kes ngap😅
Manaraaaaaa😂😂😂😂😂😂umekazia kweli umemuacha Zuchu😂😂😂😂😂😂 Lakini ZUCHU yeye ndio akipenda Sana 😂😂😂😂😂anazinguwa
Manara ni old school😂
Haji yupi anakunywa bana
Umeongea Haji broo Safi sanaa umempa akili kichwani kwake iliyo bakia
Kumbe manara ukilewa unasema kweli mwambie huyo mond aache umalaya
Zuchu si alijua Ana deal na nani? Kama hawezi ajiachiieee tuuu!!
Manara yupo mbwii
Nyie mmesikia maneno ya mwisho ya mondi hawajaachana
Manara vyombo vipo kichwani😂😂😂 maji ya ilalaa ayoo mzee baba
😅😅😅diamond ovyoo etii yanguu yenyewe yananishindaa😂😂😂😂
Anayemsikia mzee wa ngenga alike
Na sauti yake mashaallaah ❤❤❤❤
Kalivuuee
Nyinyi kunweni mkojo was firauni na Ramadan Ni kesho😢mumesahau Kuna na kufa😢😢😢
Nampenda Sana diamond wallah
Fala ww
@@landmadvdmbeyacity9561sasa kakufanyia nini mpaka unamuita fala au wewe ndio zuchu
Manara kashalewa ramadan is coming majaahili nyinyi