ZUCHU NIPE NAMBA YAKO/ KUNA DILI NATAKA TUFANYE/ MI NAKUELEWA SANA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 янв 2025

Комментарии • 2,1 тыс.

  • @shariffaabdalla2170
    @shariffaabdalla2170 4 года назад +94

    Naomba mumrudie tena zuchu ziara nyengine kwa kweli dada ana nyota kali mashallah
    Lov u Zuchu
    From🇺🇸🇺🇸

  • @oluwaburundi698
    @oluwaburundi698 3 года назад +23

    Yaani #Zuchu nimetokeya kumpenda kwasababu ya hiki kipindi kwa jisi alivyo mpole🥰🥰🥰
    Love from BURUNDI🇧🇮🇧🇮

  • @faridaiddi104
    @faridaiddi104 4 года назад +19

    Tatizo nyota zuchu nakupenda Sana wangu 😘 nakuombea ukaze usiwe km wakina ray c
    Zuchu napenda nyimbo ya mauzauza wee lkn wabongo kwa fitna tutasema wamepangwa

  • @Lydia-ot7lc
    @Lydia-ot7lc Год назад +7

    Huku kenya tunakupenda na mimi namkubali zuchu nampenda sana na nyimbo zake zote Yani mtoto amebarikiwa

  • @valleyfront4462
    @valleyfront4462 4 года назад +13

    Me pia namkubali mrembo nikiwa apa valley front studios,,,, Love you ZUCHu napenda kazi yako

  • @bimaisarankamia4153
    @bimaisarankamia4153 4 года назад +34

    Zuchu kwenye kuvaa tu.nampenda Hana mambo mengi.pia nikwa kuwa tu ndio ustaa ila anapenda kuishi maisha ya kawaida sn kujichang'anya Kama kote.mashaallh mungu akusimamie ufike unapopataka.

  • @iddybabylone
    @iddybabylone 4 года назад +57

    Zuchu anapendwa sana huu ni wakaT wake na tunamuombea asipote abaki up awe mfano wa kuigwa kwa wasichane wenGine Go far zuchu💕

  • @innomchaga
    @innomchaga 4 года назад +80

    Akuna kabisa pindi ninalo lipenda❤️❤️❤️ na kulifuatilia kama hili #hivinikweli🔥🔥🔥🔥🔥

    • @latifamoshi846
      @latifamoshi846 4 года назад +5

      Ni lini kwa tv my

    • @yunyun799
      @yunyun799 4 года назад +2

      🔥🔥🔥

    • @innomchaga
      @innomchaga 4 года назад +1

      @@latifamoshi846 kila jumanne saa tatu kamili usiku,ndani ya wasafi tv

    • @robbinsonwater4206
      @robbinsonwater4206 4 года назад

      @@latifamoshi846 jjjjjjk I'm j Kim mmm m

  • @Latiifahjeeyofficialhalyne
    @Latiifahjeeyofficialhalyne Месяц назад +1

    Naipenda Sanaa hii content...and zuchu is my best singer ever...not only best singer but also my mentor

  • @derrickaladwamwore9143
    @derrickaladwamwore9143 3 года назад +10

    Pia nami nipewe namba ya zuchu nina ushauri pia😂😂😂.....I loved that guy he had guts 😂😂

  • @aboubakarmasinda8476
    @aboubakarmasinda8476 4 года назад +14

    Tz kunavitu vizuri sana duuh!napenda sana zuchu ongera sana nakufatiliya nikiwa congo Drc

  • @allanaluma20
    @allanaluma20 3 года назад +14

    much love Zuchu.....from Zimbabwe and we are expecting to have you in Zimbabwe one day..

  • @sakinaabdallah7677
    @sakinaabdallah7677 4 года назад +28

    Nampenda sana zuchu❤ from Oman🇴🇲🇴🇲

  • @AaAa-dd1qu
    @AaAa-dd1qu 2 года назад +2

    Eti nimemurambisha ananambia compeza nayenyewe nayipenda sana zushuu l lovu😘😘😘😘🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @Pray-z2j
    @Pray-z2j 4 года назад +6

    I love you zuchuu endelea kuimba hivyo hivyoo unaweza na pia siku moja pangaea show arusha jamanii tunakupenda 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍uzidi kuongeza muziki asante sanaa

  • @ottomanmwarabu6771
    @ottomanmwarabu6771 4 года назад +52

    Si ndo huyu au..au si huyu,,ndo mwenyewe, huyu si ndo Zuchu huyu au, ndo yeye..bro kanifurahisha sana

  • @nashoambokile7935
    @nashoambokile7935 4 года назад +20

    SEMA mwanangu mosanya umeuwa Sana nawakubali Sana wote watangazaji pamoja na wcb nzima wote by mbeya sil

  • @kamaratsalimsafari8838
    @kamaratsalimsafari8838 4 года назад +137

    Kidogo nilie machozi kwa furaha tu! Watoto kwa wakubwa wanavyo Mpenda #Zuchu ka Ninavo Mpenda mie tu Moyoni Mwangu Big up #Zuchu from Mombasa 🇰🇪

    • @deborahmwakatoga7192
      @deborahmwakatoga7192 4 года назад +1

      Waooooo

    • @alfanm.8221
      @alfanm.8221 4 года назад +1

      Acha urongo bana

    • @alibell5246
      @alibell5246 4 года назад

      Zuuuuchuu ww unatisha saaaana nakupend kwakweli

    • @nurunurudini3033
      @nurunurudini3033 4 года назад

      Mm nimelia kabisa ,,,,,Yule mtt wa shule alivokuwa surprised baada ya kumuona zuchu ❤😍😘😋

    • @sharonmunyiva9865
      @sharonmunyiva9865 2 года назад

      zuchu aweza adi Kenya twakupeda

  • @kizelyrutta777
    @kizelyrutta777 4 года назад +9

    zuchu anaonekana anapenda Sana mashabiki zake sana

  • @massimilianoraffadali5482
    @massimilianoraffadali5482 4 года назад +31

    Zuchu big talented sana mimi sio shabiki wa msanii yoyote wa kike yule ila Zuchu mimi shabiki yako damu damu

  • @sallynemsi6560
    @sallynemsi6560 4 года назад +283

    N wewe ulikuwa unaingia youtube kila saa kuangalia kama hii show imeshapostiwa kama kweli like

  • @hydratz9750
    @hydratz9750 4 года назад +190

    Jaman km ume enjoy Show km mimi gonga like,ila mwshon big dady #vaileth 😂😂😂😂😂😂

  • @joymsupagladysijeya8384
    @joymsupagladysijeya8384 4 года назад +33

    Sijawai ona watu wana njaa uyu zuchu ni star 🌟🌟🌟🌟🌟🌟

  • @romeobaziyaka5688
    @romeobaziyaka5688 4 года назад +7

    I love u zuchu LAkini wananiambiyaya nafanana na wewe Abby from Kampala

  • @nickiedwin7769
    @nickiedwin7769 2 года назад +1

    Anachosema uyo kaka nikwel yn akuna pkpk ety ishindwe kupiga nyimbo yake nampenda zuchu 🥰🥰

  • @jumaamanandi4329
    @jumaamanandi4329 4 года назад +36

    Malkia Wa Bongo Flava 🔥👏Ametisha sana

  • @medmohjutotz5363
    @medmohjutotz5363 4 года назад +12

    Nakubar sanaaa nembo ya mtaa,
    Classic juto Tz 🤝🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @AAa-xv2mw
    @AAa-xv2mw 4 года назад +111

    Hata namimi pia napenda zuchuuu kweli aswa ile ngoma nisame

  • @jinjendricksnanjala249
    @jinjendricksnanjala249 3 года назад +7

    Love you soo much zuchu. Love from kenya

  • @adamhasani6468
    @adamhasani6468 4 года назад +11

    Me demu mwenzie cio mwanaume jmn nampenda sana zuchunyo nampenda from my heart

  • @mystars2965
    @mystars2965 4 года назад +35

    Hello to ZUCHU, YOU'RE THE BEST. CONGRATULATIONS DEAR YOUNG LADY YOU'REON THE TOP OF THE LOSERS!, would you try even though once, make a Live show in USA so that we can see you too.? We are your funs an we support you thanks.🇺🇲🇺🇲🇺🇲🇺🇲🇺🇲💝

  • @chrismuganwa8634
    @chrismuganwa8634 4 года назад +39

    Thank you bro for bring Zuchu!!.
    Love from Burundi 🇧🇮🇧🇮

    • @priscajohnson3575
      @priscajohnson3575 4 года назад +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣uyo bonge kaniacha owi

    • @AllqaabaTv
      @AllqaabaTv 2 года назад

      We love you so much from wcb fans Tanzania

  • @cardinal0016
    @cardinal0016 4 года назад +73

    Jamani zuchu anapendwa sana tena sana

  • @mucussete794
    @mucussete794 4 года назад +19

    Aqui em Moçambique ZUCHU só teu fã number one... te amo.

  • @personcriticalthinking7162
    @personcriticalthinking7162 3 года назад +5

    Zuchu n safi hata moyo. Nakupenda sana

  • @juliusphabian6336
    @juliusphabian6336 4 года назад +86

    Daaah! hata sisi mashabiki zako umetufanyia suprise hatukutegemea kabisa....komaa sana SANYA

    • @mfaumemuki865
      @mfaumemuki865 4 года назад

      Ivi hii sanya ni jina lake au ni kule home kwetu

    • @maujanjatv24h41
      @maujanjatv24h41 4 года назад

      Baraka Mtoi anaitwa mo town sanya

  • @nirhamzerish9131
    @nirhamzerish9131 4 года назад +11

    Mweee mweee zuchu nyota kama yotee Mungu tu akuwekee in sha Allah🥺🥺🥺🥺

  • @guccimauzo3631
    @guccimauzo3631 4 года назад +37

    Much Love from Nairobi (Kenya)

  • @sakinaabdallah7677
    @sakinaabdallah7677 4 года назад +16

    Nampenda sana zuchu from Oman🇴🇲🇴🇲

  • @djlevito2432
    @djlevito2432 3 года назад +8

    Kazi nzuli sana kwa wasafi tv ,,,huku kenya artist kupatikana mtaa ni balaa atleast kuinteract n mafans big up love from 🇰🇪

  • @selinaselin8928
    @selinaselin8928 4 года назад +9

    Hakika bi khadija kazaa chema mashallah mwenyezi mungu akuwekee❤❤

  • @kunojengo
    @kunojengo 4 года назад +38

    Dah! Huyo big kwny gonga beat kavunja xn mbavu aisee.

  • @sarahkyando189
    @sarahkyando189 4 года назад +80

    Watu tungekua naham ya kumwona Mungu kuliko wasanii ingependeza sana

    • @davidcurtis8556
      @davidcurtis8556 4 года назад +4

      Kuna nabii au mteme au anaeswali sanaaaaa alishawahi kumuona Mungu? Na kama ndio nipe ushahidi unaotoka kwenye Msaafu au Biblia, nikuweke sawa ni bora ungesema hivi ~ watu tungekuwa na hamu ya kuiona pepo kuliko wasanii na anasa

    • @mansa_islam9898
      @mansa_islam9898 4 года назад +1

      Ilo nalo neno

    • @injilichoiraicnjiru3407
      @injilichoiraicnjiru3407 4 года назад

      Safi

    • @adamnasib7928
      @adamnasib7928 4 года назад

      Kumuona mungu ni ndoto

    • @abdallahturoley4324
      @abdallahturoley4324 4 года назад

      Exactry

  • @rajuabdou8293
    @rajuabdou8293 4 года назад +22

    All thé way from Lyon, France 🇫🇷 love this nyembo yamtaa much love for wcb safi

    • @5facts60
      @5facts60 4 года назад +1

      It's nembo you tried well broo

    • @rajuabdou8293
      @rajuabdou8293 4 года назад +1

      @@5facts60 thankx bro ✌🏿

    • @elialova4593
      @elialova4593 3 года назад +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nembo ya mtaa

  • @AaAa-dd1qu
    @AaAa-dd1qu 2 года назад +1

    Mimi murundi 🇧🇮🇧🇮 zushuu nagupenda sana sana yani unaimba vizuri dada naomba nikuone basi sikumoja jamani napenda irenyimbo inasema namupatiya shogasukari naire uriimba kama wazuru ninyingi sana napenda dada kurajeee atahivi nasikiaa uzuni😭😭😭😭😘😘🤩🤩🤩🤩🙏🙏🙏🙏👌👌👌🤝🤝🤝🤝🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @alvinsmith9808
    @alvinsmith9808 4 года назад +40

    Nembo ya mtaa ww noma nakubali sana
    Naombeni like zako hapa💪🏻💪🏻

  • @lucasjoseph1407
    @lucasjoseph1407 4 года назад +74

    Show ni kali na ubunifu ni mkubwa sana but ni vizuri mkawa mnabadilisha location kwa7bu usafiri mnao yaani ni km vile mlivyofanya na chid benz {Lucas MJ5 kutoka Italy}

  • @ramadhanminani314
    @ramadhanminani314 4 года назад +252

    anaye tizama show uku akisoma comment agonge like tuendeleye ku enjoy

  • @warrensantana1570
    @warrensantana1570 4 года назад +40

    Inafaa pia wailete hii pande za Kenya uswailihini Kama Mombasa,,pia supporters wa Bongo Fleva wengi mno Mimi miongoni mwao💪💪💪

  • @eliasotieno9422
    @eliasotieno9422 4 года назад +63

    This girl is really rocking, all digital platforms are talking about her. I hope she'll keep the 🔥🔥🔥 burning

    • @nancyulomi1010
      @nancyulomi1010 4 года назад

      Exactly

    • @zabronadamsony870
      @zabronadamsony870 4 года назад

      dhaaaa fulaha tunayopata kwenye hiki kipindi dahaaa fulaha yanguu sio kifanooooo

  • @suleshm4627
    @suleshm4627 4 года назад +69

    Zuchu katuharibia show 😂😂😂😂😂😂😂. She's international huu uwanja mdogo kwake 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @sontv1751
      @sontv1751 4 года назад

      amna kitu hapo🚮🚮

    • @beautyibrahim8428
      @beautyibrahim8428 4 года назад +5

      @@sontv1751 😂😂😂😂matumiz mabovu ya roho mbaya

    • @robinapatrick8479
      @robinapatrick8479 4 года назад +1

      @@beautyibrahim8428 😅kwakwel yan hayo ni matumizi mabaya ya roho😅

    • @beautyibrahim8428
      @beautyibrahim8428 4 года назад

      @@robinapatrick8479 umeonaaa

  • @azizakenny7154
    @azizakenny7154 4 года назад +15

    Tuletee mbosso ao Rayvanny jamanii😍😍😍nina imani iy siku tutaona maajab km ay zuchu😃😃😃☺☺

  • @mosesmazigo3815
    @mosesmazigo3815 4 года назад +32

    Mo town kaz nzurii sana

  • @geoffreysiwakwi9737
    @geoffreysiwakwi9737 4 года назад +37

    Najiskia machozi Kwa furaha Mimi mshabiki pia from Zambia like zangu tafadhari.

  • @uwingabireclementine7799
    @uwingabireclementine7799 2 года назад +1

    Zuchu ♥️♥️😍🥰🇷🇼 Kigali Rwanda sukari namupatia shuga sukari nawambia kwakweri sukari niwimbo urisikika sana ♥️ hapa Kigali😍🌹💋💋🇷🇼🙏🔥🔥🔥🔥🔥

  • @jacklinemkandala3201
    @jacklinemkandala3201 4 года назад +10

    Jaman zuchu kama Michael Jackson sasa we love you

  • @romakoko2292
    @romakoko2292 4 года назад +16

    Sanya leta kipindi Kenya #zuchu to the world

  • @fredyjoseph8370
    @fredyjoseph8370 4 года назад +51

    Wasafi media for every body ! Napenda sana gonga beat

  • @jabalimarwa4404
    @jabalimarwa4404 4 года назад +2

    zuch ilike you my dear you sing very well congraturation

  • @ProssyPatra-fk4oq
    @ProssyPatra-fk4oq Год назад +2

    Zuchu nakupenda xana hongera dada poah

  • @goefryshayoo3122
    @goefryshayoo3122 4 года назад +6

    Zuchuuuuuuuu kama zuchu unapendwa sana mdogo wangu heshima busara na kazi poa tutakusapot

  • @denisowino2274
    @denisowino2274 4 года назад +121

    Big country representing 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @ameknews2315
      @ameknews2315 4 года назад +6

      Mo town sanya chang frequency ukiona eneo limejaa watu coz we need more creactivity wacha kukaa eneo moja

    • @ricksamthecrow
      @ricksamthecrow 4 года назад +4

      @@ameknews2315 positive

    • @britonngale6644
      @britonngale6644 4 года назад +3

      Huyu mtoto anajulikana balaa

    • @denisowino2274
      @denisowino2274 4 года назад +3

      Kwa kweli Kila mtu anamkubali

    • @amanfesto621
      @amanfesto621 4 года назад +2

      m

  • @ntirampebaodila5237
    @ntirampebaodila5237 4 года назад +26

    Jaman zuchu anapendwa 🥰

  • @mohanoor153
    @mohanoor153 3 года назад +6

    For giving out that phone , it really teach me so much , she is great women

  • @kautharsuleiman9812
    @kautharsuleiman9812 4 года назад +1

    Ooo my god.. My favor girl..
    I love her
    Anatuwakilisha wanaake jaman .. nampenda sanaaa
    Wish ningekuwa japo nacht nae on whsp😭😭😭😭😢😢😢.. I feel so blessed

  • @yunyun799
    @yunyun799 4 года назад +24

    Gonga beat ni kixangaaa 🔥🔥😂😂wakitoka hapo wakijiangalia kwenye tv cjui wana jixikiaje maana c kwa kuno ng'ona huko 😂big katixhaaa 🔥

  • @sophiajoseph2630
    @sophiajoseph2630 4 года назад +9

    Mo town Sanya wewe Ni mtu mbad Sanaa,,,Yani Ivo unavocheza wewe mtu anajua anaimba vizuri kumbe Wala gonga beat😂😂😂💪💪💪🤭

  • @simonmsangi8238
    @simonmsangi8238 4 года назад +74

    Jamaa wa ice cream kanikufuraisha Sana mwamba anataka jero 😂

  • @lilianbinji5459
    @lilianbinji5459 4 года назад +6

    Nakupenda Bure zuchu from Kenya

  • @ybonline8497
    @ybonline8497 4 года назад +8

    Ukweli hyo ngoma nisameh naipenda Sana Tena Zaid ya sana skujua kumbe weng Sana Hadi watoto wanaipenda kupitiliza

  • @danielmkama24
    @danielmkama24 4 года назад +42

    Hii ndio show ya kwanza naangalia mala mbili
    🔥🔥🔥

  • @ummysabreena9298
    @ummysabreena9298 4 года назад +13

    🤣🤣🤣 yani nafik mwisho cheko sio langu kabisa, ila Zuchu uko juu respect

  • @heriholder2937
    @heriholder2937 4 года назад +111

    Zuchu tena ndani dah Aiseeh!! Sanya unatisha kama njaa.

  • @burnarobate8184
    @burnarobate8184 2 года назад +2

    Zuchu Allah abençoe com teu trabalho forças ajuda tua família...foi Allah escolher esse teu trabalho faça bom trabalho Thank you

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 4 года назад +7

    Zuchu anajua sana.big up sanya🤙🤙🤙✌️✌️✌️🇹🇿🇹🇿.

  • @Mr_Highlights360
    @Mr_Highlights360 4 года назад +168

    Jamani sijawahi kubofya "HIVI NI KWELI" haraka kama leo

  • @jumamkongowe2272
    @jumamkongowe2272 4 года назад +43

    Kama na ww unaamini hii nimoja ya show inayopendwa cn na wana like tuishi kibingwa👍💪

  • @خسنموس
    @خسنموس 4 года назад +379

    Who is the best?
    Zuchu _ like
    Nandy_ reply

  • @Atijanfalume-q9n
    @Atijanfalume-q9n 3 месяца назад

    Mimi nakumba sana zuchu na Mimi Niko moçambeque zuchu nakupenda sana mungu hambariki kazi yako ❤❤❤😊

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 3 года назад +5

    Nakupenda sana zuchu mungu akubariki sana 🙏🙏❤️❤️❤️🇹🇿

  • @huthub8797
    @huthub8797 3 года назад +5

    Yani huyu Zuchu vile amefanya mtoto wangu wa mwaka mmoja na nusu akiskia nyimbo ya Sukari mtoto huruka kuruka na kulamba mikono na kuimba sukari #Zuchu Sukari yako nitamu #lovefromDaughterAsmah Mombasa twakusalute

  • @erickepimack9417
    @erickepimack9417 4 года назад +12

    Daaa ninampenda saaana Zuchu Mungu ampe Maisha marefu saaana na yenye Baraka

  • @shantalismailhassan9878
    @shantalismailhassan9878 4 года назад +6

    "Samahani nimekushika mkono bila ridhaa yako" umetisha kijana unaheshima kwa kweli hongera kwa mama na Baba yako.

  • @amiintotoboss9815
    @amiintotoboss9815 4 года назад +4

    Nakupenda toka moyoni ❤frm NAIROBI KENYA @totoBOSS🦁 SIMBA ,zuchu na KUNDI NZIMA 1❤

  • @jamalisaid431
    @jamalisaid431 4 года назад +3

    Respect kwako zuchu, mwenzio alikataa mkono wa mwanafunz tangu apo simfagilii kabisa

  • @gracemushi9932
    @gracemushi9932 4 года назад +21

    DOGO UNAPENDWA KINYAMAAAAAA,NIMECHEKAAAA SANAAA.ZUCHU UNAPENDWA SANAAAAAAAAAAAAAAAA

  • @chanjamabilo3963
    @chanjamabilo3963 4 года назад +100

    Na Mimi basi nipate ata like 10 jamani niko zangu Australia

  • @mohamedahmedmwinyi3865
    @mohamedahmedmwinyi3865 4 года назад +28

    Mbona lisiwe week inzima hii show Kali sana big up Sana motown sanya

  • @rsmile62ps
    @rsmile62ps 4 года назад +4

    God them 😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃 the guy singing that song,really finished me the last show was 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻😃😃😃😃😃

  • @beatriceochanda8516
    @beatriceochanda8516 2 года назад

    Zuchu kiukweli twakupenda.....nyimbo zako kali karibu Mombasa

  • @carsplot2431
    @carsplot2431 4 года назад +6

    all the way from china love you zuchu (我爱你)❤️

  • @mafamille7778
    @mafamille7778 4 года назад +43

    @Motown u are the best bro I’m from DRCONGO🇨🇩🇨🇩

    • @kingbashar4293
      @kingbashar4293 4 года назад +2

      Mwana mboka 🇨🇩 ✌🏿

    • @estatekisombola9251
      @estatekisombola9251 4 года назад +2

      Mwana ya pale mwana mboka🇨🇩🇭🇲🇭🇲🇭🇲🇭🇲

    • @fisjaykitamuliko1183
      @fisjaykitamuliko1183 4 года назад

      Toza n'a kati from DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

    • @lupandesimukindje8170
      @lupandesimukindje8170 4 года назад

      Bana mboka mes frères je suis fier de vous 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 RDC

    • @fisjaykitamuliko1183
      @fisjaykitamuliko1183 4 года назад

      @@lupandesimukindje8170 nous sommes tous jours Assemblée mon frère

  • @onesterabayo9067
    @onesterabayo9067 4 года назад +25

    This program is the best. Keep it up guys..you made my day

  • @halimasulaimani848
    @halimasulaimani848 4 года назад +34

    Ila mbagala watu wamevurugwa😅😅 zuchu unajua mama!!! Gonga beat huyo bonge kanichekesha mpk waarabu wamekuja kuniangalia🤣🤣🤣🤣🤣

  • @davidalengairagro7295
    @davidalengairagro7295 3 года назад +9

    Zuchu vous êtes on fort en chanter.

  • @waduduwdd6800
    @waduduwdd6800 4 года назад +80

    nakubali gonga like twende sawa

  • @mwanamisiramadhan4773
    @mwanamisiramadhan4773 4 года назад +6

    Mimi napenda litawachoma sana hususani mstari ya mwanzo yani imenikaa sanaa❤❤❤😘😘

  • @naimuidd2328
    @naimuidd2328 4 года назад +30

    Hebu tuahidi lini zanzibar Hivi ni kweli nako pia tunaielewa bongo fleva

  • @frankphiri111
    @frankphiri111 3 года назад +7

    You guys are doing great job
    And I wish I was in Tanzania I'd love to meet her.
    She really is my favorite

  • @sadomagg5770
    @sadomagg5770 Год назад +1

    Mimi niko kongo/drc. Nakubali na napenda nyimbo zake, unazidi wengi:lady ladee, Queen wa Diamond, nandi... Jina langu ni Mufariji -Kitolano