Tafuta miongoni mwa Markaz ya kielimu ujifunze dini yako.. Omar Bin Khatwaab(kariakoo-Dar es salaam) , Markaz Da'awa (Ilala - Dar es Salaam) Markaz ibn Kathiir ( Ilala-Dar es salaam) Markaz ibn Taymiyaah (Pongwe-Tanga)
Maa shaa allah.., kama upo serious na kujua elimu ya dini basi kuna ukhty/dada anaitwa norah yupo instagram wasiliana nae atakuunga kuna grup la kinamama wanajifunza huko
baarakaALLAHU fiik
Wafeeka Baarakallah
Jazalakallahu khayra
Yani kama mm natamani nijue kusoma Qurua, n Allah anifanyiewepesi niijue na niifadhi🤲
Allah akufanyie wepesi..
Jazzakallah khaillah
Alhamdulillah kwa faida
Masha Allah
ما شآء اللّٰه...
Sheikh uko vizuri
Kweli kabsa
Allah akuongoze sheikh
Tafuta chuo Cha salafy kokote ulipo ahlu. Sunnah
Shukran
Barakallah fiykum
Wafeeka Baarakallah
namimi nataman nijue ilmu kwa ufasaha nifanyeje
Tafuta miongoni mwa Markaz ya kielimu ujifunze dini yako.. Omar Bin Khatwaab(kariakoo-Dar es salaam) , Markaz Da'awa (Ilala - Dar es Salaam) Markaz ibn Kathiir ( Ilala-Dar es salaam) Markaz ibn Taymiyaah (Pongwe-Tanga)
Mashaalla nimejifunza kitu
Allaah akubaarik
Mm naomba muniunge kwenye grop la wasp nimgeni humu nimesilmu nilikuwa mkrsto na taka kujifunza zaid
Maa shaa allah.., kama upo serious na kujua elimu ya dini basi kuna ukhty/dada anaitwa norah yupo instagram wasiliana nae atakuunga kuna grup la kinamama wanajifunza huko
Woo
Mansha Allah