Ni ipi tofauti kati ya salafiya na Answari sunnah:Sheikh Kassimu Mafuta-Allah amuhifadhi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 дек 2024

Комментарии •

  • @tarish001
    @tarish001 2 года назад +3

    Mola amhifadhi Sheikh ul Islam Abuu Fadhl Mafuta.

    • @abuuaminah
      @abuuaminah 2 года назад

      Mafuta Ni Sheikh Islam ama Ni Zee la Mipasho,🤣🤣🤣

    • @Menino938
      @Menino938 2 года назад

      Usifanye ghuluwu sheikh kassim anamchangu mkubwa lkn usimpeleke uko

    • @abrahamansaidi8631
      @abrahamansaidi8631 2 года назад

      Kwaiyo sio muislamu?

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 2 года назад +2

    Acheni kuzitakasa nafsi mtakaseni ALLAH SUBHANAHU WATAALA Peķee .Tuache Daawa za kibishoo tufanye Daawa kiucha za kiùchaMungu.

  • @ZakariaHamad-y6j
    @ZakariaHamad-y6j 2 месяца назад

  • @allykalaile-ek3zg
    @allykalaile-ek3zg Год назад

    mashaallah allah amhifadhi shekh kassim mafuta hifdhahu llah

    • @abbaspaziaog2188
      @abbaspaziaog2188 Год назад

      ALLAH amuongoze jadidah lakupepea Qasimu mafuta yataa kwa uongo wake ..na amswamehe kwa chuki zake ALLAHUMA Amini

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 21 день назад

    ,mbona hamzungumzii zulma mlioifanyia mjane na yatima WA marhum said janjira nyote mnajua lakini mmefumbia macho Lila anaye shiriki kwa namba yoyote na akanyamaza asiseme kweli Allah anamuona insha'Allah haki haipotei hawakupata hapa duniani wataikuta akhera

  • @HamisiKacheche
    @HamisiKacheche 15 дней назад

    Mimi nilikuwa nauliza hivi " kusherehekea maulidi (Mazazi ya mtume Saw) au Christmas ipi bora??

  • @abubakarabdurahman7415
    @abubakarabdurahman7415 2 года назад +2

    Assalaam alykum!!
    Mimi napenda kuchukua nafasi ya kumnasihi huyu ndugu yangu aliendika comment mwanzo kabisa kua sheikh abul fadhli ni shaykhul islaam!!
    Haya maneno ni ya ghuluu yaan kuchupa mipaka kwa kassimu mafuta huyu ni sheikh na anajitihada ya kulingania daawa km walivo masheikh wetu wabora wengine km sheikh wetu mlezi sheikh mujahid na wengine!!
    Lkn hana manzila ya kuitwa eti ni sheikhul islaam

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 2 года назад

      Mche MOLA wako. Yeye ni binadam na anakosea kama wakoseavyo wengine. Kuna mambo mengi atakiwa kuzingatia. Attarghib wattarhiib. Ajirekebishe kwa ajili ya ALLAH SUBHANAHU WATAALA.

    • @abrahamansaidi8631
      @abrahamansaidi8631 2 года назад

      Amekosea nini?

    • @MohamedAlly-dq2rl
      @MohamedAlly-dq2rl 3 месяца назад

      Shehe wetu abuu fadhili pomoja na familia yako allhah awifadhi

  • @saidimpako5186
    @saidimpako5186 Месяц назад

    HIVI ILE SHOO YA MZIKI YA JENIFER LOPEZ KULE SAUDIA ILE NI DAAWA GANI MBONA MUPO KIMYA

  • @azizaj776
    @azizaj776 6 месяцев назад +1

    Hakuna tafauti kati ya Dawaa Salafia na Dawaa Answari Sunna WOTE Ramona na WOTE wafuasi wa IBNU TIMMIYA NA MOHAMMED ABU WAHABI ambao WOTE ni FINARIY JAHANAM - AMEEN 🤲🤲🤲🤲

    • @ObAH
      @ObAH 4 месяца назад

      Ittaqillah akhy

    • @TwahirBurhan
      @TwahirBurhan 20 дней назад

      WEWE NDIO MPUUZI NA MJINGA SIJAWAHI KUMUONA..HUWEZI KUMUHUKUMU MUISLAM MWENZAKO KWAMBA ANAKWENDA MOTONI HIYO INABAKI KUWA KTK UWEZO NA UJUZI WA ALLAH TU MIDHALI ANATAMKA QAULI YA LAAILAAHA ILLA LLAH

  • @thulaniduku3218
    @thulaniduku3218 2 года назад +3

    Funga kinya wewe mafuta kwa kuwadanganya ummah
    Aifayi muislamu kushirikiana na makafiri dhidi ya mwislamu
    Soma vitabu vya Sheikh Muhammad ibn Abdul Wahab rahimahullah

  • @shabaniaweso9718
    @shabaniaweso9718 2 месяца назад

    Ulongo jambo la kwanza kuwatenganisha baada ya shekh kurudi ni utaasisi na sio ilo muulizeni,lengine tv,hayo ya kuitwa jadida MTA miaka 3 aijapita toka waitwe

  • @SUNNAH0001
    @SUNNAH0001 2 года назад

    Ukweli kuhusu Qaasim mafuta na watu wake.👇👇👇
    ruclips.net/video/83R_95FQpl8/видео.html

  • @abuuaminah
    @abuuaminah 2 года назад +1

    Usalafiya ni project ya mayahudi.

    • @HakikaTvOnline
      @HakikaTvOnline 2 года назад

      Ulikuepo nao hao mayahud wakati wanaandaa iyo project au unaleta habari za kila wa kala

    • @mwanju3981
      @mwanju3981 9 месяцев назад

      Ukiona muslamu anaungana mmarekani ni myahidi wa wazi wazi...marekani iko kwa aajili ya mayahudi ​@@HakikaTvOnline

  • @MohamedMfaume-f7j
    @MohamedMfaume-f7j 5 месяцев назад

    Shekhe,akiacha uhizbiya,hali yake ya mwanzo itarejea.hivyo answar Sunnah ni hizbi na yeye shekhe ni hizbi.hivyo sijaona kama unautofauti nao.

  • @wajawemaonlineTV
    @wajawemaonlineTV 2 года назад +2

    UNYA NYA SAJI UNAO FANYWA NA WASHIA KWA MABINTI WA KIISLAM KWA KUFARADHISHA NDO....
    ruclips.net/video/uAvRvzTyImY/видео.html
    *MZUNGU MZAJI SHEIKH ABDUL RAUF AL MUNAAWIY*

  • @jumanasoro8903
    @jumanasoro8903 2 года назад

    Huna kitu wewe

  • @kassimualli1600
    @kassimualli1600 2 года назад

    Nyie wavuruga dini mbona mnaficha sura zenu washenzi wakubwa nyie

  • @muhammadmochenje1409
    @muhammadmochenje1409 2 года назад

    Shkh kassim mafuta hivi na kutetea saudi Arabia 🇸🇦 kutaka msaada kwa wamarekani 🇺🇸,kumpiga Sadam hussein mbona hiyo Saudi Arabia 🇸🇦 haitaki msaada 🇺🇸 kuwasaidia wapalestina,ambao hawa wapalestina wanadhulumiwa na Israeli 🇮🇱?hata useme nini Saudi Arabia 🇸🇦 na baadhi ya wafalme wao ni vibaraka vya mwamerika hilo liko wazi.

    • @Abuushaymaatz
      @Abuushaymaatz 2 года назад +1

      Wewe ushafanya Nini tuone Kama mfano?
      Pili kipi ni Bora kibla ya Kwanza au al Kaaba?,

    • @Abuushaymaatz
      @Abuushaymaatz 2 года назад +1

      Marekani wanashirikiana na Saudia kwenye Nini?,
      1. Diyni?(Daawa)
      2. Biashara
      3. Security
      4. All of the above?

    • @abuuaminah
      @abuuaminah 2 года назад

      Salafiy nii project ya mayahudi.
      Kafiri au asieswali kwao Hana tatizo,lakini shida Yao ni kwa waumini wa kiislamu.
      Usalafi ni kuvuruga waislamu na uislamu.

    • @مبغضالبدع-ع9ص
      @مبغضالبدع-ع9ص 2 года назад

      @@abuuaminah chunga unachokisema kaka, sababu aya na hadith ndio twawasikia wakisema! Ikiwa jambo huna ilmu nalo bora kuliwacha tu, sababu ukiulizwa siku ya kiama ulieleze hilo kwa ushahidi wallahi huna hoja ila chuki tu ulizobeba.

    • @abrahamansaidi8631
      @abrahamansaidi8631 2 года назад

      Uzuri wa uislamu ni kuachana na yasiyokuhusu