𝘿𝙠𝙩 𝙄𝙨𝙡𝙖𝙢 / 𝙆𝙖𝙨𝙞𝙢 𝙈𝙖𝙛𝙪𝙩𝙖| 𝗛𝗼𝗷𝗮 𝗞𝘄𝗮 𝗛𝗼𝗷𝗮 (𝘚𝘦𝘩𝘦𝘮𝘶 𝘠𝘢 𝘒𝘸𝘢𝘯𝘻𝘢)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 янв 2025

Комментарии • 380

  • @khamisjuma7616
    @khamisjuma7616 7 месяцев назад +40

    dr islam mwalimu mzuri sana na anaeleweka na elimu yake ni kubwa na hafarakanishi jamii na wala hajitukuzi wacheni husda na choyo

  • @MohamediAbdulHamadi
    @MohamediAbdulHamadi 15 дней назад +1

    Sheikh salimu abdurahamu barahiyani na doctor lslam na masheikh wa ansaar Sunnah wote ALLAH awahifadhi

  • @SULEIMANABDALLAMBAROUK-mg1gh
    @SULEIMANABDALLAMBAROUK-mg1gh День назад

    Mweny ezi MUNGU muhifadhi dr islam

  • @chuggaboy9877
    @chuggaboy9877 7 месяцев назад +19

    Dr Islam ni miongoni mwa wanaotoa Darsa safi sana…! Binafsi namkubali kuliko hao wanaomsema!!!

    • @KarneMpambaike
      @KarneMpambaike 3 месяца назад +1

      Ni kweli kabsaa Akhy

    • @abeidsamsung
      @abeidsamsung Месяц назад

      Kabisa ni kwel kwasabab mtu aseme utoke na faida kwamba ansema tufny nini haww ni chuki tu hakuna chakufanya kwamba mtu afanye nini ili aimairishe uislam wake hakuna kwa shekh kama huy
      Zaid anaulizw swal jib lake la kitoto

  • @NasirJussa
    @NasirJussa 7 месяцев назад +21

    Hamumpati muhuddi Dr Islam yupo juu daimaa

  • @nassortrans12
    @nassortrans12 7 месяцев назад +17

    Acheni husda kwa dr Islam
    ماشاء الله ماشاء الله ماشاء
    Angalieni darsa zake zaid ya saa na nusu anatoa darsa hatumii karatasi wala kusoma kitabu
    Anatoa darsa kwa kichwa
    Amehifadhi
    Allah amzidishie Elimu
    امين يارب العالمين

    • @YusufAli-gc9cu
      @YusufAli-gc9cu 7 месяцев назад +1

      Wacha kupelekwa na hisia za masheikh,,,we fuata haki

    • @chabunu3367
      @chabunu3367 7 месяцев назад +1

      Sasa hayo kasim mafuta ya Nazi ndiyo hayawezi nakisoma pia hukosea

    • @Onlyforfun1992tube
      @Onlyforfun1992tube 7 месяцев назад

      Dini IPO TZ saizi bana sio kenya

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 7 месяцев назад +2

      Dr amesomesha vitabu vingapi?

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 7 месяцев назад

      Wewe umesoma kitabu gani kutoka kwa Dr islaam,,,

  • @Muhammadhaji-y2o
    @Muhammadhaji-y2o 26 дней назад

    Shekh Kasim muogope Allah hujuikilakitu muachie nae Doktr akujibu

  • @abuukarata9653
    @abuukarata9653 7 месяцев назад +7

    Dk ana hekima sana, Allah amjalie

  • @wazirihamisi6484
    @wazirihamisi6484 6 месяцев назад

    بارك الله فيك وجزاك الله خيراً يا شيخنا الفاضل الله يحفظك على ما كنت

  • @ZAINABUYAHAYA-s3u
    @ZAINABUYAHAYA-s3u 14 дней назад

    Ata mm namuunga mkono Islam Allah amlipe Pepo!

  • @وزيرهالوزير-ذ8س
    @وزيرهالوزير-ذ8س 6 месяцев назад +1

    Dr islam Allah amlipekher huo mwalim muzur na anawaweza masarafijadida kwahio dr islam tunampenda kwajili ya Allah

  • @abubakarIddi-vf3bz
    @abubakarIddi-vf3bz 6 месяцев назад +1

    بارك الله فيك يا شيخنا خيراً الجزا سيعرفون بعد قليل إنشاء الله

  • @NtakarutimanaHassan-q9l
    @NtakarutimanaHassan-q9l 6 дней назад

    Hao wote ninjaa tu kwa sababu ma sheikh sasa hivi wamekuwa kama makocha wa team za mpira kila mmoja ana team yake sheikh alikuwa ni abud rogo Allah amrehem

  • @bassamawadhi7951
    @bassamawadhi7951 7 месяцев назад +7

    Ukifata Darsa za islam unataka kumsikiliza kila siku na mawaidha yake yanakubadilisha ALHAMDULLAH kwa kutuletea Huyu sheikh EastAfrika masalafi masalafi washamba tu nyinyi mnakuja Yemen kusoma mkitoka mnarudi na Elmu bila Hekma mnasumbua watu, SALAF Ndio njia yetu sisi waislam lkn nyinyi mnajiita masalafi Darsa zenu kazi kujisifia tu kuwa ndio watu wa peponi na wengine wote motoni ALLAH atuhifadhi na atuongoe tuache kujigawa kwa makundi tusimame na QURAN NA SUNNAH AMEEN YA RABB WALLAHY JIANGALIE MPO KWNY HAKI LKN KUJIONA SHEKHE WAKO NDIO BORA KULIKO WENGINE HII INAWAHARIBIA NA KUKOSA HEKMA

    • @ibnayub2374
      @ibnayub2374 7 месяцев назад

      Maneno yako mengi lakn hakuna point ya kuchukua, hebu tafuta history ya sheikh Qasim mafuta.

    • @MohamedHassan-kk5te
      @MohamedHassan-kk5te 7 месяцев назад

      Kasim mafuta unabalabala nyingi huna hoja hapa wacha ushamba ww huwez kuwa salafi salafunaswaleh hawatukana hata kidgo

    • @ibnayub2374
      @ibnayub2374 7 месяцев назад +2

      @@MohamedHassan-kk5te
      😁 Ushabiki utawauwa, ni TUSI gan Sheikh Qasim mafuta amemtukana daktar wenu? , huyu daktar Islam kasema Qasim mafuta Ana tabia za kike sio TUSI hilo? Tatzo lenu mmekaa kishabiki mpaka kwenye dini.

    • @topfreelancer5151
      @topfreelancer5151 7 месяцев назад

      ​@@MohamedHassan-kk5teTusi Ili liwe tusi unaona litolewe na mbaya wako sio mzuri wako au sio?

    • @SaeedMohammad-sw7jq
      @SaeedMohammad-sw7jq 7 месяцев назад

      ​@@ibnayub2374mbona hajamtaja mtu Ductor, lakini ndio daawa ilivyo, hufichua lile lililokusibu

  • @FadhilaMwema
    @FadhilaMwema 8 дней назад

    Nyie ni walokole wa kiisilamu tu ambao mmejikabidhi Pepo ya Allah mnaokufurisha watu

  • @muhamadismail-my1do
    @muhamadismail-my1do 7 месяцев назад +7

    Allah akufishe katika wiislam na sunnah juu ya ufahamu wa wema waliotangulia na allah akukutanishe na mtume صلى الله عليه وسلم jannah allahuma amiin

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 7 месяцев назад +2

      Usalafi gani huo wa kuwasema watu vibaya na kuwatoa kwenye dini ? Ndo njia ya walotangulia walikuwa wana watoa watu kwenye sunnah kama ninyi? Uzuri shekhe utheiminy kabainisha futna zenu hatupati shida kabisa wala hamtushughulishi na ujinga wenu

    • @adnanshaban2660
      @adnanshaban2660 6 месяцев назад

      Tumuombee Allah amuongoze na amruzuku hekma na uongofu elmu yake ndio imeishia hapo na ujadida wake ndio huo

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 6 месяцев назад

      @@adnanshaban2660 unaskia akhy hiki kikundi cha kina mafuta wanachekesha sana wanajiona wapo katika hakki kuliko wengine wanadai wameongoka wakati kuna mashekhe wakubwa wamekilaumu akiwemo utheimeeny kauli yake kabainisha wazi wapo karibu na kupatia lakini wamepotea baadhi ya sehemu eidha wamepotea kabisa leo imefikia kipindi mtu anakwambia kumjuwa mtu wa sunnah tz niyule anae mfata mafuta na kumjuwa mtu wa bidaa au hizb anae mpinga mafuta kwahiyo mashekhe wao ndo wamewwkwa indicator ya kujuwa ww mtu wa sunnah so mtume tena wala swahaba arafu hawasalimiagi watu hata uwe vipi umkubali shekhe wanaomtaka wao ndo utasalimiwa au kujibiwa salamu wakati mimi naskilizaga fatuwa za wanazuoni nilimsikia shekhe fawzan aliulizzwa swala la kumkata mtu inafaa kumsalimia mtu wa bidaah akajibu kama bidaah zake ndogo hazikufurishi utamsalimu au akikusalimu utaitikia ila unamsihi aache bidaa na kumkata mtu kuto msalimu mtu yule mwenye bidaah zinazomkufurisha na kumtoa kwenye uislamu mtu huyo ndo haistahiki kumtolea salamu lakini Hawa mabwana siku zinapoenda ubaya wa pote lao unadhihirika siku hadi siku

  • @Fatma.mahmod.abdallah
    @Fatma.mahmod.abdallah 7 месяцев назад +7

    Naomba pia Duktur ajirekebishe namna kujibu hoja mie nimeskia akitusi hao masalafi na ametowa maneno machafu sana hakutoa jibu kwa hoja zozote za huyo kasim mafuta

    • @SaidKessy-f5p
      @SaidKessy-f5p 7 месяцев назад

      Ajibu hoja gani wacheni hasadi za shehe kasema semeni kala rasulullah na kala llahu taala wacheni chuki na hasadi na kusemanasemana kama wanawake

    • @sadofaraji5999
      @sadofaraji5999 7 месяцев назад

      Sema hoja gani hakujibu nikuoneshe.

    • @sadofaraji5999
      @sadofaraji5999 7 месяцев назад +1

      Salafi imekuwa dini,kila dakika salafi,salafi nani atazungumzia uislam

    • @BroicBro
      @BroicBro 16 дней назад +1

      Alafu shekhe wao salafi Ruhayli alisema palestine hakuna jihad bila daleel mbona hawamkosoi ? Kama huamini search ruhayli syria

  • @Muhammadhaji-y2o
    @Muhammadhaji-y2o 26 дней назад

    Dakta Islamu Munguakulinde nakila ovu isiwemtumwenyekujikweza kamahao wanaosema tusomekwao 2 watupotoshe

  • @BroicBro
    @BroicBro 16 дней назад +1

    12:53 Hapo juu? Juu wapi??? Tahadhari na aliekua hivo (anayejinasibisha na vikundi vikundi kama ndege) hio ndio iliyokusudiwa hapo

  • @SaidiMbega-j4n
    @SaidiMbega-j4n 4 месяца назад

    Wewe qaasimu mafuta huna hoja ila nimpokwaji tu na usipotubia utakufa vibaya sana kwaku wachafua mashekh mche allah qasimu

  • @Abdulrashedalhilaly
    @Abdulrashedalhilaly 7 месяцев назад +7

    NIMEHUDHURIA DARSA ZA MASHEIKH MBALI MBALI TANZANIA NA KENYA
    LAKIN DARSA ZA DUKTUUR WALLAHI WAHISI RAHA YA ELIMU KUSOMA CHINI YA SHEIKH ZAAHID TAQIYY نحسبه كذلك والله حسيبه

  • @fisabillah-o7r
    @fisabillah-o7r 7 месяцев назад +4

    Sheikh Mafuta muogope Allah, wanazuoni ninyi ndio chanzo cha faraka na mipasuko ktk kamba ya Allah... Wallah mtaulizwa kwa kila mlichokichunga, sahii ni husda kubwa mwafanyiana mkishaona watu wanapenda darsa za Sheikh Fulani basi utatamani wale watu wote waje kwako wakufuate wewe... Wallah mtihani na Allah atawauliza, moto wa Allah ni mkali mno jamani

    • @AbdulqarimhassanSwalehe-sz2er
      @AbdulqarimhassanSwalehe-sz2er 6 месяцев назад

      Hakika akahy yaani allah awaongoze walinganizi wa ahlsunnah waljamaa

    • @BroicBro
      @BroicBro 16 дней назад +1

      Sh kassim alipoulizwa kuhusu Dr Islam...angejibu kama daee mwenye kuogopa yaumul hisab..kama Dr Islam analingania kutumia daleel na burhan basi mfwateni la sivo mkataeni..ila yy jawabu lake tangu mwanzo linaonesha ako na shida flani na Dr Islam..Allah atamuuliza kwa jawabu lake hilo...swali lenyewe ni ovu...je Dr islam ni salafiyu...salafiyu ni kikundi sio lazima ajinasibishe na kundi lenu.

    • @jaafarmustafa4987
      @jaafarmustafa4987 9 дней назад

      Kwani mtu hawi salafy mpaka asame au ataje manhaj salafy akilingania tu haitoshe mpaka anasema kwa manhaj salafy acheni upumbavu

  • @maulidympembeta6045
    @maulidympembeta6045 5 месяцев назад

    Dr.Islam Assalamualaikum. Allah amekujalia unakubalika Kwa hekma ulonayo katka darsa zako na da'wah Yako Sasa kuwa makin na hawa masalaf wasije wakakutoa kwenye mstari , usipende kuwa jib wenzako ndio wanapenda hiyo mipasho . We fundisha watu dini na walinganie . Anayekushambulia Allah atakujibia , kumbuka ile hadith Allah akimpenda mja bac yeye ndiye Huwa macho yake ,miguu yake mdomo wake ........

  • @chuggaboy9877
    @chuggaboy9877 7 месяцев назад +6

    Allah amuhifadhi Dr. Islam

  • @MalbaraHassan-n1f
    @MalbaraHassan-n1f 29 дней назад

    Shekhe kasim mafuta yupo sahh xana mashallah Allah amuweke tupate kujifunza mengi inshaallah

    • @HuseinLucas-o3v
      @HuseinLucas-o3v 27 дней назад

      Hamna kitu hapo hilo ni povu tuu

    • @HakizimanaSelemani-wg3ze
      @HakizimanaSelemani-wg3ze 22 дня назад

      Insha ALLAH ❤❤❤ AMIIN🤲
      ALLAH AMUHIFADH SHEIKH QASIM MAFUTA QASIM

    • @BroicBro
      @BroicBro 16 дней назад +1

      12:25 Watu ni kama makundi ya ndege...wameumbwa kufanana...basi tahadhari kusuhubiana na aliekua hivo (kujifananisha kama ndege makundi makundi)

    • @BroicBro
      @BroicBro 16 дней назад +1

      Sheikh Kassim alipoulizwa kuhusu Dr Islam angesema kama ana lingania watu kutumia daleel na burhan za Quran na Sunnah basi mfwateni la sivo achaneni nae...jawabu lake la kwanza lina makosa makubwa na linaonesha ana shida na Dr Islam na hataki kusema wazi wazi

  • @YusufuMustafa-c5m
    @YusufuMustafa-c5m 5 месяцев назад +1

    Shekh Qassim Mafuta allah akuzidishie umri wenye manufaa kwani juhudi unazozifanya za kutuzindua ktk dini yetu ya uislamu ni kubwa sana

  • @MohammedShehe-x8p
    @MohammedShehe-x8p 6 месяцев назад +1

    Ni vizuri awa wawili wakakutana ukae kwa munakasha wa live bila ya fujo za mashabiki wa mtandao ili tujue nani yupo sahihi zaidi

  • @HakizimanaZainabu-f8d
    @HakizimanaZainabu-f8d 7 месяцев назад +9

    Allah akimpa mja wake neema hakuna kiumbe yeyote ambae yuko na uwezo wa kumuondoshea neema hiyo Sheikh Kassim wallah uko na maradhi ya hasad,fitna,khila na khiyana Allah akuongoze na awuponye moyo wako na maradhi hayo aamiin

    • @islaminmyheart9348
      @islaminmyheart9348 6 месяцев назад

      Ipi dalili yako juu ya hili? Je? Una ilimu yoyote ututolee? Au ni maneno matupu tu?

    • @MahmoudAli-rs5mi
      @MahmoudAli-rs5mi Месяц назад

      ​unataka dalili ya aya na hadith dah ww kiboko

    • @HakizimanaSelemani-wg3ze
      @HakizimanaSelemani-wg3ze 22 дня назад

      We mbona waropoka tu
      Halaf na kiapo unaweka

    • @HakizimanaZainabu-f8d
      @HakizimanaZainabu-f8d 18 дней назад

      Wewe kasome kabla ya kujibu.
      Icho anachokifanya Sheikh Kassim nisahihi katika dini ?

    • @HakizimanaSelemani-wg3ze
      @HakizimanaSelemani-wg3ze 17 дней назад

      @@HakizimanaZainabu-f8d hapo utakutana we ndo hujui chochote
      Kazi kuropoka tu
      Ati sheikh Qasim anamaradhi ya hasad fitna
      Punguza maneno weye utachekwa
      Ukiwa unamzungumzia Huyo sheikh bas usisahau kusema ALLAH amuhifadh

  • @Nature-xe7lu
    @Nature-xe7lu 7 месяцев назад +5

    hmmmm kasim mafuta yupo level nyengine... acheni mchezo jamani😮😮

    • @abrahmanhamad3253
      @abrahmanhamad3253 7 месяцев назад

      Hana level yyte hn hekma

    • @abrahmanhamad3253
      @abrahmanhamad3253 7 месяцев назад

      Anasema watu vbya

    • @saidali9255
      @saidali9255 7 месяцев назад

      Level gani hiyo?.Kassim Husda kibao!

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 7 месяцев назад

      Level ya kijadida sawa ila ukisema usalafi wa kweli hamna kitu pale guruu matamanio na fitna yupo vzr kwa majadida hapo tutakubali

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 7 месяцев назад

      @@saidali9255 husda kivipi yani,,,yani ilmu anayosomesha huoni,,,

  • @MozaMachinga
    @MozaMachinga Месяц назад

    Allah akulinde na akuandalie malipo yaliyokuw makubw wan kaz unayoifany ni kubw Qasim mafuta

  • @OthumanHamisi
    @OthumanHamisi 4 месяца назад

    Masalafi acheni shokoshoko fanyen kazi ya ALLAH. Shekhe Kasi bazi ya mambo kaa kimya. Ushakua

  • @chabunu3367
    @chabunu3367 7 месяцев назад +6

    😂😂😂 Islam hawezi wajibu nyinyi kumbavu ama kweli huja jibu kasim mafuta ya Nazi Islam Hana time ya upuzi songa mbele sheikh Dr Islam Allah akuhifadhi

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 7 месяцев назад

      Tukanatu. Ila sikuyasitlku utajuta

    • @YusufAli-gc9cu
      @YusufAli-gc9cu 7 месяцев назад

      Ikiwa maneno ya sheikh qassim yana utata, ili watu wasipotezwe muambieni duktur ayarudi,,, hana haja,,,na wala hawezi kuyajibu maana ni ya haki

    • @chabunu3367
      @chabunu3367 7 месяцев назад +2

      ​@@HanifaOman-oo4plna nyinyi pia mutakuja juta pakubwa kushukisha heshima za masheikh mambo matatu ya hifadhiwe juu ya mwislamu heshima,damu Mali hatutiweza kuona sheikh Dr heshima yake ikipakwa matope

    • @MussaTendwa
      @MussaTendwa 7 месяцев назад

      Hawezi kujibu vipi Sasa katika mazungmzo yake si alisema leta hoja za ki'ilmu ziekwe juu ya meza si ndio zimeekwa Sasa au

    • @chabunu3367
      @chabunu3367 7 месяцев назад

      @@MussaTendwa mjoomba hoja hazijibiwi hivo muambiye kasim mafuta Kuna masheikh kibao wanataka mdahalo hoja kwa hoja yy awe upande wakulia na sheikh upande wa pili kuwe na ummah hapo ndiyo sawa ila kwa hivi nikama anajielewa mwenywe

  • @AbdulSaid-l9k
    @AbdulSaid-l9k 6 месяцев назад +2

    Allah atuongoze

  • @ahlulhadeeth
    @ahlulhadeeth 7 месяцев назад +4

    Tunasubiri sehemu ya pili sasa.Allah awahifadhi mashekhe wetu kwani tumebainikiwa Barakallahu fykum.

  • @Abdulrashedalhilaly
    @Abdulrashedalhilaly 7 месяцев назад +7

    DUKTUUR ISLAM ALLAH AMHIFADHI NA KILA SHARI SISI TULO KAA CHINI YAKE NDIO TWAMJUA
    ALHAMDULILLAAAH DUKTUUR AMETULIA NA ALLAH AMEMPA HIKMA NA BUSARA KATIKA KULINGANIA
    SHEIKH AMENYOOKA NA UMMA WASHUDIA HILO ISPOKUWA ANAE JIZIMA DATA

  • @NasoloMheto
    @NasoloMheto 7 месяцев назад +2

    Allah akuhifadhini wote na akuongozen kwa huruma yake

  • @mengihashimu1081
    @mengihashimu1081 7 месяцев назад

    جزاك الله خيرا يا شيخ

  • @faridsaid60
    @faridsaid60 7 месяцев назад +2

    Shekh kassim yuwasema ukweli japo kua ni uchungu kwa wangine haya mambo ni ya allah siya kikabila jamaa

  • @spares-repair
    @spares-repair 7 месяцев назад +2

    Kabla kutuma comment sikiza video mpaka mwisho. respect kwa dr Islam na sheikh Mafuta kwani hivi ni vita zenu sisi kama wafuasi wasia wetu shikamaneni mufunze dini na mueneze dini ❤

  • @mwanajumanassor9579
    @mwanajumanassor9579 7 месяцев назад

    Huyu sheikh anatabu sana hata masalafi wenziwe wamjua anatabu sana Allah amuongoze

  • @mikekhalifaali7510
    @mikekhalifaali7510 7 месяцев назад +3

    Dr Islam Muhammad ni Sheikh anatoa Darsa na anafunza vizuri sana sio Jadida

  • @rajabTaratibu
    @rajabTaratibu 7 месяцев назад +1

    Allh awaongozen ila jihatadn kuacha ushabik katika din

  • @AdanHassan-g7w
    @AdanHassan-g7w 7 дней назад

    Wewe kasim mafuta ulisha nasihiwa umuogope Allah na umuache Dr Islam kwani humfikii Kwa elimi.
    Basi kama hutomuacha Dr Islam, na waendelea kugawanisha waislamu. WALLAHI BILAHI TALLAHI, Insha Allah Mimi Adan Muhammad Hassan nitakuja huko nikupoteze na wala hajanituma mtu yoyote ila ni Mimi Tu nimesinywa na maneno yako. na wewe tafuta umaarufu Kwa nguvu zako zote lakini jua "wafawqa kullu dhii ilmin aliim".
    Na sikiza olewako ukithubutu tena kurusha maneno yako yakijinga Kwa Dr Islam na m.bachu wallahi nitakupoteza insha'Allah.

  • @Abdulrashedalhilaly
    @Abdulrashedalhilaly 7 месяцев назад +1

    ALLAH AKULINDE DUKTUUR ISLAM MWALIMU WETU NA AWATIBU MARADHI YAO HAWA WENYE MARADHI NA HASADI WAKIJIFICHA CHINI YA KIVULI CHA MANHAJ SALAF BILA KUJUA KUWA WANAYO YAFANYA HUKHALIFU MANHAJ SALAF

    • @ahmedrage9664
      @ahmedrage9664 7 месяцев назад

      Wewe Bado mwanafunzi soma dawaa'waah salafiyaaah kwanza, sio maneno ya majihizibi unao tembea nao

    • @HarunaOmar-ip5iv
      @HarunaOmar-ip5iv 7 месяцев назад

      Nam shekh wangu ningekuomba kama unawez kunisaidiya la groupe doctor islam wasap ili niwez kupat Fawaidu namimi

  • @MohammadSilimu
    @MohammadSilimu 6 месяцев назад

    Sheykhe ALLAH. akuongoze ila we upon mbali kabisa na ufaham salafi umebeba misimamo ya ma sheykhe. Zako. Na sio hujielewi sheykhe

  • @hassanmohdally5217
    @hassanmohdally5217 7 месяцев назад +3

    Wewe kasimu mafutaa kilaa siku kusemaa wenzio unahusdaa sanaaa unasemaa umsikilizii sasaumejuwaje kamaa haongelei hayoo mambo achaa hizoo mambo shekhe mafutaa kilaa siku

  • @hamudseif
    @hamudseif 7 месяцев назад +1

    Leo nimejua huyu(Mafuta) mtupu kabisaaa

  • @Munir-yi8gn
    @Munir-yi8gn 7 месяцев назад +3

    Kusomesha watu Riyadh salihin na kutafsiri Quran itakua sawa na kuchambua watu kua yupi ni salafi unatia mtu kwa usalafi mwengine wamtoa wahukumu watu kwani we mungu! Neno salafi ni hilohilo sunnah musije kujipata makhawarij kwa kujiona wachamungu sana!

  • @YusufuShaibu-t5e
    @YusufuShaibu-t5e 5 месяцев назад +1

    Shekh Kasim Allah amuongoze na amsimamie katika kila jambolake la kheri, kwakweli ANAPAMBANA SANA japo wajinga hawamuelewi

  • @IsmailFeruz-bw8hk
    @IsmailFeruz-bw8hk 7 месяцев назад +5

    Wewe usimtambue ila East Africa nzima inamtambua kuwa ni عالم معتبر 🤍

  • @mareeabdalla5739
    @mareeabdalla5739 7 месяцев назад +3

    Huyu mafuta niwale wanao dhani wao washabashiriw pepo

    • @allykayanda6930
      @allykayanda6930 7 месяцев назад +1

      Kwanza jiangalie mwenyewe ulivo kisha mzungumzie mafuta,wewe umevaa kapelo na suti kama mgaratia namna hiyo 😂😂😂

    • @IdrisaAbdallah-ze2cq
      @IdrisaAbdallah-ze2cq 5 месяцев назад

      Urivo kama twauhnguti

    • @IdrisaAbdallah-ze2cq
      @IdrisaAbdallah-ze2cq 5 месяцев назад

      Kahachin usome kwanza

  • @masoudmohammed4258
    @masoudmohammed4258 7 месяцев назад +2

    Mashaallah sheikh Qassim mafuta Allah akuhifadhi sheikh wetu Abuu Fadhil

  • @ABASIRAMADHAN
    @ABASIRAMADHAN Месяц назад

    Allah amhifadhi shekhe kasim mafuta kabainisha na pia Allah atungoze sote sisi Dr islam maana shekhe Dr islam amekataa kubainisha majibu yake nimatusi lazima daawa hii yakisalafi ibainishwe ujilikane wewe ninani marafiki zako nikina nani mbona hadithi ziko nyingi sana juu jambo hili ivi katika makundi 73 bila kubainisha kwa misingi utajijua kama wewe uko kundi gan? Jamani mbona inakua hivi shuleni tulivo kua tunasoma ilikua darasa moja imegawanyika kuna A B C D E nakila kundi lina watu wake na sifa zake na mambo yake ubainisho huu niwawazi na inajulikana kwakusemwa kama kundi fulani sifa yake ni hii

    • @HakizimanaSelemani-wg3ze
      @HakizimanaSelemani-wg3ze 22 дня назад

      ALLAH akulipe naweye pia
      Hakika SHEIKH QASIM MAFUTA QASIM nimwalim mzuri sana ALLAH AMUHIFADH

  • @ahmedabdulwahab5444
    @ahmedabdulwahab5444 7 месяцев назад +7

    Wacheni Chuki ,Hasad na wivu zenu. Daawa etaendelea bila Nyinyi. ALLAH Subhana wataala amhifadhi .

  • @IsmailFeruz-bw8hk
    @IsmailFeruz-bw8hk 7 месяцев назад

    Kwanza huyu ukianza kumtaja jina lake lazima uanze na herufi ya Dr.halafu ndo uendelee wewe sasa unatajwa na kama mafuta ya kupikia shee mafuta 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @AdamuYusufu-z2c
    @AdamuYusufu-z2c 6 месяцев назад

    Sheikh Dr alaakuhifathi

  • @MuhammadShariff-ji9ye
    @MuhammadShariff-ji9ye 7 месяцев назад +2

    Ikiwa hufatilizi darsa zake ulijuaje kama hazungumzi usalafi ilmu ndogo ina shida

  • @khamiskhamis9947
    @khamiskhamis9947 7 месяцев назад +1

    Hii Da'awah mm mwenyewe siilewi, chuki nyingi dhidi ya Masheikh, sijuwi wanataraji nini hawa mbele ya Allah. Kwa sababu hichi wanacho kifundisha kipo kinyume na mafundisho ya Mtume صلى الله عليه وسلم

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 7 месяцев назад +2

      Tatizo lako hujui misingi ya daawatu salafiya,,sasa ndio maana waona kutatizwa, ,,,wewe kwa kutokufaham kwako waona ni chuki, unawahofia kukutana na Mola wao vibaya ,,,matatizo unayo wewe usiyejua kuwa usalafy ni nn ،،kwahio kaa chini ndugu yangu usome ndio utajua hii Daawa sio chuki bali ndio Daawa ya mtume, ,,,lkn Faham zikiwa ndogo utabaki kukashifu tu na Hali Tatizo utakuwa nalo wewe.,,angalia haki usijawe na huruma isio na faida,,

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 7 месяцев назад

      Tatizo nyinyimnaangalia kumpendamtu ampomakini naanacho kielimisha mnakibebatu naatamkilekebiswa hamkubali

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 7 месяцев назад

      ​@@ABUUJAAFAR92Usitudanganye daawa ya mtume ndo kuwatoa watu kwenye sunnah? Kwani mtu akilingania kitabu na sunnah na wema walotangulia maswahaba huyo ni salafi hata bila kujitangaza mimi salafi ulinganizi wake tosha kukujulisha yule salafi sasa na ndo kauli za wanazuoni wetu shekhe utheiminy nae kasema usalafi so kikundi cha mtu binafsi au chama cha watu fulani yeyote nwenye kupita mipito ya quruani na sunnah huyo salafi tatizo linakuja ninyi mmefanya usalafi ni hizbi ya watu maalumu yeyote aso katika ninyi huyo mnamtoa kwenye manhaji ya wema walotangulia ninyi mmekuja na usalafi mpya mapito yenu tofauti na masalafi swalehe awakutoana kwenye njia kama ninyi leo hilo kundi leenu mmeingia cha kike msitufanye sis hatujui maana ya usalafi eeeboo!!!

    • @HakizimanaSelemani-wg3ze
      @HakizimanaSelemani-wg3ze 22 дня назад

      Elim yako fupi sana

  • @keazi9638
    @keazi9638 6 месяцев назад +1

    Wote mawahabi sisi tukopembeni

    • @SHOMARYHIMIRY
      @SHOMARYHIMIRY 5 месяцев назад

      Nini maana ya wahabi maalim?

  • @HuseniChina
    @HuseniChina 4 месяца назад

    Shekhe kasim anapotosha watu na ataenda kuulizwa

  • @omaryally5743
    @omaryally5743 6 месяцев назад

    Ushaur wangu kwa sheikh qasim mafuta kweli Yuko vizur ila Dr Islam Yuko vizur Zaid kwahiyo sheikh qasim angenufaika na Dr Islam maana hata kwa kuwasikiliza Tu duktuur ni ductour Tu kaeni chini mnufaike Naye husda tuziweke pemben...Allah awahifadhi masheikh wetu wooote na kwapamoja Allah atupe mwisho mwema

  • @AllyKame-rx2zd
    @AllyKame-rx2zd 7 месяцев назад +1

    Umesema neno Shekh Kasim na kulipinga papo hapo, Kwa maana ni kama hujalisema: waarabu wasema: انكنت كذابا فكن ذكارا
    Jambo ulosema: ni kwamba husikii darsa za Doktoor, siali, ulijuaje mapungufu na manhaj yake?
    Pili: mbona ni Doktoor Islam pekee umefuata hatua zake?
    Ujue watu wana akili, usijifungie kwako unadhami ulimwengu umeufunga katika fikra za kuta nne zilizo zunguka chumba chako.
    Kuna mashekhe wangapi mbona mno Doktoor Islam, au ni sababu ya umaarufu wake?
    Ni kweli twaona umaarufu wake unaumiza moyo wako, ila kwa inswaaf tosheka na alicho kupa Allah, kubali kama walivo tii malaika ubora wa Nabii Adamu Alayhi Salaam, na usipinge kama alivo jiona bora iblis kuliko Nabii Adamu Alayhi Salaam kwa kitendo cha kutomsujudia na kupinga amri ya Allah

  • @NasirJussa
    @NasirJussa 7 месяцев назад +1

    Shekhe Gani ata kuonekana haonekani 😂😂😂😂 shida ni uso mbaya ata shauku hana... We umeona wapi mtu anaongea halafu haonekani.. eti picha haramu basi na pesa pia msitumie leteni pesa izooo tuzitumie sie..😂😂😂 majuhhaal wakubwa na upuuzi tu mjuayo basi

    • @HakizimanaSelemani-wg3ze
      @HakizimanaSelemani-wg3ze 22 дня назад

      Ndugu mbona watukana tu 😢😢😢
      Hujasoma
      Huna elim
      Kazi kuropoka tu nakutukana tu

  • @MuhammadShariff-ji9ye
    @MuhammadShariff-ji9ye 7 месяцев назад

    Alhamndulilahi tumejua haki Iko wapi

  • @MohamedParata
    @MohamedParata 7 месяцев назад +2

    Tunakuomba Allah utuhifadh sote Waislamu na waumin

  • @ExcitedCricketHelmet-wr4sq
    @ExcitedCricketHelmet-wr4sq 7 месяцев назад +4

    Tandika kisawa swa mpaka warudi swa hawa mahizbi na makhurafi hakuna kuwapa nafasi hawa

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 7 месяцев назад

      huo ni ujinga na so usalafi wa kweli ninyi ndo mrudi katika sawa ndomana shekhe utheiminy Allah amrehemu kataja fitna za kundi lenu hilo na dalili zote mnazo hapo amkimbii teteeni ile hojja kimya mpk mpk leo amna alokuja kutetea iyo hoja mnaruka ruka tuuh shekhe islamu yupo kwenye hakki kuliko ninyi majadida

    • @ExcitedCricketHelmet-wr4sq
      @ExcitedCricketHelmet-wr4sq 7 месяцев назад

      @@AbdulIssa-o7e Sasa ww hizbi nikuulize Mambo mapya gni walileta salaf kama hulingani watu tawheeed na bidaa umerudiwa kwa sababu huu uwanja mnaukimbia kwa kuiangalia maslahi ynu miaka kumi na Tano mtu anafunza vitabu vitatu tu mbona mnahangaika mkae chini mufunze nyinyi mahizbi

    • @twahambowe440
      @twahambowe440 7 месяцев назад +1

      Dkt Islam ni salafiyya halisi, na yupo vizuri sana ktk kutangaza daawa salafiyya

    • @nasilukilawaga2021
      @nasilukilawaga2021 7 месяцев назад

      Duh!​@@twahambowe440

  • @SaidKatuga-qx1xr
    @SaidKatuga-qx1xr 7 месяцев назад +4

    We kassim mafuta huna kitu Ni fujo tu Dr. Islam anazungumza vitu vya maana Sana twampenda usiwe na wivu Kama kakuzidi kubali tu we mzee dawa zako we mafuta hazieleweki vituko vitupu.

  • @abousumayyahhassandjuma1332
    @abousumayyahhassandjuma1332 7 месяцев назад +1

    Masheikh wataambiwa maneno machafu na kutukanwa sababu ni wewe ilo tambuwa na uandaye majibu utampa mola wako hiyo siku.

  • @HamidaMohamed-be5kg
    @HamidaMohamed-be5kg 7 месяцев назад +5

    We qassim wafuta ya nazi unapenda sana kupinga mashekh wenzio we inakuhusu na nn ili hali we mwenyewe hukai mombasa hiii

  • @Bamatraf-gn5js
    @Bamatraf-gn5js 4 месяца назад

    Tumcheni Allah, haya mambo ya kujeruhi waachieni ULAMAA. Matulabu ilmu na maàwamu kama sisi hatutaulizwa kwa nini hujamtahadharisha fulani kwa sababu hiyo haiko katika mustawaa wetu. Wale waliobainishwa na ULAMAA kama mashia, masufi n.k. endeleeni nao.

  • @AbuuKhadija04
    @AbuuKhadija04 7 месяцев назад +3

    Muhadhara niliusikia wakati ulipotolewa na leo nimeusikia ni kama sijawahi usikia mpya kabisa maa shaa Allah hii ndio manhaj salaf ni elimu tupu uadilifu wa hali ya juu kutoka kwa sheikh Abul Fadhl Allah Amuhifadhi

    • @HusseinAbdul-is9xq
      @HusseinAbdul-is9xq 7 месяцев назад

      Allah s.w.t tujarie elimu yenye manufa Duniani na ksho akhera. Na utujarie ufahamu aàmin

  • @AbdulSaid-l9k
    @AbdulSaid-l9k 6 месяцев назад

    Duu sisi watu wasuna sijui tunashida Gani maana kazi yetu kukosoana

  • @Abdulrashedalhilaly
    @Abdulrashedalhilaly 7 месяцев назад +5

    Umetutisha na picha za movie za kituruki Tuh Halfu Hamna lolote 😅

  • @ahmedabdulwahab5444
    @ahmedabdulwahab5444 7 месяцев назад +6

    Mtachoka na husband, chuki na wivu yenu.
    Sheikh Islam Allah Subhana wataala amhifadhi na nyinyi Hizbi Salafi Jadida

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 7 месяцев назад

      Hawa jamaa usipo piya mipito yao we so salafi kaa mipito yao mipya kabisa so ya wema walitangulia yani Allah katupa mtihhani kweli juu ya Hawa watu

  • @Onlyforfun1992tube
    @Onlyforfun1992tube 7 месяцев назад +1

    Hongera TZ kenya lazma waje kusoma bongo

    • @mahatmamgenge
      @mahatmamgenge 7 месяцев назад

      Huyo qasim mafuta hakusoma Kenya?

    • @Onlyforfun1992tube
      @Onlyforfun1992tube 7 месяцев назад

      @@mahatmamgenge subiri uoneshwe kazi wewe wa TZ tuna elimu hio zamani nyinyi mkisoma unguja

    • @Onlyforfun1992tube
      @Onlyforfun1992tube 7 месяцев назад

      Tanzania kila elimu Iko nyinyi vilaza tu subirin na madogo wanapiga shule saizi mtajionea

  • @abumuhammad7802
    @abumuhammad7802 7 месяцев назад +5

    Dr. Islam yuko sawa kabisa.

  • @abuukarata9653
    @abuukarata9653 7 месяцев назад

    Kwani mafuta ana elimu ya kiwango gani? Nataka kujua kama ni zaidi ya doctori sawa

  • @AbuunurhiyyaAssalafy
    @AbuunurhiyyaAssalafy 17 дней назад

    Tatizo hapo kwamahzby wanaiogopa Sana saut ya sheikh abul fadhl maana Hy nisaut yasimba wakisalafy ikiunguruma tu mahizby wote nyoyo zawaenda mbioooo

  • @DicksonLutende
    @DicksonLutende 4 месяца назад

    Shekhe unaongea sn, lete hoja sawasawa, au kwakuwa Allah amekujaalia ufasaha wa kuongea? Lete hoja ya msingi acha faraqa

  • @StamilAlly-o6f
    @StamilAlly-o6f 4 дня назад

    Mie sijamuelewa huku kasim mafuta nn lengo lake mbona Hana akhlak za kiisilaam? Au Kuna mtu nyuma yake ambae anamtuma aje kuufarakanisha udugu wetu wa kiisilaam?

  • @ABUUJAAFAR92
    @ABUUJAAFAR92 7 месяцев назад +4

    Mahizbiy hapa hawana hoja kabisa ,,usulu wao umebaki kutumia huruma tu ,,,ukiona mtu yeyote analeta hoja za kuwa masalafy wana chuki,hasadi,sijui mwakataa picha mbona mumeeka ya dr ,,jua tu huyo hana hoja na haqi ameiona kwa sheikh qaasim lkn kwa sababu ya ushabiki wake anatafuta njia za kutetea baathl

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 7 месяцев назад

      Amna hakki yeyote huko bado ni mpo kwenye mapote kama mengine tuuh ghuruu na kutupa mipaka huyo boss wenu mwemyew nae ashatolewa kwenye sunnah na hiko kikundi chenu kina taabu kila mtu amjeruhi mwenzie Allah awasamehe na awaongoze katika sawa mafuta mwenyewe ahesabiwi kashatikewa kwenye sunnah yani toka mmekuja ninyi tz mmevuruga safu za ahlsuna tumeingiliwa kwakweli mtihani alotupa Allah mkubwa kweli juu ya hilo kundi na uzuri shehe utheiminy kasema na kabainisha upotovu wa kundi lenu hilo atupati tabu

    • @chabunu3367
      @chabunu3367 7 месяцев назад

      Masjid luta reyyadul swalhin masjid jundah kwa ustadh swadik pia huyo hiyo Alhamdulilah faida ni nyingi

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 7 месяцев назад

      @@chabunu3367 miaka mingapi amefunza hicho kitabu ?,,

    • @abuuyasir1253
      @abuuyasir1253 7 месяцев назад

      Kwa hivyo shehe lako ni salafi kuzidi waalimu wa Saudi wake ambao picha zimejaa kwa mitandao,acheni fujo na ujinga aty ma hizb mm ni hizb Allah kwani ww ni hizi shaytwan

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 7 месяцев назад

      @@abuuyasir1253 ukifata fatuwa ya ibn utheemeny wao ndo mahizb sabu mipito wanayopita nayo na tabia zao so salafi walotangulia utakuta wanapasuwa safu ya ahlsunna wanagawwa vikundi wakati ni haramu makundi katika uislamu kinacho bidi kupita katika njia ya mtume na wema walotangulia sasa ukija na fikra za kikundi chako kipya kingine chenye fikra mpya tofauti na wema walotangulia ni hizbi sabu siumeacha njia ile ukaja na mpya hivyo salafi ni wajibu wa kila muislamu afate njia hii lakini ukianzisha kikundi chako ukafanya kama ni chama cha watu maalumu huwo so usalafi kitu utakuwa ww ndo hizbi kwaaiyo shekhe kafafanuwa vzr wasome Hawa wanaodai usalafi kisha wanawatoa wenzao katika man hajji ya kweli na kuwa nasibisha na majina ya makundi ya dhwalala huuu so usalafi wamsome shekhe utheimeen watamuelewa warudi katika mstari maana wao ndo wameoinda

  • @SadaAbdallah-z9t
    @SadaAbdallah-z9t 6 месяцев назад

    Kasim mwalim wangu

  • @qassimkc5898
    @qassimkc5898 7 месяцев назад

    Mbona mmoja mmempa dakika nyingi kujieleza na mwengine mumemuonea ?

    • @YusufAli-gc9cu
      @YusufAli-gc9cu 7 месяцев назад +1

      Punguza maneno ya huyo mwengine alafu ubakishe ya mwingine! Wala hautoweza maana hapo ni hoja baada ya hoja,,,, kwa dalili

    • @rahmahsaidomar9111
      @rahmahsaidomar9111 7 месяцев назад

      Na hakuna anachoeleza wamwache Dr. Islam atupe elimu. Na kama hamjui asiongelee mtu hamju sifa zake. Dr. Islma ashawai jibu kubusu Salafi na akatoa fatwa ya Ibn Baaz. Sasa wewe mafuta kajipake ututokee hapa.

  • @IssaBachuMuhammadjr-rr3ri
    @IssaBachuMuhammadjr-rr3ri 7 месяцев назад +4

    Wewe kasim mafuta fikiria sana usidanganye bana alfu sisi tunajua masalafi ni akina nani tena vizuri sana achana na Islam.

  • @WakaliFashionTz
    @WakaliFashionTz 7 месяцев назад +2

    Hii channel ya kimbea mbea San kwann mnapenda kugombanisha watu km kweli hao kina mafuat wanataka Haq siwamfuate wamnakish kwann au ndo kuogopa??

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 7 месяцев назад

      Awa kilichowauma dr alipobainisha fitna za kundi lao muhadhara wake ule tanga sabu dr islamu alitumia hoja za shekhe saleh utheiminy Allah amrahamu amebainisha dalili la hili kundi la kina mafuta usalaffi wao sasa si wamradi shekhe yeye alisoma fatuwa zake

    • @HakizimanaSelemani-wg3ze
      @HakizimanaSelemani-wg3ze 22 дня назад

      Mkiskiliza kwa umakini mwanzo hadi mwisho bas mtaona kweli sheikh Qasim mafuta anaongea kweli kabisa

    • @WakaliFashionTz
      @WakaliFashionTz 22 дня назад

      @HakizimanaSelemani-wg3ze ukweki gani anaoongea Zaid ya kejeli tu

    • @WakaliFashionTz
      @WakaliFashionTz 14 дней назад

      @HakizimanaSelemani-wg3ze mafuta jahil amejibiwa ktk kitabu hajajib hata hoja moja kule kaja kuleta porojo tu ndo ujue mafuta ni murjifu

  • @lordenoughforme4417
    @lordenoughforme4417 7 месяцев назад +1

    Mumekaa kama wanawake.kazi kuongelea watu badala kufundisha.

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 7 месяцев назад

      Hakuna wanaofundisha na kutoa ilmu kama kina sheikh qaasim mafuta,,,ama kina dr kufundisha wameshindwa ,,,

    • @YusufAli-gc9cu
      @YusufAli-gc9cu 7 месяцев назад +1

      Kwani wewe hapo wafanya nini,,,si waongelea watu,,,kinachozingatiwa je wazungumza kwa haki???

    • @IdrisaAbdallah-ze2cq
      @IdrisaAbdallah-ze2cq 5 месяцев назад

      Ujui uritendaro ndomana unamtukana shekhe kasim mafuta

  • @jumakhamis5448
    @jumakhamis5448 7 месяцев назад +1

    A.alaykum tunaomba muendelezo wa hii please

  • @bamoclimber4186
    @bamoclimber4186 7 месяцев назад

    Daawa zenu nyote Hazina Athari Kwa Makafiri kazi kushambuliana wenyewe Kwa wenyewe

  • @muniramauj6336
    @muniramauj6336 7 месяцев назад +1

    Kasomeni hamna elmu muacheni dr islam

  • @abuuaisha6110
    @abuuaisha6110 7 месяцев назад +18

    Sasa wewe wasema hujui anaongea nini Dr. Islam husikilizi darsa zake, kisha ulijuaje kama halinganii dawa salafiya? Tumuogopeni Allah

    • @Ajiib-gwazai
      @Ajiib-gwazai 7 месяцев назад +2

      Mashaallah.unaufaham mkubwa shekh.Allah akubaarik

    • @chabunu3367
      @chabunu3367 7 месяцев назад +5

      Chuki yake nimemshangaa wao wataka Dr Islam anze kujibizana nao wakumbavu chuki zao Allah amuhifadhi Dr Islam

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 7 месяцев назад +2

      Uwenda kunamtu kasikiloza kaona haippsawa kamsendia asikilize hiyo trip yake msimlaumu walakumtukana. Kassm mafuta Allah amlinde na maadui. Amyn

    • @AbdullaahiCbdrxmn
      @AbdullaahiCbdrxmn 7 месяцев назад +2

      Mpaka atukane kila mtu na aliinganiye pote yao ndo atakuwa salaf

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 7 месяцев назад

      @@AbdullaahiCbdrxmn Nani katukana

  • @nurdinhoza
    @nurdinhoza 2 месяца назад

    D islam halinganii chama chamafuta analingania wema usalafi

  • @NasriSaidi-s4h
    @NasriSaidi-s4h 14 дней назад

    KUNAWATU UNAPOMLINGANIA NDUGUYAKO ILI AREJEE KWENYENJIA SAHIHI WANASEMA UNAMCHAFUA KWELI WATU WA BIDAA NI SHIDA

  • @mwanajumanassor9579
    @mwanajumanassor9579 7 месяцев назад +1

    Docta Islam ni salafi Wala hajikwezi ,kama wanaojikweza Kwa elimu acheni chuki wapo wanamkubali

  • @mirajiyombe1601
    @mirajiyombe1601 3 месяца назад

    Kasim mafuta ndo anakibali cha usalaf wa watu

  • @mussaissa6796
    @mussaissa6796 7 месяцев назад

    ولا تنازعوا فتفشلوا وتذهب ريحكم
    Wapuuzi wakubwa nyinyi

  • @AllyKame-rx2zd
    @AllyKame-rx2zd 7 месяцев назад

    Pili, naomba utufasirie neno lake Allah:
    ولا تسبواالذين يدعون من دون الله فيسبوا الله عدوا بغير علم

  • @SayyidAhmadBaalawy
    @SayyidAhmadBaalawy 7 месяцев назад

    Kuna tabia za watu walio tajwa na mtume saw watazuja karne ya mwisho watakao jitafutia cyeo kwa lazima na kujionyesha wana elimu wakubaliwe kwa lazima kuwa wasomi na hawana chochote. Ndio kama huyu hapa! Mmoja wao. Tafuta jukwaa uwaalike watu ushuhudiwe elimu yako na unayo yaongea sio kujitolea clips kwenye youtube kutaka like na kuongeza point upate malipo. Jichunge na ulimi wako na kuwataja watu wasio kutaja wala hawana shughki na wewe. Ittaqillahi Kassim Mafuta

  • @FazalSuleiman
    @FazalSuleiman 7 месяцев назад

    Asalam alaikum mimi sioni kama elim mwana zuoni umemsikia elim mwenzako hayupo sahihi inapaswa umfuate mrekebishane kielinu sivizuri kabisa kukosowana kwenye mitandao namuomba shekh Kasim kwanini usimfuate Doctor Islam ama shekh mwingine unae muona hayupo sawa ukamueleweshe alipo kosea?? Hilo ndiyo wazo langu

  • @aboubakarmakha4194
    @aboubakarmakha4194 2 дня назад

    UKICHUNGUZA SHIDA KUBWA NI HILO SALAFIYA TU
    SASA CJUI HAWA WANAOJINASBISHA NA DAWAATU SALAFIYA QURAN YAO WANAYOIFUNDISHA AU VITABU VYAO VY AHADITH NI TOFAUTI NA HIVI VYA ANSWSRU SUNNAH ?

  • @ibrahimmsabah440
    @ibrahimmsabah440 7 месяцев назад

    Hapa ndipo ninaposikitishwa na mashehe zetu wa kisalafi,hawapambani na makafiri na wanafiq ila hupambana na mashehe wenzao wenye mitazamo tafauti na usalfi,hebu jitasminini hivi mnajenga ama mnauvurua uislam?