- Видео 183
- Просмотров 613 665
salafi
Добавлен 9 ноя 2023
Видео
𝗔𝗯𝘂𝘂 𝗟𝗮𝗵𝗮𝗯 - 𝗠𝗮𝘂𝗹𝗶𝗱𝗶 𝗡𝗮 𝗠𝗮𝘀𝘂𝗳𝗶 | 𝗔𝘀𝗶𝗹𝗶 𝗬𝗮 𝗠𝗮𝘂𝗹𝗶𝗱𝗶
Просмотров 1,9 тыс.День назад
𝗔𝗯𝘂𝘂 𝗟𝗮𝗵𝗮𝗯 - 𝗠𝗮𝘂𝗹𝗶𝗱𝗶 𝗡𝗮 𝗠𝗮𝘀𝘂𝗳𝗶 | 𝗔𝘀𝗶𝗹𝗶 𝗬𝗮 𝗠𝗮𝘂𝗹𝗶𝗱𝗶
𝗝𝗮𝗳𝗮𝗿 𝗠𝗼𝗵𝗮𝗺𝗮𝗱 𝗔𝗹 𝗕𝗲𝗶𝗱𝗵 | 𝗔𝗺𝘁𝘂𝘀𝗶 𝗠𝘁𝘂𝗺𝗲 𝗡𝗮 𝗪𝗮𝗸𝗲 𝗭𝗮𝗸𝗲
Просмотров 2,5 тыс.14 дней назад
𝗝𝗮𝗳𝗮𝗿 𝗠𝗼𝗵𝗮𝗺𝗮𝗱 𝗔𝗹 𝗕𝗲𝗶𝗱𝗵 | 𝗔𝗺𝘁𝘂𝘀𝗶 𝗠𝘁𝘂𝗺𝗲 𝗡𝗮 𝗪𝗮𝗸𝗲 𝗭𝗮𝗸𝗲
𝗠𝗮𝘄𝗮𝗵𝗮𝗯𝗶 𝗛𝗮𝘄𝗮𝗻𝗮 𝗠𝗮𝗱𝗵𝗲𝗵𝗲𝗯𝘂 | 𝗠𝘂𝗵𝘀𝗶𝗻 𝗕𝘂𝘁𝗲 𝗔𝗸𝗶𝘄𝗮𝘁𝗶𝘀𝗵𝗶𝗮 𝗠𝗮𝗸𝗵𝘂𝗿𝗮𝗳𝗶 𝗪𝗲𝗻𝘇𝗮𝗸𝗲
Просмотров 2,6 тыс.14 дней назад
𝗠𝗮𝘄𝗮𝗵𝗮𝗯𝗶 𝗛𝗮𝘄𝗮𝗻𝗮 𝗠𝗮𝗱𝗵𝗲𝗵𝗲𝗯𝘂 | 𝗠𝘂𝗵𝘀𝗶𝗻 𝗕𝘂𝘁𝗲 𝗔𝗸𝗶𝘄𝗮𝘁𝗶𝘀𝗵𝗶𝗮 𝗠𝗮𝗸𝗵𝘂𝗿𝗮𝗳𝗶 𝗪𝗲𝗻𝘇𝗮𝗸𝗲
𝗠𝗮𝗳𝘂𝗻𝘇𝗼 𝗞𝗮𝘁𝗶𝗸𝗮 𝗞𝗶𝘀𝗮 𝗖𝗵𝗮 𝗞𝗮𝗮𝗯 𝗜𝗯𝗻 𝗠𝗮𝗹𝗶𝗸 𝗡𝗮 𝗪𝗲𝗻𝘇𝗮𝗸𝗲
Просмотров 26621 день назад
𝗠𝗮𝗳𝘂𝗻𝘇𝗼 𝗞𝗮𝘁𝗶𝗸𝗮 𝗞𝗶𝘀𝗮 𝗖𝗵𝗮 𝗞𝗮𝗮𝗯 𝗜𝗯𝗻 𝗠𝗮𝗹𝗶𝗸 𝗡𝗮 𝗪𝗲𝗻𝘇𝗮𝗸𝗲
𝗠𝗯𝗼𝗻𝗮 𝗠𝘄𝗮𝗸𝗮𝘁𝗮𝗮 𝗦𝘂𝗻𝗻𝗮𝗵 𝗬𝗮 𝗗𝘂𝗳𝘂 𝗛𝗮𝗿𝘂𝘀𝗶𝗻𝗶 - 𝖲𝗁𝖾𝗂𝗄𝗁 𝖠𝖻𝗎𝗎 𝖧𝖺𝗌𝗁𝗂𝗆 𝖠𝗍𝗈𝖺 𝖬𝖺𝗃𝗂𝖻𝗎
Просмотров 1,8 тыс.21 день назад
𝗠𝗯𝗼𝗻𝗮 𝗠𝘄𝗮𝗸𝗮𝘁𝗮𝗮 𝗦𝘂𝗻𝗻𝗮𝗵 𝗬𝗮 𝘂𝗳𝘂 𝗛𝗮𝗿𝘂𝘀𝗶𝗻𝗶 - 𝖲𝗁𝖾𝗂𝗄𝗁 𝖠𝖻𝗎𝗎 𝖧𝖺𝗌𝗁𝗂𝗆 𝖠𝗍𝗈𝖺 𝖬𝖺𝗃𝗂𝖻𝗎
𝗠𝘁𝘂𝗺𝗲 ﷺ : 𝗝𝗶𝘁𝗲𝗻𝗴𝗲𝗻𝗶 𝗡𝗮 𝗞𝗮𝗮𝗯 𝗜𝗯𝗻 𝗠𝗮𝗹𝗶𝗸 𝗡𝗮 𝗠𝗸𝗲 𝗪𝗮𝗸𝗲 𝗣𝗶𝗮 𝗔𝗺𝗴𝘂𝗿𝗲!
Просмотров 789Месяц назад
𝗠𝘁𝘂𝗺𝗲 ﷺ : 𝗝𝗶𝘁𝗲𝗻𝗴𝗲𝗻𝗶 𝗡𝗮 𝗞𝗮𝗮𝗯 𝗜𝗯𝗻 𝗠𝗮𝗹𝗶𝗸 𝗡𝗮 𝗠𝗸𝗲 𝗪𝗮𝗸𝗲 𝗣𝗶𝗮 𝗔𝗺𝗴𝘂𝗿𝗲!
𝗦𝗮𝗶𝗱 𝗔𝗹𝗶 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻 | 𝗠𝗺𝗲𝗶𝘀𝗵𝗶𝗸𝗮 𝗦𝘂𝗻𝗻𝗮𝗵 𝘆𝗮 𝗥𝗮𝗸𝗮 𝟴 𝗧𝗮𝗿𝗮𝘄𝗲𝗵 𝗟𝗮𝗸𝗶𝗻𝗶 𝗠𝗸𝗮𝘇𝘂𝘄𝗮 𝗞𝘂𝘀𝗼𝗺𝗮 𝗝𝘂𝘇𝘂 𝗠𝗼𝗷𝗮
Просмотров 2,8 тыс.Месяц назад
𝗦𝗮𝗶𝗱 𝗔𝗹𝗶 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻 | 𝗠𝗺𝗲𝗶𝘀𝗵𝗶𝗸𝗮 𝗦𝘂𝗻𝗻𝗮𝗵 𝘆𝗮 𝗥𝗮𝗸𝗮 𝟴 𝗧𝗮𝗿𝗮𝘄𝗲𝗵 𝗟𝗮𝗸𝗶𝗻𝗶 𝗠𝗸𝗮𝘇𝘂𝘄𝗮 𝗞𝘂𝘀𝗼𝗺𝗮 𝗝𝘂𝘇𝘂 𝗠𝗼𝗷𝗮
𝗭𝗲𝗶𝗻𝘂𝗹 𝗔𝗯𝗶𝗱𝗶𝗻 | 𝗠𝗮𝗳𝘂𝗻𝗴𝗮𝗺𝗮𝗻𝗼 𝗬𝗮 𝗠𝗮𝗵𝗶𝘇𝗯𝗶 𝗞𝘄𝗮 𝗖𝗵𝗮𝗺𝗮 𝗖𝗵𝗮 𝗔𝗻𝘀𝗮𝗿 𝗡𝗮 𝗩𝗶𝘁𝗶𝗺𝘃𝗶 𝗩𝘆𝗮𝗼 𝗗𝗵𝗶𝗱𝗶 𝗬𝗮 𝗠𝗮𝘀𝗮𝗹𝗮𝗳𝗶
Просмотров 2,5 тыс.Месяц назад
𝗭𝗲𝗶𝗻𝘂𝗹 𝗔𝗯𝗶𝗱𝗶𝗻 | 𝗠𝗮𝗳𝘂𝗻𝗴𝗮𝗺𝗮𝗻𝗼 𝗬𝗮 𝗠𝗮𝗵𝗶𝘇𝗯𝗶 𝗞𝘄𝗮 𝗖𝗵𝗮𝗺𝗮 𝗖𝗵𝗮 𝗔𝗻𝘀𝗮𝗿 𝗡𝗮 𝗩𝗶𝘁𝗶𝗺𝘃𝗶 𝗩𝘆𝗮𝗼 𝗵𝗶𝗱𝗶 𝗬𝗮 𝗠𝗮𝘀𝗮𝗹𝗮𝗳𝗶
𝗧𝗮𝗹𝗯𝗶𝘀 𝗭𝗮 𝗭𝗲𝗶𝗻𝘂𝗹 𝗔𝗯𝗶𝗱𝗶𝗻 𝗡𝗮 𝗠𝗮𝗳𝘂𝗻𝗴𝗮𝗺𝗮𝗻𝗼 𝗬𝗮𝗸𝗲 𝗡𝗮 𝗔𝗻𝘀𝗮𝗿 𝗦𝘂𝗻𝗻𝗮𝗵 (𝗦𝗲𝗵𝗲𝗺𝘂 𝗬𝗮 𝗞𝘄𝗮𝗻𝘇𝗮)
Просмотров 2,8 тыс.Месяц назад
𝗧𝗮𝗹𝗯𝗶𝘀 𝗭𝗮 𝗭𝗲𝗶𝗻𝘂𝗹 𝗔𝗯𝗶𝗱𝗶𝗻 𝗡𝗮 𝗠𝗮𝗳𝘂𝗻𝗴𝗮𝗺𝗮𝗻𝗼 𝗬𝗮𝗸𝗲 𝗡𝗮 𝗔𝗻𝘀𝗮𝗿 𝗦𝘂𝗻𝗻𝗮𝗵 (𝗦𝗲𝗵𝗲𝗺𝘂 𝗬𝗮 𝗞𝘄𝗮𝗻𝘇𝗮)
𝗞𝗵𝘂𝘁𝗯𝗮 𝗬𝗮 𝗜𝗷𝘂𝗺𝗮𝗮 𝗞𝘄𝗮 𝗟𝘂𝗴𝗵𝗮 𝗬𝗮 𝗞𝗶𝘀𝘄𝗮𝗵𝗶𝗹𝗶 | 𝗞𝘂𝗺𝘄𝗲𝗸𝗮 𝘀𝗮𝘄𝗮 𝗦𝗮𝗶𝗱 𝗔𝗹𝗶 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻
Просмотров 4,6 тыс.2 месяца назад
𝗞𝗵𝘂𝘁𝗯𝗮 𝗬𝗮 𝗜𝗷𝘂𝗺𝗮𝗮 𝗞𝘄𝗮 𝗟𝘂𝗴𝗵𝗮 𝗬𝗮 𝗞𝗶𝘀𝘄𝗮𝗵𝗶𝗹𝗶 | 𝗞𝘂𝗺𝘄𝗲𝗸𝗮 𝘀𝗮𝘄𝗮 𝗦𝗮𝗶𝗱 𝗔𝗹𝗶 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻
𝗦𝗵𝗲𝗶𝗸𝗵 𝗠𝘂𝗵𝗮𝗺𝗺𝗮𝗱 𝗔𝗯𝗱-𝗔𝗹 𝗪𝗮𝗵𝗮𝗯 | 𝙆𝙪𝙢𝙬𝙚𝙠𝙖 𝙎𝙖𝙬𝙖 𝙎𝙖𝙞𝙙 𝘼𝙡𝙞 𝙃𝙖𝙨𝙨𝙖𝙣
Просмотров 7 тыс.2 месяца назад
𝗦𝗵𝗲𝗶𝗸𝗵 𝗠𝘂𝗵𝗮𝗺𝗺𝗮𝗱 𝗔𝗯𝗱-𝗔𝗹 𝗪𝗮𝗵𝗮𝗯 | 𝙆𝙪𝙢𝙬𝙚𝙠 𝙎𝙖𝙬 𝙎𝙖𝙞𝙙 𝘼𝙡𝙞 𝙃𝙖𝙨𝙨𝙖𝙣
𝗭𝗲𝗶𝗻𝘂𝗹 𝗔𝗯𝗶𝗱𝗶𝗻 𝗔𝗱𝗵𝗶𝗵𝗶𝗿𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗠𝗮𝗻𝗵𝗮𝗷 𝗬𝗮𝗸𝗲 𝗛𝗮𝗹𝗶𝘀𝗶 | 𝗛𝗮𝗷𝗮𝗺𝗮𝗹𝗶𝘇𝗮 𝗛𝗮𝘁𝗮 𝗦𝗶𝗸𝘂 𝗞𝘂𝗺𝗶!
Просмотров 3,1 тыс.2 месяца назад
𝗭𝗲𝗶𝗻𝘂𝗹 𝗔𝗯𝗶𝗱𝗶𝗻 𝗔𝗱𝗵𝗶𝗵𝗶𝗿𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗠𝗮𝗻𝗵𝗮𝗷 𝗬𝗮𝗸𝗲 𝗛𝗮𝗹𝗶𝘀𝗶 | 𝗛𝗮𝗷𝗮𝗺𝗮𝗹𝗶𝘇𝗮 𝗛𝗮𝘁𝗮 𝗦𝗶𝗸𝘂 𝗞𝘂𝗺𝗶!
𝗛𝗮𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗞𝘂𝗷𝗶𝗯𝘂 𝗛𝗼𝗷𝗮 𝗦𝗮𝘀𝗮 𝗔𝗺𝗲𝗸𝗶𝗺𝗯𝗶𝗹𝗶𝗮 𝗠𝗮𝘂𝗱𝗵𝘂𝗶 𝗡𝘆𝗲𝗻𝗴𝗶𝗻𝗲
Просмотров 1,4 тыс.2 месяца назад
𝗛𝗮𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗞𝘂𝗷𝗶𝗯𝘂 𝗛𝗼𝗷𝗮 𝗦𝗮𝘀𝗮 𝗔𝗺𝗲𝗸𝗶𝗺𝗯𝗶𝗹𝗶𝗮 𝗠𝗮𝘂𝗱𝗵𝘂𝗶 𝗡𝘆𝗲𝗻𝗴𝗶𝗻𝗲
𝗛𝗮𝗸𝘂𝗻𝗮 𝗧𝗲𝗻𝗮 𝗨𝗱𝗵𝗿𝘂 𝗪𝗮 𝗞𝘂𝘁𝗼𝗶𝗷𝘂𝘄𝗮 𝗛𝗮𝗾𝗾𝗶
Просмотров 8003 месяца назад
𝗛𝗮𝗸𝘂𝗻𝗮 𝗧𝗲𝗻𝗮 𝗨𝗱𝗵𝗿𝘂 𝗪𝗮 𝗞𝘂𝘁𝗼𝗶𝗷𝘂𝘄𝗮 𝗛𝗮𝗾𝗾𝗶
𝗕𝗮𝘆𝗮𝗻𝗮 𝗠𝘂𝗵𝗶𝗺𝘂 𝗞𝗮𝘁𝗶𝗸𝗮 𝗞𝘂𝗳𝗶𝗰𝗵𝘂𝗮 𝗨𝗹𝗮𝗴𝗵𝗮𝗶 𝗻𝗮 𝗨𝗷𝗶𝗻𝗴𝗮 𝗪𝗮 𝗱𝗿.𝗜𝘀𝗹𝗮𝗺 (Majlis Ya 3)
Просмотров 2,2 тыс.3 месяца назад
𝗕𝗮𝘆𝗮𝗻𝗮 𝗠𝘂𝗵𝗶𝗺𝘂 𝗞𝗮𝘁𝗶𝗸𝗮 𝗞𝘂𝗳𝗶𝗰𝗵𝘂𝗮 𝗨𝗹𝗮𝗴𝗵𝗮𝗶 𝗻𝗮 𝗨𝗷𝗶𝗻𝗴𝗮 𝗪𝗮 𝗱𝗿.𝗜𝘀𝗹𝗮𝗺 (Majlis Ya 3)
𝗗𝗸𝘁𝗿 𝗔𝗻𝗮 𝗪𝗮𝘀𝗶𝘄𝗮𝘀𝗶 𝗡𝗮 𝗪𝗮𝗻𝗮𝗳𝘂𝗻𝘇𝗶 & 𝗪𝗮𝘁𝘂 𝗪𝗮𝗸𝗲 𝗪𝗮𝗸𝗮𝗿𝗶𝗯𝘂
Просмотров 2 тыс.3 месяца назад
𝗸𝘁𝗿 𝗔𝗻𝗮 𝗪𝗮𝘀𝗶𝘄𝗮𝘀𝗶 𝗡𝗮 𝗪𝗮𝗻𝗮𝗳𝘂𝗻𝘇𝗶 & 𝗪𝗮𝘁𝘂 𝗪𝗮𝗸𝗲 𝗪𝗮𝗸𝗮𝗿𝗶𝗯𝘂
𝗕𝗮𝗶𝗻𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗗𝘂𝗸𝘁𝘂𝗿𝗮 𝗬𝗮𝗸𝗼 | 𝗨𝘀𝗶𝘄𝗮𝗳𝗮𝗻𝘆𝗶𝗲 𝗪𝗮𝘁𝘂 𝗚𝗵𝗶𝘀𝗵
Просмотров 4,5 тыс.3 месяца назад
𝗕𝗮𝗶𝗻𝗶𝘀𝗵𝗮 𝘂𝗸𝘁𝘂𝗿𝗮 𝗬𝗮𝗸𝗼 | 𝗨𝘀𝗶𝘄𝗮𝗳𝗮𝗻𝘆𝗶𝗲 𝗪𝗮𝘁𝘂 𝗚𝗵𝗶𝘀𝗵
𝗠𝗮𝗵𝗶𝘇𝗯𝗶 | 𝗣𝗿𝗼𝗽𝗮𝗴𝗮𝗻𝗱𝗮 𝗭𝗮 𝗔𝗹𝗶 𝗕𝗮𝗵𝗲𝗿𝗼
Просмотров 2,9 тыс.3 месяца назад
𝗠𝗮𝗵𝗶𝘇𝗯𝗶 | 𝗣𝗿𝗼𝗽𝗮𝗴𝗮𝗻𝗱𝗮 𝗭𝗮 𝗔𝗹𝗶 𝗕𝗮𝗵𝗲𝗿𝗼
𝖲𝖺𝗅𝗆𝖺𝗇 𝖮𝗐𝖽𝖺𝗁 | 𝗗𝗸𝘁𝘂𝗿! 𝗛𝗮𝗸𝘂𝗻𝗮 𝗧𝗲𝗻𝗮 𝗣𝗮𝗸𝘂𝗸𝗶𝗺𝗯𝗶𝗹𝗶𝗮 𝗥𝘂𝗱𝗶 𝗡𝘆𝘂𝗺𝗮...
Просмотров 9 тыс.3 месяца назад
𝖲𝖺𝗅𝗆𝖺𝗇 𝖮𝗐𝖽𝖺𝗁 | 𝗸𝘁𝘂𝗿! 𝗛𝗮𝗸𝘂𝗻𝗮 𝗧𝗲𝗻𝗮 𝗣𝗮𝗸𝘂𝗸𝗶𝗺𝗯𝗶𝗹𝗶𝗮 𝗥𝘂𝗱𝗶 𝗡𝘆𝘂𝗺𝗮...
𝗞𝘂𝗰𝗵𝗲𝗺𝘂𝗮 | 𝗨𝘀𝗶𝘀𝗵𝗮𝗻𝗴𝗮𝗲 𝗵𝗶𝘇𝗶 𝘀𝗶𝗴𝗵𝗮 𝗽𝗶𝗮 𝘇𝗶𝗺𝗲𝘁𝗵𝘂𝗯𝘂𝘁𝘂!
Просмотров 4893 месяца назад
𝗞𝘂𝗰𝗵𝗲𝗺𝘂𝗮 | 𝗨𝘀𝗶𝘀𝗵𝗮𝗻𝗴𝗮𝗲 𝗵𝗶𝘇𝗶 𝘀𝗶𝗴𝗵𝗮 𝗽𝗶𝗮 𝘇𝗶𝗺𝗲𝘁𝗵𝘂𝗯𝘂𝘁𝘂!
𝗥𝗮𝗱𝗱𝗶 𝗞𝘄𝗮 𝗞𝗶𝘁𝗮𝗯𝘂 𝗖𝗵𝗮 𝗥𝗮𝗱𝗱𝗶 𝗖𝗵𝗮 𝗔𝗹𝗶𝘆𝗲𝗷𝘂𝘇𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗞𝘂𝗰𝗵𝘂𝗸𝘂𝘄𝗮 𝗜𝗹𝗺𝘂 𝗞𝘄𝗮 𝗦𝗵𝗲𝘁𝗮𝗻𝗶
Просмотров 4,5 тыс.3 месяца назад
𝗥𝗮𝗱𝗱𝗶 𝗞𝘄𝗮 𝗞𝗶𝘁𝗮𝗯𝘂 𝗖𝗵𝗮 𝗥𝗮𝗱𝗱𝗶 𝗖𝗵𝗮 𝗔𝗹𝗶𝘆𝗲𝗷𝘂𝘇𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗞𝘂𝗰𝗵𝘂𝗸𝘂𝘄𝗮 𝗜𝗹𝗺𝘂 𝗞𝘄𝗮 𝗦𝗵𝗲𝘁𝗮𝗻𝗶
𝗔𝘀𝗶𝗹𝗶 𝗬𝗮 𝗨𝗴𝗼𝗺𝘃𝗶 𝗪𝗮 𝗠𝗮𝗵𝗶𝘇𝗯𝗶 𝗡𝗮 𝗣𝗿𝗼𝗽𝗮𝗴𝗮𝗻𝗱𝗮 𝗬𝗮 𝗝𝗮𝗱𝗶𝗱𝗮
Просмотров 4,3 тыс.3 месяца назад
𝗔𝘀𝗶𝗹𝗶 𝗬𝗮 𝗨𝗴𝗼𝗺𝘃𝗶 𝗪𝗮 𝗠𝗮𝗵𝗶𝘇𝗯𝗶 𝗡𝗮 𝗣𝗿𝗼𝗽𝗮𝗴𝗮𝗻𝗱𝗮 𝗬𝗮 𝗝𝗮𝗱𝗶𝗱𝗮
𝗜𝗺𝗮𝗺𝘂 𝗔𝗷𝗶𝘂𝘇𝘂𝗹𝘂 𝗞𝘄𝗮 𝗞𝘂𝗸𝗮𝘁𝗮𝘇𝘄𝗮 𝗦𝗶𝗮𝘀𝗮 𝗠𝘀𝗶𝗸𝗶𝘁𝗶𝗻𝗶
Просмотров 7 тыс.3 месяца назад
𝗜𝗺𝗮𝗺𝘂 𝗔𝗷𝗶𝘂𝘇𝘂𝗹𝘂 𝗞𝘄𝗮 𝗞𝘂𝗸𝗮𝘁𝗮𝘇𝘄𝗮 𝗦𝗶𝗮𝘀𝗮 𝗠𝘀𝗶𝗸𝗶𝘁𝗶𝗻𝗶
𝗞𝘂𝘄𝗮𝘁𝗮𝗺𝗯𝘂𝗮 𝗠𝗮𝗵𝗶𝘇𝗯𝗶 𝗪𝗮𝗸𝘂𝗷𝗶𝗳𝗶𝗰𝗵𝗮 𝗞𝗮𝘁𝗶𝗸𝗮 𝗦𝘂𝗻𝗻𝗮𝗵
Просмотров 2,8 тыс.3 месяца назад
𝗞𝘂𝘄𝗮𝘁𝗮𝗺𝗯𝘂𝗮 𝗠𝗮𝗵𝗶𝘇𝗯𝗶 𝗪𝗮𝗸𝘂𝗷𝗶𝗳𝗶𝗰𝗵𝗮 𝗞𝗮𝘁𝗶𝗸𝗮 𝗦𝘂𝗻𝗻𝗮𝗵
𝗖𝗵𝗮𝗺𝗮 𝗖𝗵𝗮 𝗔𝗻𝘀𝗮𝗮𝗿 𝗞𝗶𝗻𝗮𝘀𝗵𝗮𝗯𝗶𝗵𝗶 𝗠𝗮𝗻𝗲𝗻𝗼 𝗬𝗮 𝗨𝘁𝗵𝗮𝘆𝗺𝗲𝗲𝗻 💯%
Просмотров 2 тыс.3 месяца назад
𝗖𝗵𝗮𝗺𝗮 𝗖𝗵𝗮 𝗔𝗻𝘀𝗮𝗮𝗿 𝗞𝗶𝗻𝗮𝘀𝗵𝗮𝗯𝗶𝗵𝗶 𝗠𝗮𝗻𝗲𝗻𝗼 𝗬𝗮 𝗨𝘁𝗵𝗮𝘆𝗺𝗲𝗲𝗻 💯%
Allah
Ndg zangu wa kiwahabi someni mutoke ujinga haya haya ndo yaliwapelekea kufika kusema barzanji ina ushirikina ila kwenye niqash mkashindwa kuonesha shirki iko wp kimbe tukajua shirki iko kwenye akili zenu na ufahamu wenu kwaio kwa elimu hio nusu mwsho hadi baba zenu mtawaita makafiri au mtasema walikufa makafiri
Sahaba gani hata mojawapo aliesoma majina ya ahlul abadri?
Hawa Masufi ni walinganizi wakubwa katika Shirki, Allah awaongoze nasie atuhifadhi tusiyafikie hayo.
Washirikana wakubwa hawa.
Elimu kubwa sana na muhimu, mambo haya yanafichwa na kupigwa vita, lakini ndio Uislanu wenyewe.
Yaani mwaona hii clip ndio hujja ya watu kuabudu makaburi! Hizo ni dhanna mbovu za mawahabbi ambao sasa wajiita salafiyah! Hakuna sufi ambaye yuabudu makaburi lakini ni kupakizwa tope na hawa 'khawarij alsalafiyatul wahabbiya' wenye shirkul asghar wakiendeleza propaganda za mayahudi katika mujtamaa ya kiislamu!
Si sheikh wenu adai ataka dalili ya kukataza kuwaomba wafu
@@shariffali7780 ww mjingaa unajuwa unachokizungumz na ao viongozi wenu mwajitafuna tu maana yak io nilaan
Mambo yote haya mashia ndo chanzo
masufiiiiiiiiiiiii juweni kuwa mtume kasema #atakae kutana na Allah haliyakuwa kamshirikisha ataingia moton)i jee hiii hamuioniiiii
kwa sheikh kishki sina shaka kwa aliyoyasema.kaelezea historia fupi na nimefaidika kujuwa kumbe bwana mkubwa huyu kaburi lake liko Uturuki.na hakuonesha shirki yoyote.hao wengine wanajulikana kwa kutawasali kwao kupitia maiti
Yani mtu anaomba kabisa jiinaakum(tumekuja kwenu) qaswadnaakum(tumewakusudia nyingi).. hii ni shirki ukweli lazima usemwe.. acheni ushirikina.. mkitaka kutawassal Kwa Allah basi yeye mwenyewe ashasema katika surat al aaaf aya ya 180.. " Allah ana majina mazuri muombeni kupitia majina hayo" acheni ushirikina wa wazi kabisa
Hawa masufi washirikin
@@ahmedabry293 Sasa je mi najiuliza awa wanasoma Quran ipi ambay Haina mazingatio
Kwanza wajua nn maana ya kutawwasal bro ama watoa upotofu tu
@@ahmedabry293 hawa watu wanajidhihirisha haradharan upotofu wao yaan masuf sijui wanayajua wayatenday au wanajifanyia tu upuuzi wao
فزاك لله خیرالجزی
wambieni awa ujinga si dharura
Awa jamani hawasikii Tena Sasa Cha kufany ni kuwazima kisheria kwa kuwaondowa kwasababu si waislamu Tena washamshirikisha Allah
@@mohammed-x3g8e waislamu wote wakubali kutawassal na makaburi ya wajawema
Awa muda kidog watapata wanachokitak hii ni laan kubwa ambayo watapata
Safi Salafi channel kufichua haya walikuwa wamezifuta hz vdeos zao
😂😂😂 kwn zilikua zimefichwa wp au lini bro acha kudanganya watu hizi clip zipo wazi na ukitaka ata cd utatolewa sasa balaa ni nyie mawahabi kuna baadhi ya vitabu vinaishia kukaa tu lkn hamvisomeshi ili watu wasione upevu wenu na kufuru na kejeli zenu kuweni na inswaaf hapa tunapita tu
@LASSUH4947 kumbe hadi cd za kuabudu makuburini mnazo,mmejipanga,
Wakiwemo Babu zenu
Toeni hii video chafu tafadhalini. Kama hakuna radd kumbukeni kuna watu hawajui kusoma wala kuandika na wanategemea hii channel ya sunnah. Sasa wakiona video kama hizi bila radd wanaweza wakatekwa na hii fikra wakidhani kuwa ni sunnah. Kwahivyo tafadhalini msimamizi wa hii channel kuwa makini na hii jambo. Usiweke video bila kufanyiwa radd. Kumbe sio kila mtu msomi.
My humble request mwenye atasoma hii message na apitie Channel yajiita AHLUL ATHAR DARSA ZAO KAAMIL MORE SO ZA ASUBUHI ZINAELIMISHA KUHUSU HAYA MAMBO PITIENI HUKO KI MIMI BINAFSI HII VIDEO NIMEITAKA HIVI ILIVYO EXACTLY!!!!KWANI NIKISIKILIZA DARSA AKITAJA MIFANO SHEIKH HUMEID ALLAH AMUHIFADHI HUSHINDWA KUELEWA VYEMA ALHAMDULILLAH KWA LEO!!!!!!
@@SugowFarah-up3db ni swadakta maneno Yako atamimi ningelipendekeza iekewa rad kwa awa mayahudi
😂😂😂 kwaio hawa ni mayahudi na nyie c mtakua wakristo eeeee@@mohammed-x3g8e
Kama umekubali hii video ni chafu basi umekubali yanayofanywa hapo ni machafu pia
Masufi sio mawalii bali ni MAWLI wapenda kula ona wanavotengeneza mazingira ya kupiga hela hawa jamaa wanabiashara nyingi kupitia mgongo wa dini ona biashara zao hizi sherehe za Ziara za makaburi , Sherehe za khitima Sherhe za arobini Sherhe za birthday / maulidi Sherehe za mwaka mpya Sherehe za haqiqa nk
Masufi washaneni akili mbovo
Nini KUABUDU?
Admin rudisha ile introduction ya kitambo ""Mpaka Kueleweke""
Eti wanihurm kazi yenu kukufursha waislam wenzenu tuiteni tufanye mjadal alafu mbona mwaropoka mkiwa wenyewe mkiitwa hmtaki
Mawahabi wacheni ujinga someni ...kama mnakereka itisheni mnaqasha kwa hiyo mada tuone vyenye mtaekwa sawa
Wahhab ni nani....?
@YusufAli-gc9cu wafuasi wa Mohammad Abdul Wahab mfano kama wewe wahabi
tubishane na waabudu wafu?
@@abumuadmahatmohamed kutawassal ndio mnakuita kuabudu wafu ... wacheni akili mbovu someni
Wafahamu ulichotuma au umekaririshwa tu...sasa hio Aya ndio inakataza kutawassal kwa wajawema??
Mtihani hu nawamesoma hawa Quruan. Sijui wamakubwa na nini
Subuhanqllah
Kipimo cha uwali / usharifu ktk qurni ni uchamungu ان اولياء الله هم ا لمتقون Hakika ya mawalii wa allah ni wachamungu Watu wa bidaa sfa ya uwalii hawana kwa sabbu wanamsingizi mtume uwongo mtume kasema من كذب علي متعمد فاليتبؤ مقعده على النار mwenye kunisingozia mimi uwongo achague makaazi yake motoni Na mwenye kusapoti mtume kasema لعن الله من اوى محدثا amemlaani allah mwenye kumlinda mzushi Masufi angalieni haya maneno ya mtume kisha ...mutajiona muko wapi . Ila nasaha. TUBIENI MILANGO YA TOBA. IKO WAZI HAIJAFUNGWA
Dalili ziko chungu tele mwaziacha Kisha mwatumia hawa za nafsizenu
Ukitaka kuomba muombe Allah siomwingine asiekua yeye
Kuomba kupitia mtume swala na salamu zimuendee haifai yani ukasema kwa baraka za mtume haifai sembuse maswahaba
Halafutu ninani ktk swahaba au mjamwema yoyote aliekutangulia kuomba kwa staili hiyo? amakweli kuna kauli ya imamu nimemsahau Jina anasema ukiwa sufi asubuhi haifiki jioni ushakua mwendawazimu
Imam al shafie Allah amrehemu
Acha ujinga kuomba kupitia mtu swala na salamu zimfikie haifai sembuse kupitia maswahaba?
Hatuabudu makaburi twazuru makaburi mutaulizwa kwa kunena urongo manuozua.
Mnaomba mait bwana
Mjombako hapo mwanzo wa video ananena kuwa anataka dalili ya kukataza kuomba maiti
@@RamadhanKheir Ni sawa pia kwani ikiwa unaweza kuomba kwa aliyehai je maiti haifai?
@@abumuadmahatmohamed Hata mimi nataka unipe dalili ilokataza
@@shilingi-Ahmadi kama kweli hamuombi maiti mbona ukiambiwa haifai kuomba maiti wataka dalili?
Mh ndugu zetu masufi mambo yao mazito kwakweli
so ndugu zetu awa wajinga ila wajuwe tu ujinga si dharura
@@MustafaChiumbwe hio ndio sunnah someni wacheni ujinga
اللهم انصرنا يا رب 😢😢😢
MASUFI NI WASHIRIKINA WAABUDU CHOCHOTE WANACHOKIONA KINAWARIDHISHA KWASABABU HAWANA YAKINI NA MOLA WAO WAMEWATUKUZA JAMAA ZAO MPAKA WAMEKUFA BADO WANAWAABUDU!!
Maslafi ni wehu uelewa wenu wa kuku
maskini nakuhurumia.Allah akuongoze uwajue wehu wa kweli
Mwehu ni yule asietumia uelewa wa mtume na maswahaba
Yani dini yatakakiwa ufwate vilewalivyo elewa mtume swala na maswahaba sio kwaufahamu wa sheikh lako
@@ayubahmed9490Aamiin
@@KiagoBakariswadakta!!!
Imam shafii alifikiria sana kuhusu usufi kisha akgunduwa kuwa ni UPUMBAVU
@@issaabdallah1205 imamu shafii mwenye ni sufi hauoni kuwa una mtusi
@@Abuusaad-uy5cx Alokwambia Imam shafi ni Sufi nani?? Jaahil murakkab
@@Abuusaad-uy5cx nani kama kasema imamu shafii ni Sufi
Subiri nkupe dalili
@@tigerroar3545 imamu shafii amekubali kutawassal kupitia kaburi la mtu mwema...na yeye mwenyew amefanya
Baarakanllah fiykum wajazakumnllah khairay
Elimu ni muhimu sana
Allah akuhifadhi Abdallah humeid
Mbona waruka maneno yako mwenyewe, ulisema na clip iko. Ukasema mawlid haingii katika bidaa kwa sababu ni mudhakar, mbona sahii waruka baada ya kujibiwa. Wacha kupotosha watu baba.