Subhaana llah kuna watu kwetu dini imekuwa kama ushabiki yaan sheikh akisema amesema ndugu zng tusome dini ya Allah na tutahadhari sna na kuwachafua watu pasina kudhibiti kwa dalili
Allah subhannahu wa taala awaongoze sababu hawana adabu haya makundi yanayojiiya salafi wameona duktur Islam hana wakati wa upuzi na wao Sasa wanaanza kuchafua zeinun abidin hawana kitu cha kufanana n Waja wema waliotangulia masalafi komeni tumechoka upuzi wenu somesheni acheni kuchafua watu
kwaio anakiri kwamba wenzake kina barahiani ,muhammad bachuna dr islam wanawakimbiza watu na daawa ya ahlusunna waljama. sasa tukuskie ukiwatahadharisha nikuwaradi kwamba wao ni katika maikhwan .
Total approved failure Daawa. Shaytwani anawa remote hawa jamaa kuidhoofisha Daawat Salafiya. Wanaonekana kama wana musimamo thabit (hamna kitu). Usulubu (principles of conveyance)anaoutumia maalim AbdAllah hauna asili katika Daawat Salafiya.
Rejea katika Kitabu na Sunnah.Hawa jamaa ni mabingwa wa vijembe,kejeli,vishoka na maneno ya kijingajinga katika pazia ya Daawat Salafiya kama ulivyo uyahudi nyuma ya pazia la ahlul bayti. Uislamu ni ya Hoja na Dalili msiwe kama mafarisayo matamanio yenu yanakuwa mengi kuliko Aya na Hadithi za Mtume swalla LLAHU alayhi wassallam. Waislamu wanasikiliza na kuzitambua hoja, kupiga sana kabobo na kujifagilia sio kanuni za kupata Utukufu. Utukufu hupatikana kwa kumtii ALLAH A'ZZA WAJALLA. Kama Dai' ameteleza abainishiwe Haqqi kwa mujibu wa Kitabu na Sunnah. Kwa wewe maalim AbdAllah umeboronga mara ngapi?😢
Siku zote nilidhani una akili wewe @salafi... leo nimebainikiwa kumbe upo mtupu kichwani... watumia picha ya mtu kisha anapotaka ukamwombe msamaha kwa kua hakukupa ruhusa... wewe unajitokeza na maneno yako bila kufikiria ati hujampa ruhusa ya kuongelelea channel yako.. jifanye huelewi.. alhamdulillah siku ya malipo ipo...
@@hay3_8kal kila mzushi na kila hizbi ataanikwa picha yake kama mhalifu ili watu wamfahamu na wachukuwe tahadhari na wao.Huwezi weka picha mtandaoni hadharani kisha uchaguwe nani anaruhusa na nani hana ruhusa kutumia.
@@salafi. ati ili watu wachukue tahadhari?😂nenda kaangalie darsa za daktur Allah amhifadhi inavojaa siku hizi,hata kuliko mwanzo mashaallah tabarakallah
MPAKA KUELEWEKE...!!!
ALLAH AWAONGOZE MAHIZBI WARUDI KATIKA HAQQI...!!!
Abul fadhl kasim mafuta alipo sema mahizby ukikaa nao utachanganyikiwa ni kweli
Maana leo asema hivi kesho aja kusema hivi
Hawaeleweki kabisaa
Mpaka kieleweke
Warudi kwa haqqi
Sheikh Abdallah Humeid حفظه الله ورعاه nyundo mpaka wanyoroke
nyundo nzito kwa mahizbi wanaochafua da'wa
Qauli ni ile ile mapaka. Kueleweke 🔥 🔥 🔥 🎉
Subhaana llah kuna watu kwetu dini imekuwa kama ushabiki yaan sheikh akisema amesema ndugu zng tusome dini ya Allah na tutahadhari sna na kuwachafua watu pasina kudhibiti kwa dalili
Maskini waislamu....😔
Nyote hamna cha dini nyote ni wanasiasa wa utawala wa saudi
Allah subhannahu wa taala awaongoze sababu hawana adabu haya makundi yanayojiiya salafi wameona duktur Islam hana wakati wa upuzi na wao Sasa wanaanza kuchafua zeinun abidin hawana kitu cha kufanana n Waja wema waliotangulia masalafi komeni tumechoka upuzi wenu somesheni acheni kuchafua watu
Daawah nikulingania makafiri waislamu wanapewa nasaha na ukumbusho na elimu sio mipasho 😂
Rudud ni msingi katika Uislamu, acha ushabiki soma dini yako kwa Ufahamu ya Salaf Saleeh Barakallahu Fekum
Ile clip inaonekana alikuwa msikitini kwake wala sio zanzibar kama ulivyosema sheikh abul khatwaab
kwaio anakiri kwamba wenzake kina barahiani ,muhammad bachuna dr islam wanawakimbiza watu na daawa ya ahlusunna waljama.
sasa tukuskie ukiwatahadharisha nikuwaradi kwamba wao ni katika maikhwan .
sheikh zeinulabdidin,huyu admin hafanyi kitu mpaka kuambiwa na dhilele
Na c dilele pekee ni kundi kubwa liko mpaka tz lakini Hawa wetu wazidi sana humeid
Total approved failure Daawa. Shaytwani anawa remote hawa jamaa kuidhoofisha Daawat Salafiya. Wanaonekana kama wana musimamo thabit (hamna kitu). Usulubu (principles of conveyance)anaoutumia maalim AbdAllah hauna asili katika Daawat Salafiya.
Je una ilimu yoyote Ili ututolee au ni maneno matupu tu? Tueleze kwa ilimu ikiwa wewe unasema kweli
@@islaminmyheart9348 ولله الحمد.
Rejea katika Kitabu na Sunnah.Hawa jamaa ni mabingwa wa vijembe,kejeli,vishoka na maneno ya kijingajinga katika pazia ya Daawat Salafiya kama ulivyo uyahudi nyuma ya pazia la ahlul bayti. Uislamu ni ya Hoja na Dalili msiwe kama mafarisayo matamanio yenu yanakuwa mengi kuliko Aya na Hadithi za Mtume swalla LLAHU alayhi wassallam. Waislamu wanasikiliza na kuzitambua hoja, kupiga sana kabobo na kujifagilia sio kanuni za kupata Utukufu. Utukufu hupatikana kwa kumtii ALLAH A'ZZA WAJALLA. Kama Dai' ameteleza abainishiwe Haqqi kwa mujibu wa Kitabu na Sunnah. Kwa wewe maalim AbdAllah umeboronga mara ngapi?😢
We mjinga sana
Siku zote nilidhani una akili wewe @salafi... leo nimebainikiwa kumbe upo mtupu kichwani... watumia picha ya mtu kisha anapotaka ukamwombe msamaha kwa kua hakukupa ruhusa... wewe unajitokeza na maneno yako bila kufikiria ati hujampa ruhusa ya kuongelelea channel yako.. jifanye huelewi.. alhamdulillah siku ya malipo ipo...
@@hay3_8kal kila mzushi na kila hizbi ataanikwa picha yake kama mhalifu ili watu wamfahamu na wachukuwe tahadhari na wao.Huwezi weka picha mtandaoni hadharani kisha uchaguwe nani anaruhusa na nani hana ruhusa kutumia.
@@salafi. ati ili watu wachukue tahadhari?😂nenda kaangalie darsa za daktur Allah amhifadhi inavojaa siku hizi,hata kuliko mwanzo mashaallah tabarakallah
nyinyi mtabaki na mpaka kieleweke! na twantanah nyingi
اتق الله يا أخي هذه ليست طريقة الصحابة والسلفيين في العصر الذهبي، انظر كيف كانوا وكيف نظروا في الأمور، هناك غداً أمام الله.
@@salafi.Allaah akubarik habiyb akuzidishie ilimu na ikhlas