Nakukubali sana nimekua nikifuatilia kwa muda mrefu. Na sawa nyingi ulizokua unatoa nimekua nikizitengeneza mwenyewe nyumbani. Kwakweli mkewangu saiv ananiamkia. bao moja ni Lisa's na dakika. Mungu akubariki sana
Doctor Asante mafundisho yàko, Kwa upande nguvu za kiume na kuwahi kufka Killeen WANAUME unawaambiaje wanawake ambao hawajishughulishi kitandan? Maana unakuta mwanaume unatumia mda na ajili nyingi kumwandaa make wakat yeye ametulia tu toa Somo doctor
Doctor wewe unachozungumza ni sawa kupitia wewe mafundisho yako ,mm nimekua fundi mzuri wakati mwazo nilikua nachindwa kujizuia. naomba kuna mtu wangu wakaribu aliniuliza swali nikakosa jibu kwamba inamaana gani! (1) alisema akimaliza kufanya tendo la ndoa kwa goli moja anapiga miao je inamaana gani doctor??.
Yani hapo umetugusa wengi, wangu mimi yani akianza tu, hesabu sekunde na sio dakika, mbaya zaidi siku moja baasa ya goli lake , nikamwambia kuwa, vipi mbona unamaliza chap kama kuku? Kiukweli hapo ndio niliharibu, yani alichukua zaidi ya miezi 3 , hakufika tena kileleni kabisa, hata ndani ya lisaa hakuweza kufika, du!
Hivi mwanamke hana mchango wowote katika hilo yaan kutoa ushirikiano kwa mmewe ili aweze kumufikisha mkewe kileleleni na pia stairi moja yaweza kutosha kumufikisha mkewe kileleleni?
Hivi unajua unasidia jamii , maana kizazi hiki hakikai na wazee wa zamani ambao walikuwa Wana fundisha hivi? Basi ushauri uwe unaandaa vipindi vya wanadoa
Daaah sisi tulio nnje ya nnchii hususan arabuni tunakomaaa Walahii hii ya practice makes perfect tunaikosa aisee maana kumpata demu ni mbindeee mnooo unawezaa piga hata miezi sita daaaah.
Nikweli kwamba kufanya mapenzi mala kwa mala kunapelekea mwisho wa siku unaweza ukafanya hata siku moja unaweza ukafanya mapenzi mpaka mwisho bila kukojoa
Da, nina hilo tatizo oscillation 5 tu nimemwag, before nilikuwa namwaga alafu naunganisha hapo hapo, bao la pili linachelewa sana mpaka nikijisikia. Ila now nikimwaga uume unasinyaa kuamka tena hapo ni mtihani.
Daa hata mimi zamani nilikuwa nauwezo wa kuunganisha hila kwa sasa ni tako kadhaaa tu chali harafu siwezi tena kuunganisha na haisimami tena. Vp umeshapata tiba?
Darasa nzuri sana, nimelipenda kwa kweli. Mungu akupe afya njema uweze kutuelimisha daima.
Nakukubali sana nimekua nikifuatilia kwa muda mrefu. Na sawa nyingi ulizokua unatoa nimekua nikizitengeneza mwenyewe nyumbani. Kwakweli mkewangu saiv ananiamkia. bao moja ni Lisa's na dakika. Mungu akubariki sana
🤣🤣
Kipindi chako kizur Sana bro nimekipenda 👏
Kaka hongera sana brother nimekuelewa sana aisee
Niko pande izi za Mozambique. Nafuasilia sana masomo yako na nakuelewa mno. Asante sana Dr.
Shukrani sana kwa hii 🇨🇩
Asante sana Dr. Nataka kujua Msamituni inatumika vipi
Utakaponunua watakupa na maelekezo yake
We mkali Baba huwaga nakukubali sana thank you very much
huyu jamaa ana knowledge ya biolojia sana. nakubali sana.
Nmekuelewa vizuri xana dtkr May God bless you.
Aaahh doctor kweli nime pata habari jema MOLA akubariki akujalie afia njema
Yeah waache kuguza switch 😃😃 nice.
Siku hizi mzee baba umeamua kutoka live safi sana nakuaminia sana Dokta.
😂😂😂😂daah, swich kama swich, Ahsante sana dr✊🏽✍🏽🙏🏽🙏🏽
Hahahahahaha
Asanteee Sana doctor kwa elimu yako nzuuuurii saana nakuombea maisha marefu Mungu akuzidishie uzidi kutupa elimuu zaidi na zaidi
Good advice teacher
Ubarikiwe doctor
hongera kaka somo zuri sana mungu akulinde daima kwa kizazi hiki na kijacho wapate faida toka kwako
Doctor nakukubali sana unafundisha vizuri Sana
Mungu akubark messages zur
Ahsante sana kwa kunifuatilia
Dah somo zuri
Wap like zake👍
Nakupend sana jaman
Nakubali dr ushauliwako nimzur
Duh! Hiyo Elimu ya switch ni mpya kwangu kabisaa.
We jamaa ni nomaaa unajua mnoo
Well talented Dr..
Asantiii u have gud body languege
Thanks
Doctor Asante mafundisho yàko, Kwa upande nguvu za kiume na kuwahi kufka Killeen WANAUME unawaambiaje wanawake ambao hawajishughulishi kitandan? Maana unakuta mwanaume unatumia mda na ajili nyingi kumwandaa make wakat yeye ametulia tu toa Somo doctor
Good kak nimekupata 👏👏👏
Dr umenitibu kabisa Kama nitapona nitakutafuta nikupe zawadi asante sana
Doctor wewe unachozungumza ni sawa kupitia wewe mafundisho yako ,mm nimekua fundi mzuri wakati mwazo nilikua nachindwa kujizuia.
naomba kuna mtu wangu wakaribu aliniuliza swali nikakosa jibu kwamba inamaana gani! (1) alisema akimaliza kufanya tendo la ndoa kwa goli moja anapiga miao je inamaana gani doctor??.
Aseee switch tu Ume nifurahisha 😀😀😀😇
Nimekuelewa Sana bro
Doctor na Mimi nisaidie sijawihi kusikia hamu ya Hiro tendon nasumbuka sana
Asante kwa video! Sasa msamitu ina rangi gani? Ni mzizi ama mbegu?
Nice teaching
Da dr madayako nimekuelewa ila kama mimi mbona nikikutana nadem mpya naweza nikamaliza adi lisaa lizima adi nachoka APA tatz nini Dr naomba jibu
Maashaallah Docta napenda saana masomo yako
Halima
Tusaidiye doctar
Yani hapo umetugusa wengi, wangu mimi yani akianza tu, hesabu sekunde na sio dakika, mbaya zaidi siku moja baasa ya goli lake , nikamwambia kuwa, vipi mbona unamaliza chap kama kuku? Kiukweli hapo ndio niliharibu, yani alichukua zaidi ya miezi 3 , hakufika tena kileleni kabisa, hata ndani ya lisaa hakuweza kufika, du!
Ebwana nimekuerewa sawa kaka
uko vizuri sana kaka
Tunakubalitibazako
Asante Doctor, Sisi Rwanda Gisenyi twawezaje kupata Dawa hio.
Point bro nimekwelewa
😂hapo kwenye switch nimeipata hiyo
aaaa umenifurahish kidogo iyo swich daaaaa
Elimu nzur I like this
Tulia!!
Nice
Somo nzuri dr
Ubarikiwe sana
Brother upo good san unawez nimpenda kaz yke
Umetisha eti
Hivi mwanamke hana mchango wowote katika hilo yaan kutoa ushirikiano kwa mmewe ili aweze kumufikisha mkewe kileleleni na pia stairi moja yaweza kutosha kumufikisha mkewe kileleleni?
Doctor una toa somo mzir san
Matumizi ya Msamituni
Kazi ni njema sana
Asant sana kaka unafaa tuzo kbs pia ningependa kujua hiyo fawa unaitumiaj ??
Mimi niki mwaga hailali naengelea game ni vibaya Dr
Nime kukubari doctor
Nme kuelewa kaka ila switch sio poa😃😃
Good
Hivi unajua unasidia jamii , maana kizazi hiki hakikai na wazee wa zamani ambao walikuwa Wana fundisha hivi? Basi ushauri uwe unaandaa vipindi vya wanadoa
Doctor ww Huwa unaachilia switch?
Hlo saf wenye tabiaa hzo wapo ila hawapend kua hvo nao kwahvo nwaombe wanawake nao waliangalie hlo.
Asante kwa someone dokta
Daaah sisi tulio nnje ya nnchii hususan arabuni tunakomaaa Walahii hii ya practice makes perfect tunaikosa aisee maana kumpata demu ni mbindeee mnooo unawezaa piga hata miezi sita daaaah.
Vp huko hakuna mademu kama pale sinza.unawakuta kibao
Aiseee kazi tunayo adi kumaliza mkataba akili zishavurugika
Hiyo ya switch nimeipata kwa sambamba... Mungu akubariki sana Dr,,,,, lakini swali ni je hiyo dawa ya msamiti pia inapatikana adi nchini kenya?
Wow nmependa mafunzo
Asante docta
elimu kubwa sana hii
Nkwel bana hiyo kitu kimenitokea tayari leo imeniuma kwel maana huyo dem nimgeni😢
Asante Dr
Sante sana doctor
Yes, is true
Upoo vzr dr
Vipi kwasisi tulie nje ya nchi hakuna msamitu wa kizungu nipo USA
Switch umenifurahisha sana kumbe duh noma.
doctor please niambie hiyo dawa jina lake ku kiingereza msamitu niko uk asante
Kupga punyeto ndo nini sijui
sawa sawa
Mimi napiga pumbu mara 2 hadi 3 kwa siku kila siku
I got u maana mm mvuvi kufanya mapenz
Dokta we ni mtaalamu
Swich ina bawasili ni sawa ama nivi mbona unanitisha broo
somo pwr kuongea kwenywe waongea kw umakin kabsa n wazngumza kw ufasah kbxa
Na leo nimekuona sura boss
Nikweli kwamba kufanya mapenzi mala kwa mala kunapelekea mwisho wa siku unaweza ukafanya hata siku moja unaweza ukafanya mapenzi mpaka mwisho bila kukojoa
Kwenye swich ni kweli kabisa
Ahsante kwa somo nzuri, ubarikiwe sana ktk taaluma yako
Asante bro
Mazoezi mhimu sanaa
Uko saihi
Aminaaaa
Hi
Hahhaha hiyo switch sasa hahahah
😅
MSAMITU, naitumiaje?
Na kwandikia kwenye whatsap sikupate na jaribu kukuita sikupate
Da, nina hilo tatizo oscillation 5 tu nimemwag, before nilikuwa namwaga alafu naunganisha hapo hapo, bao la pili linachelewa sana mpaka nikijisikia. Ila now nikimwaga uume unasinyaa kuamka tena hapo ni mtihani.
Nicheki nikupe mbinu uinjoy
@@yusuphj2357 hahaha, sehemu ya kuchekiana si ni hapa mkubwa... kwanza inatoa somo kwa wengine pia.
@@manish-fp1fb yeah siku maanisha tuonane sema ingekuwa tunachat inbox ni kheri zaid naweza nikaandika alaaf wapo wahuni wakatumia kwenda fanyia zinaa nikapata dhambi thus sipend fanya hvy
@@yusuphj2357 Mimi ninashida pia naomba nisaidie
Daa hata mimi zamani nilikuwa nauwezo wa kuunganisha hila kwa sasa ni tako kadhaaa tu chali harafu siwezi tena kuunganisha na haisimami tena. Vp umeshapata tiba?
Hahahaa switch😂😂
Yesi
Nikweli
Nimejifunza xan
👏🏿👏🏿👏🏿
Kenya tunapata msamitu? Ahsante kwa mafunzo yako.
Mpo vizuli asanten kwa elimu
Darasa zuri
Practice makes perfect 🤫
Eeeeeeeh dakika 16 demu dhuuu noma hiyo
Felix
Yexa dokta kutjulixha kuwepo kwa xwich axante xana
Good dr